Allhmdullh. Allha. Akuzidishie sana Inshallh. Allha. Akuhifdhi
@zariaomary7851 Жыл бұрын
Shukran sana , Kwa tufundisha kisomo kilicho Bora.Allah akulipe badala
@amenaallahawazidishieumrin62353 жыл бұрын
YARABB akujalie AFYA na ukuepushe naftana dua ziwe maqbul Allah azipokee na atuponeshe ishallah ikiwa pia ni kwa makosa yetu atusamehe na atuponye
@tatushaweji21003 жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU akuepushe na kila aina ya ubaya
@hindukibwana32263 жыл бұрын
Allah awape shifaa wagonjwa wetu
@ashaomary86552 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akupe kheri katika safari yako akhera akupatie nuru katika kaburi lako tunashukuru kwa kutupa maneno mazuri
@babershop31023 жыл бұрын
Jazakallahu khair sheikh.wa baraka llahu fika wa Ahlika inshaAllah.ruqya hii nimepata mafasi sote zinasoniuma kichwa tumbo .kiuno vitu kutembea mwilini kama kizunguzungu vile.kam miguu yangu kuna vitu vinatembea ganzi.shingo kuuma kichwa upande mmoja.kam vitu kitembe kichwani.na nilipo maliza kusikiliza mashaallah sikutapika ila nilitumia haja kubwa na isio kua kam kawaida yangu mfanano wake.Ahasante saaaaana sheik Allahu akubarik sheikh wetu akunusuru na akuhifadhi kutokana na vyote vyeny madhara miongoni mwa viumbe wake Allahu inshaalhu Amin
@amenaallahawazidishieumrin62353 жыл бұрын
Walikumssalam warhma thu ALLAH WABARAKATUL SHUKRAN JAZAKA ALLAH KHERY MOLA AKULIPE MEMA DUNIAN NA AKHERA NA ATUSAMEHE DHAMBI ZETU AJALIE KISOMO HICH KIWE DAWA KWA WAGOJWA WOTE
@sophianyangalio37963 жыл бұрын
Mashaallah Allah akupe umri mref na afya njema kiukweli nimesisimka upande wa kushoto na kichwa na kutetemeka mdomo km nataka sema asant sn Allah akulipe kila la kher na hata mgongo pia umeniuma Ya Allah 🤲 tujalie nusra waja wako.
@rukaiyalema7966 Жыл бұрын
Maashallah she othmani michael unasaut mzuri san
@Muhinanjowa3 жыл бұрын
Wallahi Sheik Mola akuzidishie nyingi iman na elmu uweze kitu saidia sana na kutukumbusha sisi waislamu na wasio waislamu pia mana Mungu katuumba wote waislamu ila balaa ilio duniani. Japo nilichekewa c kuwa nikijua ila nafatilia sana hili tatizo ni zito mno lkin naimani litakwisha mana hkuna linaloshindikana ktka Quran. Mola akupe nyingi Hisan na akulinde na mahusda🤲🤲🤲🤲🙏
@user-rt5vq5vc3k11 ай бұрын
MàshaaAllha Allah akujalie
@beera.g53023 жыл бұрын
Shukuranii Mungu akubarkii, akuajalie kila la kheri
@bazilassey12274 жыл бұрын
mashaa allah mashaa allah wacha nisambaze wengi wafaidike in shaa allah
@gulamzainab273410 ай бұрын
Mungu akupe kila la kheri
@habibadiombera75053 жыл бұрын
Allah aku jaliye akuzidichiye kher atukinge sisi wote
@ukhtyhumairah733 жыл бұрын
Allah akulipe khier wala dunia na akhera
@user-hm6hy6rr1h4 ай бұрын
Aahalla h akuifath sheh
@salehemussa467620 күн бұрын
ALLAH AKUZIDISHIE
@langonijuma73693 жыл бұрын
MashaAllah, jaza zako kwa ALLAH sheikh. Mwenye ezi Mungu akujaalie maisha marefu uzidi kutusaidia. Ameen
@swaumupaji36234 жыл бұрын
