FAHAMU NGUVU YA KIBALI CHA BWANA

  Рет қаралды 48,892

Pastor George Mukabwa (JRC Church)

Pastor George Mukabwa (JRC Church)

4 жыл бұрын

Kibali ni rasilimali kutoka mbinguni ya kukupatia mpenyo, ushindi na mafanikio bila wewe kuhangaika. Kibali ni mkono wa kiungu wa Mungu ambao unakuongoza.
Fuatilia kwa ukaribu somo hili ili uweze kujua kibali ni nini, kina nguvu gani katika maisha yako na ufanyeje ili uweze kutembea katika kibali cha Bwana.

Пікірлер: 101
@wilsonkahuthu6604
@wilsonkahuthu6604 23 сағат бұрын
💟 Naomba 💟 Kibali 💟,Neema 💟 na 💟 Imani 💟 ya 💟 Bwana 💟 Yesu 💟 Kristo 💟 Mwokozi 💟 Wetu 💟. .. AMEN 💟 N 💟 AMEN 💟 N 🖐️🙏 N AMEN 💟🙏.
@GraceWanjiruNganga
@GraceWanjiruNganga 2 күн бұрын
Amen Mimi Na pénda kuvuzwa Sana ,juu Mutu husonga Sana kuriko kuhubiriwa, pokea pokea. God bless 🙏 u
@Millie-q6x
@Millie-q6x 4 ай бұрын
God give me favour at work ,with my employer,clients,family members ,community,friends AmenAmen
@LovelyTreasureMap-gy5et
@LovelyTreasureMap-gy5et 4 күн бұрын
Mungu akubariki mchungaji navuka mno mungu snipe neema ya kukuombeya sana
@user-ui4qh2wm4g
@user-ui4qh2wm4g 7 күн бұрын
Kweli paster barikiwa sana haya maafundisho yamenitoa mahali imesonga kwa hatua Ya juu yakutengeneza jina langu mungu we neema awejuu yako siku zote 🙏🏿🙏🏿
@ErickSanga-we3ql
@ErickSanga-we3ql Ай бұрын
Mungu akubariki sana nimepata kitu kizuri sana na nimeelewa
@christinechambuni9060
@christinechambuni9060 10 сағат бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi Amen and Amen
@ruthabed
@ruthabed 20 күн бұрын
Kiukweli postor una nibariki sana na mafundisho yako
@oscarmuhindo1786
@oscarmuhindo1786 Ай бұрын
Mungu akubariki sana muchungaji. Mafundisho yako yamejenga maisha yangu.
@haruonharounkithinji574
@haruonharounkithinji574 2 ай бұрын
God bless pastor George and family
@everinemasoka6923
@everinemasoka6923 10 күн бұрын
Mungu anipe kibali cha ku husika na maisha yangu
@Happiness-cr7sv
@Happiness-cr7sv 2 ай бұрын
Nabarikiwa saaana na mafundizo yako may the lord bless you more
@eunicenjonge2205
@eunicenjonge2205 Ай бұрын
Eee Mungu..wewe mtumishi huwa unanibari sana. Maisha yangu yamebadilika kwa mafundisho yako
@user-vr1cp8xt8v
@user-vr1cp8xt8v 5 ай бұрын
Mutumishi umetoka kwamungu umejuwa maisha ninayo pitiya Mimi maisha yangu nayitaji musanda wamaombi😭😭 nilikuwa naomba niyende ije yamungu katika mawazoyangu SASA nachukulu kwamafundisho 🙏
@floraan4388
@floraan4388 10 ай бұрын
Ooh yes yes wonderful and powerful message be blessed
@kmtcuniversity9310
@kmtcuniversity9310 3 ай бұрын
Oooh Glorg Umeniona Mungu❤❤❤❤❤❤
@lizzymwangi9940
@lizzymwangi9940 9 ай бұрын
I learn alot thro this Altar Thank Yuh Man of God ad God covered wth ur family wth Blood of jesus christ kwa mafuzo yako mazuri umenielemisha xana Nafurahi nikisikia mafuzo yko Tuned🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@everlyneimili
@everlyneimili 11 ай бұрын
sante mtumishi Wa Mungu Kwa Haya mafunzo...barikiwa zaidi
@user-vr1cp8xt8v
@user-vr1cp8xt8v 5 ай бұрын
Kwa mafundisho haya nashukulu kwakuwa nilikuwa najiuliza Mimi kwanini nakuwa hivi chochote ninacho kifanya ninijuwa nimelongwa .kumbe nimelosa kibali cha mungu, nashukulu kwamafundicho haya mutumishi mungu akubariki🤝
@AlexLusekelo-y3t
@AlexLusekelo-y3t 2 сағат бұрын
Barkiwa sana baba
