Uyu dada na mpenda sana ajawahi kuniangusha ata siku moja alafu apendagi uchoko Big up salama
@princesumary7356Ай бұрын
Wapi maua ya salama jabir❤❤❤❤
@ukhutfatumah1154Ай бұрын
Yaaaaan Mie nikiangalia interview za Salama lazima nitoke na kitu thank you sister 🎉
@rehemajuma5559Ай бұрын
Uko sawa kabisa salama,redio ni kioo cha Jamii,sababu watu wanaposikiliza wanataka wajifunze kitu,thanx salama nakupenda sana mamy.
@ismailsoud3634Ай бұрын
Huyu mama KICHWA SANA. Tena ametulia sana. Salama ni SALAMA.
@ShabaniYunusu-fh7byАй бұрын
One day watu watakuja irudia hii interview Kwa lengo la KUPATA faida maradufu Niamini Mimi hii ni interview Bora ya muda wote imegusa engo zote Salama you will be remembered
@ninjaisma7983Ай бұрын
Interview za salama ni noumer sana unaenjoy kumskiliza anakichwa timamu kichizi..ata anavyohoji mtu pia yuko smart anaresrch zakutosha before akuhoji
@samirmswahiliАй бұрын
Yupo sahihi kabisa wengi wanasifia ata pasipo na cha kusifia
@godsonmremiАй бұрын
Female presenter of all time 🙌🙌🙌
@ilovejesus9303Ай бұрын
I love me some Salama. Very big respect to her.
@singasinga2663Ай бұрын
Huyu jamaa white Anajua SANA
@HumoudSalim-ct1tzАй бұрын
Salama pls usi isahau kiponda mimi humuod mwzangu alikuwa Abdul jeered muscat jabir Ibrahim kuki bg up sana
@chani_tayra_official1860Ай бұрын
Yesss sis , you said it all
@Paplick9Ай бұрын
Hip hop 🐐🐐🐐
@seyyactor1418Ай бұрын
I lov her❤
@beauty2239Ай бұрын
Salama nakuelewa sana sister angu
@rasvegas8991Ай бұрын
Huyo demu mtangazajii anajitahid sanaa
@rukiashinen7634Ай бұрын
Big up Salama💪
@neemavicar1307Ай бұрын
Nice one ❤❤❤❤❤
@fatmaabdallah7709Ай бұрын
Huo mlango umeniacha hoi nilifikiri kabati mara naona mtu anatokea kwwnye huo mlango😂😂😂
@enocksilungwepondajr9707Ай бұрын
Why can't u guys don't use dada salama
@King_Of_EverythingАй бұрын
👍👊✌️.
@user-gq7di6he7bАй бұрын
❤❤❤
@ramadhannasibu7753Ай бұрын
👌👍
@The_PodHub.Ай бұрын
@yahstoneTown appreciate you
@dokta_suleyАй бұрын
Hii interview ni hatarii
@user-jo9eb7iu6tАй бұрын
Uliemponda bongee msaniii
@audaxmlowa9953Ай бұрын
Msaada jaman hiyo beat ni ya ngoma gani
@dilipdab3714Ай бұрын
Nipe namba ya salamaa
@mafrapaevariste6667Ай бұрын
Plz umulize uyo salama ame olewa au ana mchumpa na jina lake nani
@jayislam2229Ай бұрын
Sasa mtu yuwaongea na back ground nyimbo Iko na sauti ya juu kuliko anaeongea
@shwaibukhatibu2838Ай бұрын
Hasa wadangaji WA wasafi ni wazinguaji
@jarsjam8894Ай бұрын
Salama mwanangu jitahidi kuvaa mtandio utimize uislaam wako
@user-jd5ru7dr2rАй бұрын
Kasha zeeka
@ukhutfatumah1154Ай бұрын
Omba mungu ufike umri Kam sister Maana vijana WA sasa ukifika age kma Iyo fanya hata part Ni ushauri tu
@fahadbabuyАй бұрын
Brother kuzeeka tu ndio umeona😂😂😂yaani umekosa the whole idea mzee uko busy kuangalia bebe😂 wazee wa gazeti kwa kuangalia picha🏃🏽🏃🏽🏃🏽hausomi mzee🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽😂
@MohamediKalanjeАй бұрын
Lakin Ana madini❤
@yussufabdalla9377Ай бұрын
Mama yako hazeeki
@just.elhadji__7148Ай бұрын
Anazeeka vipoa lkni.....acha chuki za kijingaaa www😮😮😢
@user-vj6qs8sv8iАй бұрын
Salama rudi kwa Allah umri umekwenda binaadam hatujijui sahivi hslafu hatupo wewe ni mtoto wa kiislam
@audaxmlowa9953Ай бұрын
Kwani wewe hauna dhambi Anza kurudi wewe
@josephlorri431Ай бұрын
Hivi salama mbona kama yuko uzazi au ndo ametoka uzazi
@yussufabdalla9377Ай бұрын
Wewe mbona hujasema km umetoa mimba achia mbali uzazi
@massawemrlowprice3949Ай бұрын
Haha haaa haa
@fatmaabdallah7709Ай бұрын
Sio vizuri kujaji muonekano wa mtu kwa afya yake! Kuna mtu anafanya kazi zake huku anaumwa sio lazima ajitangaze.
@giningionlineTvАй бұрын
Amelelewa na Mtaa ndio maana huna ni muislamu ambaye hujui thamani ya imani yako ya uislam, anahisi maisha ya kisela ndio maisha ya mafanikio kumbe anajiandalia maangamizi ya milele😭😭😭😭
@MagrethMallya-we8uiАй бұрын
Bado husema
@audaxmlowa9953Ай бұрын
Kwani wewe ni msafi kiasi gani mpaka umuongelee salama kwa kiwango hicho acha izo
@chrisssky94Ай бұрын
Soggy Doggy
@khaliduhadi2336Ай бұрын
Hivi salama kashaolewa au bado nilete posa manake naona taa nyekundu inataka kuwaka
@AHMADA515Ай бұрын
Huyu ni lesbian
@nelsongodbless192Ай бұрын
Tom boy
@joycemmassi5046Ай бұрын
Mungu aingilie kati aweze kuokoka ktk jina la Yesu