Рет қаралды 488
Matunda ni lishe muhimu katika mlo wa kila siku, hii ni kutokana na wingi wa faida zitokanazo na ulaji wa matunda. Matunda ni chanzo cha madini na vitamini, chanzo cha antioxidants and kemilali za phytochemicals. Tazama video hii upate kujifunza aina mbalimbali za miti ya matunda na faida za matunda kwa mwili wa binadamu.#wizara_ya_kilimo #wizara_afyatz #wizarayachakula #tfnctanzania
#foodforest# sustainablediet# Edenistheplaceonearth# Letfoodbethymedicineandmedicinebethy food#