@joanithaangelo
@joanithaangelo Жыл бұрын
Pastor Mungu wambinguni akubariki kwa mafundisho yako pastor
@AzizalucasMbiduka
@AzizalucasMbiduka 2 күн бұрын
Mt mungu akubariki jaman
@godfreycheyo3396
@godfreycheyo3396 4 ай бұрын
Somo limenibariki
@floraan4388
@floraan4388 Жыл бұрын
Ooh yes wonderful and powerful message be blessed
@floraan4388
@floraan4388 Жыл бұрын
Ooh yes wonderful and powerful message .glory be to God
@perpetuajambia9021
@perpetuajambia9021 2 жыл бұрын
Ubarikiwa mtumishi wa Mungu,, sina namna ya kueleza ,,, Mungu akubariki kwa Somo hili
@adrostermethod6996
@adrostermethod6996 18 күн бұрын
Huyu ni professor wa kiroho Ni mwalimu mwema sana amepata kibali cha Bwana Hakika ni mwalimu
@josephwawuda3204
@josephwawuda3204 9 ай бұрын
Ameen mtumishi MUNGU akubariki na ww pia kwa mafundisho yako yame tusaidia sana
@EDDOSTEVEN
@EDDOSTEVEN Ай бұрын
Amen big servart of God nabarikiwa sana nikiwa live from dodoma
@user-zi2ly6fd4i
@user-zi2ly6fd4i 3 ай бұрын
Am blessed man of God
@liliankeyabaraka8195
@liliankeyabaraka8195 Жыл бұрын
Powerful message MUNGU akubariki sana pastor
@ianlukanu2386
@ianlukanu2386 11 ай бұрын
Kwanzia leo na mtumainia Mungu kwa kibali cha maisha yangu siku zote Amen
@gilbertwanje
@gilbertwanje 13 күн бұрын
Amina🇰🇪🇰🇪
@favourndila8474
@favourndila8474 Жыл бұрын
Ameeen kwa Jina la Yesu kwa damu ya Yesu
@elinkailagelege983
@elinkailagelege983 8 ай бұрын
Amina napokea kibali katika njina la Yesu
@moricephilipo3031
@moricephilipo3031 4 ай бұрын
Amina.ukiwa.unahubiri.nakuerewa.vizuri.mungu.akubariki.sana
@user-kt8xh9nj5v
@user-kt8xh9nj5v Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 Mtumishi wa Mungu na wewe pia Ubarikiwe
@floraan4388
@floraan4388 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu hakubariki sana sana
@mlongongomr9925
@mlongongomr9925 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏 ubarikiwe mtumishi wa mungu
@AaaBbb-fw3sw
@AaaBbb-fw3sw Жыл бұрын
Amen ameen powerful message pastor
@floraan4388
@floraan4388 10 ай бұрын
AMEN AND AMEN 🙏🙏🙏🙏👏👏
@fredrickonesmo4023
@fredrickonesmo4023 9 ай бұрын
Am following from Arusha and I can confidently agree that God is using Pastor George to understand the truth in a very unique and special way.
@floraamwakasita9273
@floraamwakasita9273 5 ай бұрын
Amen
@georgeswaiswai4581
@georgeswaiswai4581 2 жыл бұрын
Balikiwa mtumish
@evamusuruve3196
@evamusuruve3196 Жыл бұрын
MUNGU akubariki , mtumishi ,nakufatulia sana ,, 😭😭🇧🇭🇧🇭🔥 umetumwa na BABA mbinguni ,kwajili ya maisha yangu
@claralucy4230
@claralucy4230 11 ай бұрын
Kwakweli
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 жыл бұрын
I came across this channel after Apostle Arome left ystdy. Heard heza great teacher. Let me pay attention
@princesschumbaa98
@princesschumbaa98 2 жыл бұрын
Nimegundua naitaji kibali,,santi sana mtumishi nimebarikiwa sana
@FredrickWanjala-lq6oo
@FredrickWanjala-lq6oo 4 ай бұрын
God bless u following from Bungoma Kenya ,every day from 12 noon and 10pm I do follow u and am blessed,
@mteulehalisi2352
@mteulehalisi2352 2 жыл бұрын
Mungu akutie Nguvu Mtumishi wa Mungu
@ruthabed
@ruthabed 4 ай бұрын
Amen nabarikiwa sana na neno na mahibiri yako
@rehemakatana1137
@rehemakatana1137 2 жыл бұрын
Amen, ooo yes aki wafunza ukweli kabisa
@kainibachungege3430
@kainibachungege3430 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Mtumishi
@user-bl2jj5lo4q
@user-bl2jj5lo4q 3 ай бұрын
Unanibariki mnoooooo nakumbuka ulishasema anarpasa kukubariki ni MUNGU pekoe au watumishi wa ngazi za juu yako, but naomba MUNGU akubarikiiii
@monicalaizer7596
@monicalaizer7596 11 ай бұрын
Amen Mtumishi Mungu Mungu amekupa karama ya kufundi watu wakaelewa mimi Niko Arusha tawi la kanisa lipo wapi Arusha kwani nabarikiwa na mafundisho yako
@rehemakatana6106
@rehemakatana6106 5 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
@patrciaglass3904
@patrciaglass3904 3 жыл бұрын
HALLELUJAH 🙌🙌🙌🙌
@michaelmaganga2359
@michaelmaganga2359 Жыл бұрын
Amin mtumishi
@neemaloy889
@neemaloy889 Жыл бұрын
Yesu nakuitaj Sana
@Heavyweight1111
@Heavyweight1111 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako mtumishi yamenijena sana na kuzidi kunipa Imani kubwa
@carolinakimuli3015
@carolinakimuli3015 10 ай бұрын
Jamani huyu ni Mwalimu, au ni professor wa injili, sijapata kuona mchungaji mzuri kama huyu, kweli wewe ni mchungaji uliyepewa kibari na Mungu barikiwa sana baba❤❤
@lizzymwangi9940
@lizzymwangi9940 9 ай бұрын
Absolutely ako n mafuzo mazuri wacha explanation yake iko deep and understanding yanii kuelezea mpkha n bible verses ata mtu akiwah busy unadikha vitabu then unajisombea ukifikha kw nyumba unaelewah wht God wht to do Ur blessed Man of God more power more grace
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 9 ай бұрын
Yaani huyu pastor jamani nasikia kulia. Watu tumehangaika kusali bila matokeo chanya. Lakini kupitia huyu Baba Mimi nimsfanikiwa kuomba na kupata matokeo. Matokeo ukiomba vzr hata hupati shida ya kusubiri unayaona papo Kwa papo. Huyu mtumishi Mungu aendelee kumlinda ili tufaidie wanaadami. Kwani shetani anatumia vibaya mnooo. Nawaombea na wenzangu wasali kupitia huyu Baba waombe Roho mtakatifu awape macho ya Rohoni kuona na kutambua yaliyopo sirini kwenye bibilia. Nakutukuza eeh Mungu kupitia huyu mtumishi wako😢😢😢😢
@aminielyusufu4351
@aminielyusufu4351 5 ай бұрын
Huyu ni mashine ya Mungu wa kweli. Tafuta somo la mbegu na kutembea katika mafanikio
@upendodominick
@upendodominick 4 ай бұрын
Perfect nilikuwa natafuta mchungaji anaetoa neno kama huyu. Mungu assnte
@rehemamfunami1604
@rehemamfunami1604 4 ай бұрын
Huy ni zaidi ya professor
@evilahmponzi5312
@evilahmponzi5312 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana
@user-ok3jy7pv8k
@user-ok3jy7pv8k 9 ай бұрын
Amina
@beatricekasambula1657
@beatricekasambula1657 8 ай бұрын
Amina Mimi nabarikiwa na huyu baba Mchungaji jamani
@AlexLusekelo-y3t
@AlexLusekelo-y3t 2 сағат бұрын
Baba niombee nipate kibari naomba namba ya sim mtumishi
@mawembekojuka7670
@mawembekojuka7670 2 жыл бұрын
Nimefunguliwa
@rachelwilliam3585
@rachelwilliam3585 11 ай бұрын
Amen 🙏🏾
@annatemu4488
@annatemu4488 11 ай бұрын
Amen 🙏
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 2 жыл бұрын
Ameeeen 🙏🏻🙏🏻
@ashakahabi946
@ashakahabi946 Жыл бұрын
Amen dady
@ferdinandnomasana1330
@ferdinandnomasana1330 2 жыл бұрын
Amen
@rossyokura2439
@rossyokura2439 11 ай бұрын
AMEN.
@user-bl2jj5lo4q
@user-bl2jj5lo4q 3 ай бұрын
Sipendi watu wanaoandika jina la YESU eti yesu au mungu ndio nini hiko? Hamuogopi kuandika hivyoo!!
