Amejitahidi sana awe hazungumzib kwa kutumia maneno ya Kiingereza, na akitamka neno kwa Kiingereza basi amesahau maana yake kwa lugha ya Kiswahili. This is fantastic, tofauti na watu wetu wengi, Kiingereza kingi na hawakijui
@flm15308 ай бұрын
Yani mwanadamu ukiwa Africa unapachoka ukienda ulaya unapachoka ukila sana ni shida, ukiwa na njaa ni shida ,,,raha pekee na amani na tulizo lipo ndani ya YESU KRISTO tu
@janerosejohn83738 ай бұрын
Yote Ni ubatili mtupu
@emmanuelfari89248 ай бұрын
Amen UBARIKIWE zaidi 🙌🙌🙌
@NgengeMkeni-uo5hq8 ай бұрын
Hakika, yote ni ubatili mtupu pasipo *Yesu Kristo*
@kazimilykulwa25168 ай бұрын
Fact kabsa,
@saidjuma97828 ай бұрын
Yesu ndo nani??? Nyie hapa duniani hakuna maisha bora tufanye ibada tukaishe maisha ya milele
@user-oo7vr4cb7r8 ай бұрын
Siku zote mkataa kwao no mtumwa Mimi nakuku Bali Sana Kaka Salim like mungu akulinde nafitna za wanadam karbu nyumbani kk
@johnsonchonja40328 ай бұрын
Presenter apewe maua yake, fantastic interview 🔥🔥🙌💯
@athmanmzee71448 ай бұрын
He is one of the best swahili broadcaster in the swahili region.....Great love from Kenya.
@alhabibsudi79978 ай бұрын
“Voluntary Redundancy” kwa muda aliotumikia BBC kuna malipo ambayo mwajiri anamlipa mwajiriwa au unalipwa pale tu mwajiri anapokubali ombi lako. Na malipo yanategemea na umri wako na muda uliotumikia, kwa Iyo Kikeke hajarudi mtupu kuna Maokoto yake mfukoni yanamsogeza sogeza katika muda huu alioamua kuja kupambana nyumbani, Well done Kikeke
@ephrahimmasiko98738 ай бұрын
Wasanii na watu mashuhuri kuna cha kujifunza hapa; Salim licha ya kukaa Uingereza miaka 20 bado anatumia lugha moja kwenye mazungumzo. Sijasikia popote akichanganya Lugha ya Kiswahili na Kiingereza. Kuna kubwa la kujifunza hapa. Hongera Salim.
@waltergilbert39678 ай бұрын
kaangalie akiwa anatangaza vitu vya utalii anavyoongea english tupu
@annasolomon98558 ай бұрын
@@waltergilbert3967hio ni utalii umeshasema😅
@nancyg86648 ай бұрын
@@waltergilbert3967 umeshasema, " UTALII" af hapo anahojiwa ni tofauti na kutangaza
@ireneseth8 ай бұрын
Hapo tungesikia yes yu nooo nyoko nyoko
@paulalove12238 ай бұрын
@@irenesethmara actually usually ndo kingereza chao😂
@Babuu2008 ай бұрын
Nyie huyu Jamaa anayemhoji Kikeke Anajua 🔥🔥
@ndayisengaamissi61028 ай бұрын
anajua na anajua tena😊
@cosmasjulius8 ай бұрын
AyoTv inshort ipo vizuri kila sehem anzia kwa wafanyakaz wake, (chunguza)
@EliahParpulisEvalyneMkulati8 ай бұрын
Wewe ni mtangazaji nguli sana! Kongole kwa kazi ambazo unafanya! Mungu akupe heri na kukufanikishia yote! Big up sana Salim Kikeke Umeonyesha uzalendo kurudi nyumbani kurudisha na kuchangia katika taifa lako!! Pongezi sana kuonyesha muhimu na dhamani ya kazi yako. Kuwepo nyumbani tu inaonyesha na pia inawapa nguvu wale ambao wanadharau kazi kama yako!! nenda na msimamo huo wa kuonesha na kuelimisha jamii na wengine kuhusu dhamani ya kazi yako na pia mabadiliko ya mwajiri na mwajiliwa. Karibu sana nyumbani.
@damariszuckschwert94898 ай бұрын
Amekaa Uingereza miaka 20 anaongea kiswahili murwaa. Kutana sasa na wabongo movie😂😂😂
@atenionesmo_A102 ай бұрын
hiki ndo nachojiuliza
@malimachacha45008 ай бұрын
Huyu dada aliyeweka sauti at the beginning yuko vizuri, Vijana wa kileo wanatumia lugha ya kwamba apewe maua yake
@deodartngaiza66648 ай бұрын
Nakupongeza sana Mr Salimu Kikeke kwa uamuzi wa kurudi nyumbani. Wengine hudharau kwao kwamba Ulaya ni bora. Wewe ni mfano wa kuigwa. Karibu sana Tanzania tujenge wote nchi yetu.
@banguha8 ай бұрын
Wajat sijaja ulaya nilimuomba Mungu sana nipate kazi uku ila tangu nifike ulaya namuomba Mungu sana nilud Tanzania sema mkataba unanibana Yan ndugu zangu wote kila siku nawambia jmni Tanzania ni kuzur mno maisha ya uku ni magumu cjawah kufurahia kuish uku
@JilbertDanifordMathayo-sn2gy8 ай бұрын
Kaka SALIMU BBC uliifanya ing'are na hasa kwapenda KISWAHILI. Karibu tunakupenda. MAGUFULI alisema nyumbani kumenoga. Mungu amhifadhi salama.
@bezalelmbijima81828 ай бұрын
Vizuri sana Salim, kuna vitu viwili kwetu vinatupa utambulisho mbaya sana sana kwa watu wengine 1.Kujali 2.Kuthamini Washahili yapaswa tujizoeze kuja muda, kuja makubaliano, kujali fulsa. Pia kuthamini kitu cha mtu, kuthamini utu wa mtu, kuthamini chako na cha mwenzako. Mwisho kutambua!
@melkizedeckelsonmbise44248 ай бұрын
One of the best interview.. Yametemwa madini Sana, nmependa ubunifu, kuanzia kwenye intro ya uyo dada, ilo beat na utulivu wa show...Kikeke toka aondoke BBC sifatilii tena Dira ya Dunia.
@severinmbanza49508 ай бұрын
Hata mm kabisa, BBC sifatilii tena
@mohamedmacha8 ай бұрын
Hongera sana Salim Kikeke. Kazi nzuri mtangazaji, mahojiano mazuri.
@sylvestercameo62638 ай бұрын
Hongera Bwana Kikeke kwa interview iliyojaa weredi na mvuto wa kipeke. Nimefurahi kusikia kwamba mkono (5) unakuhusu!
@user-pj1tb5xz1t8 ай бұрын
Mimi ni mpenzi wa Dira ya Dunia kuodoka kwa S.K kumenifanya niache kuisikiliza.Mungu ampe maisha marefu aweze kutumia kipaji chake kujenga Tanzania.
@barakafundo92088 ай бұрын
One of the coolest interviews Big up mwandishi
@EstherKisandu8 ай бұрын
Huyu anayehoji hapa ni genius 🙌
@martinsntonyo85378 ай бұрын
Kaka Salimu you are a great man mtu wa mfano long live ila nilianza kuchukia dira ya dunia ulivoondoka ndo hvyo hvyo nimeanza tena upya
@lelomellowtz8 ай бұрын
• Tanzania ni pazuri kama una hela, ila kama hauna utazunguka tu mwishowe bado utakua na upweke wa Umaskini.
@kautharyhamza67318 ай бұрын
Well said
@mandalorian_4.118 ай бұрын
Well said, lakini kumbuka kupuuzia mipango mingi ya kupata pesa wakati huna kazi ya kueleweka! Kwakufanya hivyo utafurahia sana maisha ya Nyumbani Tanzania.
@UsafiMichael-mc8kt8 ай бұрын
Sio kweli jamaa unasema Tanzania ũkĩwa huna hela unakuwa mpweke? Nakataa sasa si watanzania wengi si wangekuwa wapweke sana? Kinacholeta upweke mkubwa tz ni watu kutaka kuishi maisha ya kupita uwezo au viwango vyao,mfano hapa dar watu wengi wanaishi kwa upweke sana maana wanapenda kushindana kwenye nyanja Za maisha ,kutaka maisha ya juu na kuishi Kuliko kipato chako ni sababu kuu ya upweke.lakini ukisema kukosa hela sio kweli maana asilimia 80 ya watanzania wanategemea Kilimo na Kilimo kuna MUda wa kusubiri ilĩ mazao yakomae sasa unadhani inakuwaje
@stevenvictor4378 ай бұрын
Mm ni mmoja wa watu ambao nakukubali sana Salim kikeke, endelea kuchapa kazi hata hapa tz tutaendelea kuwa nyuma Yako.
@SalamaNauthar8 ай бұрын
Milard Ayo una watangazaji professional ' Huyu kaka ni mtangazaji wa Kimataifa' Yani ni 🔥🔥🔥
@dreamboy56748 ай бұрын
Huoni anaiga sauti ya zuhura yunis
@kekiplus1andonly8 ай бұрын
MashaAllah 🎉🎉🎉huyu kaka is very well spoken. No wonder tunampenda,
@user-to9ci3ng3z8 ай бұрын
Karibu nyumbani. Naipenda nchi yangu. Nami ni mmoja wa wake wanaopenda nyumbani. Hata hapa Tz maisha mazuri yanapatikana na furaha na mengine mengi Mungu aliyotupatia au kutupendelea sisi wakushi. Mungu fundi. Mungu ibariki Mungu ibariki Tanzania. Usiogope maisha yanaenda tuuuu
@lusekelogerald47148 ай бұрын
one of the best interview in this year🔥🔥🔥
@OteshaTime_Services8 ай бұрын
Vijana jifunzeni kutulia katika maisha kupitia kwa Bro Salim Kikeke... karibuni
@Stan-1038 ай бұрын
Millard, nunua wireless microphone, unawachosha watu mikono, sikuhz interview hatufanyi na mic za kushika mkononi😅
@nobody072418 ай бұрын
Interview imetulia sana big up kwa mtangazaji
@aciamwinyi39918 ай бұрын
Mashaallah Mwenyezi Mungu akujalie kila kheli nakuona mbali sana, Umuhimu wako Unajulika ni jambo la muda tu.
@gasperymisungwi9608 ай бұрын
Kikeke is a star, inspirational and talented
@monicasimpilu62578 ай бұрын
Nyumbani ni nyumbani karibu Mbeya. Tunafurahi kurudi home. ❤
@winnerjudith20078 ай бұрын
ni mtu wa mbeya?
@monicasimpilu62578 ай бұрын
@@winnerjudith2007 sina hakika sana japo kuna kipindi alikua anahojiwa akasema Mbeya ameishi
@MrNdanguza8 ай бұрын
@@monicasimpilu6257hamna bana huyu mwamba mpemba zanzibar.
@UsafiMichael-mc8kt8 ай бұрын
@@winnerjudith2007sidhani asee kama hichi Chuma cha mbeya
@victorsabuni68018 ай бұрын
very professional interview congrats🎉
@ztvonline25238 ай бұрын
Interview Bora sana Broh Rama #TZA umetulia sana maswali ya ukika pia Salim saf sana .....Bonge moja la Interview 🔥🔥🔥
@VicentMark8 ай бұрын
Namkubali sana Mr Kikeke, ur really an inspiration, Unastahii heshima, U have it all brother
@anthonygenge43668 ай бұрын
Upo vizuri sana kaka salim, binafc nmeanza kukuckiliza Redion ukitangaza ktk idhaa ya BBC, ulinifanya nikawa siachi kutembea na karedio kadogooo, ilimlad tu nikuckilize ukitangaza mpira wa wingereza, pongezi sana kaka🎉
@annamussa1858 ай бұрын
Anzisha kampuni yako handsome boy wa Taifa Africa mashariki na kati😍😍😍
@emilysanga76628 ай бұрын
Yuko vizuri sana mkataa kwao mtumwa namkubali sana Salim sana
@ayrunyjtayruny2798 ай бұрын
Além de kikeke gostei também de postura de apresentador coloca bem as questões 🇲🇿
@robertlinuma60518 ай бұрын
Sababu sio za msingi sana .ila kwa kuwa kaamuwa .kila pahala watu wanaish life style yao kila eneo dunian.maisha ya ulaya na marekan kama unapata kaz utakiw kuwa mvivu..maana muda wa kupumzika n mdogo sana ..na BILLS za kutosha .hakuna kukwepa kwepa kama huku .
@joshck41177 ай бұрын
kwake ni sababu za msingi
@lydiabandio94167 ай бұрын
Kwako wewe ni hivyo Kwa mwingine sio, so sababu alizozitoa ni sa msingi upweke sio kitu kizuri kabisa.
@AziziMapunda-vt4nv13 күн бұрын
Ongela Sana mungu akubaliki🎉🎉🎉🎉
@user-hq9jf5gs5w8 ай бұрын
Kikeke nakukubali sana katika kazi zako mungu azidi kukubari
@godfreychaula39698 ай бұрын
interview nzuri na location nzuri ila MILLARD izo wired mike ni very local,itashusha taasisi kwann msingeweka meza na avae wireless mike?,,lifanyieni kazi hilo sio mtangazaji mkubwa ashike maiki mkononi mwanzo mwisho,mmemkosea
@joelsamwel25808 ай бұрын
Mbona zipo izo fatilia interview za Millard ayo
@JackobGalish-ky3no8 ай бұрын
A very good interview
@SalamaNauthar8 ай бұрын
Salim Kikeke ❤️
@user-hq8fo4ph4p8 ай бұрын
Kheri zaidi mtu kuenda nje kwa ajili kupata msingi wa kipato na mabalozi wanastahiki kuwa saidia wananchi wa tanzania wanapokwenda nje ya nchi kuwasimamia kupata ajira kwa wale ambao wanapata tabu ktk suala la ajira ili unapofika mda wa kurudi baada miaka wawe wameshapata misingi ya kimaisha kama mzee kikeke apo na wengneo
@gigoyrn43948 ай бұрын
😊😊😊 nimechoka maisha ya hapa Denmark wa 12 narudi Tanzania
@abelianraphili51508 ай бұрын
,,,,,😂😂😂😂 mtu uko Mbagala ...tu hapo labda uwende Moshi ... December ukaesabiwe
@mayaally25128 ай бұрын
Njoo upauke pumbu
@edwinkinyamagoha12288 ай бұрын
IGA ufeee 😅😅😅
@Pedeshee018 ай бұрын
Uzuri wa ulaya hata kama huna pesa unabidilisha wasenge hii kitu mimi ndiyo maana naipenda.
@wahapahapa32798 ай бұрын
Yani ningekua nimeshakusanya ela nyingi ningerudi Tanzania maisha ya ulaya no ya upweke sana, kikubwa ningebaki tu na Access ya kwenda na kurudi tu kwa ajiri ya kutibiwa tu na vacations
@user-fc3og1eo3x8 ай бұрын
Salim kikeke interview yako iko makini na ina somo kubwa salute bro
@augustuss45038 ай бұрын
Hata mimi nimechoka sana maisha ya Ulaya. Baada ya miaka 27 Denmark nataka kurudi Tanzania.
@khamisjuma85018 ай бұрын
Mimi miaka 23 USA 🇺🇸 I miss home
@chibunews56428 ай бұрын
Kaka usitamani huku sisi tunatamani kuja huko njia hakuna
@khamisjuma85018 ай бұрын
@@chibunews5642 Sasa tuelewane niko dollars laki bili kwenye bank huku tunalipa ma bili nduguzagu Tanzania
@kdloon20308 ай бұрын
@@chibunews5642😂😂😂😂Ukifika huku ndiyo,utafeel hayo tunayo yapitia!
@mpwaguzipwagu31998 ай бұрын
😂😂😂
@user-di8me2wb7p8 ай бұрын
Masha ALLAH
@amibeamibe72618 ай бұрын
hongera sana mtangazaji unayehoji maswali, hakika unauliza maswali kwa umakini na utulivu sanaaa. hakika una utulivu wa kiuandishi. fanya hivyo kwa wengine hadi kwa makamu wa raisi.
@hassanabuu68 ай бұрын
Awesome interview ❤
@JacoboleKampuni-px9rd8 ай бұрын
Legendary
@neema_mollel8 ай бұрын
Nampendaga sana kikeke
@elishasamwely87128 ай бұрын
Hongera sana kaka nakukubali
@kekiplus1andonly8 ай бұрын
Ukimwambia mtu aliyeko afrika kwamba ulaya kuna upweke anaona unaongea nini wewe??mi napata pesa yangu nzuri sina muda kuwaza upweke😂😂😂😂😂😂usilolijua ni kama usiku wa giza
@salhamrishoi49438 ай бұрын
Hii intaview angemuoji mirad ayo ingekuwa bonge moja la intaview ila siyo mbaya kijana upo vizuri🎉❤❤❤
@user-xq4en6qt7e8 ай бұрын
Huwezi kujua baada ya interview hii kijana atakuwa wapi sio kila kitu afanye Milard maana kuna Vidox nae alikuwa poa saiz kala shavu Clouds Media
@khadejakhadeja97138 ай бұрын
Pongezi kwake Salmu Kikeke ❤❤❤❤ mkataa kwao ni mtumwaa .hongera.kaka
@barakajonas32098 ай бұрын
Karibu sana nyumbani Arusha
@starlonejadamskp82248 ай бұрын
Genius man🎉
@veniciacharles88518 ай бұрын
Interview nzuri nimeipenda,
@salminasalim56308 ай бұрын
Kwanza Mr Salim Kikeke wewe ni mfano wa kuingwa na unaroho nzuri sana unaroho ya kusaidia wenzako na Allah Subhanallahu wa Taala anakuwezesha tunamshukuru kwa kutunuku hilo na tunamuomba aendelee kukujalia kila la kheri. Na wa Tanzania viongozi wa juu tambueni umuhimu wa huyu mtu muhimu kwetu aweze kupata nafasi ya kudumu ya juu hapa kwetu aweze kuwezesha watoto/wajukuu wetu kupata alicho nacho
@WorshippersofGodarmy-ot1mk8 ай бұрын
Hongera rafiki yangu, katk radio
@victoriaowen9098 ай бұрын
Role model💕🥰
@mweusisimba71858 ай бұрын
Mama ampe kazi tu ata akiongezeka kwenye habari akiwa msemaji mtangazaji wa serikali sio mbaya
@user-qf3so2qk6l8 ай бұрын
Mungu akubariki sana kikeke kwa maamuzi Yako binafsi yenye hekima na busara
@geofreygomela21188 ай бұрын
I learn alot
@medardsotta52118 ай бұрын
Legendary Kikeke!
@TheboyTz1-yf3xl8 ай бұрын
Tanzania ukiwa mgenii utaonekana mzuriii wakikuchoka unakuwa hovyooooo hongera kwa kurudii bong kwetu
@kamikazisalma52098 ай бұрын
Mansha Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@pceodhc8 ай бұрын
Great interview! 👏🏾
@jedidahbintidaudi8241Ай бұрын
Najikuta navizia maswali ya muulizaji..dah huyu anajitaidi sana. Alafu ametulia anapomuuliza Salim..safi sana
@NuelyAlphonce-ts2dx8 ай бұрын
Namkubar sana salim kikeke noma kweli
@user-fb9tp8ol1s8 ай бұрын
Mwenyewe niliishi pale Sheffield ila siku ya mwisho nikarudi nyumbani
@MustymediaTv8 ай бұрын
Interview bora sana
@kafwimbimilambo85568 ай бұрын
Ongera saana salim kikeke
@chimnyengeUpdate3 ай бұрын
Mimi ni Salim Kikeke , alamsiki
@barakarobertmochungu8 ай бұрын
Mwana habari nguri zaidi na mfano wa kuigwa kwa wengine Salim kikeke
@vt-kn6qf8 ай бұрын
Sio nguri Brother ni nguli ok
@aminanamoyo838 ай бұрын
❤🧡
@DoreenMwakibinga8 ай бұрын
Umetumia akili kurudi ili kuinteract earlier na Jamii waone ulichonacho hukusubiri na hukusita Big up
@khamisjuma85018 ай бұрын
Umenifubua Cho my brother Salam zangu kutoka USA I'm coming back home Africa zanzibar
@akleiludovick98538 ай бұрын
Seriously 😮 binafsi naplan za ku relocate USA.
@ndukulusudikucho_8 ай бұрын
Ila suala kutunza ahadi wageni wengi hulalamika juu ya Wtz kutokutunza ahadi pindi wanapo ahid kukutana na mtu mwingine, lingine ambalo bovu ni customer care ni mbovu mno
@annamussa1858 ай бұрын
Ni interview lakini kama Dira ya Dunia mpaka Raha🤗
@samwelnaal79528 ай бұрын
Nimechoka maisha ya hapa JORODOM, narudi nyumbani Tanzania
@josephlorri4318 ай бұрын
Hahaha wapo huko...au chini ya mlima hannangw
@petermanala61383 ай бұрын
@@josephlorri431😂😂😂😂😂😂
@boscoerasto51488 ай бұрын
Nakukubari sana kaka
@rahmahersi65848 ай бұрын
Very sad.. We.missed Night News!!!!!. Kila la kheri...
@vascostanleymbise89938 ай бұрын
Una kitu kaka, Utafika mbali
@bonemwaminifu39358 ай бұрын
Daaah noma
@Wajiz07148 ай бұрын
Huy jamaa msomi Nana wangekuw wenzet wa bongo neno Moja kingereza , Lakin jamaa aongea kiswahili kitupu
@ibrahimkasim9228 ай бұрын
Interview mzur
@halimamremi53758 ай бұрын
NAKUPONGEZA NDUGIANGU KWA KURUDI NYUMBANI NA KUTHANI UTU WAKO NA TAIFA LAKO KILA LA KHERY INSHAALLAH!!! ❤❤❤
@nancyg86648 ай бұрын
Walikupenda na pia kuna kitu kipo ndani yako ndomana walikua wanakung'ang'ania. Hongera sana.
@user-bu7rq6tk2c8 ай бұрын
Karibu nyumba mpendwa wetu
@elsonkingtz45068 ай бұрын
😂😂, salm twambie ukwel, sema hivi nimefanya kaz kwa muda mrefu kila nikitaman kua mtu mkubwa mwenye pesa nashindwa nikaamua Nije Tanzania kutoka na kias cha pesa nilicho nacho nikirud tz ni pesa ya kutosha😂😂😂😂😂
@ndayisengaamissi61028 ай бұрын
@DENISDIGITAL😂😂😂eti:"sawa Salimu."😂😂😂😂😂
@ibrahimkisua84398 ай бұрын
very genius
@personpeter22218 ай бұрын
Nmechoka kukaa bongo miaka 27 bado cjafankiwa au ndo bongo bahati mbaya??? Nataman niende ulaya nkaishi maisha ya kipweke kuliko hiz shobo zero
@marianneadams14438 ай бұрын
😂😂
@egbertcharles8 ай бұрын
Upweke au maisha ya Upweke nimoja ya sabau zinazo sumbua sana watu wanao ishi mbali na nchi zao. Maisha bila kuwa karibu na familia au ndugu zako pamoja na marafiki wako nivigumu kufurahia kuishi nje ya nchi. Kuongea na ndugu au marafiki zako kupitia simu haitoshi, kuna muda unaitaji ata salamu ya kugusa mtu kwa mkono, kukaa na kuongea na marafiki zako ana kwa ana. Nimeishi nje/ China wakati wa corona Upweke kidogo unifanye kicha. Maisha Bora na ya furaha yako hapo hapo ulipo nyumbani kijijini kwenu kuliko kwenye nchi za watu. Mungu akutangulie S.Kikeke tunajivunia watu kama wewe. Wale tunao ishi nje ya nchi tukkumbuke kuwa nchi yetu inaitaji msaada wetu ili kuendelea na kutoa maisha ya kiwango cha juu kama maisha tunayo kimbilia kutafuta kwenye nchi za watu. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa.
@SaadIssa-mw4gh8 ай бұрын
Tanzania very social country ❤
@nahlahassan-fd6le8 ай бұрын
Point❤
@winfridamwigilwa21078 ай бұрын
Kabisa yaaani ulichoandika
@samwelmichaelchangarawe58008 ай бұрын
nakumbuka enzi za covid kuna siku nimeingia kwenye lift kaihong mall wachina wakatoka wote 😄😂
@egbertcharles8 ай бұрын
That was normal. ... Which city were you living ? @@samwelmichaelchangarawe5800
@norbert_nganzi8 ай бұрын
That is
@kdloon20308 ай бұрын
Ni kweli tulioko nnje ya Africa tunaishi maisha ya upweke mnoo,kuongea ni ukiwa kazini,ukirudi home huna wakuongea nae,ni kutazama TV tuu,au kutazama vituko vya bongo kwenye sim.Madem nao wakisha fika huku,nyodo nyingi kama madem wa bongo movie.😢