No video

EXCLUSIVE ; KIBOKO YA WACHAWI AFUNGUKA KULAZIMISHA WAUMINI KUTOA SADAKA "HATA KIDOGO WANYANG'ANYENI"

  Рет қаралды 30,509

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZfaq : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Пікірлер: 136
@neemanziku5403
@neemanziku5403 21 күн бұрын
Kazi ya Mungu kwann uwatoze pesa jmn ww huna wito
@EmmanuelTate
@EmmanuelTate Ай бұрын
Watu wa mungu tuwe makini sana maandiko yameshaa tuambia manabii kama Hawo watakuja wenye macho ya kiroho tumeshaa juwa nini kinaendelea
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia 21 күн бұрын
Hilo jicho ulilitolea wapi wewe
@mwakiosalim2914
@mwakiosalim2914 Ай бұрын
Mtangazaji nmekukubali sana maswali yako n mazuri...ila mlengwa anajua sana kuiepuka😂😂😂
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 Ай бұрын
Wewe siyo nabii bali mganga wa kienyeji.
@zakariamwamburi-7940
@zakariamwamburi-7940 20 күн бұрын
My spiritual father watching from kenya u're right
@user-pt1sc4hc1k
@user-pt1sc4hc1k Ай бұрын
Mungu turehemu ktk nyakati hizi mbaya
@ErnestLule-z7t
@ErnestLule-z7t 18 күн бұрын
Wapige pesa sana mtumishi si hawajaamua kutii kweli ya neno ukiwa nje ya Yesu utataabika sana
@shabanimbega40
@shabanimbega40 29 күн бұрын
Nashangaa serikali inamuacha huyu mkongo mpaka Sasa badala kumkamata
@devisshirima6780
@devisshirima6780 Ай бұрын
Muda huongea, wakati ukuta. Hata saa mbovu huwa inasema ukweli mara mbili kwa siku !! Hata maandiko yanasema katika (Mathayo 24 : 35, Marko 13 : 31, na Luka 21 : 33 [Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe] !! Kumbuka wakati, walikuja wengi na mambo yao wakapita, watakuja na wengine na wao watapita, siku zote focus yako imtazame Mungu na sio mwanadamu awaye yeyote !! Kila mwanadamu anao uwezo wa kutenda muujiza wowote ule sharti kuu ishi maisha ambayo yanampendeza Mungu, tii sheria zake hakika utakuwa na uwezo wa ajabu !! Mbarikiwe sana
@nurdinmvellah4032
@nurdinmvellah4032 29 күн бұрын
Barikiwa Sana mtumishi, watu wang wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, jihadharini na manabii wa uongo, . Mungu aliliona hili ndo maana alitoa msisitizo mapema.
@nurdinmvellah4032
@nurdinmvellah4032 29 күн бұрын
Injili imeingiliwa, shuka mungu kwenye ufahamu wa kondoo wako😢
@julianusjameskimodoi4186
@julianusjameskimodoi4186 22 күн бұрын
Ww ni mwizi kwenda kwenu Congo hacha kuibia watanzania
@samweli7985
@samweli7985 Ай бұрын
Kunawatu wanapenda umaskini sana
@neemamwanga5447
@neemamwanga5447 Ай бұрын
Mungu naomba pesa mengi nitoe kuwasaidia wanao ongea ongea hawana hela naomba mungu nisaidie pesa nyingi na mimi
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es Ай бұрын
Ni kweli kazi ya Mungu ni garama.Watu hua wanapoenda kwa waganga wanatoa garama nyingi sana. Hivyo ni vyema kuthamini huduma za watumishi wa Mungu .
@ramadhanimsangi9515
@ramadhanimsangi9515 Ай бұрын
Tapeli huyooo
@justinendizeye714
@justinendizeye714 Ай бұрын
Amen baba
@edwinelias8554
@edwinelias8554 Ай бұрын
Nimecheka sana majibu ya Nabii kiboko ya wachawi nimecheka sanaa😝😝😝
@user-zs7eq8up5s
@user-zs7eq8up5s Ай бұрын
Huyu jamaa ana kipaji cha utangazaji aisee huyu dominic
@RachelEmmanuel-r4p
@RachelEmmanuel-r4p Ай бұрын
Huyo ni tapeli jamani kimbieni mnapotea
@rahabmausli4183
@rahabmausli4183 Ай бұрын
Nikweli Anafanya Business Aseme ukweli
@Nipe9
@Nipe9 Ай бұрын
Huyo ni mpiga dili
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 Ай бұрын
Huyu sio mtumishi wa Mungu ni agent wa shetani
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 Ай бұрын
Hizi ni nyakati za mwisho YESU KRISTO yuko malangoni TUJITAKASE TUJIANDAYE TUWE macho wateule
@wilsonchallange4420
@wilsonchallange4420 Ай бұрын
Good Job Mgosi, Kussaga. Umeuliza maswali mazuri sana.!
@enocksamwel2761
@enocksamwel2761 Ай бұрын
nani tuende tukaanguke😅😅😅
@WilleMtei
@WilleMtei Ай бұрын
Watu amkeni ohooo
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Ай бұрын
Kumbe wachawi wamekufa Arusha? Ndio alienda kuwazika
@shabanimbega40
@shabanimbega40 29 күн бұрын
Huyu mkongo ni tapeli na mganga wa kienyeji
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 15 күн бұрын
Huyo ji Muhuni na ni Magic
@Perfect-migomigo
@Perfect-migomigo 23 күн бұрын
Uyo jama ni shetani
@NathanMwakabana-dt9xq
@NathanMwakabana-dt9xq Ай бұрын
Hahahaha hahahaha ufafanuzi wa maandiko hayo aisee ni hatariii...
@enocksamwel2761
@enocksamwel2761 Ай бұрын
huyu jamaaa hapana😂
@yohanamorisi9027
@yohanamorisi9027 Ай бұрын
😂😂zingatia neno WANAOTAKA kuanguka wanaanguka na wasiotaka hawaanguki
@Missionary_work
@Missionary_work Ай бұрын
Ivi Yesu alitoza Zakayo Pesa. Wewe bwana TAPELI.
@engelbertnjau1622
@engelbertnjau1622 Ай бұрын
Ziki nyingi mno kwa watu hawatakikufanya kazi wanataka hela raisi acha wapigwe 😂😂😂😂😂😂
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Ай бұрын
😂😂 Wajinga ndowaliwao mnapigwa sana aisee
@user-gm4qi3nn9n
@user-gm4qi3nn9n Ай бұрын
Imani yako ndo inakuponya au kukupoteza kila mtu afanye yake zaidi bila uchawi tungefanikiwa sana acha awauwe hata atumie ushirikina hayatuhusu
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 Ай бұрын
ujue wengi wanapenda uhojiwe.ili tu wackie umesema nn ili wapate kujirecod na kukushambulia kwa maneno mabaya...lkn cmama imara MUNGU yupo pamoja na ww
@Ajijji12
@Ajijji12 13 күн бұрын
Serikali isimrudishe huyu tapeli aende kwa kagame
@neemamwanga5447
@neemamwanga5447 Ай бұрын
Sina hela ningekuwa nayo ningekupa milioni 20,000 na watanzania wakue hakuna bure kila kinahitaji gharama km hawawezi kutoa pesa wapite hivi hakuna bure jamani maisha imebadilika Kila kitu pesa
@RehemaStannley
@RehemaStannley 20 күн бұрын
Mm smeumia jaman
@JohnKitinyagamuga
@JohnKitinyagamuga 16 күн бұрын
🎉❤😮
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Ай бұрын
Mmmmmmm tuombe Muñgu atupe masikio na maamzi ya tohoni
@imakulathasimon
@imakulathasimon Ай бұрын
Hahaha halafu wewe kusaga unacho kitafuta utakipata
@AshoreAa
@AshoreAa 7 күн бұрын
Kafanikisha arusha jaman arudi
@AlfaniMohammed-zk1hn
@AlfaniMohammed-zk1hn Ай бұрын
Huyu jamaa niajent wa ibrsii hafai kuwa mtumshi
@ImanNjogolo
@ImanNjogolo 11 күн бұрын
Anaongea kama mtu wa vigengeni.duh.toka apo
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Ай бұрын
Kukutsna eden garden njiro saa 12 jioni, mbona ni usiku Sana. Wattu wanatoka mbali na usafiri ni wa shida pia. Basi tu tuombee wala usituache, mwenyenzi mungu akuongoze unionekanie mtumishi.
