EXCLUSIVE: HUYU NDIO PRODUCER MIKKA MWAMBA

  Рет қаралды 156,908

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

Kama muziki unaoupenda ni Bongofleva na umekua ukiufatilia toka kitambo, jina la Mikka Mwamba halitakua geni kwako sababu ni Producer Hodari ambae mikono yake ilihusika kuzisuka Hits kama 'Barua' ya Daz Nundaz, 'Salome' ya Dully Sykes, Album ya kwanza ya Saida Karoli, Elimu mitaani ya D Knob na nyingine nyingi.
Ni wengi hawakua wanafahamu kwamba Mikka sio raia wa Tanzania au ni 'mtasha' na hiyo yote ni kwasababu aliamua toka kitambo asionekane kwenye Media wala kupigwa picha lakini leo amekubali kukaa kwenye ON AIR WITH MILLARD AYO.
Jina lake la kuzaliwa ni Mikka Kari ambapo hilo Kari kwa nyumbani kwao Finland linamaanisha 'mwamba wa baharini'

Пікірлер
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 29 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 65 МЛН
Mkasi - SO8E11 With D Knob
28:16
MkasiTV
Рет қаралды 38 М.
KARMA AT SCHOOL 🏫 Stop time
0:32
dednahype
Рет қаралды 51 МЛН
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
0:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
Они так быстро убрались!
1:00
Аришнев
Рет қаралды 2 МЛН