Hizo ofa zisitutishe azizi ataendelea kubaki Yanga mambo mengine yatajulikana baadae
@vaxminja90532 ай бұрын
Mkiambiwa Ahmed Ally amewafanya mashabiki wa Simba waonekane watoto mnabisha. Tayari kuna mashabiki wa Simba wameshikia bango Umbea wa Ahmed Ally kuwa Aziz K anatua Simba
@allahisone63862 ай бұрын
😁🐸😁
@amaniomar17552 ай бұрын
Ahmed Ali hua namuita msanii
@user-nm2jq7xo5f2 ай бұрын
Jifunzeni kwa timu zilizofanikiwa sio dhambi wenzenu wamekeza vitendo nyinyi mmewekeza maneno wapi nawapi
@user-wb5bh9hy1l2 ай бұрын
NA HATUNAGA TABIA YA KATAKA KUIVURUGA TIMU PIZANI KWA KUCHUKUA WACHEZAJI AMS KUWAHONGA IPO SIKU MTAJUTA YATAWAKUTA YA JUMA KASEJA ..OKWI NA AJIBU.❤❤❤❤❤
@OmariMohd-q7z28 күн бұрын
kweli atabk yanga au maneno t ya watu
@GeorgeChitemo-kt8sw2 ай бұрын
Chizi Sana ameni ally
@user-ox4fv4cf5l2 ай бұрын
HAMNA MTU HAPO KISPIKA ANATENGENEZA MAZINGIRA YA KUWATOA WANACHAMA WAO WAACHE KUHOJI MADUDU YA VIONGOZI WAO
@venancemalima11812 ай бұрын
Msanii akiwa msemaji ujue mambo ni ya kisanii tupu.
@JulisNestoАй бұрын
Aindoki azizik
@benjagaspar53042 ай бұрын
Kwenda au kubak yote sawa tu tumechukua ubingwa kachukua kiatu so mbaya kikubwa tumsapot tumpe maua yake💚💚💚💚
@user-yr4pv2vj7m27 күн бұрын
Wewe amed Ari choko
@zakwetuupdate33872 ай бұрын
😂😂😂 Kwa azizi ally
@JastinAlphonce2 ай бұрын
wonder why they shows on propagandas...young Africans for all of you guys 🇨🇩🇨🇩 kindu
@suleimanmwenyemvua9952 ай бұрын
Huyu Ahamed Ally. Mpuuzi mmoja tu kutosaini Yanga siyo tafsiri ya kiswahili kuwa aende simba sports club....na malisho mema siyo kwa simba aache kuwapa sound mashabiki wake.mjinga huyu.....😊😊😊😊
@FirdausAlly-ls8fw2 ай бұрын
HUMU TUU 🙌😆
@hosianatemu84272 ай бұрын
Tutamza mbaliii na yanga tunahtaj pesa tulete pacome weng
@user-ov7ge3ci6f2 ай бұрын
Wasaf bn Ivi Musa mekisu yupo wap
@user-ek7tp2fg8t28 күн бұрын
Ayo yamekua kam ya cham amehondoka uyo
@errydeo88652 ай бұрын
nafikiri Nasibu atafute watu wenye upeo na football
@magrethmalobola54702 ай бұрын
😂😂😂😂 Ila Ahmedy huwa ananichekesha tuu
@errydeo88652 ай бұрын
HE IS A FOOL na hawa wote wanaojifanya wanajua footie they do nothing to help the dude ;klip ya Ally hii unaiwekaje ?? hawa na Ally wote wale wale;shida ya bongo wote wajuaji kuna dogo hapo utafikiri yeye ndo anajua siri sa YANGA KA Eng Hersi;bro u know nothing all u know is what YANGA WANT U TO KNW
@stevenemwakasimba-pt8er2 ай бұрын
Tufanye biashara tununue mwingine yanga haiko na shida ya mchezaji mmoja hiyo ni biashara viongozi angalia maslai
@pacomezouzoua91752 ай бұрын
Najua aziz ki tunaweza tusiwe nae next season kutokana na ofa alizo nazo ni kubwa sana but Eng hensi atatuletea aziz ki mwingine hatunaga wasiwasi na Mr Genius Eng hensi said 🎉
Ila mbona fresh tu mwache aende Simba litakalo mkuta atalijutia maisha yake yote
@MussaKingu2552 ай бұрын
Kwa upande wangu mi naona bora wamuachie wavute mkwanja af walete majembe mapya mana vipaji pia vipo vingi sana
@dsgroup60932 ай бұрын
Unasikia mchezaji hajasaini af ww unasema wavute mkwanja mkwanja gani wakati ataindoka kama mchezaji huru?
