THE CLASSIC SUGU EP 1:MIAKA 30 YA GAME /BEEF NA KWANZA UNIT/KUHARIBU ZAWADI MBELE YA MKUU WA MKOA

  Рет қаралды 20,409

KuviFacts

KuviFacts

Жыл бұрын

Kama hukuwahi kuona The classic na Sugu ambayo ilfanyika mwaka jana sasa ,tumekuwekea hapa ambapo Sug anaelezea alivyoanza game ya rap miaka 30 iliopita,katika episode hii Sugu ameelezea ugumu alioupata katika miaka hiyo na jinsi ambavyo aliwez kushinda vizingiti vikubwa katika safari yake mpaka sasa
#theclassic #sugu #jongwe #kuvifacts #trending #popular #podcast #bongoflava #kuvichaka

Пікірлер: 47
@TeamSelekta
@TeamSelekta 18 күн бұрын
Mrudie hii
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 Жыл бұрын
Gego Masta Repping UNJU BIN UNUQ
@kingnebuchadnezar
@kingnebuchadnezar 7 ай бұрын
Ifike mahala watu wampe sugu maua yake, sio mpaka aondoke, daily watu wanataja, dogo hashimu,profesa jay etc sikatai kwamba hawa watu ni hatari na ni tunawasheshimu sana ila SUGU ndio engineer wa hip hop halisi, mwanaharakati
@thehunter5920
@thehunter5920 4 ай бұрын
Kwanza unit ndiyo waanzilishi,hata Sugu mwenyewe anakiri hapo
@kingnebuchadnezar
@kingnebuchadnezar 4 ай бұрын
@@thehunter5920 mwanaharakati, kupigania haki, toka enzi za wamachinga, sugu hakua wa kwanza hata kwanza unit hawakuwa wa kwanza, ila wote wapo kwenye kizaz cha kwanza cha hip hop ya bongo, ila sugu alikua tofauti kabisa
@thehunter5920
@thehunter5920 4 ай бұрын
@@kingnebuchadnezar wa kwanza walikuwa kina nani sasa,nataka niwajue
@kingnebuchadnezar
@kingnebuchadnezar 4 ай бұрын
@@thehunter5920 kuna mtu alikua anaitwa salehe jabir, alianzia kwa kubadiliaha nyimbo za kizungu na kuzichana kibongo, ila hao wote kina salehe, sugu, kwanza unit, kina KR wa temeke GwM, kina sygon wote watu wa mwanzo, yani kila kona kulikua na watu wameshaanza kuchana. Kizaz cha pili ndio kina proff jay, juma nature, jay mo, mwana fa,
@fadmwangosi1007
@fadmwangosi1007 Жыл бұрын
Mbona haijaisha wazee,tuwekeeni muendelezooo
@eliudntabusi9712
@eliudntabusi9712 6 ай бұрын
Hakuna kubisha SUGU kubws laoooo!!!
@phinaphina3201
@phinaphina3201 11 ай бұрын
Sugu number 1 MC in Tanzania
@kazimilykulwa2516
@kazimilykulwa2516 7 ай бұрын
Kuna jamaa wanaitwa kwanza unity noma mzee na hao ndo wameanzisha mziki wa kufoka foka watu wazima sasa hatari sana
@Bumutz-po2df
@Bumutz-po2df 7 ай бұрын
Sugu ni Tupac Shakur wa Bongo 🔥🔥 much respect kaka jongwe
@lowkeybongo
@lowkeybongo 11 ай бұрын
Hakuna kama Sugu hapa Bongo
@vuvuzelajordankhasindu2963
@vuvuzelajordankhasindu2963 4 ай бұрын
Kuvifacts, am proud of you brother. Thanks for these Interviews. Peace.
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 Жыл бұрын
Raha Sana kumskiza sugu ,namwelewa sana anko sugu
@johnmwandu2116
@johnmwandu2116 Жыл бұрын
Bora nibaki na respect kuliko kuondoka na redio😂😂😂😂, Jongweee😅😅🙌🙌
@user-ti7nf4jc8g
@user-ti7nf4jc8g 4 ай бұрын
Kaka mkubwa jongwe toeni ngoma moja na Mwana Fa itakuwa 🔥🔥🔥
@castroydaimon3107
@castroydaimon3107 Жыл бұрын
Nakukubali Sugu Mkali
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 7 ай бұрын
Uyu jamaa ndio anajuwa interview na wasanii
@simas.a1003
@simas.a1003 Жыл бұрын
Sugu moto chini. Hatareeiii, nawakubali sana myamba EFM. Afu Tunamsubiri kwa hamu sana Jacob Makala a.k.a JCB😂😂😂👏👏🙌🙌🙌
@bensonjohn9633
@bensonjohn9633 Жыл бұрын
Mbeya Nchi,Sugu Raisi 😂😂😂
@vuvuzelajordankhasindu2963
@vuvuzelajordankhasindu2963 4 ай бұрын
Good vibez kabisa. Peace.
@castroydaimon3107
@castroydaimon3107 Жыл бұрын
Sugu moto chini
@twahangamba3082
@twahangamba3082 4 ай бұрын
Legend💪
@robartifabiani
@robartifabiani Жыл бұрын
Noma sana
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 Жыл бұрын
LEGEND🔥🔥🔥🔥
@mombamo5
@mombamo5 Жыл бұрын
💥💥Show Kal
@ngaukamaita3979
@ngaukamaita3979 10 ай бұрын
Interesting Sugu
@hameesnassoro7158
@hameesnassoro7158 Жыл бұрын
The meaning of real nigga...!!! Sugu moto chini..!! Wanamuita nani? Sugu. Hahaha Bro kuvi fanya km kuwe na muendelezo hv Taita bado hajamaliza story
@RichardCossan-rk1ub
@RichardCossan-rk1ub Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥sugu
@Abuukhatibu
@Abuukhatibu 5 ай бұрын
😂😂😂sugu 🙌
@isakangogo3636
@isakangogo3636 4 ай бұрын
Part 2 naitafuta sijaona
@issaabeid1215
@issaabeid1215 Жыл бұрын
Gego the master.... nakuona kwa mbali.😀
@muddyville
@muddyville 9 ай бұрын
Mwanangu Ice Cube 😂
@vuvuzelajordankhasindu2963
@vuvuzelajordankhasindu2963 4 ай бұрын
Kindly bring Mr. Nice pia kwa studio. Peace.
@KuviFacts
@KuviFacts 4 ай бұрын
Tazama nyuma hapo amekuja miezi miwili iliopita mkuu
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 5 ай бұрын
Ndo maana kumbe umekuwa ukifanikiwa sana
@maicgado58
@maicgado58 Жыл бұрын
Sugu
@raphaelmheta
@raphaelmheta Жыл бұрын
Jongwe
@user-kc3ux2oz8m
@user-kc3ux2oz8m Жыл бұрын
Mtata
@ayoubbilali1050
@ayoubbilali1050 Жыл бұрын
mfalme wa rhymes anatakiwe aje apo
@jiwefurniture1128
@jiwefurniture1128 Жыл бұрын
Sugu mtu makini
@bongeone
@bongeone 7 ай бұрын
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
HE IS NOT FAKER
@zombazezu
@zombazezu 7 ай бұрын
Noma sana
@pascalgodfrey686
@pascalgodfrey686 8 ай бұрын
Jongwe
@abbyjma7355
@abbyjma7355 2 ай бұрын
Sugu
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 56 МЛН
Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1
32:38
YahStoneTown
Рет қаралды 110 М.
Mkasi - SO5E04 With Sugu
29:30
MkasiTV
Рет қаралды 156 М.