Eti wewe ni Mjasiriamali ? | Sheikh Salim Barahiyan

  Рет қаралды 2,308

IHSAAN TV

IHSAAN TV

5 ай бұрын

Ni kipindi cha Al Jawaabul Kaafy {Jawabu lenye kutosheleza} kinachoruka hewani Mubarashara kupitia Channel yetu ya KZfaq na Radio Ihsaan Fm, 102.1 Kila siku ya Jumatano kuanzia saa 03:30 usiku hadi saa 05:00 usiku.
Namba za kuuliza maswali ni +255 773 277 444

Пікірлер: 35
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 5 ай бұрын
ALLAH akuhifadh shekh wetu salim barahiyani
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 5 ай бұрын
Mwambie Sheikh wako atueleze Milioni Mia mbili alizipeleka wap na zilikua za kujenga msikiti?
@AbulqassimAshirazy-yd7th
@AbulqassimAshirazy-yd7th 5 ай бұрын
Asalm alaikum. Shekh wewe Unafuat Haki au matamanio ya nafasi yako. Shekh anawasema vibaya wanachuoni ambao wanathibitishwa kuwa ni wema na mashekhe wakubwa alaf wewe unamuunga mko. Shekh Albania, ibn baaz, fauzan wote hao wanathibitisha kwa maneno Yao kua shekh Muhammad Aman aljami, shekh rabii, shekh muqbil kua ni wanasunna.
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 5 ай бұрын
​@@abuurayaan3902kesho ukisimamishwa na Allah ukaulizwa hilo swali unaweza thibitisha madai yako?
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 5 ай бұрын
@@Yu-jr9uf Niko tayari kwa hilo na ushahidi upo Na wewe uko tayari kubeba dhimma ya sheikh wako anatukana na kuwazulia Wanachuoni uwongo na wewe wamtetea kwa dhulma anazo fanyia watu hasa ulamaa
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 5 ай бұрын
@@abuurayaan3902 ww .mwenye maneno yakike kama dadaako una ushahidi gani .au unalipokwa tu kumbuka utaulizwa mbele ya haqq
@user-tl2ks4fl4h
@user-tl2ks4fl4h 5 ай бұрын
Shukran
@adamh1751
@adamh1751 5 ай бұрын
Huwezi kusoma hadith hata kichwani juu ya kuigopa kukosea... Allahu mustaan.
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 5 ай бұрын
Kha!
@adamh1751
@adamh1751 5 ай бұрын
Kweli ww businessman wala sio sheikh wa dini! Liko wazi na tutazidi kuweka wazi to everyone insha’Allah.
@abuukauthar525
@abuukauthar525 5 ай бұрын
Kwan ujasialiamali ni haramu????
@adamh1751
@adamh1751 5 ай бұрын
@@abuukauthar525 sio haramau bali usile mali ya watu kwa dhulma na udaganyifo!
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 5 ай бұрын
​@@adamh1751utatoa ushahidi kwa allah shekh
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 5 ай бұрын
Husda hizo
@twahaally7251
@twahaally7251 5 ай бұрын
Bila shaka Watu wataulizwa Yale waliosema Ikiwa kamsemea mtu kwa uongo bas khasara kwake..
@abuuiqrimah1125
@abuuiqrimah1125 5 ай бұрын
Unakula pesa kupitia mugongo wa dini acha kupotosha mwana wa barahiyani
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 5 ай бұрын
Utathbitisha KWA allah subhanahu wataala shekh
@mohamedally6992
@mohamedally6992 5 ай бұрын
SHEIKH GAN MAEMULIZA MASWALI NA WAKATI YEYE DHULMA MKUBWA . KILA KONA WATU WAMZUNGUMZA YEYE KWA DHULMA ANAIFANYA YEYE GENGE LAKE. LAKIN KILA KITU KINA MWISHO
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 5 ай бұрын
Nawe umedhurumiwa?
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 5 ай бұрын
Utajathbitisha kwa allah subhanahu wataala
@abuuiqrimah1125
@abuuiqrimah1125 5 ай бұрын
Sinikweli lakini mwana wa barahiyani jibu kwa usijifananishe na mtume ww ni mpenda mali ilo alinaa Shaka
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 5 ай бұрын
Utathbitisha KWA allah subhanahu wataala,shekh usiwe na shaka
@abuuirfan9523
@abuuirfan9523 5 ай бұрын
Hivi kwani wewe huna mapungufu mpaka uanze kutangaza mapungufu ya wenzio,acheni izo fitna ,enezeni akhlaq na ilmu sio mambo ya mihemko hayana nafasi ktk dini.
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 5 ай бұрын
Nendeni barabara ya 8 kazika hizo pesa mukazichukue
@abusumayyah3112
@abusumayyah3112 5 ай бұрын
Kwa nini barahiyan usinyenyekee ukaukubali usalafi? Ukaachana na uhizb? Je huogopi kufia ktk uhizb?
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 5 ай бұрын
Uhzb ni upi? Usalaf naujua
@masoudabdallah9878
@masoudabdallah9878 5 ай бұрын
Allah kasem msife ila muwe waislam …!
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 5 ай бұрын
Atuambie milioni Mia mbili alizipeleka wap kama yeye hafanyi dini ndio kitega uchumi
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 5 ай бұрын
Akuambie wewe na nani ,
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 5 ай бұрын
@@hafidhwajina6718 tunawauliza nyinyi wajasiria Mali kwa kutumia dini kitega uchumi Milioni Mia mbili Barahyani alipeleka wap ?? atujibu sisi Masalafi
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 5 ай бұрын
@@abuurayaan3902 kwanini wewe ni salafy?
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 5 ай бұрын
@@hafidhwajina6718 Ndio manhaj Mtume ametuchorea tupite
@user-sf3jq7wo5e
@user-sf3jq7wo5e 5 ай бұрын
Kwan kufanya biyashar kwa masheh aifai mbona nyinyi masalaf mnafanya biyashar acheni utoto wenu
@user-sf3jq7wo5e
@user-sf3jq7wo5e 5 ай бұрын
Talafi nyinyi sio wa2 wasunna nyinyi niwatumishi wamayahud alaf nyinyi niwatu wamasilah2
@user-oc8uo9rl3u
@user-oc8uo9rl3u 5 ай бұрын
MAWAHABI HAMNA ADABU KILA WAHABI ANAJUA KULIKO MWENZAKE HAMUHESHIMIANI
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 38 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 89 МЛН
Darsa | Kujibu hoja za watetezi wa Maulid | Day 2 | Sheikh Salim Barahiyan
40:09
Je! Sheikh Kishki ni Salafy? | Sheikh Salim Barahiyan
7:56
IHSAAN TV
Рет қаралды 31 М.
SHEKH MUHAMMAD ISHAQ NA ABUU IDDI
9:14
mirath tv online
Рет қаралды 2,3 М.
WAPINZANI TUPENI MGOMBEA LEO, KESHO NI MBALI
17:09
SK Media Online TV
Рет қаралды 27 М.
Hii hapa sababu ya kukataliwa Swala yako. Sh. Nassor A. Bachu
42:55
OBA Online tv
Рет қаралды 30 М.
MPIRA NI HARAMU - SHEIKH OTHMAN KHAMIS
18:04
Oasis TV
Рет қаралды 15 М.
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН