EXCLUSIVE: BINTI ALIYE LAWITIWA NA KIGOGO WA SERIKALI/ AFUNGUKA MAZITO/ AKIMWAGA MACHOZI

  Рет қаралды 16,587

Crown Media

Crown Media

5 күн бұрын

Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: profile.php?...
TIKTOK:
- www.tiktok.com/@crownmedialiv...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Пікірлер: 268
@LloydsTech
@LloydsTech 2 күн бұрын
Sometimes Hizi mambo wanazitaka , mabinti wanatamaa sana
@d15355
@d15355 2 күн бұрын
hii sio mara yake ya kwanza kumbe kushtaki watu polisi kwa kosa kama hilo yeye na mamake walishawahi kufanya hivyo hapo kabla ndio maana wakawa na uthubutu wa kusingizia tena
@morningstarartproduction8436
@morningstarartproduction8436 3 күн бұрын
Mim ndo wakwanza, pole sana dada
@ramadhaniiddbandola1710
@ramadhaniiddbandola1710 3 күн бұрын
Tumuogope sana mwenyezimungu yote haya mzizi wake ni zinaa tuache zinaa ndugu zangu
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 3 күн бұрын
Tumuogope kwa lipi? Kama wewe unamuogopa Mungu, una mambo yako binafsi ambayo unayajua.
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 5 сағат бұрын
Mhhh kweli Allah atusamehe
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 5 сағат бұрын
​@@barrynzeyimana6270mhhh ww badilisha kauli yk itakuandama sn
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 3 күн бұрын
Kesi za chumbani ningumu sana kuzithibitisha, Mungu ndo mjuzi
@d15355
@d15355 2 күн бұрын
nahisi huyu ili aingiliwe aliahidiwa kitu kikubwa sasa alipoona kadanganywa yeye na mamake ndo wakapanga kum-blackmail RC we mtu mzima kama huyu miaka 21 ni mama anatakiwa awe na watoto wa-3
@kingwandeinvestment8002
@kingwandeinvestment8002 2 күн бұрын
Uyu dada ni muongo amuogope mungu ila mungu atamlipa kwa kumzulia baba wawatu
@sadikiissa2454
@sadikiissa2454 3 күн бұрын
From DRC Congo 🇨🇩 uvira mimi nawafata vyema
@jumalove2631
@jumalove2631 3 күн бұрын
Alibakwa au walikubaliana ila mwamba Akapita sehem tofaut😢
@amoury1481
@amoury1481 23 сағат бұрын
Hilo Ni swal Muhimu sana
@josephsagi5168
@josephsagi5168 2 күн бұрын
Wewe binti unapewa milioni kumi unasema pesa ndogo....halafu unasema hutaki kutumika kisiasa!!! Aiseeee kutumika kubaya sana
@neykombe8831
@neykombe8831 16 сағат бұрын
Hapo tu ndiyo najiuliza km kapewa million kumi na umefanyiwa mara moja na mama yk tatu kweli uwez kunyama jmn tuseme tu ukwel km kapewa million kumi alishindwa kunyamaza na kitu kishatokea
@renacyoscar2192
@renacyoscar2192 3 күн бұрын
Huyuu ni muongoo sanaa ety mkubwa mzima ivo analawitiwaje... kamalayaa tuu
@HygieneKapachino
@HygieneKapachino 2 күн бұрын
Im so proud nyoko nyok kisamv kmeliw hapaaa diaraaa kachomesh
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 6 сағат бұрын
Macho sasa anavyo yafumba. Yeye anajuana nawatu wakubwa tu😂😂😂😂 she was so proud
@bonyngoyindengoyinde6139
@bonyngoyindengoyinde6139 2 күн бұрын
Njaa tu!! Hakuna Linda apo, mchezo w ckunyingi uo! Iv kwel ktk Hal y kawaida tu, mwanamke kama hatak unawez fanikish kufanya ikiw yy hayuko tyr!? Et ata kelele asipige😂
@geographyteacher.2961
@geographyteacher.2961 2 күн бұрын
Mwamba kama nakuelewa hv kweli kelele ilikosekana!! Kuna mtu akielezea jambo unaona uhalisia kabisa na nia ya dhati kuwa hata alijaribu kupambana ila huyu sidhani achekiwe vzr jmn.
