EXCLUSIVE: SHAFII AFUNGUKA (A - Z) SABABU ZA KUPIGANA NA STEVE MWEUSI

  Рет қаралды 46,011

Wasafi Media

Wasafi Media

15 күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 199
@user-uv7op5yp6n
@user-uv7op5yp6n 13 күн бұрын
Kama unamkubali Steve gonga like za kutosha
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 13 күн бұрын
Steve na mtu na nusu
@AdamAmos-rr6fg
@AdamAmos-rr6fg 13 күн бұрын
Mtu nanusu nimwanamke​@@GibsonNtamamilo
@ramamakelo3780
@ramamakelo3780 13 күн бұрын
Hawamuwez Stive hawa wangese, gasho. Stive kitambo sana kwenye tasnia hii
@amaizingvideo8858
@amaizingvideo8858 13 күн бұрын
Shafii msenge tuu mwongo hana confidence ya kujitetea
@ngulathfundikira4205
@ngulathfundikira4205 13 күн бұрын
Ushamba tu,msemo msemo kwamba wewe ndio wa kwanza kutunga misemo ? Mijitu mingine chefuuu
@Muba3304
@Muba3304 13 күн бұрын
Kwanza sio wake shafii kaiba
@user-gb1hn5ml8y
@user-gb1hn5ml8y 13 күн бұрын
😂😂😂
@ayub6465
@ayub6465 12 күн бұрын
Ukwwli nikwamba Steve yupo level nyingine tofaut sana na shafiii
@MishekiLukali
@MishekiLukali 13 күн бұрын
Weee shizi to shafii
@honestangalapa4178
@honestangalapa4178 13 күн бұрын
Utoto mwingi tu, hamna la maana
@ALBATWA5-zh4zk
@ALBATWA5-zh4zk 13 күн бұрын
Shafi mavi tu huyu Achana na simba kilaka kenge wewe,!
@rogersiddy
@rogersiddy 13 күн бұрын
Kifupi Shafii tatizo maana swali la Tambwe ulilo muuliza Shafii swali zuri sana umekaa na msemo mda wote huo miezi 6 mtu anachukua kitu kdg anakifanyia kazi kinampatia kipato kifupi Shafii shida
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 13 күн бұрын
kiki za kiduanzi😊...afu skilizeni wamama wa kiswahili ndo kunatoka maneno hayo..na so kwamba wanatunga inatokea tu kwenye kuzungumza..mkitumia kwenye content zenu ikienda gafla mnageuka waanzilishi tena😊
@ustadhisimbula8622
@ustadhisimbula8622 13 күн бұрын
Jomba anaonekana kabisa nimuongo wa hatar ww hujui hujui tuu😂
@ferezaisaack9836
@ferezaisaack9836 13 күн бұрын
Mm huyu Binti Nampendaga sanaaaa aisee
@piusdriver7842
@piusdriver7842 12 күн бұрын
Huo msemo ni wangu .shafii kautoa kwangu sema nimekosa platform
@bishopalfreddywilliamu2382
@bishopalfreddywilliamu2382 13 күн бұрын
Hahahaha eti msemo? Wahenga wame toa misemo mingapi mbona hawapigi watu
@saidtembele3070
@saidtembele3070 11 күн бұрын
Wahenga wote washakufa.😂😂
@hirizonetz9558
@hirizonetz9558 13 күн бұрын
Mbona me huu msemo nimeusikia Kwa mwakatobe anautumia umalaya tu kuaoga aah hizi kenge Nazo bwana 😂😂 halafu hiki kijamaa nacho bwana kinatafuta umaarufu tu kupitia Steve
@romzy_tz7305
@romzy_tz7305 12 күн бұрын
Kabisa tena kwenye movie ya snake boy😂
@Hope_Plus
@Hope_Plus 13 күн бұрын
Sasa wewe shafii unaubunifu gani zaid ya Ku copy 😂 na huna content yako ambayo umefanya umeenda sna zaid ya Ku copy sema mwana umezingua Steve Ili u trend huna jipya Steve ni content creator mzur sna na amekuzid mbali sana acha kumzingua Steve bhana, kwana maelezo yako inaonekana kabisa msemo sio wako kuiba misemo tu kubuni aaah😂
@KassimMakame-dq6nq
@KassimMakame-dq6nq 13 күн бұрын
😂😂shafii unachuki naunakik t ndouzotk wew acheni kumuonea wivu Steve
@MosesDarius-p7f
@MosesDarius-p7f 12 күн бұрын
Shaffi unadangaya bro ❤❤❤❤ sema ukweli
@ernestnzoyikorera4629
@ernestnzoyikorera4629 13 күн бұрын
Shafi acha kujichafua mwanangu huo msemo sio wako pia wewe hata ungefanya usingefika popote sema hata ukitaka na nyimbo zake tukuachie Aaaaaah Aaaaaah 😂😂😂
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 13 күн бұрын
Shafii basi tukukipe utuachie huo msemo maana umeendana na sisi aki 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 13 күн бұрын
Huna lolote unajiaribia wee huogopi,haya namie nikapambane na suzi bale mbn maneno tunaiga mengi,umekuja juz tu shafii unajiona bichwa kubwa tive ameanza kitambo lkn hakuwa na makuu mpk leo
@dumabagame3901
@dumabagame3901 13 күн бұрын
Sasa hajawahi kuwa mshkaji wako unamtaniaje
@happynkya9770
@happynkya9770 11 күн бұрын
Ajabu anajikanyaga kanyaga tu
@Gabriel-f7x
@Gabriel-f7x Күн бұрын
Shafii acha ushambaa, broo unazingua hujui lolote tambii kichaniii kuoga aaaa
@user-uv7op5yp6n
@user-uv7op5yp6n 13 күн бұрын
Huo ni utoto mnao fanya fanyeni kazi mtufuraishe bhan
@KurubhoneJonas-hq4dv
@KurubhoneJonas-hq4dv 8 күн бұрын
Mtangaji uyo dogo umemuuliza swali zuri sana
@paulhema5713
@paulhema5713 13 күн бұрын
Mna hoji upande mmoja ...achen izo bhn muhojin na Steve ...ila Steve ndo kila kit....dog anaonekana mkorof sana
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 13 күн бұрын
Huyo dogo mkorofi sana msemo ndio urushe ngumi mpumbavu Huyo dogo
@volkenge
@volkenge 13 күн бұрын
Sasa matusi ya nini ndugu me mwenyew shabiki wa steve lakin kwenye ukweli ubaki ukweli steve pale ndio alioanza alitafuta kupigwa mwenyew
@volkenge
@volkenge 13 күн бұрын
Au naongopa
@SemeniOjoni
@SemeniOjoni 13 күн бұрын
Ngumi zakimama
@AfidhiRajabu-q2f
@AfidhiRajabu-q2f 10 күн бұрын
Why haukuwa wa kwanza kutumia acha kujichetua una vitu vingi wap????
@MamlakaAdalbert
@MamlakaAdalbert 13 күн бұрын
Huyo jamaa mkorofi maanaa anachoongea akina matiki
@PaulinaOctavian
@PaulinaOctavian 11 күн бұрын
Steve sio level yako shafii acha ushamba
@user-ow5vc1vj7r
@user-ow5vc1vj7r 2 сағат бұрын
Msemo wa Steve jaman shafiii mbna ivo kaka
@MasokaSakina
@MasokaSakina 13 күн бұрын
Uwo msemo niwa Steven mweusi
@madahaisack1268
@madahaisack1268 13 күн бұрын
Aliya ameulizaa swali nzuri sanaa
@RehemaMasunga-ml7kt
@RehemaMasunga-ml7kt 13 күн бұрын
Nyie ni kioo cha jamii yaani mnajiaibisha. Alafu kama ungeweza kumuachia kwa nini hukumuachia ili msijiaibishe
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 13 күн бұрын
Acheni utoto harafu ata hamjatrendi acheni ushamba nyau nyie 😅😅😅😅
@AthumaniSelemani-o1l
@AthumaniSelemani-o1l 8 күн бұрын
Kwani uyo shafii pia msanii na km msanii wanini wakuogelea au wakula sana mimi sijawai kumueelewa uyo jamaa😂😂
@OmarMwer
@OmarMwer 8 күн бұрын
Sisi twajuwa Steve aaaah
@user-pi2ih6qr3n
@user-pi2ih6qr3n 11 күн бұрын
Steve ni mtu clean heart.hawa madogo wamekuja juzi tumewapa attention wameanza kujisahau.Msemo ni kitu cha kurushiana ngumi? #learnfromEliudSamuelnaTxDullah,they're cool guys
@user-dq4ur9kk6h
@user-dq4ur9kk6h 13 күн бұрын
Ila watu bana Yaani mwenye msemo ni Mimi nyie mnautafutia ugali 😂😂ngoja nimcheck mwanasheria wangu 😏
@dianerditto
@dianerditto 13 күн бұрын
Em tutokee huko bwana useme wewe kitu nani akishobokee umebeba mashavu na ulimbukeni tu kwendwaa
@Stevemweusioggy
@Stevemweusioggy 12 күн бұрын
SHAFF KIUKWELI KAFELI TU ATAFUTE MENGINE IRA KWA HUU MSEMO STEVE MWEUSI NDO KAUWEKA MJINI NA SISINTUMEJUA KUPTIA STEVE PIA UMETAMBA KUPTIA STEVE 😂😂😂😂
@JoyceMartin-ex6zw
@JoyceMartin-ex6zw 11 күн бұрын
Wew NI mwiz shafii hatakama ujiteteeje Mim binafsi swez kukuelew
@LuciaMsabila
@LuciaMsabila 13 күн бұрын
Shafii muongo jmn mwizi sana huyo
@aloycesamba998
@aloycesamba998 13 күн бұрын
Huyo shafii mjinga sana,kwani we ndiyo wa kwanza kuanzisha misimo,pumbafu sana ww
@mwanaidimatanoabdarahman9135
@mwanaidimatanoabdarahman9135 13 күн бұрын
Uyo safii ikekua museum ni wake zi age-related mwapie ahaje ujinga sana kama umekauka nenda ukalale 2
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu 13 күн бұрын
We ule msemo sio wako Sema umekaa kikikee
@happynkya9770
@happynkya9770 11 күн бұрын
Shafii anaonekana mshari afu anashikilia vitu vidogo rohon kama wa kike bhna mbona kitu kidg sana,,afu sasa leonrdo kafanyiwa interview akasema msemo kwa mara ya kwanza alisikia kwa stive, ndaro huyo huyo unayesema ulimwambie leo amekwambia acha wizi, kwahyo huoni kama mnaleteana mabifu yasiyokuwa ya maana jamn
@HamadMwagoani
@HamadMwagoani 13 күн бұрын
Msemo wa wadada wakuvaa visocks na vibagi vya micky mouse ndo mnapigana wacheni ujinga
@lucasbatano333
@lucasbatano333 13 күн бұрын
We dogo huna akili unatafuta kiki
@AthumaniSelemani-o1l
@AthumaniSelemani-o1l 8 күн бұрын
Stive atqbaki kua stive tafuta msemo mwengine sisi twajua uwo ni wastive kwende media2 umbea aaa shafii acha longo longo umbea2 kuimba aaaa😂😂
@aayanmaroba6056
@aayanmaroba6056 13 күн бұрын
Afu uyo dogo ata huwa simuelewi et
@AmergoBenit
@AmergoBenit 11 күн бұрын
Muongo ata auja fika makama ulisha shindwa
@AshaRajabu-h7h
@AshaRajabu-h7h 8 күн бұрын
U a not seriously bro u can change another thing apart from aaaaah , okay wat thing for the fast song Steve nyeuc aaahaaaaaa aaaaah it was some thing special keep up u mind bro u can change some idea
@Cutterose
@Cutterose 12 күн бұрын
Wewe hauna haukuufikisha huo msemo kama Steve kulalamika tu kujituma aaaah
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 13 күн бұрын
Msemo lazina urasimishwe... Acheni ushamba fanyeni kazi mazeee watu wapate burudani
@user-zk1sc8fi5p
@user-zk1sc8fi5p 13 күн бұрын
Wewe shafi huna chochote kojoa ulale😂😂😂😂ujinga 2 muone bithwaaaaaaa kuliosha aaaaaaaah😂😂😂
@malimathegreattv9251
@malimathegreattv9251 13 күн бұрын
Shafii acha kujibebisha Tutakukataa wote kwa uongo wako Msemo ni wastev
@stamiliayubu2294
@stamiliayubu2294 13 күн бұрын
Shafii unazingua sana bana
@DjJackAfricanboy
@DjJackAfricanboy 13 күн бұрын
Kanasema uongo tyu unwell aaaahh
@chomwabonzo8811
@chomwabonzo8811 12 күн бұрын
Hawa ndio maana watu wanasema wanapumuliwa usogoni kwa vitu kama ivi vya kupuuzi aisee ndio nn sasa eti
@user-bu8nv5gf8d
@user-bu8nv5gf8d 13 күн бұрын
The last lady is smart. Anaitwa?
@oscargolden7932
@oscargolden7932 11 күн бұрын
We dogo unafeli tafuta kazi nyingne ya kufanya...we una jelous sn huwez toboa kwa staili hizo..steve kakuzidi mbali san
@AmergoBenit
@AmergoBenit 11 күн бұрын
Matako yako wa mushamba Mimi Niko Zambia niko ndugu na Steve
@Cutterose
@Cutterose 12 күн бұрын
Shafi Anazengua kwasababu huo msemo alimtania Steve ila yeye hakumuambia official kuwa ni msemo wake wa kazi Unazengua shafi kaonge ukoooo fala wewe
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 11 күн бұрын
Dada acha choyo misemo ilianzishwa mingi tu na waswahili wala hawapigani acha utoto
@biggiee1
@biggiee1 12 күн бұрын
Sasa huyu nae sio mzima sasa atakama yeye ndo alimwambia mwenzake akaona unaweza tumika kama msemo na yeye hakutaka kuutumia sasa analalamika nini.
@SultanSuleiman-qf7cx
@SultanSuleiman-qf7cx 12 күн бұрын
Hata hapo huna la kusema
@mohdkhalifa8828
@mohdkhalifa8828 13 күн бұрын
Mm nyimbo ya Ray Van ya nitatokaje nilijua wa stan bakora mana alitowa adi vdeo😂
@Forester__
@Forester__ 13 күн бұрын
Bas na ule wimbo wa Steve uliotrend ni wako?
@patriciatumain172
@patriciatumain172 8 күн бұрын
Wapi haooo wabongo wanazingua
@SabrinaSwalehy
@SabrinaSwalehy 12 күн бұрын
Acha wiv kwaiyo umeshindwa kumtafuta sehem nyingine mpaka hadhara ya watu halafu unamsitukiza mwenzio inamaana we umejiandaa kwenda kipigana acha ushamba we unamsemo misemo yote ni ya zamani
@fadhilimasud-mb9nk
@fadhilimasud-mb9nk 13 күн бұрын
jamani shafii anaakili
@adamsengo1869
@adamsengo1869 13 күн бұрын
Kusema kweli tangu stive amzungumzie ndio nimelijua jina la shafii
@user-samweli
@user-samweli 13 күн бұрын
Shafii ni msenge tu alafu hapo hawakupigana
@TarazaLove
@TarazaLove 12 күн бұрын
Huo shafi hana akili eti wanagombana kiss musemo
@ommimg2467
@ommimg2467 13 күн бұрын
Kwanza nilikuwa simjui lakin nimemuona Hana akili halafu hichi kitoto cha elfumbili bado hakijakuwa kifundishwe maisha haka
@blankoboy898
@blankoboy898 12 күн бұрын
Shafii unajiharibiya
@GbpAud_King
@GbpAud_King 12 күн бұрын
Huyu jamaa ni nani? Mi namjua steve mweusi
@user-lo6gd4tg2n
@user-lo6gd4tg2n 12 күн бұрын
Mi naona mnajiaibisha tu, mtu sio mwanao then unasema ulimtania
@ramseychobaliko1002
@ramseychobaliko1002 12 күн бұрын
Uyu msenge mm huwa hata simjui ila Steve mweusi ni anamzidi kila kitu 😂😂😂 Steve na uyo bwege anasema Steve hana ubunifu wakati kaajili watu kibao😅
@gun60jgt40
@gun60jgt40 13 күн бұрын
Naomba atafutwe Steeve aulizwe huyu Shafii muongo tu
@calebmartinz8588
@calebmartinz8588 13 күн бұрын
Hilo kiki lao halina ubunifu wakatafute baba levo na mwijaku awafunze
@ItikaGwakisa
@ItikaGwakisa 12 күн бұрын
Swali ni kwamba unafaida Gani. Msemo huo?
@hollyboyMW254
@hollyboyMW254 12 күн бұрын
Shafii ni mpumbavuu 😄😄wizi tuu kuoga aaah
@user-tw1oi4ec3n
@user-tw1oi4ec3n 13 күн бұрын
Nilianza kukufuatilia lakini nafuta hata video zako huna akili kumbe
@SultanSuleiman-qf7cx
@SultanSuleiman-qf7cx 12 күн бұрын
Haya chukuwa ww huo msemo lkn haufanani nao mishavu kama mtoto wa pka KENYA SISI TWAMJUA TU STV NDARO ,VEVO NA RINGO NA WENGINE
@user-sx3ys1gs9p
@user-sx3ys1gs9p 13 күн бұрын
Huyu yeye akachanechane madftari tu
@AbelNguluchaMasuke-oj7zy
@AbelNguluchaMasuke-oj7zy 13 күн бұрын
Shafii wewe ni brand kubwa acha ujinga maneno mmezaliwa mkayakuta
@DeborahBrown-ts2hb
@DeborahBrown-ts2hb 12 күн бұрын
Uwong tu kusema ukweli aaah
@SultanSuleiman-qf7cx
@SultanSuleiman-qf7cx 12 күн бұрын
Msemo haufanani nao yule stev n mwamba buza buza Bambucha mishavu waumia kuwa Stv n mtu mhmu Kwa watu ww huna watu kwenda
@NepporSabith
@NepporSabith 13 күн бұрын
Huyu jamaa aliona wivu ndani yake but sioni sababu yamsingi anaizungumzia au kutetea hoja yake.
@RibinByamungu
@RibinByamungu 13 күн бұрын
Musemo Niwa Steve mweusi.
@isackmbade3181
@isackmbade3181 13 күн бұрын
Bora Aliya umerud mjengoni
@user-gx1mn7ub5y
@user-gx1mn7ub5y 13 күн бұрын
Hana HAKILI huyo msenge
@user-lp6pc9dk9o
@user-lp6pc9dk9o 13 күн бұрын
Mahojiano yanaonyesha wazi jamaa kavamia mwenzie kuhusu msimo. Mara nilipo mwambia tu ghafla nikakuta kesho karuka nao, tena sikuwai kuona kama karuka Noa maana mimi si mtu wa KZfaq. Mara mimi naye si wana lakini Nika mtania tu. nilitaka nione nguvu yamsemo. Binafsi anavyo jibu maswali sipati majibu. Ndugu huyo ajitathmini kwanza
@stevenmathias1739
@stevenmathias1739 10 күн бұрын
Dgo shafii we ni mwehu tu utaka ukuze jina lako kupitia kwa stev au👉
@ronaldkimengich8958
@ronaldkimengich8958 13 күн бұрын
This people needs to be greated by gen Z
@samirsaidi8386
@samirsaidi8386 13 күн бұрын
Shaf mshamba anajikosha tu maana yeye ndie alikuwa anamfata mwenzie
@SWEMS2
@SWEMS2 13 күн бұрын
Wasafi media chunguzeni zaidi utakuja kuona shaffi yuko na akili ya kitoto..... By swems
@joebinarysignals
@joebinarysignals 11 күн бұрын
Mbona mwakatobe ndo alianza kusema umalaya tu kuoga ha ha, na kitambo tu afu mtu anakuja kusema kaanzisha mxemo
@nasramohd9924
@nasramohd9924 13 күн бұрын
Anatakiwa achukuliwe sheria huyo dogo kw kujichukukia sheria mikononi steva kesha fany kazi nyingi kali mpaka china marekn wanamjuwa huyu mim natk ashtkiwe sio mtu mzyr
Kuoga Aaah  Steve Mweusi (Official video music)
3:38
Steve Mweusi
Рет қаралды 437 М.
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 75 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 31 МЛН
Cat Corn?! 🙀 #cat #cute #catlover
00:54
Stocat
Рет қаралды 15 МЛН
LEORNADO: ALIVYO WACHANGANYA WATU MTAANI ADATA KWAKUITWA MWIZI
34:38
MARY AFICHUA TABIA YA STEVE MWEUSI, KIMEUMANA NA MREMBO HUYU
13:04
STEVE MWEUSI  APEWA TUZO YA DHAHABU NA YOUTUBE HII HAPA
5:07
Steve Mweusi
Рет қаралды 102 М.
Кого она вытащила из воды?😱
0:51
Следы времени
Рет қаралды 2,4 МЛН
tom and Jerry 😱🆕 #trending
0:23
Nemi Shorts
Рет қаралды 19 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
0:40
MrBeast
Рет қаралды 50 МЛН
She got an idea 😂😂 #shorts #viralshorts #funny #comedy
0:46
HRA CHALLENGE
Рет қаралды 9 МЛН
tom and Jerry 😱🆕 #trending
0:23
Nemi Shorts
Рет қаралды 19 МЛН