MJUE AL MAKTOUM, BILIONEA wa DUBAI ANAYEISHI KAMA YUPO PEPONI..................

  Рет қаралды 975,953

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

AL MAKTOUM, BILIONEA WA DUBAI ANAYEISHI KAMA YUPO PEPONI
Ipo wazi kwamba hakuna mji wa kibiashara uliochangamka katika eneo la Mashariki ya Kati kama Dubai! Jengo refu zaidi kuliko yote duniani, Burj al Khalifa, lipo Dubai na ndani yake kuna maduka makubwa zaidi duniani ya Dubai Malls!
Kuna majengo mengine ya kisasa zaidi duniani ikiwemo Burj Al Arab, vivutio vya kitalii na vituo vikubwa vya uwekezaji kama palm Island, Dubai Internet City, Dubai Media City, Dubai International Finance Centre na kadhalika!
Kwa kifupi ni kwamba Dubai ni kama ‘pepo’ ya duniani hivi, yanapatikana mambo ambayo huwezi kuyapata sehemu nyingine yoyote duniani! Pengine unaweza kujiuliza, ni nani aliyepo nyuma ya mafanikio yote haya ambayo Dubai imeyafikia?..... GLOBAL TV ONLINE IMEKUANDALIA...
GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
HABARI MPYA DAILY:
kzfaq.info?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
kzfaq.info?list...
GLOBAL RADIO TV:
kzfaq.info?list...
EXCLUSIVE INTERVIEW:
kzfaq.info?li

Пікірлер: 760
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 4 жыл бұрын
Haya yote yaduniani nisawa navumbi lenye kutawanyika na kimbunga Pepe itabaki daima usifananishe pepo ya Allah na mapambambo ya dunia
@shamsisaady4029
@shamsisaady4029 4 жыл бұрын
Ndugu hiyo ni lugha tu imetumika...tunaita kutia chumvi ili kunogesha simulizi...ni sawa utumwe dukani hlf mzee wako akakuambia "huko dukani mwaka mzima" au akakuambia "ulienda kununua makka au" ... Ni si makosa kusema ivo acha kuyafanya maisha kuwa magumu mzee!
@glorymrema6609
@glorymrema6609 4 жыл бұрын
Fatma Khanii riliiii sanaana
@habibuabdallah2657
@habibuabdallah2657 4 жыл бұрын
Fatma Khanii kabisa
@saidinyoni1937
@saidinyoni1937 4 жыл бұрын
Hasaa hilo ni kweli usifananishe napepo yamungu kabisa
@kaishazabengesi2971
@kaishazabengesi2971 3 жыл бұрын
Si vizuri kubeza aliloliruhusu Mungu. Twapashwa kumshukuru kwani uhenda kwa njia moja au nyingine ipo faida yakuwa na wenzetu kwa wakati huu ambao Mungu amependa wewe, mimi na yeye tuwe hai!!!!!!
@rukiakipande186
@rukiakipande186 3 жыл бұрын
Kama malizote tutanziacha hapa duniani gonga like twende xawa
@abdallahkwagga9120
@abdallahkwagga9120 3 жыл бұрын
Kaul za kimaskini
@justinamusyoka4986
@justinamusyoka4986 3 жыл бұрын
Maksudi ya mali ni kusaidia watu hapa duniani,na ndiyo inafanyika.Kuna watu hawaoni vizuri tajiri akiendelea zaidi wakisahau mali yake ni yetu pia.
@fx-farm6888
@fx-farm6888 3 жыл бұрын
Utajiri ni wakupita ni sawa lakini upitie nakwako basi
@oficialzaujath2919
@oficialzaujath2919 4 жыл бұрын
Hakuna mfano wa pepo pepo ni ya mungu tu usikifuru
@mohabatkhanmalak1161
@mohabatkhanmalak1161 4 жыл бұрын
Kweli sana, bwana.
@hallin9561
@hallin9561 4 жыл бұрын
Kichwa panz umeambiwa pepo ya duniani,, iyo ya Mungu umewahi kufika au umefika kwa maandiko
@allykutenga2862
@allykutenga2862 4 жыл бұрын
Sasa m2 akisema mpenzi wake mzur kama Malaika inakuwa vp hajakufuru??!! acheni upumbavu lazm mpambanue nn kamaanisha hiyo kusema yupo kama peponi yaani anamaanisha wa2 neno shida hawalijuwi wao wapo ktk burdani na stareh 2uuu..