@suleimanzimbwe3732 ай бұрын
Yule mropokwaji wa Simba anatamani Aziz haondoke amewakosesha usingizi yy anajua hawana uwezo wa kumpta Aziz K ..lkn Bora aende kokote ila asbk Jagwani ili wapumzke na mashuti wnyo tiwa na Matobo kutoka wagadugu
@user-oz8ff6do9e2 ай бұрын
Hivi nyinyi hamnaga MAMBO mengine ya kuzungumza? Kwa akil nyepesi tu bado mnajiaminisha Azizi hatasahihi kuichezea Yanga? Ni utoto ni kutokuwa na uwezo wa kufikiria mbali?? Au ili mradi muonekane nanyi mpo? Acheni kupotosha mlishiriki kumleta au kuchangia kuja kwake Yanga?
@errydeo88652 ай бұрын
WAJINGA WATUPU;kuna dogo hapo utafikiri yeye NDO HERSI🤣🤣🤣🤣
@meshackthomas13412 ай бұрын
Hizi ngonjela. Yasje yatukuta. Yamayele isitoshe Kwa upande wa masharik. Tunazalilishwa tu Kwa kuchukuliwa wachezaji mhimu huku tukijua. Mpira ni mbinu wao wanazofisha Tim za ukanda huu ili wao wabaki juu tuchague moja tu. Tutafute ukubwa wa soka na eshima kikanda au tuwe jijo la virabu vya ukanda mwingine wao watuchukulie wachezaji Bora daraja A?
@gabriel-dh3qn2 ай бұрын
Aziz ki bado atakuwepo YANGA! Huyo sijui msemaji wa Makolo hasiyejitambua anataka kujidai anatibua sherehe yetu ya UBINGWA! Wameshachemsha hao! Hii YANGA haifanani na timu yoyote hapa Tanzania!
@user-nm2jq7xo5f2 ай бұрын
Kweli kabisa msemaji anajipa ujiko kuharibu sherehe yetu wananchi nawao wajifunze kwa Yanga waache mbambamba
@user-mj2pe4xy7v2 ай бұрын
Tuneyazoea hyo porojo
@user-ff1it9og8y2 ай бұрын
AZIZ KII KAGOMA KWA SABABU YANGA WAMEFUNGIWA NDANI NA NJE NI KWERI ANAWEZA KUTIMKA YANGA MSISHANGAE
@rosemunissy2 ай бұрын
Wamefungiwa nin mbona ujielew
@errydeo88652 ай бұрын
look at this fool🤣🤣🤣🤣🤣
@azizymachadeson35772 ай бұрын
We bwege kweli 😂😂😂 , HUMUU TUUUUU!😂
@errydeo88652 ай бұрын
kwahiyo NYIE ndo HERSI FK OFF;PILI FOOTBALL IS BUSINESS;WAKIJA WENYE PESA WHY NOT SELL THE GUY N BUY ANOTHER ONE??? IF KI goes whats the prob when A profitable business is done??? huyo fala ally sijui alipataje kasi hii;he knows nothing abt footie business🤣🤣hata nyie hapo try to help the dude;IN FOOTBALL PLAYERS HUJA NA KUONDOKA;IS THAT HARD TO UNDERSTAND GUYS???
@bensonomary42452 ай бұрын
Mboyoyo 😂 u think it's easy to be there where he is... Fool plus where ar u now Nan anakujua we endelea kupig kelele tu Kam shabik ila usi compare na kuon Jombii kua n fool Bcoz fools know themselves, a u part of it ? 😂