FORBES yatoa orodha ya MABILIONEA wa AFRIKA 2024, MO DEWJI ndani, hii ndio nafasi anashikilia

  Рет қаралды 24,426

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

6 ай бұрын

Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.com/store/apps/de...

Пікірлер: 103
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 6 ай бұрын
Siku moja itakuwa ktk uzao wangu 1 WAKORINTO 1:9🙏🙌🙌
@AMINIPARTS
@AMINIPARTS 6 ай бұрын
Yote yanawezekana kwake aaminie
@andreamutekulwa1092
@andreamutekulwa1092 6 ай бұрын
Amen kubwa sana na itendeke kwako na kwetu pia🙏🏾
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 6 ай бұрын
Km nitakosa duniani mungu anipe peponi
@slishdeby1208
@slishdeby1208 6 ай бұрын
🙏🏽 amen
@maheitumdintunya2928
@maheitumdintunya2928 5 ай бұрын
endelea kusoma bibilia wenzako wanafanya pkazi
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 6 ай бұрын
SIMBAAAAAAAAAAAA VP #GSM VP
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 6 ай бұрын
Hakuna Simba hapo, Kuna mo dewji ndugu huo ni utajiri wake sio wa timu😂
@AliAbdalla-lb8su
@AliAbdalla-lb8su 6 ай бұрын
Mo ndio tajiri afrika mashariki
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 24 күн бұрын
Dah!! Wamenisahau😭😭
@user-km5jc6sv5f
@user-km5jc6sv5f 6 ай бұрын
Kenya tunao mabillionea sema wamezipata pesa zao kwanjia mbovu kwahio pesa zao ziko off shore
@user-hx2if3ep2m
@user-hx2if3ep2m 6 ай бұрын
Naamini Kenya wapo kibao tu sema pesa zimefichwa sanaa 😂😂😂😂
@geomangi6123
@geomangi6123 6 ай бұрын
kweli kabisa
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Soon815
@Soon815 6 ай бұрын
Hamna kitu sifa za kijinga tu.
@peterdeus6093
@peterdeus6093 6 ай бұрын
Hasa wanasiasa hawànaga pesa safi wiki mtupu, hata hapa bongo wapo kibao
@user-rm5pt2qf9b
@user-rm5pt2qf9b 6 ай бұрын
Sns❤
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp 6 ай бұрын
Watu wenye pesa zao🙏🙏
@GefreySamson-ch5sn
@GefreySamson-ch5sn 6 ай бұрын
Kila mwanaume ndo ndoto yake inshallah one day on me 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@amoogaza6825
@amoogaza6825 5 ай бұрын
Amoo Gaza save this 2060
@damymzuri9989
@damymzuri9989 6 ай бұрын
Kenya vp
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 5 ай бұрын
Bado sana
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 6 ай бұрын
Duuu ina maana wakenya matajiri wote ni wa umoja wa mataifa ? yaaani wanawakilisha watu wa ng'ambo kule UN ?
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 ай бұрын
👊✌️👍。
@chariedecute8200
@chariedecute8200 6 ай бұрын
So bakhera,,GSM,, n nn jmn kwa mm najuaga bakhera ndio top kumbe sjui kitu
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 6 ай бұрын
Yaani hujui kitu😂😂😂
@FocusTradeacademy
@FocusTradeacademy 6 ай бұрын
What about Tony Elumeru from Nigeria?
@rsautoservice984
@rsautoservice984 6 ай бұрын
Mbona bakharesa simsikii
@jacobmenganyi7830
@jacobmenganyi7830 6 ай бұрын
Ayo ndo Mambo tunataka kuhusu maisha ya watu tusiokua na kitu😂😂 congrats SNS
@mohammedshishishi6375
@mohammedshishishi6375 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 6 ай бұрын
Matajiri tuko wengi tu sema tu ni rank zetu zinaboa kuorodhesha.
@Adevitutv
@Adevitutv 5 ай бұрын
Kama unaamini mafanikio ni kupambana tia like hapo
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 6 ай бұрын
Mbona GSM hajatajwa jamani ,,hizi ni hujuma😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@brunoh_bx
@brunoh_bx 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@richardbegga6679
@richardbegga6679 6 ай бұрын
GSM ana pesa za Komdomu
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 6 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@salummasoud2567
@salummasoud2567 5 ай бұрын
Habari ni nzuri ila muwe mnataja hizo hela Tshs
@user-rj9mb4yk6l
@user-rj9mb4yk6l 6 ай бұрын
Forbes mbona hawajaniweka hii tabia wameanza lini Mali zote nlizonazo na makampuni
@joshuaandrew386
@joshuaandrew386 6 ай бұрын
😂😂😂
@vibetz9991
@vibetz9991 5 ай бұрын
Niliwaambia Forbes wanitoe kwenye rist, sipendi umaarufu😢😢
@abelmbilinyi1262
@abelmbilinyi1262 5 ай бұрын
😅😂
@youngrich6661
@youngrich6661 5 ай бұрын
😂😂
@Avith-lj2sp
@Avith-lj2sp 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@stanastana3199
@stanastana3199 6 ай бұрын
Hii list mbona diamond hayuko forbes wacheni ubaguzi
@youngrich6661
@youngrich6661 5 ай бұрын
Diamond anaelagani na ww
@visusajonas4354
@visusajonas4354 6 ай бұрын
Moise katumbi in DRC congo
@CROWNMEDIAKE
@CROWNMEDIAKE 6 ай бұрын
Diamondplatnumz ako wapii😂😂😂😂
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 6 ай бұрын
Kuwa na heshima basi hakuna msanii anaeweza kuingia hapo hata wakina Jay Z hapo hawaingii hao ni wafanyabiashara wakubwa ndugu
@christophekyandaza1113
@christophekyandaza1113 6 ай бұрын
Akuna mwenye ana shinda Joseph kabila na katumbi
@diti4899
@diti4899 5 ай бұрын
Aaaaa kwako
@kasenatoursandtravels8865
@kasenatoursandtravels8865 5 ай бұрын
Kenya kuna matajiri wengi moi family and kenyatta family wako na over 2.5 billions dollars 😊
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 5 ай бұрын
Hao wana senti za kununulia maandazi ndiyo maana kwenye orodha hii hawapo.
@josephmshana5833
@josephmshana5833 6 ай бұрын
Kenya kwan vipi had zimbabwe wanawazid si mumtoe mmoj akakatwe vidole aingie kwenye list
@saidfhamad
@saidfhamad 6 ай бұрын
Kenya hawana billionaire kweli licha ya kingereza chao chote??
@stanastana3199
@stanastana3199 6 ай бұрын
Kenya tuko na wengi sana
@mwanahamisijuma7270
@mwanahamisijuma7270 6 ай бұрын
Duuh nimesaulika jamani😂 mmi niko wpi ssa
@peterdeus6093
@peterdeus6093 6 ай бұрын
Jitafute kwenye mtaa wako uone wangapi wanakukimbiza
@BlackMirrorTz
@BlackMirrorTz 5 ай бұрын
Samahani Me Sijaelewa Zaid Hivi Dollar Billion 1 Ni Sawa Na Kiasi Gani Hapa Kwetu? |🇹🇿
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 6 ай бұрын
Hii sio fair,,GSM ,Mbona hajatajwa✍️
@alexsuleiman3795
@alexsuleiman3795 6 ай бұрын
gsm tajir sio bilion
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 6 ай бұрын
@@alexsuleiman3795 hii ni hujumaaa ,hujumaaa
@richardbegga6679
@richardbegga6679 6 ай бұрын
GSM ana pesa za Kondomu tu Hana Hela ya kutajwa na Forbs kwa kipi Alicho nacho?
@makamekhalfan5968
@makamekhalfan5968 6 ай бұрын
uongo t huu tuseme baharesa maskini
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 24 күн бұрын
Bhakresa still put his money in spanbox so is difficult to know how he save until take hamer and break🤣🤣
@JastoLeleJnr
@JastoLeleJnr 6 ай бұрын
Kenya mabilionea wapo sema pengine hawajataka kuweka wazi mali zao kwa mfano the Kenyatta family ni mabilionea
@FeruziAbdalla
@FeruziAbdalla 6 ай бұрын
Kenya akuna mabilionea
@vitalisjuma4451
@vitalisjuma4451 6 ай бұрын
Kenyan hakuna ma bilionea ni wezi tu ndio wako
@stanastana3199
@stanastana3199 6 ай бұрын
😂😂​@@vitalisjuma4451
@Soon815
@Soon815 6 ай бұрын
Hakuna billionea kenya full stop
@ipatemedia
@ipatemedia 5 ай бұрын