Maa shaa Allaah TabakaAllaah Sheikh Othman Allaah akulipe kheri humu duniani na akhera pia...Wallah hiki kisomo kila siku nakisikiliza na kimenisaidia sana Alhamdulillah BarakaAllah fiiyk
@swaumupaji36233 жыл бұрын
Dede Mohammed Wa’alaykum Ssalaam warahmatullah wabarakatuh audio yake sina me huwa nasikiliza humu humu
@dedemohammed2673 жыл бұрын
Ok shukran
@farhatybeauty22482 жыл бұрын
Inshaalah Allah akulinde na maadui akupe afya naakuhifadhi hapa duniani na akhera naalah akuzidishie ulipotuelimisha shukrani sana
@riadhashaban11853 жыл бұрын
Mashaallah Alla akulipe heri inshaallah akupe umri wenye heri nawe inshaallah
@afric013 жыл бұрын
Mashallah !!! Allah akujazi kheir Sheikh Othman. Akupe mema na neema na maisha yenye ufanisi. Allah anakupenda, na sote tunakupenda kwa ajli yake. Shukran. Jazakallahu kheir
@mwanakhur_sayyed Жыл бұрын
Mashaallah Allah akujaalie kheri na akupe umri mrefu uzidi kutusaidia Inshaallah
@zaharanabdallah98313 жыл бұрын
Allah akufanyieni wepesi na yeye ndie was kutegemea amin
@bntymwamsema13843 жыл бұрын
Mashallah mola akupe maisha yenye mafanikio y dunia n akhera
@Trendtalks052 жыл бұрын
mashaallah sheikh punguzeni bei watu wengi tunufaike na ilmu zenu
Ma shaa Allah Allah akupe maisha marefu na afya njema
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Shukran shehe nimesikiliza vizuri Allahmdulillah
@ayoubnazir14934 жыл бұрын
As saallam Aalaiykum warrhmatullahi wabarakatuh, Barackaallah feeq,sheikh nashukur sana kwa Dua zuri Sana, Na nasaa zuri Sana Allah akulipe Baba Duniani Na k haira Na famillia yako MaashaAllah, mimi binafsi, Na nashukur sana tena sana,
Mash Allah my brother thanks you so much for help me
@asmamuhusin34422 жыл бұрын
Nakuombea dua shehe wetu Allah akuhidi
@issa69483 жыл бұрын
امين يارب العالمين اللهم صل وسلم على نبينا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين
@estamelejomah5724 жыл бұрын
Nashkuru kupitia dua hii nimepiga miayo sana machozizi mengi sana yanatoka
@fatimashillah93413 жыл бұрын
Mashallah
@salimuosama98032 жыл бұрын
Mashaallah Allah akupe mwisho mwema
@issa69483 жыл бұрын
سبحانه الله ماشاء الله تبارك الرحمن
@hikmaonlinetv73124 жыл бұрын
MashaAllah...Allah ajaalie kabuli kutokana na Ruqiya hii...Na Allah akujaalie kheri
@alikauku75162 жыл бұрын
Alla akulipe eri ww wenye heri
@alikauku75162 жыл бұрын
Mm nisikia eri kwamahisha jangu nimeteseka Sana brartha ukonafahida katika ulimwengu mashallah mungu akusidisie
@ruqiaabdillo56213 жыл бұрын
Mungu akipenda kher lnshaAllah Ameen
@msevenjutos68214 жыл бұрын
Shukran sheikh
@abduldossa61293 жыл бұрын
In sha Allah mungu akupe jaza yako.
@biashanasser4550 Жыл бұрын
Assalamu Alieykum vp hali yko napenda kisomo chako
@ucjvvjcjjvih99342 жыл бұрын
Am mwana from tz alhamdulillah shekhe hayo yote nimepitia husda na kutupiwa majin ya uchawi na kuota majoka ndio maisha yangu miaka 10 sasa najenga 2017 nyumba sijaezeka mpaka leo ipo pesa nying napata sijui zinakwenda wapi?