@user-wh5je2pp5z
@user-wh5je2pp5z 3 күн бұрын
Meneja na kiongozi watu wawili tofauti kabisaaaaaaaa, naomba lielewekeki hili au Genz kutoka kenya wanisaidie kueleweka zaidi!
@mohamedally121
@mohamedally121 3 күн бұрын
Nitakuwa wamwisho kuamini hiii kitu
@FredMaulid
@FredMaulid 2 күн бұрын
Umeona eh hivi vibinti vya 2000 ni mtihani kweli ukimsikiliza vizuri utagundua Kuna kitu nyuma ya pazia anaficha na walikuwa wapenzi wa muda mrefu nahisi walitofautiana kimasilahi na huyu binti ni mzoefu kaanza mapema pia wanawake hutupelekea kupata maumivu , kudhalilishwa na hata kudhoofishwa kiuchumi mambo ya faragha unayaleta hadharani mbona siku ya kwanza kumkubalia hukuja kwenye kusema kuwa tayari nipo kwenye mahusiano na mkuu wa mkoa inaonekana hakukupa pesa aliyokuahidi ndiyo maana ukaamua kumdhalilisha na kama mama alipewa pesa kwanini usingemlinda mama yake na wazazi wako na kuachana na hayo mambo tumia akili na tuishi na Hawa viumbe kwa akili sana pole mwanaume mwenzangu mkuu wa mkoa ila naamini yataisha tu maana ameamua kukuvua nguo.
@user-qt3jl9io6k
@user-qt3jl9io6k 3 күн бұрын
Pole sana sister hakiyako utaipata hapo ninyumbani crown 👑
@Juli-ep9dn
@Juli-ep9dn 3 күн бұрын
Kama viongozi wanakuwa hivyo wananchi waweje Sasa
@honestangalapa4178
@honestangalapa4178 2 күн бұрын
Hiyo yote ni tamaa ya maisha mazuri, pia kutaka vya mteremko. Alipovuliwa nguo kwanini hakupiga kelele??? Nakumbuka Rais wa marekani Clinton alifanyiwa kama hivyo na mdada aliyeitwa Monica na pia Mike Tyson alifanyiwa hivyo. Wakati mwingine watu hupenda kwenda viral kupitia scandal.
@josephjosephat4792
@josephjosephat4792 3 күн бұрын
Kikeke Crown FM mpaka imekufanana yan . Hongera san
@user-un2qi6gh3p
@user-un2qi6gh3p 2 сағат бұрын
Daaaaah classmate wangu hyu pole xn
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 3 күн бұрын
Pole Sana
@MusaDadi-pd3jd
@MusaDadi-pd3jd 3 күн бұрын
Pole sana dada
@TumainiMrisho
@TumainiMrisho 3 күн бұрын
Pole sana
@brunomtweve8073
@brunomtweve8073 2 күн бұрын
Hapana sio sawa jinga umalaya umemponza huyu
@BenMahende
@BenMahende 2 күн бұрын
Mshahara wa dhambi always huwa ni mauti, kwahiyo huyo jamaa anaonewa TU.
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 2 күн бұрын
Huyu muongo ulifikaje huko kwa kiongozi acha uwongo
@florangido202
@florangido202 Күн бұрын
Kwanini Usipige kelele na kutoka mbio 😂😂 Mwongo mkubwa. Si ulitaka hela!!