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
Hiyo pepo ya Mungu iko wapi?
@kingofccl6886
@kingofccl6886 4 жыл бұрын
@@allykutenga2862 dont just bring argument out ot the blue, tafuta kwanza nn maana ya pepo Alaf si kila kilichozoeleka kufanywa na watu is appropiate to do bear that in mind
@salmasaidi2875
@salmasaidi2875 4 жыл бұрын
Mashaa ALLAH Ndio bahati yake na km mali yake ametumia kwa Maskini,wajane na viwete Alhamdulillah Allah ampe Zaidi na amkinge na Shari Allahumma Aamiin.
@marygitahi9040
@marygitahi9040 4 жыл бұрын
kweli fimilia yeye na fayia kazi anawaxaidia kweli kila kitu
@daudipaulomatanga2947
@daudipaulomatanga2947 4 жыл бұрын
Allah kamruzuku nas twaomba atupe maisha mazuri
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 3 жыл бұрын
Amin yaaraby
@zainabubakari8489
@zainabubakari8489 4 жыл бұрын
i love so much my country Tanzania
@memoriesinlovewithtravisto7496
@memoriesinlovewithtravisto7496 4 жыл бұрын
He's the best ruler by the way,I've worked in Burj khalifa and yes Dubai is also the safest place at the moment,.
@hammerQ954
@hammerQ954 4 жыл бұрын
Juu ya utajiri wake wote hana namba ya NIDA🙌
@farhenfaris88
@farhenfaris88 4 жыл бұрын
😂😂😂 dah
@alfredlimu308
@alfredlimu308 4 жыл бұрын
Umeua
@hidayaissa7402
@hidayaissa7402 4 жыл бұрын
umetsha mwana aisome iyo
@ibrayomapenzi1743
@ibrayomapenzi1743 4 жыл бұрын
Haahahaj acha utani bwana yeye si mtanzania sawa na weye mbona huna namba ua Al dubai Hurufii
@jokhaally7626
@jokhaally7626 4 жыл бұрын
Bangimbichi hyo kaka
@seffsamwel5649
@seffsamwel5649 2 жыл бұрын
I love you al makhtoum, stay in knowing that, the more you helping others the more you got more, from allah, I wish you all the best of your life and your family, 💜♥️❤️♥️🇹🇿😭, never stop to help others, see you one day,
@oblack3051
@oblack3051 4 жыл бұрын
Mashaallah mung amzidishie na ss tuw km yey
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 4 жыл бұрын
Let him enjoy his life as he make other's happy
@KalabaKlb
@KalabaKlb 2 ай бұрын
Mwenyezi MUNGU amuzidishie kikubwa moyo uliyo safi ili siku akiitwa aweze kuwa tayari kuishi katika ufalme wa Mwenyezi MUNGU baba 🙏🙏
@aby21111
@aby21111 4 жыл бұрын
Ya Allah bless my country forever 💃👍💪💪❤
@janenjenga5639
@janenjenga5639 4 жыл бұрын
Kenya forever penda wewe daima ✊✊🇰🇪🇰🇪
@dennistheacrobat8701
@dennistheacrobat8701 4 жыл бұрын
Strong together 🇰🇪🇪🇸
@KevinWakliFitness
@KevinWakliFitness 4 жыл бұрын
Napenda nchi yangu, Kenya...Daima mimi Mkenya. Ndugu zangu wa Tanzania na Uganda pia nawapenda kwa upendo wa Mungu🙏🙏🙏
@abilityrabia2277
@abilityrabia2277 4 жыл бұрын
Nakupenda pia uwe na maisha marefu
@franaelisumari5108
@franaelisumari5108 Жыл бұрын
Amen Amen .From Tz we love you too.Let love lead.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 4 жыл бұрын
Hakuna kitu kibaya kama uchoyo. Mungu akikupa na ikawa na uchoyo basi ujue huendi mbali. Juu ya kuwa matajiri,wamekaribisha wageni kutoka kona zote za Dunia kuja kujishughulisha na kazi za aina mbali mbali,muhimu wafuate sheria za nchi.Leo wako watu wanaotoka zaidi ya nchi 150 wanaishi kwa amani na usalama. Tunawatakia maendeleo zaidi katika miaka ijayo.
@zakakilaku8403
@zakakilaku8403 3 жыл бұрын
Ww
@ummyhasheem2245
@ummyhasheem2245 2 жыл бұрын
Amiin 🥰
@ummimohammed9359
@ummimohammed9359 3 жыл бұрын
Allah amjaalie maisha mema mpk peponi yeye na sisi pia。ameen
@seffsamwel5649
@seffsamwel5649 2 жыл бұрын
I love you Mohammed bin Rashid, ❤️🙏🙏♥️💜🇹🇿 help others
@hussainomar1849
@hussainomar1849 4 жыл бұрын
PEPO YA MOLA WETU HAINA MFANO CHOCHOTE KILICHOPO DUNIANI HAKIWEZI KUFANANISHWA NA VILIVYOMO PEPONI.
@nassorrashid2521
@nassorrashid2521 4 жыл бұрын
Sahihi
@steveswakei9600
@steveswakei9600 4 жыл бұрын
Hawa wanaamini peponi kuzuri kama mali ya huyu mfalme wa dubai, nanyi mnaamini peponi yenu nikuzuri kuna ma bikra?
@seifkulwa3346
@seifkulwa3346 3 жыл бұрын
Peponi ni hapahapa dunia ndo utamu wetu ulipo km kuna mtu anaamini Kuna utamu wa maisha zaidi ya haya hiyo ni abstract!
@abdalahabdalah7853
@abdalahabdalah7853 3 жыл бұрын
@@seifkulwa3346 ukosahihi kabisa, waliotuletea dini walibadili na wanajua kabisa hii dunia tunayoichezea ndio pepo yenyewe
@aokinsindi6948
@aokinsindi6948 3 жыл бұрын
Mola kampa
@mkingasana400
@mkingasana400 4 жыл бұрын
Tanzania is the most beautiful country in the world
@assiaamiri5645
@assiaamiri5645 4 жыл бұрын
Mkinga Sana nyooo unaharisha
@micamathew6433
@micamathew6433 4 жыл бұрын
Ahsante sana na ubarikiwe sana.
@allyahmed4014
@allyahmed4014 4 жыл бұрын
Ujielewi
@micamathew6433
@micamathew6433 4 жыл бұрын
@@allyahmed4014 ww ndo hujielewi, kwasababu Tanzania ni nchi nzuri kuliko yote duniani. Heb tafuta nchi nyingine nzuri kama Tanzania kisha uniambie.
@mohamedmuhajiri8348
@mohamedmuhajiri8348 4 жыл бұрын
@@micamathew6433 hahahahahaaaa ww akili una kwel
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 жыл бұрын
Hakuna NCHI nzuri na yenye Aman Kama NCHI yangu TANZANIA 🇹🇿🇹🇿 hzo NCHI zngne ctak shobo nazo wacha npak na Tz yangu LOve u 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@eliudjacob2421
@eliudjacob2421 4 жыл бұрын
Sana nyumbani kwanza
@natureworld295
@natureworld295 4 жыл бұрын
Enda hata US hutatamani kurudi TZ tena
@ngajiroman6186
@ngajiroman6186 4 жыл бұрын
kwel
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 жыл бұрын
@@eliudjacob2421 nyumbani ni nyumban Tz kwanza
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 жыл бұрын
@@natureworld295 Hata Kama lkn nyumbani ni nyumban mkataa kwao mtumwa
@mrlioncomedyviber6540
@mrlioncomedyviber6540 4 жыл бұрын
Watakao kula mema ya dunia kwa mambo ya kishetani pepo ya mungu hawawezi kuiyona, nawatakia maisha mema wanafanya mambo mungu asio ya penda ya kishetani
@mrlioncomedyviber6540
@mrlioncomedyviber6540 4 жыл бұрын
Watalipa kwa makosa yao mbele ya Allah mungu aliye yeye akuna zaidi yake
@reazahmohjey7724
@reazahmohjey7724 4 жыл бұрын
Astakhafirullah ...Ushawai kwenda peponi? Wacha kukufuru we we. Mungu akusamehe
@abednego91
@abednego91 4 жыл бұрын
I wish you can visit Dubai and you will realize how this family is down to earth. Fazza in most cases participates in community events such as blood donations, food sharing, sporting activities among others. You will barely differentiate him from other young guys. Al maktoum on the other hand rides his bike along the palm, with very minimal security detail. He once towed a guy whose car was stuck in sand with his G-wagon, he participates in horse riding in England where he has been a champion several times. I truly can't compare how they live with our Africa leaders who lives like kings.
