Dah hawa watu huwa wana badilika sana ivi unawezaje kuvunja zawadi uliopewa na m2 umpendae ten yeye mwanaume anatumia sim ya kawaida sana asee wadada wa hivi wanadharau san ipo siku ataridhika ata mpenz wak atolewe roho atasem saw tyu😢😢
@abaismailhatibuСағат бұрын
Hiii sixon mzur😅😅😅
@albanomkoka5577Сағат бұрын
Hizi challenge hiz nyie jaman
@GwantwaSamsonСағат бұрын
😂😂yan uyu dada mm nimempenda 😂😂 mambo ya kuskiliza wanaume weeeeeh!!!!😅😅
@AkuBoeСағат бұрын
Ila kiredioo😂😂
@RachelJoseph-ww4cs8 сағат бұрын
DAAH imeniuma
@fordraymondjohnson238019 сағат бұрын
KIREDIO, NASHAURI UKIFAMYA CHALLENGE ZENYE MIHEMKO KAMA HII, BASI MWISHO WA CHALLENGE MJUZE YULE WA UPANDE WA PILI KUWA ILIKUWA JOKE KUONDOA TATIZO KAMA HILI.
@abdallahalwardi58819 сағат бұрын
❤😂HALAFU WEWE KIREDIO ?? ❤😂
@abdallahalwardi58820 сағат бұрын
😂❤😂❤😂❤😂❤😂❤
@glorymanga365023 сағат бұрын
Kwan hizooo camera zinavyowachukuaa huwaa hawaoni?
@glorymanga365023 сағат бұрын
Sijawahiii kuonaaa mwanaumee wa uhakikaa katika hizi fumanizi yani sijawahi kuonaa ambae angeniumiza kichwa kusema kweli wapo wa kawaida sana,au ni wivu wangu tu jamani😆
@KhalidNa-bn4gpКүн бұрын
Huy kaka mwongo khaaaa😂 mmbabaifusna 😂😂
@EliphasNyagwaruКүн бұрын
Mbn kakata
@AlikoMwasomola-d2cКүн бұрын
😂😂😂😂 akn ally hawan baya
@user-uk3vr1oi9m2 күн бұрын
Jmn jmn nyie wadada mnautani na mapenzi yenu nyie toka lini mwanaume akafanyiwa chalnj jmn sikujtafutia tu mrngine😮
@manbizzomtawala57552 күн бұрын
Ukiendekeza hisia mapenzi yatakuchapa fimbo mpaka ukome tumia akili unaendekeza hisia Afu mtu akikasirika ndo anatoa ukweli wa moyoni huyo jamaa alishatoa ukweli wa moyoni sema mdada kaweka hisia mbele kuliko akili
@mossesramadhani5012 күн бұрын
Huyo wa Oman anajielewa Kweli??
@aminaShabani-ox2kf2 күн бұрын
Kiredio😂😂😂😂Mungu anakuona
@wemaluhende40802 күн бұрын
Shani ni mrembo jmn😢
@user-bz7kg2lr3f2 күн бұрын
Kiredio sasa sku ikatokea mauwaji kupitia hii challenge yako ujue nawewe utahusika na mauwaji
@jemamdendemi96362 күн бұрын
😂😅😅😅mnaleta ukorofi
@salomelusinde12053 күн бұрын
Huyo mwanaume mwenyewe khaaa
@claramushy3 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-qr1nd9zk4c3 күн бұрын
😅😅😅😅✋
@LisaHashimu3 күн бұрын
Usingle raha 🥱🌚
@LisaHashimu3 күн бұрын
Mapenz yanachekesh😂😂😂
@majaliwayakout3 күн бұрын
Safi dada shikilia apo apo !
@HabibahKhalfan3 күн бұрын
Dada kula ugali natembere uwongeze damu
@abdallaabdulrahman83194 күн бұрын
Mwanamm kweny mambo hayo huwa hajaribiwa hata kidogo atafeli tu
@HusnaMtumwa-k1b4 күн бұрын
Ila kiredio jamn mmmh
@GIPSONURASSA-xl7cr4 күн бұрын
Nyie wadad na kiredio wote ni wasenge tuu yaan wapuuz hiiii video Hain akili mwanaume ujaribiw ata Kam ni mm ningekuja
@abdallaabdulrahman83194 күн бұрын
Kiredio wacha huo mchezo haraka
@calvinstephen15414 күн бұрын
Ila nyie jamaa no wanafki 😂😂😂😂
@giftabraham90764 күн бұрын
Nimejikuta nalia 😢
@giftabraham90764 күн бұрын
Nimejikuta nalia 😢
@GloryAndrew-tl9kk5 күн бұрын
Jamn kiredio n mmbea😅
@BeatriceMagoha5 күн бұрын
Me najiuliza camera man alisimama wap
@norahMathias5 күн бұрын
😂😂😂😂😂 nyeeee niwagombanishi kweli kabisa mungu akibaki nikakutana na nyinyi wote ana Kwa ana
@user-hb8vi9fx6g5 күн бұрын
AWEZA KUFANYA MKUBWA MTU USIE MDHANIA HAPO NDO UNAPO AIBIKA
@neykombe88315 күн бұрын
Mtu kakujibu hvy alafu bado unamtafuta Kwan wanawake mwalimu wetu nani
@taufiqngoli74135 күн бұрын
IPO SIKU UTAMPONZA MWAIKIMBA📌
@MagrethAvoid5 күн бұрын
😢😢😢
@elinurukitomali60085 күн бұрын
Sasa hiyo mwenzake anamtukania nini sasa wakati amemkomeshea hy mjinga wake😂😅😂
@elinurukitomali60085 күн бұрын
😂😂😂
@suleman40715 күн бұрын
wewe demu unatkiwa kuelewa ally anazungumza nini kama utatumia akili high thinking cpcty ally ameelewa kosa lake ttz anachukulia ally kukubali makosa sasa anataka kuwa juu cha msingi ilikuwa kuelewana