@kidotitv55272 жыл бұрын
Mash Allah
@julejule44773 жыл бұрын
Mashallha nmeiza kuangalia video zako nnwiki sai ila nimegundua matatizo nlinao nuangalia nikiwa saudia wallahi umenizungusha nanipo pikeangu nmejikaza sana
@mariamismail69974 жыл бұрын
Shukran sheikh mungu akubariki
@latifaally69494 жыл бұрын
Allah akuzidishie khery inshaallah Allah mwema.
@salmawage72593 жыл бұрын
Allah barik
@abdulbachir89453 жыл бұрын
ماشاء الله
@nelsonboniphas41523 жыл бұрын
Masha Allah
@sa3dasa3da873 жыл бұрын
Ma sha allah
@mwanaishayusuf99684 жыл бұрын
mashaallah
@mariamsfamily4823 жыл бұрын
Asalam alaikum Allah akupe nguvu.utu lete ruqya yKutoa mm agonjwa
@fatumayusufu17063 жыл бұрын
Mi nimesinzia tu katikat yakisomo mpka mwisho
@dinajouma25033 жыл бұрын
Ma shaa Allah
@aminanzamukosha12643 жыл бұрын
MashaAllah
@mwanasitially79983 жыл бұрын
MashaaAllah
@salehemussa467620 күн бұрын
Tutumie kwa Audio
@salmasaid24013 жыл бұрын
Shekhe ume sema mume akushike kichwa hujui jiniclikujualo halikuli likakwishaa
@kizamaulidi60043 жыл бұрын
Mashaallah
@emmymnganya16663 жыл бұрын
Mim nikisikiaaaza dua zako mwili wangu huwa mzito san sijuii kwa nnn
@ashamwinyi10063 жыл бұрын
Asalamualykm.mwenyezimgu Akuzidishie.umri
@JamilaBint3 жыл бұрын
8
@assianiyongere98184 жыл бұрын
Kaswida
@mariamually95023 жыл бұрын
Masha Allah nipo Omani Shekhe namatatz ya tumbo kuumaa Sana
@Mariam-fp1ky Жыл бұрын
Asallam alaiykum mm niko na mtoto yuwauwa yupumua haraka haraka sijuwi sida ni nini
@sarahronoh5403 жыл бұрын
Assalam Aleykum Sheikh ..Naomba number yako uweke ewani ...Sheikh
@UmaziTaura-lq3mv7 ай бұрын
Habari yako ahsante sana hua nafatilia visomo vyako naomba unisaidia mm nakatalia na wanaume na kazini pia watu marafiki wananikataa nakusingizia mambo siyajuwi kwakweli nasikiyavibaya sana kilanitakalofanya sifaulu natamani kuoloa nasiolewi wanaume wananichezea nakuniacha
@mariamkamau73012 жыл бұрын
Mashaallah Allah akulipe shekh zaid
@zohoraramadan45403 жыл бұрын
Barakallahu fiki, lakini mbona unasinzia shekhe
@yussufabdallah34944 жыл бұрын
Na kama unakazi ukasema nikimaliza nikoge ndipo nkaswali na ukakosa kuswali kwa wakati vp inafaaa
@sherryx.78973 жыл бұрын
Sheikh hatukupati kwenye whatssap sisi tuliokuwa mbali na tanzania
@mulyatalofi92413 жыл бұрын
Mashaallh mungu akulipe kila la kher namba namba yako shekh
@adanissak68103 жыл бұрын
السلام علیکم
@aminamarie23873 жыл бұрын
Waalekum musalam warahmatullahi wabarakatu
@jasminjuma63903 жыл бұрын
Mash Allah tabarakallahu
@yussufabdallah34944 жыл бұрын
Pia kuswali kama juuwa lishahomoza umemka sa 3 ukaema acha nilipe inafaaa
@user-uv8jh6me5m4 жыл бұрын
Mashallaah mungu akubariki pamoja na kizazi chako
@yussufabdallah34944 жыл бұрын
As.allayum kuswali nnje ya wakati kwa dharura ino kubalika kama kulala alfajiri mara chache unaipata, mara nyingi unaswali nnje ya wakati vp ????
@musafiahlalbayt99784 жыл бұрын
Khadija. Gere please. Nitumiye hico kisomo ca RUQIA. Odio. Kwa terephon yangu darling+466198446