@zuwenasuleiman2115
@zuwenasuleiman2115 4 жыл бұрын
pepo haina mfanoo
@kaishazabengesi2971
@kaishazabengesi2971 3 жыл бұрын
Kwa kidogo anachotoa kwa hiari yake twapashwa kumshukuru Mungu kwa kumjengea moyo huo wa huruma. Tarehe tano ya jumatatu juma hili ilikuwa siku ya kuwakumbuka walimu duniani yaani UN -WTD na yasemekana tajiri huyu ana zawadi ambayo hutolewa kwa Walimu waliojipambanua kuwa bora. Mungu azidi kuwagusa wanadamu waliojaliwa maisha bora mazuri na yakuridhisha, kujitoa kwa kupunguza madhila ya malimwengu. Amen.
@nadranadra5287
@nadranadra5287 4 жыл бұрын
Mashallah ila no one like kabusi allah amrehem kwa moyo alokuwanayo
@fatmaaly3056
@fatmaaly3056 4 жыл бұрын
Kabus hana mfano alisaidia sana watu allah amrehem
@ykabomy8381
@ykabomy8381 3 жыл бұрын
Ameen
@mirrykirungi5078
@mirrykirungi5078 Жыл бұрын
Kweli gaboos hakuna wa kumfikia alisaidia wengi
@emmanueljoseph6171
@emmanueljoseph6171 3 жыл бұрын
Yaani kama kuna kiongozi nwenye utu 1wapo ni huyu,hana majivuno na ni msikivu kwa mtu yoyote, tunaofanya kazi kwa huyu mkuu gonga like
@othmanal-nabhany1019
@othmanal-nabhany1019 3 жыл бұрын
Yote hayo msisahau kusema masha Allah
@katunzijalaludin7222
@katunzijalaludin7222 3 жыл бұрын
Naaam swadddaqtar nimekubali sanaaaa one day I gonna live there
@rashidyyusuph4386
@rashidyyusuph4386 4 жыл бұрын
Fikiri utavyo fikiri uwezi kudiliki mfano wa pepo kwenye akili yako ila utadanya nafsi yako
@angeljasson4376
@angeljasson4376 4 жыл бұрын
Dubai nzur inavutia naipenda ila naipenda zaid tanzania yngu
@aminamkamba5406
@aminamkamba5406 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😃😃😃😃😃😃
@farhatfatma12
@farhatfatma12 4 жыл бұрын
Tanzania ki nature ni kweli ni nzuri. Lakini uzuri na njaa ya maisha duni kuna sababisha kutokuuona uzuri wa nchi yetu.
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 4 жыл бұрын
🤔🤔🤔 Tanzania unaipendea nn hii
@onyokoreo7999
@onyokoreo7999 4 жыл бұрын
Nyumbani ni nyumbani
@angeljasson4376
@angeljasson4376 4 жыл бұрын
@@omarymbalala6224 ni kwetu lazima niipende siwezi kupenda nch ya wengine alf yngu niikanyage uwo utakua utumwa my dear
@zulekhabaksh686
@zulekhabaksh686 4 жыл бұрын
Mungu amzidishie anapotoa kwa hao maskini walemaviu n,k
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 4 жыл бұрын
Yuko wapi FIRAUNI, yuko wapi KAARUN waziri wa Firauni Yangu kinaaa2 ya nafsi yng na Allah atupe Mwisho mwema Inshaallah tuseme amiin Hongera mtaarishaji
@saidaliy1567
@saidaliy1567 4 жыл бұрын
Mohamed Faris amiiiin
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
Yuko wapi Muhammad? Yuko wapi Ibrahim, Yuko wapi Yussuf....... Izraeli harembi kila mtu atakufa
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 4 жыл бұрын
Kama hawapo so ndio waishi makapuku kama wwe...
@shamsisaady4029
@shamsisaady4029 4 жыл бұрын
Kwq hiyo kama hao uliowataja hawapo ndo na wewe usiwe tajiri au kutafuta maisha mazuri?🤔
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 4 жыл бұрын
Mungu amehalalisha mtu kutafuta akawa tajiri lkn ukikinai ichoicho ulicho nacho ni kheri pia kwako, Mtume alikua anamuomba Allah kwa kutaka siku apewe ashukuru na siku inayofuata akose ashukuru maana mtu akipewa kila siku huenda kukampelekea kukufuru japo kdg, فمن اراد الدنيا فالقناعةيكفيه, mwenye kuitaka dunia basi atambue kukinai kunamtosha فمن اراد موعظة فلموت تمفيه na mwenye kutaka mawaidha basi mauti yatamtosha, lkn ukitaka utajiri si vibaya kutafuta lkn wa halali
@deustutu1162
@deustutu1162 4 жыл бұрын
Pepo ni ya Mungu tu
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 4 жыл бұрын
Kweli kabisa...ingekua ni pepo mkewe na wanae 2 asinge mtoroka pi wanae wawili wakubwa shamsa na latiffa number 2 walijaribu kutoroka (ana wtt watatu kwa jina la latiffa)
@maryammaram2612
@maryammaram2612 4 жыл бұрын
@@shifaaal-baity4503 mmmh sass kwanin watoroke au kuna siri za nyuma ya kapet
@lubavaclassic7048
@lubavaclassic7048 4 жыл бұрын
Wabongo hakili fupi sana....kwani ukiambiwa sehemu ni peponi si wamechukulia mfano kutokana na ayo mazingira ni vigumu kukutana na shida ndogondogo zakipumbavu....ni sawa na wewe ukamiita mpenzi wako Malaika kwani kuna malaika anaeonekana kimwili dumiani hapa...??Sasa kama kumuita msichana mzuri Malaika ni sawa kwanini kuita sehemu nzuri pepo iwe kufuru...??
@dunduumaster4815
@dunduumaster4815 4 жыл бұрын
Saudi wanawake hawafurahii maisha wanaminywa
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 4 жыл бұрын
@@maryammaram2612 bila shaka
@dydahjahadhmy4920
@dydahjahadhmy4920 3 жыл бұрын
This guy loves cars like late Ginimbi.
@justinamusyoka4986
@justinamusyoka4986 3 жыл бұрын
You cant compare Ginimbi with this man net worthy billions.
@aminasalim8984
@aminasalim8984 3 жыл бұрын
Mashallah🙏🙏
@eliasfestus1499
@eliasfestus1499 4 жыл бұрын
Sio vema kufananisha Peponi na Dunia. Tumwogope Mungu muumba wambingu na nchi kila mmoja kwa Imani yake
@shamsisaady4029
@shamsisaady4029 4 жыл бұрын
Tatizo liko wapi?
@shamsisaady4029
@shamsisaady4029 4 жыл бұрын
Ndugu hiyo ni lugha tu imetumika...tunaita kutia chumvi ili kunogesha simulizi...ni sawa utumwe dukani hlf mzee wako akakuambia "huko dukani mwaka mzima" au akakuambia "ulienda kununua makka au" ... Ni si makosa kusema ivo acha kuyafanya maisha kuwa magumu mzee! Kafananisha maisha ya huyo jamaa (ya kifahari) mfano wa maisha ya peponi na hakuna ubaya katika hilo...Si vibaya dada watu kujinasibisha na vilivyo vizuri
@tatukulunge8121
@tatukulunge8121 3 жыл бұрын
Peso no ya Allah Tuu tuombe tuifikie inshallah
@benardcharles3531
@benardcharles3531 3 жыл бұрын
Life is a long journey 🙏 let us compete for our luck
@malikzafarani172
@malikzafarani172 4 жыл бұрын
DUBAI mashaallah #(+974🇶🇦🇶🇦)
@jumakido2677
@jumakido2677 4 жыл бұрын
+971 😅
@vincyleyian
@vincyleyian 4 жыл бұрын
Sure bet sons great work indeed
@MuhammadFaizoo
@MuhammadFaizoo 2 ай бұрын
ماشاء الله تبارك 😢
@williamnyanda1552
@williamnyanda1552 4 жыл бұрын
Ipo siku na mm mtasoma yakwangu
@itongwamtebwa7255
@itongwamtebwa7255 4 жыл бұрын
😁😁
@saidizidadu9481
@saidizidadu9481 3 жыл бұрын
Inshaalah
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisaa
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 4 жыл бұрын
Jamani unasauti kama mpagazi
@mynesfredy4482
@mynesfredy4482 3 жыл бұрын
Umeonaeeee
@usmanmpazi2295
@usmanmpazi2295 4 жыл бұрын
Ukitaka kuielezea dubai ielezee ila usitaje neno pepo kijana utaangamia Alie umba pepo amesema jicho halijapata kuona wala sikio halijapata kusikia.Fanya kazi yako bila kuharibu mahusiano yako na mungu.Huu ni ushauri/ukumbusho tu.
@hallin9561
@hallin9561 4 жыл бұрын
Chiz wew,, unapomtaja demu wako kama malaika unamjua malaika wew,, wabongo akili hakuna umeambiwa kama yaani mfanano wa maisha mazuri
@hallin9561
@hallin9561 4 жыл бұрын
Chiz wew,, unapomtaja demu wako kama malaika unamjua malaika wew,, wabongo akili hakuna umeambiwa kama yaani mfanano wa maisha mazuri
@usmanmpazi2295
@usmanmpazi2295 4 жыл бұрын
@@hallin9561 ww umeshawahi kunisikia namwambia dem yupo kama malaika?? Nilikuwa nakuelekeza hukutakiwa ku panic
@usmanmpazi2295
@usmanmpazi2295 4 жыл бұрын
Kama unajiona uko sahihi basi endelea tu wala hakuna ugomvi hapo
@hakusfakir7364
@hakusfakir7364 2 жыл бұрын
Mashaallah......🤲
@salamahamadisudi1912
@salamahamadisudi1912 4 жыл бұрын
Pepo iko kwa Allah
@ghatimakonge9383
@ghatimakonge9383 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana,🙏🔥🙏
@ramaamiri7964
@ramaamiri7964 3 жыл бұрын
Mtangazaji ogopa sana kauli zako pepo haina mfanowake dunian hakika mwenyezi mungu akusamehe tu maana unajitaftia riziki ila chunga ndimi zako
@sirvergans4542
@sirvergans4542 3 жыл бұрын
Mungu amuongeze zaidi na zaidi Dunian na Mbinguni
@alisaid9216
@alisaid9216 4 жыл бұрын
Proud to be In uae best place
@micamathew6433
@micamathew6433 4 жыл бұрын
Ahsante sana kwa kutuhabarisha vya huko duniani, lkn nikwambie kitu: uzuri wa Mbinguni haiwezi kulinganishwa na chochote kilichopo duniani. Sasa hapa bro utakosea. Jaribu kurekebisha kauli.
@aby21111
@aby21111 4 жыл бұрын
Our prince posts even joking with masai and riding a cab in New York. He's a normal kind prince.
@bashirmwangi2642
@bashirmwangi2642 4 жыл бұрын
Ikko sawa let him enjoy
@5starmediatvonline688
@5starmediatvonline688 4 жыл бұрын
utajiri na heshima hutoka mikononi mwa Bwana tena utajiri idumuayo ......na ww jipe moyo subria yako upewe
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 4 жыл бұрын
Ya duniya yatabaki alakini ukiwa wa Mungu hautatikisiki kamwe pepo ya mungu nizuri kuliko pepo ya duniani. Leo ni korona tajiri masikini wote wako chini ya migu ndani hawa toki ije, nikumuamini mungu tu
@hajikishuwa1078
@hajikishuwa1078 4 жыл бұрын
Like kwa mtangazaji
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 4 жыл бұрын
Achana Na Pepo Eshim Kauli Za Mungu Pepo Ni Sili Kubwa Sana
@jamesshao538
@jamesshao538 4 жыл бұрын
Wanao kandia humu wote ni maskini believe me.Huyu mfalme ndio kaifanya Dubai iwe maarufu.mwaka 1986 Dubai ilikuwa maskini na sehemu kubwa ili kuwa jangwa.