@neematheonest
@neematheonest 2 сағат бұрын
Pole my dear, Hili liwe funzo kwa Wengine
@AshaMwamba
@AshaMwamba 2 күн бұрын
Aoni hata aibui
@godfreyfrancis1013
@godfreyfrancis1013 2 күн бұрын
Polee
@Gades106
@Gades106 3 күн бұрын
Pole sana kwaku Fir😢😢😢😢😢😢
@Juli-ep9dn
@Juli-ep9dn 3 күн бұрын
Duh pole sana kwake , Muhusika alipe
@michaelnehemia4932
@michaelnehemia4932 3 күн бұрын
Kwakumuangalia tu macho yake anaonekana mwongo mkubwa
@saniaidrisa3920
@saniaidrisa3920 2 күн бұрын
Anaona aibu wangemficha usoni
@innocentchristopher7571
@innocentchristopher7571 2 күн бұрын
Washa zibua mtaro na ela kapewa kapokea kaondoka
@abednego3876
@abednego3876 2 күн бұрын
Utakuta ni malaya
@stateofart1089
@stateofart1089 3 күн бұрын
Huyo Mtuhumiwa aende jela uchunguzi enavoendelea
@andrewmbwiga1389
@andrewmbwiga1389 2 күн бұрын
Kwann hamjamficha sura
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 3 күн бұрын
🔥🔥
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 6 сағат бұрын
Kipindi anacopy hakua ameisoma hiyo barua😂😂😂😂😂 huyu mtoto jamani
@mdbosco1640
@mdbosco1640 3 күн бұрын
❤❤
@mussa512
@mussa512 Күн бұрын
Ngoja tusubilie Millard ayo akiipost tutaelewa vzr..... Mmetubuluza!😟
@yeunhiasrwetze8377
@yeunhiasrwetze8377 2 күн бұрын
huu n uongo
@Olengujati-uo6gx
@Olengujati-uo6gx 2 күн бұрын
Haijalishi wamekubaliana wala hawajakubaliana ,issue ni kaingia kinyume na maumbile hata kama ni mke wake
@RawlingsMahende
@RawlingsMahende 3 күн бұрын
Uyo wakati Ana copy hiyo barua alikuwa asomi Jamia hafu uyu binti kwani ni mtoto, alafu kwa nn aende kwenye ma party ya usiku wakati yy ni mwanafunzi
@Commentsplus
@Commentsplus 3 күн бұрын
Umetumia vizuri VAR
@josephineokama2200
@josephineokama2200 Күн бұрын
syo wa chekechea lakini kwani haruhusiwi kwenda kwenye sherehe yeyote
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 3 күн бұрын
Tunaomba Waziri gwajima alifanyie kazi
@nataemsuya
@nataemsuya Күн бұрын
Zinaa haitotuacha salama, tulishaonywa kutoikaribia zinaa lkn tumekaidi. 😢😢
@FelinucMalilwa
@FelinucMalilwa 3 күн бұрын
😢😢😢
@saidomary6414
@saidomary6414 Күн бұрын
Pole sana mwangu😢😢😢😢
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 3 күн бұрын
Crown media
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 3 күн бұрын
Hatari kweli viongozi wanafanya vitu vya ajabu
@jacksondamian4347
@jacksondamian4347 2 күн бұрын
Pongezi zije kwenu crown kwa kuibua kesi kama hizi
@matambitvog8786
@matambitvog8786 3 күн бұрын
😮
@dennismongi8970
@dennismongi8970 3 күн бұрын
Mbona hamjamficha sura
@LovenessDaud
@LovenessDaud 12 сағат бұрын
Mmmmh naijua hiyo😂😂😂
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman Күн бұрын
Hichi kitoto tamaa ndio mtihani nahuyu nimchezo wake ila kuna tofauti na huyo aliye mnajisi mtihani hivi vitoto
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 21 сағат бұрын
Binafsi siamin katika hili kabisa hvi umri huu mtu amebakajwee jaman hawa walikubaliana wenyewe sema huenda pesa alioahidiwa haikua hio aliopewa ila kusema kubakwa sio kweli
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 23 сағат бұрын
Huyu dada shetani kama katengenenzwa mungu anamwona hata aibu Hana
@TumainiMrisho
@TumainiMrisho 3 күн бұрын
King kikeke
@greenwellnsyukwe4729
@greenwellnsyukwe4729 Сағат бұрын
Duuuuuue, mambo gani haya sana jamaniiii?, ina maana ni mpenzi wake wa muda mrefu.
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Күн бұрын
Hilo tendo alifanyia sehem gani? Je? Alikuteka na kukulazimisha kwenda nae? Isije kuwa tamaa ya fedha tu..!
@williamkiyumbi2800
@williamkiyumbi2800 2 күн бұрын
No privacy! Mlitakiwa kuficha sura yake,
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 Күн бұрын
Hivi ni sawa kwa muathirika wa ukatili wa kijinsia kuoneshwa!?
@user-mu1xq9md5w
@user-mu1xq9md5w 3 күн бұрын
😢
@tevintevin6254
@tevintevin6254 3 күн бұрын
Kumbe ukiwa maskini nchi hii ni sawa tu na kuwa chin ya ukoloni
@DewGroupTech
@DewGroupTech 2 күн бұрын
Wote tuko chini ya wakoloni hata Rais
@JosephMichael-z5y
@JosephMichael-z5y 2 күн бұрын
😢😢
@BarakaMajaba-xk7bz
@BarakaMajaba-xk7bz 3 күн бұрын
Kaongo sana haka
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n Күн бұрын
Sahau.kuhusu amani bora ungekaa kimya watoto wako Wataona hii watajisikia vipi
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 7 сағат бұрын
😂😂😂😂 kanavyo lembua hayo macho kama kweli😂😂😂😂 yaan watoto wa elufumbili hawa 😢😢😢 nihuzuni
@gracemwailima1780
@gracemwailima1780 2 күн бұрын
Mmmh ungekuwa mdogo wangu umenisimulia kuwa umeinguliwa kinyume na maumbile bila ridhaa yako ningekushaur kitu, kwa kuangalia future yako hapo mbelen itakuwaje kabla ya kulileta social media but all in all Mungu ndie anae jua ukweli wa mambo ngoja tusubir mda ufike
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 Күн бұрын
Michezo yenu hiyo acha mfilimbwe mpaka mnye mavi.
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Күн бұрын
Mimi naona hapa kuna uongo hawa walikubaliana
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 3 күн бұрын
Why unasameh WHY? What happen is un accectable . Whats make you change your mind? For something like that? Why did you open the case. Hueleweki. Mara umesameh, mara mahakamani. Whats going on?
@Commentsplus
@Commentsplus 3 күн бұрын
Yani mi mwenyewe simuelewi
@masdavie
@masdavie 2 күн бұрын
quality ya camera zenu nimeielewa
@karthala6676
@karthala6676 2 күн бұрын
He will pay . Allah will make him pay for the crime committed by this individual. Keep strong young lady
@florangido202
@florangido202 Күн бұрын
We bint 😂😂 Balua!! Balua!! ni Barua bana
@evancemwanasenga8200
@evancemwanasenga8200 2 күн бұрын
Tutafute pesa maana chuoni kuna mambo mengi
@georgeascona5457
@georgeascona5457 3 күн бұрын
Pole sanaaa mdogo wangu i know unapitia changamoto kubwa sanaaa
@Cn_Creative7
@Cn_Creative7 3 күн бұрын
😢😢😢😢😢
@kamalissabig4631
@kamalissabig4631 2 күн бұрын
Sasa mnariport habar then mnaficha majina ya watuhumiwa nyie n waandishi gan msio jielewa weken Public kila mtu asikie ili kama kuna mwengine aliwah fanyiwa hiko kitendo kibaya na huyo mtu akakaa kimya kisa uwoga wajitokeze
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Күн бұрын
Huyu muongo anaminya minya macho ili yatoke machozi 😂
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 6 сағат бұрын
😂😂😂 bora umeona hiyo
@HygieneKapachino
@HygieneKapachino 2 күн бұрын
Ogooop videm vinavyovaaa ivyo vitishet vya watoto utakta vmeandkwa brazil/jamaica vtovu waz n vinyau kichiz
@WaryubaThomas
@WaryubaThomas 2 сағат бұрын
Huyo dada ni tapeli hayo maelezo ni ya uongo
@user-mu1uf2rl4x
@user-mu1uf2rl4x 2 күн бұрын
Kamalaya haka kwanza kalikubalije mpk kaingiliewe mkundu kama si makubaliano?kwahiyo kaliyataka kwenyewe kwa tamaa zake maanina
@Nijuzetzdigital
@Nijuzetzdigital 2 күн бұрын
haka ni kahalifu sema tu target zimeenda sivyo, ila mabinti wengi wanafirwa kwa tamaa😢😢 We umekutana tu na mtu tayari ushaeleza shida dada yako hana kazi sasa na kitu ambacho mabinti hawajui ni kwamba sisi wanaume tunaka madem wengi sana sababu ya weakness point ya shida zao, Sasa huyu alijicommit mwenyewe na amekiri kwenye interview zake kwamba walikuwa na mahusiano ya mda mrefu😅
@user-wh5je2pp5z
@user-wh5je2pp5z 3 күн бұрын
Huyu mwendeshaji wa huu mkoa achukuliwe hatua bila kuzingatia uzito wake na maamlaka yake sheria ifanye kazi yake.