Siku Moja nitakua katika hiyo horoza
@BigZhumbe
@BigZhumbe 5 ай бұрын
Wakenya wanaskilia vibaya wapi?
@alexsuleiman3795
@alexsuleiman3795 6 ай бұрын
tajir chui wa ngapi
@TheAlman
@TheAlman 6 ай бұрын
Asa mbona jina langu wamesahau apo
@fadhilinyengo8262
@fadhilinyengo8262 6 ай бұрын
Wewe subili list ya Macholo
@TheAlman
@TheAlman 6 ай бұрын
@@fadhilinyengo8262 😂😂😂😂
@jonaskilomba4094
@jonaskilomba4094 5 ай бұрын
Mi mbona siwekwi? Sikubali nadhani inafaa niwaulize forbs
@jamesnkumbila5937
@jamesnkumbila5937 6 ай бұрын
Sijamuona Zari 😂
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc 6 ай бұрын
Ipo siku yake tu
@isabellarkageha7707
@isabellarkageha7707 6 ай бұрын
🤣🤣
@Donrugi
@Donrugi 6 ай бұрын
Since 2020 hadi 2024 bado $1.8B
@BigZhumbe
@BigZhumbe 5 ай бұрын
2020 si alikua 1.5B?
@Mkombozi255
@Mkombozi255 6 ай бұрын
Bahressa ni milionea wa dollar lakini😅kingine matajiri wengi wa kiafrika huficha Mali zao kwa majina ya ndugu zao.unaweza kukuta Viwanja vya bakhressa au boti zake hazipo kwa majina yake.hata hivyo ubilionea siyo kwapa😅😅 kila mtu anayo😅
@stevenmvungi3602
@stevenmvungi3602 5 ай бұрын
Issue ya 1b usd Sio Tako kwamba Kila mtu analo
@stevenmvungi3602
@stevenmvungi3602 5 ай бұрын
Ila africa Bado sana Yani utajiri wao wote haufiki hata nusu ya utajiri wa elon musk😂
@kazkaz1943
@kazkaz1943 5 ай бұрын
Forbes hawakuweki bila wewe kuwatumia info zako una apply kama unaomba kaz so mnaosema hamumuon Gsm r bakhresa inawezekana hawajaomba au wameomba wamekosa😂
@Zenny89
@Zenny89 6 ай бұрын
Ole wao nisikie Wakenya wakisema sisi Ndo watu wa kwanza……🤣
@user-hw4tv5bh6p
@user-hw4tv5bh6p 6 ай бұрын
Hawakawiii kusema mo ni wakwao
@stanastana3199
@stanastana3199 6 ай бұрын
@@user-hw4tv5bh6p mo ni mkenya bro
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 6 ай бұрын
Furahieni Tu kuitwa MATAJIRI laini MWISHO WA SIKU NI KIFO
@brunoh_bx
@brunoh_bx 6 ай бұрын
Kwan masikini hafi!!?😮
@salehjuma5242
@salehjuma5242 6 ай бұрын
Acha wivu hata mim na wew tutakufa ukiskia roho ya kwanin ndio hiyo😒
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 6 ай бұрын
Akili za kimaskini hizo😂 Fanya kazi na wewe iitwe tajiri acha kutishia matajiri kifo😂😂😂
@emmanuelmichael4230
@emmanuelmichael4230 6 ай бұрын
Masikini hufa harak kwani hata panaldo anashindwa kununua😂😂😂
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 5 ай бұрын
Gsm mbn hamjtj
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 6 ай бұрын
M naamini kuna matajiri hawataki kujitangaza waki amuwa kujitangaza hapo wengi watajikuta chini😅 Bakhresa hataki kujitangaza mtasubiri sana
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 5 ай бұрын
@Dimokotz usilo lijua ni sawa na usiku wagiza
@SiahShayo-mx5gt
@SiahShayo-mx5gt 6 ай бұрын
Mbona wamemsahau ASAKE WA TANDALE kwenye list ya fasibuk
@jonaskilomba4094
@jonaskilomba4094 5 ай бұрын
Kenya ni kelele tu
@zikirination6769
@zikirination6769 5 ай бұрын
Pesa ya kenya ni yatiktok tu ama pesa yetu inanunua tz yote hata bilinear mmoja hakuna😂
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,4 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 32 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 7 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 52 МЛН
LIFE WISDOM : FANYA HAYA ILI USIJUTE UZEENI - JOEL NANAUKA
12:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 19 М.
WAJUE MARAIS wa AFRIKA WALIOKUFA WAKIWA BADO WAPO MADARAKANI..
6:11
Global TV Online
Рет қаралды 94 М.