@Gamba177
@Gamba177 Ай бұрын
Subhaannallah huyu mshirikina na muongo anawatapeli hao wajinga wasiyoenda shule keshawaona Watanzania wengi ni mijinga sana, na ogopeni na hawa WaCongo ni matapeli sana.
@bulengedimathias6756
@bulengedimathias6756 23 күн бұрын
Mtumishi hajui pesa za Zakayo zilikoenda. sasa ujue zilipoenda tena kwa hiari yake baada ya kuamua kumfuata Yesu. Luka 19:8-10 8 Zakayo akasimama, akamwambia Bwana, Tazama, Bwana, nusu ya mali yangu nawapa maskini, na ikiwa nimenyang'anya mtu kitu kwa hila namrudishia mara nne. 9 Yesu akamwambia, Leo wokovu umefika nyumbani humu, kwa sababu huyu naye ni mwana wa Ibrahimu. 10 Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.
@user-su3zd6mz6d
@user-su3zd6mz6d Ай бұрын
Huyu jamaa nimempenda leo aseee ana ukomedi ndani yake
@alhabibsudi7997
@alhabibsudi7997 Ай бұрын
Safi sana naomba waibie majuha hayo piga pesa MUcongo ile Mutu ya Pesa 😂😂😂
@GraceKazi-z8d
@GraceKazi-z8d Ай бұрын
Amen
@WiliamMatondo
@WiliamMatondo Ай бұрын
Mhh wajinga ndio waliwao
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 Ай бұрын
Yeye mwenyewe mchawi yeye ni kiboko ya wachawi wenzake Tunawatuma Malaika wazvuruge hiyo mipango yako yote ya KICHWANI wewe mwenyewe ni mchawi wewe mwenyewe mchawi
@leonarddamian
@leonarddamian Ай бұрын
Huyu ni tapeli,mimi yalinikuta.
@KAHINDITV
@KAHINDITV Ай бұрын
😢😢😢😢😢pole sana wengi wanalia kutapeliwa na huyu baba kuna mama alitoa lak5 ili kumuona kufika huko hakuna unabii wwt kamuuliza shida yake nn kisha akamuambia toa lak7 nikuombee😢 bora na huyo mwingine katoa lak5 na hata kumuona hajamuona ​@@leonarddamian
@zabibusaidi1404
@zabibusaidi1404 20 күн бұрын
Hizo ni ctori lkn angetoa huduma bure mngewezaje kumjua kwa televison kwa radios utubu muwe mnafikiria
@samniza1763
@samniza1763 16 күн бұрын
He is arrogant and apeleke arrogance yake hukohuko kwao Congo. Kwanini asiwe kiboko ya wachawi Congo???..
@user-lx6cf4jf4e
@user-lx6cf4jf4e 19 күн бұрын
yesu hakuwai kutoza watu fedha kwa muona bali aliponya bure hakuchukua hata senti
@aminarama711
@aminarama711 20 күн бұрын
Muache baba wachawi wakufe
@abdallahally842
@abdallahally842 15 күн бұрын
Hicho kidogo ulichonacho myanganyeni dah kama kwwli ni maandiko yanasema hivo hio sio dini ya mungu kwwli ni dini ilioanzishwa na kaisari 😂😂
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Ай бұрын
Safi sana kiboko ya wachawi...man of God
@emmanuelnjelekela6299
@emmanuelnjelekela6299 22 күн бұрын
Na kale kadogo alikonako nmnyang'anyeni duu andiko Hilo halipo😂😂😂😂😂
@Mwenjala
@Mwenjala 29 күн бұрын
Kweli baba umenena
@zamdaAlliy-iu8kf
@zamdaAlliy-iu8kf 28 күн бұрын
Mngutusaidie
@emachangale769
@emachangale769 Ай бұрын
Mm hamna kitu kajaliwa TU kuongea sana na kutapeli watu. Mimi aliwahi kunitapeli Sina hamu naye
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 21 күн бұрын
Zakayo aliwarudishia wenye.nazo ila Yesu nae alitumia hela kuna.watu walitoa ila kama kiboko ya wachawi anatapeli watu shauri yake yy siku za mwisho hatari sana na si kiboko ya wachawi tu watumishi waombeaji wengiwengi wamesema bahasha kwenye maviumba.ya maombi.yao wanadamu tumefanywa biashara huduma jamani ina Yesu watu walimpelekea mitume walichanga.wenyewe na watu kujitolea leo watu wanachajiwa ile yakupeleka haipo
@YunusiAthuman-ep5mc
@YunusiAthuman-ep5mc Ай бұрын
Tumuogope mungu duniani tunapita tuu
@HellenLemilya
@HellenLemilya Ай бұрын
Wa Arusha ndugu zangu kuweni makini
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Ай бұрын
Hongera mh nabii..nimekufuatilia utube mara nyingi Sana.. radioni pia.. Pesa mtu anatoa m wenyewe, na wanapona pia.
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 29 күн бұрын
Mbona unachukua pesa nyingi sana laki 5 unasaidia vipi sasa
@EufranciaNgombo
@EufranciaNgombo Ай бұрын
Anaemwongelea vibaya huyu baba anamatatizo yawe kiakili yawe kiuchawi kwasababu hamwiti mtu wanaoenda wote wanashida zao na wanafanikiwa
@witnesskessy9705
@witnesskessy9705 Ай бұрын
😂😂😂 hapo kwa mchawi na mm nlimuona anamfukuza
@JofryDaud-kc2du
@JofryDaud-kc2du 29 күн бұрын
Mat28:19:20)kristo ali tuma watu kuwaokowa watu waovu laki sikatika kuwagamiza)
@monicamichael-sr4kx
@monicamichael-sr4kx Ай бұрын
we kiboko ya wachawi mpaka nimecheka kwa sauti
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Ай бұрын
Huyu ni mkongo man au mtz.... Mwizi kama mwizi
@rweumbizalugaimukamu4905
@rweumbizalugaimukamu4905 Ай бұрын
Huyu ni wauongo, narudia huyu ni wa uongo.
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Ай бұрын
Huyu ni tapeli kama matapeli wengine..
@Wilhelmsalvatory
@Wilhelmsalvatory Ай бұрын
tapeli kabisa huyo
@Mwenjala
@Mwenjala 29 күн бұрын
Baba hata ukisema million moja tutakuj mbn hata kwa waganga kwa mahospitalin anapeleka Zaid ya mamillion na kam Co nguvu za mungu kwa wagang mnafuatag nin ufisad umewajaa wa tanzania na bd
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Ай бұрын
Yeye amesema iwe usiku nani mapepo na wachawi kazi zao ni usiku usituzunguke
@olivernyange2349
@olivernyange2349 Ай бұрын
Huyu mganga wa kienyeji atawakomesha watanzania
@shabanimbega40
@shabanimbega40 29 күн бұрын
Huyu ni kibwetele mwingine kama wa Uganda
@ramadhanimmana3829
@ramadhanimmana3829 Ай бұрын
Haya utayapata tz tyu.
@joycekweka5416
@joycekweka5416 Ай бұрын
Mh huyu ni tp
@Nipe9
@Nipe9 Ай бұрын
Wanatoa naigeria
@GbpAud_King
@GbpAud_King Ай бұрын
Mi uwa sisemagi manabii..Ila huyu jamaa ni tapeli la kikongo limekuja kuwakaanga watanzania.. Hii biashara ya maji na mafuta inalipa
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta Ай бұрын
Watu tumezoea vitu vya bure mno wao wataishije
@devissyprian1526
@devissyprian1526 Ай бұрын
Huyu freemason Katumwa mkimbienj kama ukoma
@VailettyShigerla-fw2sg
@VailettyShigerla-fw2sg Ай бұрын
Kweri baba
@WilliamMtaresi
@WilliamMtaresi 27 күн бұрын
Baba nitabirie
@samweli7985
@samweli7985 Ай бұрын
Kwahiyo nyinyi mtu akiongea ukweli niwashetani, eti amkeni, maana yake mmelala au
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Ай бұрын
WE NI TAPELI KAMA MATAPELI WENGINE NA UNAKWENDA ARUSHA KUWATAPELI WALE WALIOFUNGWA UFAHAMU NA WASIOIJUA KWELI..WE NI MTUMISHI WA SHETANI..
@user-el8rp6pd5q
@user-el8rp6pd5q Ай бұрын
Watanzania tuna midomo michafu alafu atuna jema . Yaan Mtumishi amekuja kutusaidia na kutuombea na kutuondolea haya maroho yanayotutesa bado mnaropoka ungese. Mtumishi huyu nimejalibu kumfatilia sana anapenda kuongea uhalisia hapo tu ndio anapigwa vita. Kaza baba tunaokuelewa tutapona
@Wilhelmsalvatory
@Wilhelmsalvatory Ай бұрын
huyu ni tapeli
@user-el8rp6pd5q
@user-el8rp6pd5q Ай бұрын
@@Wilhelmsalvatory una kitu gani mpk utapeliwe hela yenyewe huna
@Lupembeajua
@Lupembeajua Ай бұрын
Haya magrofus ya nini sasa?
@Musaibrahimu
@Musaibrahimu Ай бұрын
😂😂😂😂 amesema YESU ALICHUKUA FEDHA ACHA UONGO JAMANI YESU ALIFANYA KAZI BURE HAKUCHUKUA CHA MTU😮😮😮
@angolina1768
@angolina1768 Ай бұрын
From dar es salaam tupo pamoja baba watu wako wa dar tunakupenda halafu kama alivyosema yy hamwit mtu na wala hajawah kumsukuma mtu hiv binaadamu mna nn lkn ndoana mwenyewe anasema muwege na Shukrani huwa anamaanisha kitu Wallah hiv huo uchawi mnaomuta angetaka afanye kabiashara kake mahali si angekua bilionea ila kaamua kusaidia watu kosa nyie mshindwe wajuu wa wachawi wakubwaaa
@DoriceHyera-tz9vq
@DoriceHyera-tz9vq Ай бұрын
Mtume songea
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Ай бұрын
Wewe ndo mchawi mafundisho yako hayaniingii kichwani
@patelokoh5828
@patelokoh5828 Ай бұрын
Njoo huku Kenya brother
@engelbertnjau1622
@engelbertnjau1622 Ай бұрын
Hasubutu ngoo😂😂 Kenya sizani.
@neemamwanga5447
@neemamwanga5447 Ай бұрын
Amevaa gloves msimchafue na pia corona ipo mjue
@MwanjiNzala-mo5ni
@MwanjiNzala-mo5ni Ай бұрын
Mh? Umo ndan kuna namna ndo maana.akiweka.mikono.tu.unaanguka
@samwesupa6906
@samwesupa6906 Ай бұрын
Mpuuzi huyu
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 Ай бұрын
amina baba barikiwa sana bro..ila me cpendi ujibu jinsi vile watu wakusemavyo vibaya plzzzzz nyamaza kimya..maana hiyo vita c yako bali niya MUNGU mwenyewe kaa kimya acha MUNGU atawajibu ila ucjibu kitu
@barakabusima
@barakabusima Ай бұрын
😂...khaaa yaani na wewe ni wale wale
@barakabusima
@barakabusima Ай бұрын
😂...khaaa yaani na wewe ni wale wale
@KAHINDITV
@KAHINDITV Ай бұрын
Hata simoni mchawi alfanya miujiza pia ukumbuke hivyo😅😅😅😅alafu hebu muwe mnalinganisha maandiko na mahubiri ya Yesu na manabii wa kale na hawa wa sasa😅😅😅😅neno la Mungu linasema tuhubiriwe toba na ubatizo. TUBUNI NA MBATIZWE. TUBUNI MAANA UFALME WA MUNGU UMEKARIBIA hivy na sio kuhubiriwa ya duniani. Hata Mungu amesema tumtafute kwanza yy kisha mali na amesema kama mtazitaka yan sio lazim ni km tutataka. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maalifa😢😢😢
@MedyMjenga-q1n
@MedyMjenga-q1n 18 күн бұрын
Wapige wajinga wengi wanakufata wenyewe hao
@user-ec4ou2tj6r
@user-ec4ou2tj6r Ай бұрын
Kwann amevas glops?
@JoyceChilewa-oy7nj
@JoyceChilewa-oy7nj Ай бұрын
Hhee sasa gloves zake wewe zinakuhusu nn watanzania bhana akivaa gloves msanii anhaaa akivaa mtumishi tu inawakera
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 49 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 10 МЛН
DUDU BAYA ACHUKIZWA NA KIBOKO YA WACHAWI, ONA AIVYO MUUMBUA
14:43
Nabii Kiboko ya Wachawi afunguka alivyotimuliwa Tanzania ndani ya saa 24
8:03