@victoriamaige2862
@victoriamaige2862 Жыл бұрын
Unanifundisha mpaka naona hakuna maandiko tena 😂
@kmtcuniversity9310
@kmtcuniversity9310 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@veronikaaugustino2258
@veronikaaugustino2258 2 жыл бұрын
AMINA
@user-ok3jy7pv8k
@user-ok3jy7pv8k 9 ай бұрын
Katikati ya kipindi kigumu nimeuiswa tena
@ronahemmajay1477
@ronahemmajay1477 Жыл бұрын
Viwango vya kibali First favor Recommendation favor Prepared favor Visible favor Unlimited favor
@henrytarimo9802
@henrytarimo9802 10 ай бұрын
Bhana naomba kibali mbele ya macho yako
@judithmiruka8954
@judithmiruka8954 6 ай бұрын
Pastor napenda sana kusikiza mahubiri yako,hapa nakukosoa,kidogo MTU akifa haendi mbinguni huwa analala kaburini akingojea ufufuo wa Yesu Kristo kitabu cha ufunuo 21 :4
@ednakyara4754
@ednakyara4754 3 жыл бұрын
Nataman kutuma sadaka sijui naitoaje
@leolyayuka8935
@leolyayuka8935 3 жыл бұрын
Nami pia nimebatikiwa. Anayefahamu contact za mtumishi naomba ashee humu.
@jacquesmatenga8242
@jacquesmatenga8242 2 жыл бұрын
Hii neno
@malindisamwel7630
@malindisamwel7630 2 жыл бұрын
Ameeeeee
@rehemamkwanda4591
@rehemamkwanda4591 10 ай бұрын
Emen napokea kibali cha kukujua zaidi Mungu wangu. Napokea kibali cha kutembea kwenye baraka, napokea kibali cha kuinuliwa kiuchumi, napokea kibali cha uponyaji wa afya yangu katika jina la Yesu emen.
@floraan4388
@floraan4388 10 ай бұрын
Ooh yes yes mungu tusaidie kutembea katika kibali
@joycematenga7367
@joycematenga7367 2 жыл бұрын
Haleluya 👏👏👏
@nancybryant4149
@nancybryant4149 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu asante sana kwa mahubiri nime barikiwa kesho. Shida yangu naomba kufahamu je wakristo tuna Mungu watatu? Kuna andiko katika Biblia linalo support Mungu watatu naomba kusaidiwa. Barikiwa
@floramaro7651
@floramaro7651 10 ай бұрын
MUNGU NI MMOJA..ILA NAFSI NI TATU. MUNGU BABA MUNGU MWANA(YESU) MUNGU ROHO MTAKATIFU
@manfordmkinga4080
@manfordmkinga4080 3 ай бұрын
Sawa na mtu mmoja ila ana nafsi,Roho na Mwili(sawa na Mungu vivyohivyo)
@samwelilusambo1637
@samwelilusambo1637 2 жыл бұрын
Amina
KUFAHAMU AGANO LA KIBALI
1:11:26
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 13 М.
🔴#Live: NI JAMBO GANI LINATESA MOYO WAKO - Japhet Magoti
1:55:21
Please be kind🙏
00:34
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 186 МЛН
OMG😳 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:58
Potapova_blog
Рет қаралды 4 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 4,4 МЛН
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18
JINSI YA KUJAZWA NA NGUVU ZA KIROHO
50:13
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 33 М.
JInsi ya kuvuta kibali cha Mungu cha mafanikio
46:50
Lawi Mshana
Рет қаралды 1,1 М.
IBADA YA KWELI NA YA UONGO KATIKA UNABII PR. JOSHUA NGUGUNA
55:54
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 3,3 М.
NGUVU ILIOKO KATOKA MAONO (JOEL NANAUKA)
1:07:09
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 89 М.
NGUVU YA SHUKRANI  || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 04/09/2022
1:21:21
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 8 М.
FAHAMU NGUVU YA NEEMA
44:13
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 5 М.
KANUNI HII ITAKULINDA KILA UENDAPO - PR DAVID MMBAGA
1:02:15
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 26 М.
FAHAMU JINSI MUNGU ANAVYOONGOZA PART 3 - PASTOR GEORGE MUKABWA
1:31:43
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 9 М.
KUFAHAMU FADHILI ZA MUNGU NA JINSI ZA KUZITUMIA   || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 30/10/2022
2:10:27
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 3,3 М.
Котята уехали в Лагерь! 🏕  #симба #тигра #симбочка
0:59
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 1,8 МЛН
How the hell is this done#joker #shorts
0:14
Untitled Joker
Рет қаралды 2,8 МЛН
СБОРНАЯ КАВКАЗА ВЫИГРАЛА ЧЕМПИОНАТ МИРА!
0:30
Русский Футбик 2.0
Рет қаралды 4,5 МЛН