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 4 жыл бұрын
Hahaha nikweli
@ebbyminja8184
@ebbyminja8184 4 жыл бұрын
Amin kwamba lkn pmj na haya yote Mwenyezi Mungu bado 98% ya akili za binadam hazijatumika ni 2% huyu Bwana yupo vizuri sijui cc Tz tunafeli wap
@chrisskibaking8184
@chrisskibaking8184 4 жыл бұрын
Naaaam cc walala njaa ndo tunakandia 😂😂😂😂
@comicvisual8661
@comicvisual8661 4 жыл бұрын
Dah nomaa mzee
@blaisekabeya51
@blaisekabeya51 3 жыл бұрын
Lkn ana kitambulisho kia tz
@mirriammueni1156
@mirriammueni1156 3 жыл бұрын
God bless you
@chiefmjukuutm6666
@chiefmjukuutm6666 2 жыл бұрын
Sawa sawa daaa
@alesnema9596
@alesnema9596 4 жыл бұрын
Noma sana
@fat-hiyarashid4605
@fat-hiyarashid4605 2 ай бұрын
Pepo ni Pepo Tu huwezi ifanananisha Pepo ya mungu na binadamu haitokei hio
@fatmakilungi1871
@fatmakilungi1871 3 жыл бұрын
Mashaallah
@alimwamasumbo7535
@alimwamasumbo7535 4 жыл бұрын
Masha Allah...lkn usifananishe pepo na vitu vilivyopo chini ya jua uwe tajiri au maskini nguo ya kuzikiwa chini ya udongo ni moja tu nyeupe duni thamani ata maskini awe na shida vipi ya kimavazi apatiwe bado anaikataa,tumuombe Allah atujaalie mwisho mwema amiin rabby amiin 🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@Ashsultana
@Ashsultana 3 жыл бұрын
Siku zote kiongozi wenye mafanikio hufanya nchi yake kuendelea sio sisi tunaolilia kinyang’anyilo cha uongozi ili kupeleka shida zetu tukazimalizie selikalini
@neilasinan5126
@neilasinan5126 3 жыл бұрын
How can you compare paradise of Allah to that desert of a man made land
@hamisipawa9336
@hamisipawa9336 4 жыл бұрын
Naikubali sna global tv kwa ajili ya haya mambo
@bananatz4216
@bananatz4216 4 жыл бұрын
🇦🇪🇦🇪 Tujuwane
@florencemzungu9979
@florencemzungu9979 2 жыл бұрын
Mm niko dubai
@princesray5520
@princesray5520 2 жыл бұрын
Hongera yk
@petermwangi5976
@petermwangi5976 4 жыл бұрын
Nice
@mrich073
@mrich073 4 жыл бұрын
God is Good
@aliya2815
@aliya2815 Жыл бұрын
ماشاءالله
@zubedahumphries4478
@zubedahumphries4478 3 жыл бұрын
Hi sheikh mactui I wouldlike to meet u sir???? I eave in the uk.and will be great to get a glimpse of u if possible,??? Pls let me know if u can do so. Thanks
@bekathiongo359
@bekathiongo359 4 жыл бұрын
Global Tv to the world 😘
@mohammedikingazi5166
@mohammedikingazi5166 4 жыл бұрын
Mm napita tu 🕺🕺🕺🕺🕺🕺
@mohabatkhanmalak1161
@mohabatkhanmalak1161 4 жыл бұрын
Izo ma billioni, pamoja na wasiwasi. Wengi wame kuja na waka ondoka, duniya ni muwakat.
@shamsisaady4029
@shamsisaady4029 4 жыл бұрын
Kwa hiyo watu tusitafute maisha mazuri hapa duniani? Au tunachotakiwa ni kubalance kati ya masiha ya dunia na ya akhera? Yani tusiisahau akhera yetu kwa kuiendekeza sana dunia? Tafuta pesa mzee acha mawazo ya kimaskini lkn usisahau kuiandaa akhera yako pia...mtume anasema "ishi duniani kana kwamba utaishi milele, na ishi duniani kana kwamba utaondoka sasa"..
@mohabatkhanmalak1161
@mohabatkhanmalak1161 4 жыл бұрын
@@shamsisaady4029 Hiyo ni mawaza zangu piya mze. Nili ishi kule Khaleeji miyaka milele, na neme ona sana nini ententewa kule.
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 2 жыл бұрын
Al-maktoum Hatari sana
@sweetmelody9927
@sweetmelody9927 4 жыл бұрын
He is always stone face but niamini wale watu wa ku smile I mean smiling matching fear them
@mako331
@mako331 4 жыл бұрын
Kama ni hivyo uso wake ungekuwa na Amani na furaha, jamaa anakaa kukasirika saa zote
@jordanyassin6038
@jordanyassin6038 4 жыл бұрын
Hawa hawaijui pepon Hawa washenzi tu
@sweetmelody9927
@sweetmelody9927 4 жыл бұрын
Usiwai angalia mtu wa kufurahi ama ku smile smile ovyo ovyo ukadhani ndio wazuri heri hawa stone face they are good inside lkn hiyo wa ku smile na kucheka fear them Ni Moto wa kuotea mbali
@lloydnash7735
@lloydnash7735 2 жыл бұрын
Money is not everything 😂😂
@regnadkunambi312
@regnadkunambi312 4 жыл бұрын
Hongera
@mussazhr1784
@mussazhr1784 4 жыл бұрын
Nice country
@mukayamukama3123
@mukayamukama3123 2 жыл бұрын
anisaidie na mimi naomba hata dola dola50000 maisha yawe safi
@ablysonco8850
@ablysonco8850 4 жыл бұрын
Yote kwa vyote tunaviacha hapa hapa dunian na mwishowe unaenda kulala ndan ya tumbo la ardh ktachokusaidia n amal njema na c utajiri wako....
@ramadhanichilumba3610
@ramadhanichilumba3610 4 жыл бұрын
Mamae walah acha tuwasindikize tu duniani hapa
@clovetv_pba
@clovetv_pba 3 жыл бұрын
Zanzibar iliendelea mwanzo kuliko Dubai lkn ndio dampo la dunia saaivi.
@hadijaiddi6236
@hadijaiddi6236 4 жыл бұрын
Hongera yake
@alirashid3239
@alirashid3239 4 жыл бұрын
Vilivyomo ndani ya pepo ya Allah ktk utajiri wahuyu jamaa hata mfano hautoweza kupigiwa pepo haina mfano wake be care bro na kichwa chako cha habari but kwa vile umeteleza Allah atakuswameh in shaa Allah coz no perfect accept god.
@gabrieljoseph2057
@gabrieljoseph2057 4 жыл бұрын
Good news
@godfreyjoseph156
@godfreyjoseph156 4 жыл бұрын
Safiii xaan
@idrisakasuwi7865
@idrisakasuwi7865 3 жыл бұрын
Wew mtangazaji usiseme dubai pepo kenge wew
@petermenza3604
@petermenza3604 4 жыл бұрын
Yesu kasema itakua rahisi ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko TAJIRI KUINGIA MBOINGUNI
@godlizenmoshiituwe5028
@godlizenmoshiituwe5028 4 жыл бұрын
Tatizo unapenda sana kukuza mambo, ni ukweli kuwa anamiliki vitu vya kifahari lakini hujaelezea ni namna gani anaishi kama peponi,
@elitvtz1568
@elitvtz1568 4 жыл бұрын
Mtoto wa kishua ni wakishua tu. Kama alivosema mtangazaj
@ibrayakub476
@ibrayakub476 4 жыл бұрын
jicho halijawah kuona sikio halijawahi kusikia pua halijawahi kunusa hiyo ndio pepo aliotuambia mtume sijui we mwenzangu unafananishaje pepo na anasa za dunia kama sio kufru hiyo
@zulihanani7355
@zulihanani7355 4 жыл бұрын
Hiyo nikweli Allahu Akbar
@aminasaid3276
@aminasaid3276 4 жыл бұрын
Naam hayo yote ni rubbish tu juu ya pepo na hao wanaoshangaa rabda kwa watu wanaotoka nchii za masikini hakuna kumbwa hata moja joto mpaka basi dubai 🙄
@allykutenga2862
@allykutenga2862 4 жыл бұрын
Ukickia pepo ya dunia siyo kama anafananisha na Pepo ya Muweza anamaanisha huyo m2 anaishi maisha ya mazr(Kifahar)ni sawa na kusema mpenzi wng mzr micli ya malaika kwani kuna malaika ana umbile la binaadam??mbona mkickia hivyo hamsemi kama m2 kakufuruu!!!..
@allykutenga2862
@allykutenga2862 4 жыл бұрын
Ukickia pepo ya dunia siyo kama anafananisha na Pepo ya Muweza anamaanisha huyo m2 anaishi maisha ya mazr(Kifahar)ni sawa na kusema mpenzi wng mzr micli ya malaika kwani kuna malaika ana umbile la binaadam??mbona mkickia hivyo hamsemi kama m2 kakufuruu!!!..
@zahranmimibahamasnawimbled6546
@zahranmimibahamasnawimbled6546 4 жыл бұрын
NAFIKIRI SANA HUYU JAMAA ALIKUFA KHALAFU AKENDA PEPONI KISHA AKARUDISHWA DUNIANI KUTUSIMULIA
@kizaziperfect
@kizaziperfect 4 жыл бұрын
C billionea 7 ni namba 1
@henrynyika9258
@henrynyika9258 4 жыл бұрын
Napenda sauti yako imetulia sana kaka
@magrethsimtenda926
@magrethsimtenda926 4 жыл бұрын
God blees him
@khaliali235
@khaliali235 4 жыл бұрын
Jamaa Kama mtiga abdallah
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,7 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
HAILE SELASSIE: Mfalme  Aliyeuawa Na Kutupwa Chooni!
16:02
Global TV Online
Рет қаралды 900 М.
Hotuba ya MWALIMU Nyerere iliyosisimua zaidi ilivyo mtabiri Rais JPM
14:08
BINGO ONLINE TZ
Рет қаралды 1,1 МЛН