EXCLUSIVE: DAKIKA ZA MWISHO ZA GARDNER NA BABA YAKE MZAZI "ALINIAMBIA USIPANIKI USIJE KUFA"

  Рет қаралды 193,393

Millard Ayo

Millard Ayo

3 ай бұрын

Пікірлер: 352
@nurumbaraka
@nurumbaraka 3 ай бұрын
Milard, achilia mbali na kipaji ulichonacho katika tasnia yako.... Unaongozwa sana na hekima. Kabla hujatoka Kilimanjaro pitia Arusha umwambie Mama Asante kwa malezi mazuri.
@ezytradeafrica2978
@ezytradeafrica2978 3 ай бұрын
Kweli kabisa, Millard Ayo ana personality ya kutolea ndano! Poleni sana na msiba
@SaidNsyengula-rf3to
@SaidNsyengula-rf3to 3 ай бұрын
Milard ayo hongera kwa kufatilia taalifa za ukweli wewe nitofauti namedia zingine nakubali mwambaaaa
@africa7479
@africa7479 3 ай бұрын
mama yake alisha fariki
@nurumbaraka
@nurumbaraka 3 ай бұрын
@@africa7479 Oohhhhh! Sikujua. Basi akapite hata kuzuri kaburi la mama yake na kumuombea maghfila kwa Allah Insha Allah
@elizabethsenyagwa6270
@elizabethsenyagwa6270 3 ай бұрын
Poleni familia na Watanzania Mungu awape nguvu na tuendee kumuombea amen
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 3 ай бұрын
Mungu akufariji baba na wana tanga wote hasa chumbageni tutakukumbuka daima bro G
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 3 ай бұрын
Millard hongera sana, hakika umeona umuhimu wa Mzee ukaona ukamhoji wewe mwenyewe, umefamya vyema hongera na pole kwako na Mzee Habash. Mungu awape nguvu na uvumilivu.
@user-id8ys3lg5d
@user-id8ys3lg5d 3 ай бұрын
Millard yupo vzr katika mahojiano anakipaji kabisa..Pole Mzee ningumu sana kwamzazi kuondokewa na mtoto jamani hii kauli yakutaka kumsomea neno la Biblia na akawa ameshatangulia mbele ya haki..hongera kwaupendo wako kwawatoto wako ❤
@crillarlawcmo2366
@crillarlawcmo2366 3 ай бұрын
😭😭Mzee ni mwingi wa shukran ,hakika umejaa busara
@user-fz1ph3cn4s
@user-fz1ph3cn4s 3 ай бұрын
Pole sana Baba Gardner. Mungu akupe nguvu na Faraja, katika kipi di hiki kigumu.
@salimsoyo8118
@salimsoyo8118 3 ай бұрын
Mimi ni mkenya ila napenda sana kufatilia interview zako milard kwa hakika Mungu amekubariki big up sana
@leylamohamed9939
@leylamohamed9939 3 ай бұрын
MZEE ANA BUSARA SANA NA PIA MTULIVU MNO 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 HE IS SO HUMBLE.
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics 3 ай бұрын
Mahojiano mazuri yenye mengi ya kujifunza katika mapito haya ya dunia Millard ayo upo vizuri kwenye interview zako hongera sana brother 🙏.
@adamfumbo5116
@adamfumbo5116 3 ай бұрын
Millard Hongera brother Kwa mahojiano Bora sana
@eggysulle7988
@eggysulle7988 3 ай бұрын
Mwanamme analia ndani ya moyo,,,pole baba 😭😭
@DativaMbowe
@DativaMbowe 2 ай бұрын
😭😭😭
@olesterleonard9737
@olesterleonard9737 3 ай бұрын
Daah polee sana mzee wetu kwa kumpoteza mtoto wako, Mungu awatie nguvu..Polee MillardAyo
@bensonkinjofu3377
@bensonkinjofu3377 3 ай бұрын
Millard kuwa karibu na huyo mzee, inaonekana kama anafarijika sana kuwa karibu yako.
@millardayoTZA
@millardayoTZA 3 ай бұрын
sawasawa Benson
@user-mf6vv1mf6x
@user-mf6vv1mf6x 3 ай бұрын
Millard una hekima sana katka mahojiano yako mungu azidi kubariki kazi yako
@millardayoTZA
@millardayoTZA 3 ай бұрын
Amen, asante sana Ndugu yangu
@itzsnazzyjazzy472
@itzsnazzyjazzy472 3 ай бұрын
Amin Amin Amin
@allahisone6386
@allahisone6386 3 ай бұрын
​ MOR BLESSINGS 💝👐💝
@salmaramadhan2725
@salmaramadhan2725 3 ай бұрын
Baba pole sana, Millard endelea hivyo hivyo mdogo wangu uko poa sana kwenye mahojiano
@liannsambu7264
@liannsambu7264 3 ай бұрын
Hakika he is smart millad
@Afrikalove736
@Afrikalove736 3 ай бұрын
Mungu akupe nguvu mzee kwa kipindi hiki kingumu kwa kufiwa na mwanao.
@RayChausa
@RayChausa 3 ай бұрын
Ameen
@onanarosse9657
@onanarosse9657 3 ай бұрын
Pole Sana mzee wetu, Mungu awe faraja kwako na familia kwa ujumla.
@johnsondominick2089
@johnsondominick2089 3 ай бұрын
Kuna watangazaji alafu kuna wewe millard ayo aisee unajua una ekima unajua unamhoji nani unapaswa kuongea nini aisee millard mungu aendelee kukuongoza bravo bravo
@graceandrew3988
@graceandrew3988 3 ай бұрын
Gardner alikuwa very smart kama baba yake, hakika baba amepoteza jembe.R.I.P bro Gardner
@user-jd6vr9xw1o
@user-jd6vr9xw1o 3 ай бұрын
Pole sana Mzee , Allah akutie nguvu inshallah
@hopegwimile53
@hopegwimile53 3 ай бұрын
Hakika umaruufu wa Gardner umetoka kwa Malezi bora kabisa ya Mzee Habash.Jambo la kujifunza sana familia zingine.Busara,Utulivu,upendo kwa watu haina nunuliwi. Mungu akubariki na akutunze Mzee Habash na familia yako. Asante sana Millard tulijiuliza Captain Wazazi wako wapi??Umetupa jibu..Milard barikiwa unaupeo mkubwa katika.kazi yako.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 ай бұрын
Dah aisee Baba yuko vizuri sana Busara na hekima zimejaa,Pole sana baba Mungu awape faraja 🙏
@barikimoshi4443
@barikimoshi4443 3 ай бұрын
Huyu mzee is very smart minded. Pole Sana baba, Mungu akutie nguvu. I wish ningekua Marangu nyumbani hapo tarakea ningekuja hata kwa bike.👏
@DativaMbowe
@DativaMbowe 2 ай бұрын
😭😭😭
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 3 ай бұрын
Pole sana Baba Mungu akutie nguvu Hongera sana Millardy kwa hekima uliyonayo una busara sana mshukuru Mungu kwa Neema hiyo aliyokupa Mungu Ubarikiwe
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 3 ай бұрын
Masikini huyu baba mungu alimjaalia kumpa mtoto mwema Gardner kupata Radhia ya Baba yake Baba akifurahi na akamsifu mtoto wake huyo mtoto mungu atampata fungu lake inshaallah
@Zubaiba
@Zubaiba 3 ай бұрын
Pole sana mzee wng,mungu akufanyie wepesi ktk kipindi hichi cha majonzi
@romanilyimo
@romanilyimo 3 ай бұрын
Pole sana mzee wangu na wajina wa baba yng mzazi mzee gabriel Mwenyenzi Mungu awape faraja ktk kipindi hiki kigumu. Amina
@editorfrank7471
@editorfrank7471 3 ай бұрын
Aron aliwah kufanya kazi PIL namkumbuka sana hii familia wana moyo mzur mno Mungu amlaze mahali pema peponi
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 3 ай бұрын
dah mzee yuko smart sana pole baba ndio maisha kila mtu hajui ataondoka lini duniani tunapita2 mungu amueke mahala pema peponi
@rehemamahendeka-rm2ek
@rehemamahendeka-rm2ek 3 ай бұрын
Pole Mzee Gabriel Habash,nimeguswa mno na maongezi yako,cpati mfano wa cmanzi/mayonzi ulonayo,Mungu wa huruma azidi kukutia nguvu/subra hili unalopitia,hakika Mola kazi yake HAINA MAKOSA,Pole Mzee Gabriel/familia yote + wana hbr nyote,hii ni njia yetu sote.POLENI MNO.
@ngamugamahonzelosanga3316
@ngamugamahonzelosanga3316 3 ай бұрын
Pole sana mzee inaumiza sana watoto wanatangulia badala ya kutuzika wazee! Mwenyezi Mungu awafariji na awape nguvu za kukubali hali iliyotokea. R.I.P Gadner😭
@user-qe3fs1xc3b
@user-qe3fs1xc3b 3 ай бұрын
Pole Sana baba Kazi ya mungu haina makosa. Sote njia yetu nimeona yy ametangulia na sisi tuanfatia.
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n 3 ай бұрын
ASILIMIA KUBWA YA VIJANA WAKIUME, PESA ZAO NGUMU SANA KUTUNZA WAZAZ. ILA KWA MADEM HAWAJAMBO. MJIFUNZEEE HAPA, BABA GARDNER ALKUA HAOMBI PESA HUTUMIWA TU. RIP CAPTAIN. ❤❤❤SISI WAKIKE HODARI KUTUNZA WAZAZI
@allyabdallah4641
@allyabdallah4641 3 ай бұрын
Pole mzee wetu sote njianimoja wete niwakupitatu apa duniani
@MonickaMkasi
@MonickaMkasi 3 ай бұрын
Milliard you are on time,and you bring the best exclusive
@josephatjoseph1755
@josephatjoseph1755 3 ай бұрын
Hospital kuna mambo mengi ya siri ukipewa macho ya rohon ndo maana wengine hali zinakuwa mbaya zaid wakifika hospital
@Clex-f5s
@Clex-f5s 3 ай бұрын
Yapi mkuu
@madamfarajakigula8423
@madamfarajakigula8423 3 ай бұрын
Ni kweli kabisa
@FelistersMejumaa-xi2ge
@FelistersMejumaa-xi2ge 3 ай бұрын
Pole sana babuu Allah akufanyie wepesi sana 😢😢
@Rojajaynor
@Rojajaynor 3 ай бұрын
pole sana mzee wetu mungu azidi kukupa hekima na akupe umri zaidi
@pmpaga1063
@pmpaga1063 3 ай бұрын
Pole sana kwa familia, pole sana mzee wetu Mungu awatie nguvu katika hili mnalolipitia!!
@agnessntiburella8816
@agnessntiburella8816 3 ай бұрын
Mwenyezi Mungu awatie nguvu familia nzima na sisi wote ,kikubwa tuendelee kumuombea, na hongera Milad ayo kwa upendo ulionao,na hekima wewe ni mtu muhim sana kazi yako unaipenda na una wito
@happinesspessa9390
@happinesspessa9390 3 ай бұрын
Pole Sana Mzee Habadh Mungu akutie nguvu
@brendashao36
@brendashao36 3 ай бұрын
Pole sana mzee wetu mwenyezi mungu awe faraja kwenu. Tunawaombea
@lucasshirima2880
@lucasshirima2880 3 ай бұрын
Pole sana Baba...neno lako kwamba alikuwa amevimba ukawa unamkanda ...ni wazi presha ilimpeleka kuwa na tatizo la figo...Ndugu zangu Presha ni Janga kubwa tuzingatie na tuwe na Nidhamu kwa taratibu za mazingatio ya wataalam...
@MathiasLyimo
@MathiasLyimo 3 ай бұрын
Millard unabusara sana mungu akubariki
@janehenry1730
@janehenry1730 3 ай бұрын
Daah! pole sana baba na familia Mungu Roho Mtakatifu akawe faraja kwenu nyote.
@kanaelikanuya7919
@kanaelikanuya7919 3 ай бұрын
Pole sana mzee na familia milad pole sana hongera sana kwa mahojiano yako wakati wote mungu akuze kipaji chako mara dufu
@HappyMbise-fb3mc
@HappyMbise-fb3mc 3 ай бұрын
Millard una hekima brow mungu akuimarishe zaidi
@mariamalongo8803
@mariamalongo8803 3 ай бұрын
Pole baba , kazi ya mungu haina makosa. Mwenyezi mungu akupe nguvu.
@jasminmdimi6059
@jasminmdimi6059 3 ай бұрын
Pole sana baba mwenyezi mungu awatie nguvu muweze kumpumzisha katika nyumba yake ya milele🙏🙏🙏
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 ай бұрын
Baba ana Imani safi sana Mungu mwema
@AminaAminatamimAminaAminatamim
@AminaAminatamimAminaAminatamim 3 ай бұрын
Mzee amejaa na Hekima na Busara
@Mselem-dx6to
@Mselem-dx6to 3 ай бұрын
Asilimia 90 watu watanga weng sn wan hekima san kweny kuzungumsha ata kam ujazaliwa tang lkn ukiishi t tang zaid ya miaka10 unabadilikq kila kitu fatilia wat wako wa karibu tang mkuu
@millardayoTZA
@millardayoTZA 3 ай бұрын
kweli kabisa 100%
@mrsmumewangu4907
@mrsmumewangu4907 3 ай бұрын
​@@Mselem-dx6tohekima na ustaarabu ni hurka yamtu sio kabira acha kudanganya
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
​@@Mselem-dx6to habashi ni wachaga wa rombo tanga alienda kikazi ndio kafanya makazi, sio watu watanga
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
​@@mrsmumewangu4907kwanza sio watu wa tanga , alienda kikazi ndio kafanya makazi hao ni wachaga wa rombo
@otarurosie
@otarurosie 3 ай бұрын
Mungu mtunze Baba yetu. Hongera Milard.
@rehemaobbasy8409
@rehemaobbasy8409 3 ай бұрын
Hekima kubwa sana, Mungu akutunze Baba yangu na akutie nguvu sana
@hashilijuma1331
@hashilijuma1331 3 ай бұрын
Good talented Millard ayo 💯🙏🏻
@yasinimalya4001
@yasinimalya4001 3 ай бұрын
Milard kazi nzuri sana Brother!
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 3 ай бұрын
Huyo babu nimempenda bure jamani 😊 pole babu kwa kumpoteza mwanao MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI AMINA
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 3 ай бұрын
Pole sana Kakangu GABRIEL pole saana . MUNGU akupe NGUVU ya ziada.
@JesuinaBabili
@JesuinaBabili 3 ай бұрын
Big up @MillardAyo upo njema sana
@MonicaTemba
@MonicaTemba 3 ай бұрын
Pole sana baba. Mungu awe faraja kwenu.
@graceandrew3988
@graceandrew3988 3 ай бұрын
Millard Ayo wewe ni kipaji cha Taifa kwa tasnia hii ya Habari una hekima na utulivu wa hali ya juu,natamani vijana wengi wa Tanzania na EAST AFRICA waige mfano wako..keep the fire 🔥 burning
@khatijahayoub2105
@khatijahayoub2105 3 ай бұрын
Pole sana mzee.MUNGU akutie nguvu zaidi na zaidi
@allymganga3223
@allymganga3223 3 ай бұрын
Pole sana mzee wetu mungu akutie nguvu katika kipindi iki kigumu mungu amreem mpendwa wetu
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 3 ай бұрын
Pole sana baba tunajuwa wote kufiwa usikie tuu Kwa mwenzako kama tunavyosema .baba umeumea zaid.mungu amempenda Zaid .pole sana baba mungu akupe nguvu Zaid yetu🙏🙏🙏
@subirajohn728
@subirajohn728 3 ай бұрын
Pole Sana Baba Mzee Habash! Mwenyezimungu akutie nguvu!
@anandemungure2500
@anandemungure2500 3 ай бұрын
Big up home boy. Be blessed abundantly Ayo
@millardayoTZA
@millardayoTZA 3 ай бұрын
Amen Anande, nashkuru sana Homeboy
@anandemungure2500
@anandemungure2500 3 ай бұрын
I am humbled brother. Your sizy from Ar. Stay healthy. Kazi nzuri 😘🙏
@BerthaRaymond-qv2zn
@BerthaRaymond-qv2zn 3 ай бұрын
Sina experience na tasinia ya habari lakini najifunza sanaaa kutoka kwako,Hongera kwa hili Broo lakini Mungu akutie nguvu zaidi kwenye kipindi hiki kigumu uwepo kwa Mzee Habash ni muhimu zaidi kwa kipindi hiki barikiwa sanaa Kaka
@reginaedward4883
@reginaedward4883 3 ай бұрын
Pole sana babangu mwenyezi mungu akupe subira na nguvu
@user-pe1qv1sn5p
@user-pe1qv1sn5p 3 ай бұрын
mzee mwenye hekma na busara masha Allah mungu akupe subra na imani
@robertlary6007
@robertlary6007 3 ай бұрын
Pole sana mzee Habash, Mungu azidi kukutia nguvu. R.I.P Captain Gardner 😥
@user-wc3hn4kt1x
@user-wc3hn4kt1x 3 ай бұрын
Aisee Bro Millard jomba unajua kuhoji vizuri. Wewe ni Professor kwenye Mahojiano. Umewaacha mbalii wengine. Na Baba(Mzee) ameongea vizuri na kueleweka. Pole kwa Mzee naPoleni Clouds..
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 ай бұрын
Tunashukuru sana Milard Ayo kwa kutupa habari🙏
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 3 ай бұрын
Duh mzee bado yuko vizuri sana...
@hidaya95james53
@hidaya95james53 3 ай бұрын
Inauma Sanaa mzazi kumzika mtoto wake..Mungu akupe nguvu Baba🙏
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 3 ай бұрын
Niseme tu nilidhani Gardena ni mhaya.sikujua kama mchaga kabisa.Mungu akupumzishe kaka yangu.Pole saana baba yangu.Kila mmoja na safari yake baba yangu.
@judyngowi391
@judyngowi391 3 ай бұрын
Wa Rombo tena, Tarakea kwetu kule
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
​@@judyngowi391malizia lokoro kikelelwa
@judyngowi391
@judyngowi391 3 ай бұрын
@@MiriamAbdallah huko huko shost
@stellaukovizurimtanku2744
@stellaukovizurimtanku2744 3 ай бұрын
Poleni sana babaangu mungu ndie mwamwuzi wetu sisi si lolote tuendelee kumwombea
@maryobedi6807
@maryobedi6807 3 ай бұрын
Pole sana baba Mungu akawe faraja yako
@umaima1178
@umaima1178 3 ай бұрын
Pole Sana baba. Mungu akupe nguvu
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 3 ай бұрын
Pole sana Baba, Mungu pekee akupe faraja 🙏
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 3 ай бұрын
Pole Baba ndo duniani kazi ya mungu haina makosa mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema inshaallah
@caritasmushi8896
@caritasmushi8896 3 ай бұрын
Kusema ukweli Baba anajibu maswali vizuri sana na Millard naye maswali yanafaa kwa mfiwa. Mungu awabariki na poleni kwa msiba.
@user-rx7te2px5d
@user-rx7te2px5d 3 ай бұрын
Mungu anatupenda sana nasi tuendelee kupendana kama yeye alivyotupenda...na Mungu ndivyo atakavyotukuzwa ndani yetu.
@user-lh4bb8mm8w
@user-lh4bb8mm8w 3 ай бұрын
Poleni kwa msiba Allah ametoa Allah ametwaa ... Innalilah waina ilaih rajiun....Millard Ayo napenda sana habari zako,,shabiki wako kutokea kenya
@zubedamagambo8139
@zubedamagambo8139 3 ай бұрын
Pole sn baba, Mungu akutie nguvu.
@mwanahamisinyenzi-vo6mj
@mwanahamisinyenzi-vo6mj 3 ай бұрын
Milard mungu akubariki Kwa mahojiano yako mazuri na Kwa utulivu, watangazaji wengine eti unamuuliza Mzazi msiba huu umekuumizaje kweli
@sabablonde9189
@sabablonde9189 3 ай бұрын
Pole sana Mzee. Kifo kisikie kwa mwenzako, that's true!!!
@MaryMmole-en9qz
@MaryMmole-en9qz 3 ай бұрын
Dah pole mzee unaumia sana
@avinrwegasira3448
@avinrwegasira3448 3 ай бұрын
Pole sana
@Msafirifimbo
@Msafirifimbo 3 ай бұрын
Duh pole sana mzee mungu akutie nguvu katika kipind kigumu
@tricemollel6739
@tricemollel6739 3 ай бұрын
Millard congratulations🎉 unsijua kazi yako babaaaa❤❤❤❤
@user-ir3ne3by3n
@user-ir3ne3by3n 3 ай бұрын
Pole sana baba etu tunaona vile unajikaza kujibu maswali kwa uchungu kaka Millad asante kwa kuwa katika sehemu ya watu wenye kujua kuuliza maswali ya msingi
@momylaviel
@momylaviel 3 ай бұрын
Inauma sana mzazi kumzika mtoto
@ruthhamisi2902
@ruthhamisi2902 3 ай бұрын
Sana
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 3 ай бұрын
Pole sana baba 💔
@Paplick9
@Paplick9 3 ай бұрын
Rest in peace captain 😭
@user-uu1nx8lj7f
@user-uu1nx8lj7f 3 ай бұрын
Poleni Sana family, MUNGU mwema Sana,daima ntamkumbka kipnd cha jahazi pia alimpenda Sana baby malkia careen
@albanombunju902
@albanombunju902 3 ай бұрын
Daaah😭😭😭😭 Kipo kitu kikubwa mno nimejifunza kupitia nahojiano na mzee na maneni yake. Gadner sio mtu wa kumuomba kitu nilikuwa nashtukia tu amefanya kitu kwenye simu😭😭😭 Huu ndio utu unapaswa kuwa nao kwa watu wetu wa karibu zaidi wazazi,kuna muda unaombwa kumbe huna,tutoe pale tunahisi uhitaji wa mzazi. R.I.P Gardner mbele yako nyuma yetu.
@halimaallyazizi4443
@halimaallyazizi4443 3 ай бұрын
Mungu akutie nguvu mzee wangu amen
@dianangailo9878
@dianangailo9878 3 ай бұрын
Mungu akupe faraja Baba , pole Sana
@billgussy6099
@billgussy6099 3 ай бұрын
Inasikitisha watangazaji wote anaonwataja mzee walio kuwa Clouds wamefariki akina Amina Chifupa, Efrem Kibonde na Boss wao Ruge na sasa huyu Gadner Mungu awaweke mahala pema.
@user-up2kg1wm9p
@user-up2kg1wm9p 3 ай бұрын
Polee Sanaa baba msibamzito. Mungu atakupangu baba
@graceandrew3988
@graceandrew3988 3 ай бұрын
Pole sana baba kwa msiba wa mwanao,Mungu akutie nguvu
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 3 ай бұрын
Mungu akupe nguvu Baba kwenye kipindi kingumu Sana kwa kuondokewa na GADNA
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 3 ай бұрын
Pole sana baba😢😢😢
@DonaldMshani
@DonaldMshani 3 ай бұрын
Pole sanaa mzee
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,3 МЛН
Mkasi - S02E03 with Steven Kanumba
26:51
MkasiTV
Рет қаралды 1,3 МЛН
Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
28:27
YahStoneTown
Рет қаралды 549 М.
SIRI YA MAKONDA NA UONGOZI WAKE ARUSHA, SABABU YA WATU KUMTAKA
12:38
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН