#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 81,035

Global TV  Online

Global TV Online

11 ай бұрын

#EXCLUSIVE: MAMBO ni MOTO! QUEEN MASANJA AFICHUA KUPATA MWANAUME ARUSHA, POSTI ILIYOZUA GUMZO INSTA...
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 193
@globaltv_online
@globaltv_online 11 ай бұрын
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@peninashungu6633
@peninashungu6633 11 ай бұрын
Tuseme. Tu ukweli huyu Dada amebarikiwa mzuri Sana
@leaherasto929
@leaherasto929 10 ай бұрын
Sana
@rudiaeliakim2172
@rudiaeliakim2172 11 ай бұрын
kwa wale mnaomtukana huyu dada mdangaji wote mnamuonea wivu dada mzuri kweli mungu kambariki kweli mtakoma wanyooshe hao wanaokutukana queen
@MwigaKatumpula-mi3zt
@MwigaKatumpula-mi3zt 11 ай бұрын
Hiyo ndio maana halisi ya Neno au msemo wa tuna feli kwa sababu ya tulikutana na watu kwenye maisha yetu na watu sio sahihi kwa muda usio sahihi 👏👏👏👏😀😀🙌
@happymarwa4517
@happymarwa4517 11 ай бұрын
Asante kweli kabisaaaaaaa
@safiasaleh669
@safiasaleh669 10 ай бұрын
Swadaktaaaa
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 10 ай бұрын
Swadakta 👌💯
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 11 ай бұрын
Ana upeo mkubwa sana, nafasi yake ilifunikwa kwa marital status.
@user-qo8eu1br6f
@user-qo8eu1br6f 11 ай бұрын
Mungu akufikishe kwenye ndoto zako Nakupenda sn Oueen huna baya hata mavazi yk yako vzr kabisaa 😍💕💞🔥🔥🔥
@vincej9275
@vincej9275 11 ай бұрын
Nimefurahi sana kusikia unafanya endelea vizuri Queen. You are very smart and hard working, you will be blessed with a good man to love and respect you.
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 11 ай бұрын
Nazidi kuamini yule Mke aliyebaki na Mwaka ni kwa nguvu za Giza ipo siku Mume atazinduka atakua keshachelewa hivi Queen Mzuri hivi anabakiaje kwa Mfano ❤❤🙏🙏
@ernestsereli8559
@ernestsereli8559 11 ай бұрын
Mke Bora sio sura"ila tabia njema
@user-tt6jt8pz5m
@user-tt6jt8pz5m 10 ай бұрын
QUEEN NAMUONA MBALI SANA. MWAKA UTAKUFA KWA KIHORO.. BADO WA KWANGU MIMI. YAN WANAUME MSITUCHUKULIE POA KENGE NYIE. MNAPATAJE UJASIRI WA KUFUJA WANAWAKE WAREMBO KA QUEEN NA MIE😂
@olicej7837
@olicej7837 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂afu unamuacha miaka 3 mwanamke mzuri kama huyo unategemea Nini 😂😂😂
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj 11 ай бұрын
Dada Queen hongera umependa sana Dr Mwaka alikua anakufuja tu 😁
@user-nc6ts5im7h
@user-nc6ts5im7h 10 ай бұрын
Huyu dada anastahili kuw na mahusiano ayapendayo kwahyo walimwengu mlitaka kila siku alie kwa sababu ya mapenzi.achen ushamba life is too short also we live at once.❤
@hellenmachibya2681
@hellenmachibya2681 11 ай бұрын
Ni kweli madam Qwen,,usiweke mahusiano Yako hadharani,,sio sawa kabisa Mahusiano na kaz nivitu viwili tofauti Fanya kaz my,,mahusiano Yako yabaki Yako tuu!!
@priscajonas7805
@priscajonas7805 10 ай бұрын
Mimi napenda Sana Huyu Dada ❤
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 11 ай бұрын
We 💕 u SANA. Mungu akusimamieeee sanaaaaa Masanja
@gracegrace6510
@gracegrace6510 11 ай бұрын
Kulia Tena tupa kule wabaki wanateseka wao dada angu enjoy u are life umelia Sana Dada Sasa imetosha Mungu mwema
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 4 ай бұрын
Alokuipa jila la queen hajarogwa mashallah.
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 11 ай бұрын
Huyu dada nampenda had nampenda tena!
@ummykitira5371
@ummykitira5371 11 ай бұрын
Mfyuuu punguza zarau
@asmahassan5661
@asmahassan5661 11 ай бұрын
​@@ummykitira5371😮😢zarau gn wakat kasema anampenda ama hujasoma vzr umekurupuka
@ernestsereli8559
@ernestsereli8559 11 ай бұрын
Nyie ndio wale wanafki
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 11 ай бұрын
MashaAllah 🎉🎉🎉🎉🎉
@rukiyatajir8064
@rukiyatajir8064 11 ай бұрын
You are right your private life is yours not for PUBLICITY Good show dear❤❤❤
@rukiyatajir8064
@rukiyatajir8064 11 ай бұрын
Queen keep it I adore you from being humiliated by a man to where you are now, you really struggled and you never give up. You indirectly show your opponent that he is never going to out you down.❤❤❤❤
@omanmct135
@omanmct135 11 ай бұрын
Kweli kabisa mungu ndokilakitu❤❤❤safi
@lucianaisrael3841
@lucianaisrael3841 9 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki Queen umependeza mno na Mungu kakujaalia uzuri wa sura na umbo,wanaokuchukia achana nao ishi vile utakavyo mamy❤❤
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 11 ай бұрын
Hongera sana Queen
@hadijahadija4699
@hadijahadija4699 11 ай бұрын
Nimekupenda.sana.
@nickjuma6020
@nickjuma6020 11 ай бұрын
Watangazaji uchwara ni aibu tupu! eti anamuuliza unalipwa kiasi gani! ni upumbavu wa kiwango cha Lami!! Maswali ya kipumbavu!!
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 10 ай бұрын
Apo sasa 😂
@slicehamfrey3504
@slicehamfrey3504 11 ай бұрын
Safi sana kipenzi Mungu akufikishe mbali
@lovierlion-vs9rn
@lovierlion-vs9rn 10 ай бұрын
Neno langu moja kwako Queen,,you have to be expensive,,,usitangaze kila kitu,unatangaza nguo za watu wengi mno ,sasa hivi magari nayo unaaanza kukubali kufanya na makampuni mengi,,,,yaani utawahi mno kuwa normal,,,ebu punguza baadhi ya matangazo ili ugombaniwe na ubaki kuwa wa ghali
@Josephineexsuper
@Josephineexsuper 10 ай бұрын
Kama zarii
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 11 ай бұрын
Safiii sana nguo ZOTE ni nzuri mnoooo
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 11 ай бұрын
FANYA KAZIII MPENDWAAA. UKO SAWAAA❤
@matswelomphela972
@matswelomphela972 10 ай бұрын
Asante dada nimekupenda since then
@zainabwage4658
@zainabwage4658 11 ай бұрын
Nampenda sana queen
@vickyshayo7880
@vickyshayo7880 10 ай бұрын
Nakupenda sana Queen
@aishajuma7813
@aishajuma7813 11 ай бұрын
Mungu atatenda
@ElizaLaurent-gc3hx
@ElizaLaurent-gc3hx 11 ай бұрын
Jaman kaz nzur dada mungu akubariki
@eddamsalilwa4876
@eddamsalilwa4876 10 ай бұрын
Hongera sana Quene unapambana sana
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 11 ай бұрын
Hongera sn Queen ❤
@Adje244
@Adje244 11 ай бұрын
❤ nakupenda tu
@samiatsungura
@samiatsungura 11 ай бұрын
Hongera sana dada
@jescawilson39
@jescawilson39 10 ай бұрын
Nampenda sana Queen❤
@haifamiraji6483
@haifamiraji6483 11 ай бұрын
Zali kama Zali my binamu upo vizuri kwenye kuhoji.
@veronicawilsonmbwambo1054
@veronicawilsonmbwambo1054 11 ай бұрын
Hongera sana endelea kufanya Kaz na kupenda San njisi ulivyo
@abdulbarymohamed643
@abdulbarymohamed643 Күн бұрын
I love you qeeni
@rachelmikey5493
@rachelmikey5493 11 ай бұрын
Ana fanana na zari the bowse
@user-tf7sx9xg7d
@user-tf7sx9xg7d 11 ай бұрын
Unafaaa sana unamuono mzuri
@zaidasalumualute6437
@zaidasalumualute6437 10 ай бұрын
Congratulations
@nestor384
@nestor384 11 ай бұрын
Madam miradi ya serikali ya kutangaza tena?! Utaanza kutukanwa bure maana miradi hiyo mingine iko midomo tangibly haipo?!
@AgathaSanga-ec5hl
@AgathaSanga-ec5hl 10 ай бұрын
Nakupenda tu❤
@user-tf7sx9xg7d
@user-tf7sx9xg7d 11 ай бұрын
Mama samia suluh akupe kazi wewe mwanamke washoka
@user-tk5yy6vj3b
@user-tk5yy6vj3b 6 ай бұрын
Mashaalaah hubby yan me nampendaga sana uyu dada jamani
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 11 ай бұрын
Unajua kujipigia promo dada big up
@rosehillary8742
@rosehillary8742 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mzuriiiii sana
@ashudahiza7871
@ashudahiza7871 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 10 ай бұрын
Queen mzuri bwana acheni wivu
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 11 ай бұрын
MashaAllah, am happy for you darling 😘❤
@sultansallah8772
@sultansallah8772 11 ай бұрын
Mashallah kwenye zinaa ten
@abdulbarymohamed643
@abdulbarymohamed643 Күн бұрын
❤❤❤❤I like you
@verombwambo3703
@verombwambo3703 10 ай бұрын
Kuna mijiwanaume ikikuoa inakufanya kuwa nuksi ona ulivyo sasa kwanza umekuwa mrembo pili umeshatoka kimaisha
@justinendizeye714
@justinendizeye714 11 ай бұрын
Come on mtangazaji kamuambiya nani uyo mwanaume kuangaliya uumbo la mwanamke???
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 10 ай бұрын
Wow
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 10 ай бұрын
Unachezewa tuuu hakuna cha miradi wala nn utaburuzwa mwanzo mwisho na uzee umekufika wakati wa kutulia na familia yako unafanya vitu vya kitoto
@zayanazayana5518
@zayanazayana5518 10 ай бұрын
Nyumba nzuri haikosi mpangaji Vipi Queen akose mpangaji
@aleyidukury8333
@aleyidukury8333 11 ай бұрын
Saiv mwanamke akiwa mdangaji ndio mnamsifia ww nidanga Kama madanga wengine tu
@Trappqueen970
@Trappqueen970 11 ай бұрын
watu wengne nyie ni wachawi sana wa maisha ya watu km wew aleyidukury ntmn nije ulipo nkutemee mate ya uso
@user-db2hi8jn3e
@user-db2hi8jn3e 10 ай бұрын
Roho mbaya haijengi
@veraisaria
@veraisaria 11 ай бұрын
Huyu dada ana akili ana focus kubwa sana😅
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 10 ай бұрын
Queen umekuja na upepo wa kisulisuli hata waliotangulia hawajaufikia
@joank7929
@joank7929 10 ай бұрын
Queen kama Queeeeeen.
@SophiaKilimo-gx7xh
@SophiaKilimo-gx7xh 10 ай бұрын
Pambana dadaangu mungu atakusaidia
@sumaidgasto4721
@sumaidgasto4721 11 ай бұрын
Ezekiel 44:22
@bennamush4616
@bennamush4616 11 ай бұрын
Nyie mnaosema huyu dada ni mdangaji mnataka asiwe na mahusiano amekuwa bundi Kwan haha zake mnataka azipeleke wapi
@spreadlove5300
@spreadlove5300 11 ай бұрын
Shangaa wewe walitaka afie kwa mganga mwaka 😮
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 10 ай бұрын
Wanamkomesha Dr Mwaka hao 😅😅
@user-qb3nr6gl1z
@user-qb3nr6gl1z 11 ай бұрын
Namba plx namba zako nashida San na wew
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 11 ай бұрын
Safi sana dada yule upara roho imuume😂😂😂😂🎉🎉🎉
@fabiansemba4918
@fabiansemba4918 11 ай бұрын
Acha basi😂😂😂
@joyce55727
@joyce55727 11 ай бұрын
😁😁😁
@mwajumamwajuma55
@mwajumamwajuma55 11 ай бұрын
😂😂
@zainabwage4658
@zainabwage4658 11 ай бұрын
Atakufunga wewe 😂😂😂😂
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 11 ай бұрын
@@zainabwage4658 aniwezi hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha 🤣😂😂😂😂😂
@omarymnuru8746
@omarymnuru8746 10 ай бұрын
Nafasi za Serikali hupatikana kupitia Ajira portal utumishi... kwa vigezo.. Kwa nafasi unayotala serikali bado hawajaitengeneza nafasi hiyo.... Gervas Msigwa anaweza pia kuifanya hiyo hata katibu uenezi
@Josephineexsuper
@Josephineexsuper 10 ай бұрын
Acha hizo wewe, hizo kazi Hadi kina shishi wa darasa la Saba wanapewaga... Ndo wanaitwaga mabalozi. Kuna siku nimemwona shishi mkavuu eti anahojiwa katika kwenye mkutano wa kuwafundisha wabunge miradi ya malaria Tanzania
@Josephineexsuper
@Josephineexsuper 10 ай бұрын
Kina msechu na moto ndo kazi hizo wanafanya. Msechu Hadi ule mradi wa puto wa hospital ya serikali
@Josephineexsuper
@Josephineexsuper 10 ай бұрын
Mrisho mpoto Hadi anatembea peku peku😅
@omarymnuru8746
@omarymnuru8746 9 ай бұрын
@@Josephineexsuper Hao ni wasanii wa kuimba...hutumia Sanaa zao Katika kufikisha ujumbe wa kazi walizopewa...
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 10 ай бұрын
Kaingia Tena kwenye Siasa loh 😢
@michaeljames403
@michaeljames403 10 ай бұрын
Kwani huyu ndo aliyenaniliwu na mchungaji!?
@mbanga6759
@mbanga6759 10 ай бұрын
Kwani ndo alokua mke wa dokta mwaka
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 9 ай бұрын
Huyu mama Mungu ame mjaalia alaf tangu ame achana na mumewe ame toboa kimaisha 😂kweli dr mwaka alikua ni JINI MNYONYAJI
@jescawilson39
@jescawilson39 10 ай бұрын
Et ukiwa kama binti 😮 watangazaji bana sasa huyo binti mpe heshima yake ni mama huyo
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 10 ай бұрын
Huyo ni binti au mama 😂😂😂 ww bn sema mama ...au uzur umekuchangany
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 10 ай бұрын
Mie qiunee namwona ni wakawaida saana Yani ni mwanamke aliyejutoshelaza Ila sijaona kuwa ni mzuuuuri mno Ila ni wakawaida sifa zoote anazo za kuwa mwanamke Kama wengine tu na dizaini hii wapo wengi mno kwa rangi yake na black pia wapo Ila ni wakawaida ni mwanamke aliyeubwa kike.hivi huyo na sinya tuseme ukweli Nani kachangamka kwini kapooza mno
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 11 ай бұрын
We nimalaya tu
@yosephakomba1201
@yosephakomba1201 11 ай бұрын
Mh kazi mnay
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 11 ай бұрын
Iloooo roho inakuuma mjombaake doc mwaka
@ivodaman6236
@ivodaman6236 11 ай бұрын
kuna leo na kesho,,,ngoma ikivuma sana jua inakalibia kupasuka, wanawake mungu awasaidie sana hakuna jipya chin ya jua
@joyccembalakele9286
@joyccembalakele9286 11 ай бұрын
Jaman 🙄🙄🙄🙄
@nancyg8664
@nancyg8664 11 ай бұрын
We nae
@zakiakusaja8603
@zakiakusaja8603 11 ай бұрын
Sasa unatakaje watu wasifanye kazi kwenda huko
@spreadlove5300
@spreadlove5300 11 ай бұрын
Nini mbaya 😮😮 mpaka ukasema hivyo???
@user-sq7pz9ex5g
@user-sq7pz9ex5g 11 ай бұрын
​@@spreadlove5300😅😅😅ukute katumwa na DK mwaka huyoo
@angelsblackboard8008
@angelsblackboard8008 11 ай бұрын
hivi ilikuwaje mrembo kama huyu akaangukia kwa pwagu kama mwaka? inasikitisha.
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 11 ай бұрын
😂😂😂bahati mbaya inatokea
@selemankishema5780
@selemankishema5780 11 ай бұрын
Kwisha mama kwisha
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 10 ай бұрын
We mtangazaji usimwambie eti awashawishi watu acha mtu aheshimu ndoa zao unazani wote wakiachika watakuwa kama Queen?
@happywilkins4391
@happywilkins4391 10 ай бұрын
Nilidhn ni mim mwenyew nimeon
@AwaziBange-yo1wq
@AwaziBange-yo1wq 10 ай бұрын
Huyo ni mume wake wa 3 sasa apo me sijui nimuamini mwaka au bidada masanja
@AllyRamadhani-wl3um
@AllyRamadhani-wl3um 3 ай бұрын
Mh yani nimeamini mwanamke mzuri ni mama yako tuuuuu mimi namshauri dk mwaka achukue watoto wake alee mwenyewe huyo x wake atamuharibia watoto.tuangalieni wanawAke wa kuoa jamani
@mammyspecial2
@mammyspecial2 Ай бұрын
Kawaiyo dr ndiyo mama wa watoto au😂😂
@mashamsangi4679
@mashamsangi4679 9 ай бұрын
Unatoka kwenye mwanga unaenda gizani. Hivi ni akili yako? Tafakari maisha ya dunia ni mafupi sana
@jestinabenedict4620
@jestinabenedict4620 11 ай бұрын
ZARI MSHIKE MKONO MDOGO WAKO AENDEREE KUTUFURAISHA WATAZAMAJI
@mariajemutai2968
@mariajemutai2968 11 ай бұрын
Kwani ni dadake zari wa diamond?
@elizabethtindwa7739
@elizabethtindwa7739 11 ай бұрын
Hiyo speed unayoenda nayo itakusumbua maana ngoma ikivuma saaana hupasuka, so be care full...
@marthagabriel3417
@marthagabriel3417 11 ай бұрын
Atakuwa kashatengeneza hela
@glorykweka1631
@glorykweka1631 11 ай бұрын
@@marthagabriel3417 Amen
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 11 ай бұрын
😂😂😂😂
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 11 ай бұрын
​@@marthagabriel3417😂😂😂😂asante jbu zuri
@Josephineexsuper
@Josephineexsuper 10 ай бұрын
Sahizi atakuwa ashamake hela ya kununua ngoma ingine😂
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 11 ай бұрын
Jimbo limekwishachukuliwa
@alexvenas2699
@alexvenas2699 11 ай бұрын
Hakika kama maana halisi ya ndoa ni hiyo ambayo vitabu vya dini nimeeleza basi 🤔
@marympochela7903
@marympochela7903 11 ай бұрын
Una donge, u ovyo wake ni nini?
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 10 ай бұрын
Umalaya tu hakuwa sahihi kwa Mwaka
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 10 ай бұрын
Kweli kabisa na hajistiri kabisa mtu mzima ovyoo
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 11 ай бұрын
Dangaaaa umri umeenda ndio hichoo kilikutoa kwa mumeoo
@aishaa2930
@aishaa2930 11 ай бұрын
Una hakika
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 11 ай бұрын
​@@aishaa2930achana nae uyo anaroho ya lichawiii 😂
@gracekenan4665
@gracekenan4665 11 ай бұрын
Mbona unamhukumu yeye...ulitaka akae kwenye ndoa ambayo mume anaoa na anafanya uhuni kisa awafurahishe nyie .
@patrinussanga519
@patrinussanga519 9 ай бұрын
Wewe kwenye ndoa yako hukutulia kabisa huyu bwana ulishaanza naye muda mrefu acha kutudanganya
@laurencemassawe9100
@laurencemassawe9100 11 ай бұрын
Uyu malaya tu amna jipya
@spreadlove5300
@spreadlove5300 11 ай бұрын
Why alishakuuzia?
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 11 ай бұрын
Roho ya kichawi io loh😂😂 uumie tu mwenzio anafanikiwa we lia lia tu hapa
@angelashitindi5427
@angelashitindi5427 10 ай бұрын
Uchawi huo
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 11 ай бұрын
Wewe ulichoka kuwa mke wamtu kwasababu umesha zoea umalya sasa ukaona kam unabanwa sana so we enderea tu nakudanga kwakua utadumu milele kumbuka utaded hautokaa milele kavumilie kwenye ndoa yako wewe umalaya hautokusaidia popote
@spreadlove5300
@spreadlove5300 11 ай бұрын
Kwa nini unaongea kwa uchungu hivo??? Unajua kilimkuta nini mpaka unasema ni malaya?
@yosephakomba1201
@yosephakomba1201 11 ай бұрын
Wemkundu kweliyani mama ako adangi?
@yeslord2276
@yeslord2276 11 ай бұрын
Umetumwa na yule mwamba mganga eti 😅😅😅 pole sana
@provianapaul6634
@provianapaul6634 10 ай бұрын
Hii coment ni ya mwanaume malaya ,,, alafu mnyanyasi anaedhani kila mtu anaweza kuvumilia ujinga acheni bwana hamjui kitu na hajawah sema lolote kuhusu year wenu muacheni mnaumia
@user-xg8mt1mh7v
@user-xg8mt1mh7v 10 ай бұрын
Duh una maneno makali, kila mtu ana maisha yake na akili yake pia
@sumaidgasto4721
@sumaidgasto4721 11 ай бұрын
Mambo yamebadlika siku hizi. Tunaoa wanawake waliozaa eti ndio wanakili ya maisha. Noma sana.. akili tu ya kujilinda asizae hadu ndoa kwa mujibu wa mila na desturi hana za maisha anapata wapi
@nancyg8664
@nancyg8664 11 ай бұрын
Umeongea utopolo asee,kwan we hujui kuwa aliolewa huyu...
@mariamshabani769
@mariamshabani769 11 ай бұрын
Mpuuzi kweli wewe!..na kwanza hizo mbina wanapeana wanawake kwa wanawake!? Akili kama unayo unayo tu haijalishi umezaa ama lah! Na huyu kazaa akiwa kaolewa!! Makasiriko tu😏
@sumaidgasto4721
@sumaidgasto4721 11 ай бұрын
@@mariamshabani769 unatukana haisaidii soma EZEKIEL 44:22 kama ni mkristo
@sumaidgasto4721
@sumaidgasto4721 11 ай бұрын
@@nancyg8664 pole ila umeshawahi ona katika maandiko mtu kaoa mwanamke asiye na bikra
@mashamsangi4679
@mashamsangi4679 9 ай бұрын
Umelaaniwa wewe
@mbwawafillingstation
@mbwawafillingstation 10 ай бұрын
Pambana Qeen usisikilize wenye wivu Huwezi kupendwa na kila mtu
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 29 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 36 МЛН
MAISHA YA ASHA BARAKA NYUMBANI KWAKE/AMETUTEMBEZA NYUMBA NZIMA
38:21