@faiditv5535
@faiditv5535 3 күн бұрын
Alindwe huyu serikali tafadhali
@paulodraughts36
@paulodraughts36 2 сағат бұрын
Huyu boya sasa mbona hana alama ya ugomvi labda alikataa akapigwa kama aliingiliwa alikubali huyu anatafuta utajiri 😂
@epafraditopajenga4650
@epafraditopajenga4650 2 күн бұрын
Serikali katiba ibadilishwe ili iruhusu haki ya watu
@kimsmcharo7540
@kimsmcharo7540 3 күн бұрын
Simtetei huyu mh ila wanawake ni watu wakuwachunguza sana wanao uwezo wakutengeneza story iendane na ukweli
@xxxl-jf2ji
@xxxl-jf2ji 2 күн бұрын
Ni kweli kbs mimi mwenyewe mwanamke sisi niwatu wabaya sanaaaaaaa
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 6 сағат бұрын
Sana kwa kukasikiliza tuu kuna kitu kimejificha hapa 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 yaan ili kupata ukweli kwa huyu bint inabidi intelejensia kari itumike . Ila ikitumika huruma tu kwakua ni mwanamke au masikin na yule ni mkuu haki haita tendeka achukuliwe kama mtu wa kawaida ahojiwe haswaa watapata ukweli
@sadamussa7037
@sadamussa7037 16 сағат бұрын
Mbona hajaficha sura au ni kiki
@user-fe6hg1it8g
@user-fe6hg1it8g 3 күн бұрын
Huyu bint n tatzo njaa n mbaya sana
@d15355
@d15355 2 күн бұрын
huyu malaya yeye na mamaye kwanza huoni anaishi bila baba? hamjamuuliza babake yuko wapi?kuna possibility kubwa huyu ni mtoto wa kurukaruka alikokuwa akifanya mamake na yeye bint karith
@blackschooltv
@blackschooltv 3 күн бұрын
Mbona nsinge ficha sura
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 3 күн бұрын
Mmh sasa wewe unachotaka ni nini pesa au kesi niende mahakamani? Kama watakataa haki, mbona mil 10umechukua? Au ni kidogo?
@barakarobert1029
@barakarobert1029 2 күн бұрын
Pumbavu na nusu kama angekupiga mbele ungekuja kutwambia ujinga hapa
@innocentmakule6232
@innocentmakule6232 5 сағат бұрын
umalaya tuu ukome
@ZahoroSAthumani
@ZahoroSAthumani 3 күн бұрын
Lakini pia, kjna taarifa ilitoka kabla kutoka kwa huyo mtuhumiwa kabla ya hilo tukio kuwa kuna watu wanamtengenezea tukio ili aondoke kwenye nafasi aliyonayo, na baada ya siku kadhaa hili tukio likaripotiwa, mnaweza kudig deep kuipata na hiyo taarifa ili tupate mizania?
@rajabrwambow9660
@rajabrwambow9660 2 күн бұрын
Acha mambo yako unaharibu ugali wa watoto wake kwa umalaya wako mtu mwenyewe unaonekana hiyo njia watu washapita sana fala ww acha umalaya
@SharifaOmary-ui8vs
@SharifaOmary-ui8vs 2 күн бұрын
Anaongea kama anatongozwa😂
@MwajumaMtonda
@MwajumaMtonda 2 күн бұрын
Inaonekana mlikubaliana ila tatizo likiwa kwenye malipo ndio maana imekuuma. Maana wewe ni mkubwa ulifikaje chumbani? Bila makubaliano?
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 5 сағат бұрын
Mume atakae mpata huyu awe na subra sn au awe m2 ambae hana habari na social network ili asijekuona hii ki2 atakae muowa huyu labda na yy awe mlaa tigo
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 2 күн бұрын
Huyo bint km hakua na msimamo hiyo Siku sngekataa Wala asingeingiliwa kinyume na maumbile wote ni wakossji tuu bint ma mtuhumiwa pengine Hata hiyo kesi alilazimishwa kwenda kushtaki inauma ila nae alikosea kumpa Hata km ingekua ni mbele yeye Hana ndoa angesubiri wkt wake ufike tuu Tamaa za mabint ndio zinawaponza
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 47 МЛН
The day of the sea 🌊 🤣❤️ #demariki
00:22
Demariki
Рет қаралды 106 МЛН
Reporting on Doomsday Scenarios | 60 Minutes Full Episodes
52:33
60 Minutes
Рет қаралды 1 МЛН
NDARO ALIVOMTONGOZA SHEMEJI YAKE KISA STEVE UTACHEKA
18:43
Ndaro Tz
Рет қаралды 135 М.
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН