#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 26,399

Global TV  Online

Global TV Online

2 ай бұрын

#EXCLUSIVE na AUNTY EZEKIEL -"SINA MPANGO wa NDOA na KUSAH - AKITAKA KUOA ANIAMBIE-YEYE BADO KIJANA"...
Msanii wa bongo movie, Aunty Ezekiel amefunguka kuhusu maisha yake na kazi anazo fanya pia amefunguka kuhusu kuingia kwenye ndoa Kama Yuko tayari kuolewa na Kusah . Tayari maojihano haya yapo Global TV.
Host @Gabbymtanzania80
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 95
@globaltv_online
@globaltv_online 2 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Anazeeka sasa.Muda umeenda. Lakini mzuri sana huyu dada mimi uwa nakupendaga sana pamoja na wema na Riyama Ali❤❤❤
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 2 ай бұрын
Hajazeeka ni mzuri mashallah kwa age yake hana make up mkumbuke nature beautiful 😍
@fatumapilyimo8784
@fatumapilyimo8784 2 ай бұрын
Big up mamii, unajitambua na ni mkweli
@faridapandu7579
@faridapandu7579 2 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉 kila Leo yupo vizuri huyu ENT zekinampenda
@shamixxvick380
@shamixxvick380 2 ай бұрын
So beautiful without makeup 😍😘
@maryammdoe5801
@maryammdoe5801 2 ай бұрын
Innalillahi wainna ilayhi rajioun Kuridhika na zinaa , subhanallah Allah atuongoze ktk kheri,
@user-cj2kl7cd9k
@user-cj2kl7cd9k 2 ай бұрын
Anti sio muislam kwake sawa tu
@maryammdoe5801
@maryammdoe5801 2 ай бұрын
@@user-cj2kl7cd9k Kwa huyo kusa sasa ndo mtihani anatakiwa atoke kwenye zinaa haraka kabla mauti hayajanfika, Allah atuongoze sote ktk mema na atufishe ilhali tumetubu toba ya kweli ameen yaarab.
@user-cj2kl7cd9k
@user-cj2kl7cd9k 2 ай бұрын
@@maryammdoe5801 ALLAHUMMA AAMIN
@user-bc3lh5ss6c
@user-bc3lh5ss6c 2 ай бұрын
Ameen
@user-mz6lq3gr9l
@user-mz6lq3gr9l 2 ай бұрын
Hta mimi nilikua na mwanaume nilimpenda sana nyumban wakiniuliza kuhusu ndoa nikawa najibu simtaki kumbe bwana ndo hataki kunioa😢 inaumiza
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz 2 ай бұрын
Inaumiza kwa kweli
@mwitaagness455
@mwitaagness455 2 ай бұрын
Umeongea ukweli
@mwitaagness455
@mwitaagness455 2 ай бұрын
Ila ni mrembo sijui kwann hawatulii wawe na familia bora
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
​@@mwitaagness455uzuri ni mtihani
@Shakila-pq2gv
@Shakila-pq2gv 2 ай бұрын
Duuh mtihani 😢😢😢
@nailaomar4810
@nailaomar4810 2 ай бұрын
Mashaallah mm nampenda always shis beautiful ❤
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 2 ай бұрын
Yes She is
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 2 ай бұрын
Aunt ❤🎉
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 2 ай бұрын
Mnakujaga Kwa mbwembwe mwishoni linawashuka
@RachelMwamini-wt4tq
@RachelMwamini-wt4tq 2 ай бұрын
Nakupenda bure❤❤dada
@GraceSamson-kk7qx
@GraceSamson-kk7qx 2 ай бұрын
🎉❤
@wingracemosha860
@wingracemosha860 2 ай бұрын
Kuna watz wa hovyo sana et wako bize anazeeka anazeeka kwahiyo mlitaka abaki kijana mnachekesha nyie viumbeeee... .. Haya watz msiotaka kuzeeka sijui mnataka kufa vijana(18-45)
@rehemayona2223
@rehemayona2223 2 ай бұрын
i watoto wawili au watatu🤔🤔
@rehemayona2223
@rehemayona2223 2 ай бұрын
@@J_Jeromy okay 🤔
@nancychesang9567
@nancychesang9567 2 ай бұрын
Kwa uzee gani nyie Aunt bado mbich sana
@rahmashomari1048
@rahmashomari1048 2 ай бұрын
Umri unavyoeanda ndio kifo kinakaribia mara leo pap umeondoka utaenda kujibu nn na maisha hayo unayoishi ya kuzini kussah oa umstir mwezio na kesho yake kaburin na akhera
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 2 ай бұрын
KWAIYO KUSSA KAGOMA KABISA😊😊,,MPAKA IMEKUWA LIWALO NA LIWE..
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 ай бұрын
Sssa ww mtangazaji unamuuliza aunt Ezekiel suala la ndoa.?..kishamaliza mwendo na anajua kabisa ndoa kwake ishamtupa mkono..!
@millycentgati2541
@millycentgati2541 2 ай бұрын
Wewe ni Mungu? Wewe ndio huwapa watu ndoa?
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 ай бұрын
@@millycentgati2541 ...kwanza neno MUNGU ungeandika Kwa herufi kubwa, halafu ndio u comment
@AshaMwamba-g3l
@AshaMwamba-g3l 7 күн бұрын
Umezeeka uso imekuwa ovyoo
@rashiduchongole1333
@rashiduchongole1333 2 ай бұрын
Uko na mpango wa kuzizi
@alsam4881
@alsam4881 2 ай бұрын
Je watu tunaoishi nje ya nchi tutaona wapi hiyo tamthilia ya Jiya?
@rahmashomari1048
@rahmashomari1048 2 ай бұрын
Aunty nakupenda lkn ndoa unaitak kama anampenda kussah kwann ndoa asitake jmn , bas aachane nae au amuache kaka wa watu 😂
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 ай бұрын
huyu dada anamtumia kussa na kumpotezea muda wake kama kijana wa kiislam mwenye ndoto zake za maisha na Aakhera,wataishia kuzini mpaka lini na lidada lisilo na imani ya dini,ashasema hana mpango wa kuolewa"vipi ukae na kijana mdogo ambae hajatimiza ndoto zake na suna ktk imani yake!ukijua huna mpango wa kuolewa ni utafute mtu wa aina yako mnao fanana! Mtihani kweli huu
@hanifa9153
@hanifa9153 2 ай бұрын
Lijimama la hovyo sana cjui kwanin hyo kusa hajielewi kama dunia ni mapito na Allah hapendi zinaa zinaa ni uchafu mbona akae na mzinifu mwanamke hana Imani anaishi bila mipaka hamjui Allah😢😢😢
@user-mz6lq3gr9l
@user-mz6lq3gr9l 2 ай бұрын
Achani kumshambulia ant mtu hawezi kusema kila kitu huwenda kusa ndio hana nia ya kumuoa , ant hawez kuomba ndoa mtandaoni anajiskia vbya me ni mwanamke najua
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 2 ай бұрын
Kusa ndio anamtumia sio yy anamtumia kusa
@josephlorri431
@josephlorri431 2 ай бұрын
Kusa kijana anayependa kitonga
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur 2 ай бұрын
​@@josephlorri431kitonga ndiyo nini
@sarahsesa8851
@sarahsesa8851 2 ай бұрын
🤣🤣 kwel ndoa hapana maana watu wanaishi njoo tukae vizur tu tena kwa mda ila wakifunga ndoa tu bas hata mwaka hauishi wameacha
@user-eq2wg9hx6o
@user-eq2wg9hx6o 2 ай бұрын
Sasa utaki ndoa unataka nini,usituchanganye bwana, uyo kijana aoe basi
@MaryamAlly-yk7zh
@MaryamAlly-yk7zh 2 ай бұрын
Oregano sas wee umekuwa mkubwa umri umeenda sana kwako
@johanjoha5262
@johanjoha5262 2 ай бұрын
Nani nasikiya kama miye 😂😂😂😂😂Iyi indis
@AsiaAsia-sv6ok
@AsiaAsia-sv6ok 2 ай бұрын
Eti ndoa apana,loooh hana hata hofu ya MUNGU,uzinifu tu
@user-is9vl2dr7p
@user-is9vl2dr7p 2 ай бұрын
Wewe ni mbibi mwache kusah achukue kijana mwenzake we ni bi mkubwa
@maryamathman8917
@maryamathman8917 2 ай бұрын
Sasa kwani ameshikwa lazima jamani😂😂😂, umenifurahisha kweli😂😂😂
@HazinaElisha
@HazinaElisha 2 ай бұрын
Kwani alimfata haoni kama ni mzeee alimpendaaaa 2
@johanjoha5262
@johanjoha5262 2 ай бұрын
Mashavu yameteremuka
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw 2 ай бұрын
Mbona mzee
@lucywille-sm6lp
@lucywille-sm6lp 2 ай бұрын
Kwan vijana wakristo hawna ndoto na alimwita.
@khumayraabdulla96
@khumayraabdulla96 2 ай бұрын
Mbona anaonekana kuzeeka mnajidai tu achen kukremu
@hanifa9153
@hanifa9153 2 ай бұрын
Uasherati
@Zainab-qg6xv
@Zainab-qg6xv 2 ай бұрын
Filter
@user-ru6ct4rh3t
@user-ru6ct4rh3t 2 ай бұрын
Ni kweli kabisa kazeeka
@HazinaElisha
@HazinaElisha 2 ай бұрын
Kwani anti ni mzee kuliko wenginee mfano zari mbona ndo mzeeee lakini hasemwi
@kessynurutajiri4940
@kessynurutajiri4940 2 ай бұрын
Auntie Ezekiel sasa umeezeka, mikunjo inaongezeka usoni. Tulia na ubibi wako unampotezaa muda Kusah bure. Tabia zako za hovyo zinajulikana. Nawe Kusah acha kupenda mtemko, ishi maisha yampendezayo Mwenyezi Mungu, ww ni Kijana wa Kiislam huyo Shangazi au Mwalim Mkuu wa nini? Anakupotezea muda bure.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
Kwani kafungwa kamba na si alimuona ni Mzee alimfuta wa Nini, likija la ohivyoo kweli
@sabrinaaron4212
@sabrinaaron4212 2 ай бұрын
Kajitunza na nn akat kashazeeka we mtangazaj kiongo unamjaza😂😂😂😂
@magejuliani5293
@magejuliani5293 2 ай бұрын
Tena kazeeka kweli kweli ha ha haaa
@johanjoha5262
@johanjoha5262 2 ай бұрын
Umezeeka make up inawatowaga
@Josephineexsuper
@Josephineexsuper 2 ай бұрын
Nimegundua huyu ni over 40, mwangalie shingoni
@aamaasm2141
@aamaasm2141 2 ай бұрын
🎉mbona sura imezeeka hata kucheke uso una kunjaa
@user-cj2kl7cd9k
@user-cj2kl7cd9k 2 ай бұрын
Maamuzi yake hayahusiani na vipi muonekano wake upo sasa kazi kwenu ashasema kweli yake dada wa watu
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
​@@user-cj2kl7cd9khawajitafakari wao wakiwa na umri wake wataonekanaje
@user-se9no4rg3k
@user-se9no4rg3k 2 ай бұрын
Umezeekaa Sasa dada
@mwitaagness455
@mwitaagness455 2 ай бұрын
Hata wewe utazeeka dooooh au wewe ni jiwe utabaki km ulivyo😮😮😮
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
​@@mwitaagness455nawashangaa wanaosema unadhani wao hawatazeeka
@Zainab-qg6xv
@Zainab-qg6xv 2 ай бұрын
No filter 😂uzee huo
@issazalala4907
@issazalala4907 2 ай бұрын
Mama kuki uko poa thana unazeeka na utam wako nakupenda thana 🎉
Mkasi | SO9E06 with Aunty Ezekiel
27:02
MkasiTV
Рет қаралды 270 М.
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 7 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 38 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 23 МЛН
KUMBE UGOMVI WOTE MARIO ALIMTRACK PAULA KAJALA
1:24
Official Mrangi
Рет қаралды 29 М.
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 7 МЛН