FUMANIZI KIMARA part II

  Рет қаралды 316,328

KIREDIO

KIREDIO

2 ай бұрын

Пікірлер: 1 900
@Tyughcdrbdt
@Tyughcdrbdt 2 ай бұрын
Huyo jamaa mwenyew jamniiiii😂😂😂😂tuangaliege na wanaume wa kudate naoo,,,mdada mzuriii ila mkaka kama walee wa manzeseeee
@rehemafeysali4444
@rehemafeysali4444 2 ай бұрын
Kwan wa manzese wakoje ili tujipange😅😅😅
@Magoma_Official
@Magoma_Official 2 ай бұрын
Wewe unajua anapewa nini na huyo wa manzese
@user-uw8qt6rj5e
@user-uw8qt6rj5e 2 ай бұрын
🤣🤣🤣
@nancysaid6967
@nancysaid6967 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@anithiajohn9209
@anithiajohn9209 2 ай бұрын
😂😂😂😂 kabisa jamn ka mvuta bangi alf mdada mzuri jmni
@angolina1768
@angolina1768 2 ай бұрын
Pole mpenzi wangu umejitoa lkn umeambulia kuitwa malaya kosa lako nini love you kwanza upo single na geto lako nzur unajiweza zako mwenyewe huna baya ❤❤❤
@user-jh5px2xl8u
@user-jh5px2xl8u 16 күн бұрын
Amemgeuka jmn 😢sijapenda yule dada kwimwita mwenzake Malaya
@directorhuruma
@directorhuruma 2 күн бұрын
Wamepanga vzr alf anamgeukia mwnzw
@Caren-og7qd
@Caren-og7qd 2 ай бұрын
Huyu dada ana rafiki mwaminifu, sema yeye mpuuzi, alivyomuattack nimeboeka sana😅😅😅
@dayana5513story
@dayana5513story 2 ай бұрын
Sana
@secyjohn6572
@secyjohn6572 10 күн бұрын
Watu kama hawa tunawakulia tu mabwan zao😊
@ddontz
@ddontz 2 ай бұрын
Sema nakushauli mzee uwe unatembea ata na mbavu mmoja kwa usarama wako 🔥
@savvymsaf4926
@savvymsaf4926 2 ай бұрын
Sema huyu dada ana kitu mwangalieni vizuri anaweza kuwafaa
@3Dee_51
@3Dee_51 2 күн бұрын
Nimpenda uyo dada mstaarabu sana
@user-lq4op1bv5c
@user-lq4op1bv5c 2 ай бұрын
Nimechek mpk tumbo limeuma jamn daah kiredio n mr uk hongeren kaz mmeiwez doooh🎉🎉🎉🎉🎉
@user-zd9wd8ms3x
@user-zd9wd8ms3x 2 ай бұрын
Wanavyohema huk chumban kwa wat ahahaha 😁😁😁
@AminaRamadhan-mg9lj
@AminaRamadhan-mg9lj 13 күн бұрын
​@@user-zd9wd8ms3x😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@brunongatena-7951
@brunongatena-7951 2 ай бұрын
Uyo demu hapo mwenye geto nimemkubali sana mno kweli kabisa ni mstaarabu pia mcheshi
@CatherineOmbeni-k2r
@CatherineOmbeni-k2r 17 күн бұрын
😂😂😂😂huyo mwanaume mwenyw anaegombaniwaa mweeeh😂😂😂
@jjacksommrisho8844
@jjacksommrisho8844 6 күн бұрын
Mfipa
@raniahAbdul
@raniahAbdul 2 күн бұрын
Bwana Mwenyewe mbaya muhuni muhuni tu ukute ni jobless dada anamuhonga .mpuuzi sana
@PendoAmosi-oz9to
@PendoAmosi-oz9to Ай бұрын
Demu mjinga sana alikubali mwenyewe leo et mwenzake Malaya
@neziajoseph9726
@neziajoseph9726 Ай бұрын
Akili hana
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Ай бұрын
Sindo hp ht mm nashagaa ss kosala rafikiake kiko wp
@Martha871
@Martha871 2 ай бұрын
Uyoóoo dada kazingua sa rafiki ake kakosea wapíii jamaniii na kamsaliti kiajeee sasaaa dada mzuri et """msenge.......mara kum.....'''''''😂😂😂😂😂😂😂
@ruthmunguatosha
@ruthmunguatosha 2 ай бұрын
Kiredio ni yupo ready kwa umbea🤣🤣daah it's funny though
@naahmuro1710
@naahmuro1710 6 күн бұрын
Demu nae msenge tu huyo bff wake alkuwa ana shida gan aisee.... Kichaa huyo kama bwana ake mbilikimo😂😂😂😂
@ZawadianaMwangosi-is2jm
@ZawadianaMwangosi-is2jm 2 ай бұрын
Kazi nzuri msaidieni huyo nzuri mwanaume mwenyew sio wa hadhi yake huyo aende zake huyo
@Salma-ho6wx
@Salma-ho6wx 2 ай бұрын
Jamaa kampigia shem wake na kidonge 😂😂nimecheka kwa kweli
@amaniabdi8906
@amaniabdi8906 14 күн бұрын
Ooyaaa 😂😂😂😂😂😂 nimeona ile dadadek, yani mwamba alikuwa tayar kwa vita
@Jayninetythree
@Jayninetythree 14 күн бұрын
Kumbe umeona, jamaa kala panado 😂😂😂😂
@maulidabbas6463
@maulidabbas6463 14 күн бұрын
nimeona hiyooooi
@irenechilewa
@irenechilewa 2 ай бұрын
Kwnz kiredio shukran Sana kwa kutuletea loyalty test vlogs humu ,nimefurah Sana sababu nlipokuwa nkitazama za Ayral nlitamani Sana bongo tuwe nazo maana ,unasaidia Sana kujua watu fake,pili Ni burudani .Ni vile tu fuatilia wanaofanya such videos ktk nchi mbalimbali upate contents nzr ,pia namna ya kupata sauti moja kwa moja ukiwa umejificha ,mfano mlipoenda kujificha chumbani ilitakiwa mbuni namna ya kupata sauti moja kwa moja kutika sebleni yaan mngekuwa na simu ya ziada then mngempigia mdada akiwa seblen ameshika simu bila nyinyi kuongea ili kupata mazungumzo yao moja kwa moja,panapo majaaliwa mpate usafiri wenu kwaajili ya kazi km hizo ,ya yote video nzr ,onheza ujuzi kutoka kwa KZfaqrs mbalimbali km I know Ayral , he's my favorite ili utuburudishe wapenz wa vlogs na videos km hizi... hongeren Sana kiredio na crew yako nzma kwa kazi hiyo..😌
@everinaanold8939
@everinaanold8939 2 ай бұрын
Good comment
@user-db1fb7ob8b
@user-db1fb7ob8b 2 күн бұрын
Ila Kiredio Hizi Kazi Zako Zitakukosesha Mbingu Yaani Kuharibu Mapenzi Umeona Haitoshi Umeona Uharibu Na Urafiki. Sema Kadada Kastarabu Sanaa
@sophiarajab5476
@sophiarajab5476 2 ай бұрын
Kijamaa chenyewe kibayaaaa kichafu chafuu tuu khoooo afu eti anamkasirikia shogake Kwa bwana Gani Sasa?chefuuuuu visichana vingine hajitambui.
@misalabacharles2728
@misalabacharles2728 Ай бұрын
Nilivyomwona tu huyo mwanamme mmmmh bora angechukua ata libaba😅😅
@khadjajuma5786
@khadjajuma5786 Ай бұрын
Kweli kabisa waovyo
@victoriarichard8761
@victoriarichard8761 2 ай бұрын
Safi sana Yani kipindi komesha michepuko au wasio waaminifu 😅 good content
@joelyansigary8213
@joelyansigary8213 2 ай бұрын
😂😂kwaio umeshaharibu fresh umewaacha wakamalizane wenyewe 😂😂jamaa ww
@HappyMinotaur-ub9of
@HappyMinotaur-ub9of 2 ай бұрын
Mwanaume mwenyew loooooh Dunia simama nishuke😂😂😂😂😂,
@ibrah_lankii
@ibrah_lankii 2 ай бұрын
Mi nachekaga tu jamaa kameza kidonge kwenye maigizo show kakosa 😂😂
@gladyedward5625
@gladyedward5625 Ай бұрын
😂😂😂
@user-bq7po4cy6z
@user-bq7po4cy6z Ай бұрын
VAR chek
@alicelayapar4412
@alicelayapar4412 2 ай бұрын
Big love from kenya kali sana ❤
@AmalJuma-qh7tk
@AmalJuma-qh7tk 2 ай бұрын
Nilikuwa naisubiri yani kheeeek😂😂😂😂💔 🙌
@DianaRichard-bu9tz
@DianaRichard-bu9tz 15 күн бұрын
Kiredio huna kazi mbovu😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥
@norahMathias
@norahMathias 24 күн бұрын
😂😂😂😂😂 nyeeee niwagombanishi kweli kabisa mungu akibaki nikakutana na nyinyi wote ana Kwa ana
@neemataigo1756
@neemataigo1756 2 ай бұрын
Siwezi kudeti na mwanaume anae vaa kitambaa kichwani😏
@angelraizam7683
@angelraizam7683 2 ай бұрын
Kabisa yani
@georgemoshi-xl7pt
@georgemoshi-xl7pt 2 ай бұрын
Kweli Yaan Mbona n muhuni kabisa yule... Shabiki wa simba wanapitia Changamoto sana
@nikrahayubu-sz3pw
@nikrahayubu-sz3pw 2 ай бұрын
Hata me jmn uwiiiii
@mwonajeremia5323
@mwonajeremia5323 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@elizampayo4057
@elizampayo4057 2 ай бұрын
​@@georgemoshi-xl7pt😂😂😂😂😂
@joelkimaro
@joelkimaro 2 ай бұрын
Kiredio unajitahidi Sana kaka kuunda content much love from this side
@JokhaVenance
@JokhaVenance 2 ай бұрын
Ypo Lakin haya walah tena
@kelvinmongas5200
@kelvinmongas5200 2 ай бұрын
Anajitahid lkn n hatari sana
@user-zh8nl9wg5n
@user-zh8nl9wg5n 2 ай бұрын
Sio kwamba anajitahid kutengeneza content, hzo anachukuaga kwa jamaa flani hiv wakizungu ukifatilia wao wako more advanced kuliko yy coz wa natumia vifaa vzr
@user-zh8nl9wg5n
@user-zh8nl9wg5n 2 ай бұрын
Ingia KZfaq andika UDY utaona content zao ndo utagundua kiredio amechukua huko
@user-jf9uc1fx2k
@user-jf9uc1fx2k 2 ай бұрын
Kabis yup vzry
@lidyabalilemwa1380
@lidyabalilemwa1380 2 ай бұрын
Sasa anamtukana mwenzake kwann wakat alikubal ni challenge sijapenda huyu dada hazimo vizuri
@sarahkhan7965
@sarahkhan7965 2 ай бұрын
Uyo dada aibu tu kaona ndio maana 😅😅😅😅alijiona yeye mzur bwana ake hawez kumsalit kwa shoga ake
@neziajoseph9726
@neziajoseph9726 Ай бұрын
Akili hana
@Rajabkizwele-rs2by
@Rajabkizwele-rs2by 2 ай бұрын
Kupenda kibaya sana uyo jamaa mwenyewe sasa bado anaweza karanga kwenye mfuko wa suruari😂😂😂
@mussakinkon5252
@mussakinkon5252 2 ай бұрын
Kidonge mzee baba
@MagdalenaHoja-jh9qg
@MagdalenaHoja-jh9qg 2 ай бұрын
Siyo kakidonge kabukimwi
@neemamabena-xx5er
@neemamabena-xx5er Ай бұрын
Kidonge gani Tena duuu
@FrenkJuma-hq8yl
@FrenkJuma-hq8yl 2 ай бұрын
😂😂kiredio shenzi kabisa,,,, ety mlete chumbani😂😂
@generalnox6719
@generalnox6719 2 ай бұрын
Mchizi kwanza hana nguvu za kiume kameza viagra utadhani anaenda kulala na malaya😅😅😅. Siku hizi vijana nguvu za kiume zimekuwa changamoto
@swaibahhassan5056
@swaibahhassan5056 2 ай бұрын
😂😂😂
@reymondymwapule8514
@reymondymwapule8514 2 ай бұрын
Kaka miniko nyuma kumbe dawa kameza
@generalnox6719
@generalnox6719 2 ай бұрын
@@reymondymwapule8514 ndiyo kameza🤣🤣🤣
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 2 ай бұрын
Nguvu anazo
@lovenessmassawe2822
@lovenessmassawe2822 2 ай бұрын
Wanawake bhna yan show tupange wenyewe bado uniite malaya kudadeki ningekurukia nikulambe kibao takatifu ili uwe na Adabu kwa mwanaume yupi hapo sasa,,, mshwiiiiuuw
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 2 ай бұрын
Ondoaga shetani la kupigana pigana, umpige kibao Kwa kipi zaidi? Acha ujinga
@rahmapatel8947
@rahmapatel8947 2 ай бұрын
App sasa kwa uzuri upi alo nao mwanaume mpka umuite mwenzio Malaya wakat wte tulikua ki2 kimoja wadada wengne tunakurupukaga 😏
@MatengeNezo
@MatengeNezo 2 ай бұрын
Naomba ielewekee.... HAYUPO mwanaume RIJALI akaitwa na dem kwake eti ameboeka.... na asiende kwanza mjue kabisa.... marafiki zenu tunawatamanigi sana... sema bas tu
@AndasonMartine-vz2bq
@AndasonMartine-vz2bq 2 ай бұрын
Inategemea bro😂
@MatengeNezo
@MatengeNezo 2 ай бұрын
Narudia tena... hakuna mwanaume rijali asiingie kwenye huu mkenge... yaani shem anakuita kwake anasema KABOEKA? Aaa weee.....kwanza kajamaa kamelaza dam sana... ikifika mimi nkifika naomba kuoga kwanza.... ili tu nivae taulo
@swaummussa1272
@swaummussa1272 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@dayana5513story
@dayana5513story 2 ай бұрын
👏👏
@eliaogesa1824
@eliaogesa1824 20 күн бұрын
​@@MatengeNezo wapo kwa ww unaweza kwasababu akili zako fupi, hujui anaelipa kodi ya nyumba ww unafika unalala utakuja kufa kabla ya siku zako
@joebinarysignals
@joebinarysignals 2 ай бұрын
Mxenge mwenyew hana nguvu za kiume anakula kindonge boya kweli
@chuwafrank1632
@chuwafrank1632 2 ай бұрын
Boya kweli yani
@user-sv4er3xe7n
@user-sv4er3xe7n 2 ай бұрын
Shoo mpya anataka kuikomoa
@joebinarysignals
@joebinarysignals 2 ай бұрын
@@user-sv4er3xe7n hakuna cha shoo mpya wala nini huyo itakua ndo zake kutukia vidonge asipo tumia dakika mbili hoi
@khadijabeib181
@khadijabeib181 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@samwelshilungu4370
@samwelshilungu4370 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@floranahashon4180
@floranahashon4180 2 ай бұрын
Yaani nilivyomuangalia mwanaume mwenyewe nimejikuta nacheka arafu hata cjui nacheka nini 😅😅😅
@momkissy1605
@momkissy1605 11 күн бұрын
😂😂😂
@mitchellmutuku2588
@mitchellmutuku2588 Ай бұрын
Mbona uyo dem pia mkware amehama kutoka hicho kiti mpaka hapo kando yake kwanini alikuwa yuataka pia yeye😅😅
@obsonjulius312
@obsonjulius312 2 ай бұрын
Huyo dada ana IQ ndogo sana, scene nzima imeundwa akiwepo then mwishoni anamshtaki mwenzake khaah! Sema kwa wanawake hakunaga mifano.
@princecharmy6838
@princecharmy6838 2 ай бұрын
Sion kama uyo BFF wake anakosa maana hajawahi kutoka na jamaa sasa anadaije kuwa kamsaliti nakati ni challenge ya papo kwa papo je wangekua wanadate kweli ingekuaje?
@user-mg2kj1oq2c
@user-mg2kj1oq2c 2 ай бұрын
Mpuuuz sana
@DM.2200
@DM.2200 2 ай бұрын
Hasira za kijinga alikubal ya nn
@paulbayyo8536
@paulbayyo8536 2 ай бұрын
Hata siyo IQ ni issue ya panicking
@LilBaeWorld
@LilBaeWorld 2 ай бұрын
Ila Wanawake Wembamba Bwana Sasa Mwenzie Kafanyaje😂😂😂😂😂😂
@honcho_k7302
@honcho_k7302 2 ай бұрын
Mchumba Hajaelekezwa Nyumbani...kafika mwenywe....isn't it concerning????
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 2 ай бұрын
​@@honcho_k7302hajaelekezwa vipi naww wakati ameelekezwa adi ameenda kumchukua ndio kafika nae apo
@MwizaRuvams
@MwizaRuvams 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@user-rx9kv3if5q
@user-rx9kv3if5q 2 ай бұрын
Ety kamsewe bwana mwenyew anaoneka kijinga tu😅😅
@ismailjuma1452
@ismailjuma1452 2 ай бұрын
😂😂😂
@user-qc6qx8dz9v
@user-qc6qx8dz9v Ай бұрын
Daaaah aisee huyo mpenz na mdada mwenyew ni vitu viwil tofaut
@BenArchard-yy6qf
@BenArchard-yy6qf 4 күн бұрын
Nilikua naangalia na mama kaniambia nisiwe msaliti kuna manzi nyingine ni johnsina waliochangamka 😂😂🤧🤧
@eugenmkapa69
@eugenmkapa69 2 ай бұрын
Yule jamaa alikula nini pale alipoomba maji aseee??? nimemzingatiaaa🤣🤣🤣🤣🤣
@SimonMalila-lh3zg
@SimonMalila-lh3zg 2 ай бұрын
panadoo, hahahaah
@emmanuelmapunda9379
@emmanuelmapunda9379 2 ай бұрын
Itakuwa kanywa kidonge nmeona
@SimonMalila-lh3zg
@SimonMalila-lh3zg 2 ай бұрын
Alikua amekamiaa game jamaa
@lizzybbysalv6438
@lizzybbysalv6438 2 ай бұрын
Panadol hii hii au ile kubwaa 😂
@SimonMalila-lh3zg
@SimonMalila-lh3zg 2 ай бұрын
@@lizzybbysalv6438 hahaha kumbe kuna nyingne ambayo mimi siijui jmn🤔🤔🤔😁
@John-bl2sj
@John-bl2sj 2 ай бұрын
Kijamaa cha ovyooo dem makali dah Yan uyo jamaa muhun ndo afanye mgombane n shoga ako nimelia sn😅
@nemhinamkunguh1385
@nemhinamkunguh1385 2 ай бұрын
C ndio hapo 😂nimelia Hadi kwikwi
@user-ir1cw9ev3v
@user-ir1cw9ev3v 2 ай бұрын
Umelia wakati naona imoji ya kicheka😂😂😂
@nemhinamkunguh1385
@nemhinamkunguh1385 2 ай бұрын
🤣😭😭
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@BossNgimba-xh3fg
@BossNgimba-xh3fg 2 ай бұрын
Mwanaume unalia kaza 😅😅
@nanaleetz
@nanaleetz 2 ай бұрын
Na kidonge kanywa atakoma😂😂😂😂 mweeeee
@glorymanga3650
@glorymanga3650 20 күн бұрын
Sijawahiii kuonaaa mwanaumee wa uhakikaa katika hizi fumanizi yani sijawahi kuonaa ambae angeniumiza kichwa kusema kweli wapo wa kawaida sana,au ni wivu wangu tu jamani😆
@Jifunzenami
@Jifunzenami 2 ай бұрын
Yaani huyo dada hayuko salama kabisa, mumuamishe sasa
@Dalali_Dodoma
@Dalali_Dodoma 2 ай бұрын
Asa unakubalije kudate na kajamaa ka hivo demu mwenyewe mzuri
@danielimeshack3712
@danielimeshack3712 2 ай бұрын
Shida sio kijamaa shida show show
@huseinallen6729
@huseinallen6729 2 ай бұрын
We huoni kapiga viagra pale
@LucyKulaya-bj5ow
@LucyKulaya-bj5ow 2 ай бұрын
Mzur San Yan awaendan ata rob
@khaney-de-joance
@khaney-de-joance 2 ай бұрын
​@@LucyKulaya-bj5owkunywa peps naja kulipa
@iskawarioba6823
@iskawarioba6823 2 ай бұрын
😅wanaume ni wa shida kaka,hahahahaaa ya bidhaa hadimu..😂
@shabanimwinyikhery1174
@shabanimwinyikhery1174 2 ай бұрын
We mi mwenyewe siwez choropoka kwenye huu mtego
@user-jr7jd6ye4x
@user-jr7jd6ye4x 2 ай бұрын
Uyo dada nae aache uchuro asa kam kasirikia mwenzak kwa kosa gan jmni
@ramadhaniibrahimu221
@ramadhaniibrahimu221 2 ай бұрын
Kwel wanawake mna huruma, alafu mapenzi hayachagui. Ila duh jamaa mpaka kajidunga kwanza akajua leo mechi kali.
@ley688
@ley688 2 ай бұрын
😅😅😅😅
@sultankivumbi9255
@sultankivumbi9255 2 ай бұрын
Oyaa umeisoma 😅😅
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 2 ай бұрын
anawaz ngon tu 😂😂😂😂
@ramadhaniibrahimu221
@ramadhaniibrahimu221 2 ай бұрын
@@faidhamyovela179 c akajua leo anamaliza na shoga mtu
@franciscakija1702
@franciscakija1702 2 ай бұрын
Mi sibinyezi ngoooo hadi umwambie mr uk awe anaweka vitu vyake vikamilike, siyo anatuwekea nusu nusu
@kuruthumumussa
@kuruthumumussa 2 ай бұрын
Daah ila wadada as anakosa gan mwenzake na aliambiw akakubali kil kitu asee Leo kgeuka shog ake ila jmn😂😅😊 wanaume
@PENDOYUST-ot1mo
@PENDOYUST-ot1mo 2 ай бұрын
Et jaman kamtukana mwenzie bure wakat aliulizwa kama yupo tayar wamfanyie kibwana chake challenge,,,
@Shaniehussein-pd3sk
@Shaniehussein-pd3sk 2 ай бұрын
Mapenzi mapenz😂😂 acheni
@fiakizi
@fiakizi 2 ай бұрын
Kavurugwa mwenzenu anahic bff ndo kamchiti, kosa limegeuka na anaenda kwa bby ake
@lovenessfracis
@lovenessfracis 2 ай бұрын
Huyo dada msenge msenge tena sasa mwenzie kafanya nn na wakati ishbnzima alikuwepo mwanzo mwisho na yeye alikubali😏😏😏kwanza kwa mwanaume yipi😂😂😂huyonaemeza vidonge ili aweze show kijana mdogo hivii mfyuuuu😏😏😏😏
@user-bk2hz5pq7s
@user-bk2hz5pq7s Күн бұрын
Ila huyu dada aliyevaa surual ni mzur nashangaa sijuw amekutana na mwanaume wa aina gan jaman😂😂 au ndo mapenzi upofu😂
@khamoshmikidadi618
@khamoshmikidadi618 2 ай бұрын
Tatizo kiredio mnamcheka sana uyo dada adi kajuta kufany iyo challenge 😂😂
@user-cp6xm8nz1e
@user-cp6xm8nz1e Ай бұрын
Kajiloga mwenyewe kwann akubari mwezake yupo kazini
@Emmanuelemmanuetito
@Emmanuelemmanuetito 2 ай бұрын
daaaaaah m n mwanaume lkn ivi nyie dada zetu mnapata wap ujasiri wakudate n mtu kama uyo jamannn mnafeli wap jaman🤔🤔🤔🤔🤔
@swaibahhassan5056
@swaibahhassan5056 2 ай бұрын
😂😂😂 baro baro mlamba lips
@heriethsamwel7190
@heriethsamwel7190 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@Emmanuelemmanuetito
@Emmanuelemmanuetito 2 ай бұрын
@@swaibahhassan5056 wanazingua sna
@Emmanuelemmanuetito
@Emmanuelemmanuetito 2 ай бұрын
@@heriethsamwel7190 badilikeni😂
@lovenessmassawe2822
@lovenessmassawe2822 2 ай бұрын
Hapo sasa hata kama mapenzi upofu hapana jaman
@MagdalenaHoja-jh9qg
@MagdalenaHoja-jh9qg 2 ай бұрын
Kimwanaume kimevaa kama madensa wazamani icho kitambaa nanicheusiii kibayaa kimkaka aisee uyu dada ajitambui
@NoorynMody
@NoorynMody 16 күн бұрын
Yaan we dada uzur wote huo mwanaume mwenyewe ssa😂
@user-gv4kf7mb8l
@user-gv4kf7mb8l 2 ай бұрын
Mwamba Kala kidonge huyo😊😅
@ZennaSamson
@ZennaSamson 2 ай бұрын
Wa kwanza kutoka kenya 🇰🇪
@kasikaswamila340
@kasikaswamila340 2 ай бұрын
Hi
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 6 күн бұрын
Kiredio we boya sana et kainama unaona hapaaa et umepga na magoti unaonyesha mfano
@FatimaMohd-oq3tl
@FatimaMohd-oq3tl 14 күн бұрын
Sasa hpo hyo rafik yke kanununia Nini na wamepanga mipango pamoja. Mpka kufikia makublno
@aziziiddi
@aziziiddi 2 ай бұрын
Mnashangaa jamaa kummiliki uyo mtoto mzuri ila msela ana tumia vidonge kwhy mtt anajua msela yuko fiti kalikiti😂😂😂
@Joyce-zk9nx
@Joyce-zk9nx 2 ай бұрын
😂😂😂
@kebytz.9890
@kebytz.9890 Ай бұрын
😅😅😅
@michaeljpm5597
@michaeljpm5597 2 ай бұрын
Kijamaa kimemeza kidonge cha kukamia show
@swaibahhassan5056
@swaibahhassan5056 2 ай бұрын
😂😂😂
@godlovemwakalinga
@godlovemwakalinga 2 ай бұрын
Kiredio kazi nzur ndugu yangu Sema mapenzi mazito kuliko dem kakubali kule mlimani kufika home anazingua na kumpiga mwenzio istoshe dem Mwenyew msumari tuu
@user-bk2hz5pq7s
@user-bk2hz5pq7s Күн бұрын
Nilikuw nawaza huo ugomvi hiyo Tv ingepona kwel😂😂 lakin bora imepona
@merryjuma8499
@merryjuma8499 2 ай бұрын
Vip usalama wa huyo dada hapo kwa shemeji mtu asije kuliwa na wahuni,make mshkaji mwenyew anaonekana muhuni wa twn😮😮
@michaelmsokwe1921
@michaelmsokwe1921 2 ай бұрын
Kiredio miyeyusho 😅
@khaney-de-joance
@khaney-de-joance 2 ай бұрын
Kimenuka hapo n lala salama sio Kwa rafiki wala shemeji
@alicelenard5954
@alicelenard5954 Ай бұрын
Heeeeee ika kirediooo daah unetisha thn nmemkubl huyo dada jmn mwenye mlotumia na geto lake thn plzz mwambie nampenda sanaaaa cha upoole kama mimi ❤❤❤❤
@NorahMhanga-rf9ft
@NorahMhanga-rf9ft 2 ай бұрын
Washakuwa maadaui hawa😃😃
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 2 ай бұрын
Ndo mjifunze challenge nyingine zinaharib mahusiano Bora yaaribike mapenz lakin sio urafik
@tc._iris
@tc._iris 2 ай бұрын
Kwa mtu anaejali urafk hawez kugombn n bff wake ksa mwanaumee…huo ulkuw cyo ubff bali unafk tuu kwa hyo situation huyo rafk ake hana kosa ht kdg ila yy kaon ndo mweny makosa
@pachitofilm
@pachitofilm 2 ай бұрын
Jamaa kameza kidongee😊😊😊😊😅😅😅😅
@Dipeson700
@Dipeson700 Ай бұрын
Hiki ndo kinanitatza😂😂😂😂😂😂
@AtukuzweKivambilo
@AtukuzweKivambilo Күн бұрын
Jmn wedada nzur ila huyo mwanaume jmn dah
@mkamaboy2016
@mkamaboy2016 2 ай бұрын
Sema Kijamaa kilikuwa na hamu na shem wake mpk kimeenda na vidonge kabisa ila kile mzigo fresh kisimamie kucha
@SophiaChmpaya
@SophiaChmpaya 2 ай бұрын
Wanawake sisi rahisi sna kusamehe mbna ataenda kumla demu wke huku wanabembelezsna
@mkamaboy2016
@mkamaboy2016 2 ай бұрын
@@SophiaChmpaya Umenena vyema mrembo Lete namba nikutumie na bia
@ShaniRajabu-hu3fy
@ShaniRajabu-hu3fy 2 ай бұрын
Kheee ss huyo dada kosa lake nn 😂😂😂😂kavurugwa masikini😢
@khaney-de-joance
@khaney-de-joance 2 ай бұрын
Hapo ndio kujua marafiki bhn mmmh hata hajakumbuka n challenge, angesuniria video utoke ndio ajue anammind au vip😢😢
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 2 ай бұрын
et jamani kosa la Rafiki yake ni nini ?! Tena amemsaidia amejua uyo mwanaume ni Wa namna gani mshenzi kabisa sijui ndio kuchanganyikiwa 😢
@happinessmtabo1923
@happinessmtabo1923 2 ай бұрын
Na watarudiana ajab sasa😂😂
@user-eo4hd8xu6d
@user-eo4hd8xu6d 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@hamisaabdulhamid529
@hamisaabdulhamid529 2 ай бұрын
Walikubaliana
@user-kk7dd3xm8t
@user-kk7dd3xm8t Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂umenifuraisha ety unaaraka na huja bonyeza😂😂😂😂nashabonyeza
@SalumPilimo
@SalumPilimo 2 ай бұрын
Sema hii sio nzur, Ni hatarishi watu wanaweza hata kuchomana visu
@godlovesistinregnaldmtui1120
@godlovesistinregnaldmtui1120 2 ай бұрын
Jamaaa kaweka VAGRA Mdomoni au nimeona vibaya 😢😢 wakati anaagiza glass ya maji
@Weirdboe
@Weirdboe 2 ай бұрын
I love the woman with black
@eliassimon5058
@eliassimon5058 Ай бұрын
the way ilivyoanza na apo mwishoni iko wazi kama ni kitu chakutengeneza
@Directorshadeah
@Directorshadeah 2 ай бұрын
Kajamaa mbona kamekuja na kidonge kamemeza ili kamkomoe shemeji😁
@kapondadr5840
@kapondadr5840 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@user-kd8on3ml1p
@user-kd8on3ml1p 2 ай бұрын
Yani utafikiri sinema 😅😅😅😅😅mmenifuraisha kwakweli 🇧🇮🙌🙌
@deusraphael2954
@deusraphael2954 Ай бұрын
Dada wa watu halafu ni shabiki wa simba daaaa! Huzuni sana😢😢 mpira na mapenzi vyote jau
@Fina-dj7kl
@Fina-dj7kl 16 күн бұрын
Una g0mbnish wa2 bhn mapenz bila u00ng0 aya n0gi u acha 2😂😂😂
@Denismayeye18
@Denismayeye18 2 ай бұрын
Pole yake huyo dada
@Mo_kiddMsangi
@Mo_kiddMsangi 2 ай бұрын
Bro kiredio unach fany nisaw but me naona itakuwa mbay badae bro
@JescaGodfrey-xm1gp
@JescaGodfrey-xm1gp 2 ай бұрын
Uyooo mwanamkeee mjingaa xanaa asa anamchukiaa best akee wa nni mshenzii ni uyoo bwan akee wa manzese😂😂😂😂
@ayoublupande3007
@ayoublupande3007 2 ай бұрын
😂 haha 🤣 jamaa kala mkongo Nini cjaelewaelewa hahaha 😂 Ila wanaume tunawazaga usenge TU tukiona wanawake mbwa sisi 😅
@laurancepeter7243
@laurancepeter7243 2 ай бұрын
Ila nyie😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
@ShaniRajabu-hu3fy
@ShaniRajabu-hu3fy 2 ай бұрын
Wakwanza nipen maua yng
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 2 ай бұрын
🌹🌹🌹🌹🌹💐💐💐💐💐🌺🌺🌺🌺🏵️🏵️🏵️🏵️🏵️🏵️🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀
@user-zc7yi8en2g
@user-zc7yi8en2g 2 ай бұрын
😂😂😂😂 napata Raha sana Niko nacheka kama mwehuu
@eunicegerminus193
@eunicegerminus193 Ай бұрын
Jamani mbona hawa mwanaume wenyewe hawaeleweki asilimia 90 ya hizi challenge naona mitumbwi tu ya vibwengo tu haloooooo
@DanielGeorge-pr6nj
@DanielGeorge-pr6nj Ай бұрын
Hii plank sio nzuri amkeni vijana. Huu ni ujinga hapo kaharibu mahusiano ya watu na urafiki wa mabinti wawili.... Ila sio mbaya huyu kiredio yatamkuta soon tu .. Binadamu wana mengi
@neziajoseph9726
@neziajoseph9726 Ай бұрын
Ndugu hii ndio nzur sana
@beatricepallangyo2821
@beatricepallangyo2821 Ай бұрын
Ni prank siyo plank wewe
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 2 ай бұрын
Sema mmezingua mngengoja huyo boya kama kingeendelea nn asa hapo kamuita tuu kwake na kaja tuu ata atujanjoy viile😂😂
@swaumuabdallah6886
@swaumuabdallah6886 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@abdulswahib5380
@abdulswahib5380 2 ай бұрын
🤔🤔🤔
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 2 ай бұрын
@@abdulswahib5380 eee ndio atujaenjoy vzr
@LindaSalumu-yw9hq
@LindaSalumu-yw9hq Ай бұрын
Dada punguani tena depo jipya mwenzake ana kosa gani
@dorotheasamwel8071
@dorotheasamwel8071 Ай бұрын
😂😂😂new depo akiii
@mossesgadiye2200
@mossesgadiye2200 2 ай бұрын
Sasa baada ya kula kidonge alimwagia wapi kichupaaa😂😂😂
@Lily-rn6xc
@Lily-rn6xc 2 ай бұрын
Wa kwanza ,✌️✌️
@JulieMakundi
@JulieMakundi 2 ай бұрын
Mmmh huyo mwanaume sass kama wale wadudu wa Arusha😄🌚 sema sisi wanawake tunajitafutiaga matatizo wenyewe sas mwanaume gani huyo wa kudate nae anavaa kitambaa, nmelia hadi kwikwi😄
@user-fp5uy6zh7h
@user-fp5uy6zh7h 2 ай бұрын
😂😂😂 et wadudu umenifrahish
@JulieMakundi
@JulieMakundi 2 ай бұрын
Acha tuu mwanaume mwenyew wa hovyo😦
@user-fp5uy6zh7h
@user-fp5uy6zh7h 2 ай бұрын
@@JulieMakundi Wa hovyo halaf wa hovyo tena 😏
@FatmaJamalbajamra
@FatmaJamalbajamra 2 ай бұрын
Sasa huyo rafiki yako kosa Lake nini mpaka ukamtukana jamani na amefata tu amri chenye anaambiwa na ww mwenyewe ulikubali toka mwanza 😅😅
@user-vz4xv7lg3x
@user-vz4xv7lg3x 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@shebynizertechnicallyskill3005
@shebynizertechnicallyskill3005 2 ай бұрын
Hao marafiki wasamehane tu wote wamekubaliana 😢😢😢 kiredio nipe tu namba ya hyo dada aliyemfnyia prank shemeji yake
FUMANIZI KIMARA | Shemeji Anasa Kwenye Mtego PART 1
16:21
KIREDIO
Рет қаралды 336 М.
CAKE YENYE SCREENSHOT ZA MCHEPUKO YAPELEKWA TABATA PART 1
19:23
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 28 МЛН
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН
AIBU YA MWAKA, KAPEWA GARI SKU YA GRADU KUMBE ANACHEAT
6:29
KIREDIO
Рет қаралды 171 М.
لحشومة  la honte
1:24:05
najoua achour | نجوى عاشور
Рет қаралды 1,2 М.
MKE NA MCHEPUKO WA KUTANA Part 2
9:56
Mr Uky
Рет қаралды 254 М.
NLIKUA NAMTAFUTIA SABABU | WAKUTANISHWA
15:01
KIREDIO
Рет қаралды 205 М.
DIAMOND PLATNUMZ ATOA 'COMMENT' KWENYE PAGE YA INSTA YA KIREDIO
3:02
Fumanizi Tabata Pt3 Mfumaniaji Afumaniwa
14:31
KIREDIO
Рет қаралды 127 М.
MPENZI KADANGANYA ANA SAFIRI
10:02
Mr Uky
Рет қаралды 59 М.
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
KIREDIO
Рет қаралды 145 М.
ATEMBEA NA BWANA WA BFF WAKE ARUSHA. Part 01
9:59
KIREDIO
Рет қаралды 133 М.
The cat chose the right one 🥰🥳😸
0:32
Ben Meryem
Рет қаралды 42 МЛН
Difference of girls and boys when eating sweets 😂😬
0:35
VovaLika Family
Рет қаралды 10 МЛН
My wife said she wants to show me her true skills
0:27
昕昕一家人
Рет қаралды 62 МЛН