G64 Tafadhali mwambie Viongozi walete mchezaji kwenye namba 2. Kuwaamini Kapombe na Israel ni kucheza kamari. Timu imependeza kasoro pale namba 2 ambapo palitufelisha msimu uliopita.
@RadhackMaestro-x7c7 күн бұрын
Wanasubiri kuuza magodoro 😂😂😂😂 hamna money 💲
@user-wk2bg8zf3l7 күн бұрын
GB 64 SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉WAKALI WA KARIAKOO
Beki namba 2 pale hamuoni simba au mmesahau msimu uliopita yaliyotokea kwa kapombe
@fatmahpoli15287 күн бұрын
Hahahahahaa wee jamaa wewe eti baba yupo nyumbani hapapikwi dagaa
@manmanonline63947 күн бұрын
IMEENDA HIO NSSF
@HussainIgayo7 күн бұрын
Nabado wats tosha
@HussainIgayo7 күн бұрын
Nikweri hawawezi
@YOSHUAMWAMPETA7 күн бұрын
BEKI AKIWA KATILI faulo zitakuwanyingi au?
@JohnsoonJohnsoon-pu5tm7 күн бұрын
Ila simba ya msimu ujao ni simba ya mvp
@faustinemalunde65717 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 64Gb hatari
@faustinemalunde65717 күн бұрын
Wachezaji wa NSSF
@AmiryHamza-gs8pp7 күн бұрын
Bado atujamaliza
@IsaacPhilemon-mt7bk7 күн бұрын
Ila MOOOOO anatisha,ni tajiri kweli na anaipenda SIMBA kutoka moyoni,upewe maua yako popote ulipo,wengi tunakupenda Moooo wetu.
@YusuphManasi7 күн бұрын
yanga kumpatachama hawaamini ndomana wamefanya shelehe kajili ya chama t hahaaaa waoga kwel
@mikidadymohammedy76037 күн бұрын
Sio uoga tu pia washamba
@andrewkitema98387 күн бұрын
Ila wewe kweli ni tahira taslimu. Yaani bado unawaza habari Aziz Ki.
@HassanDonyoa7 күн бұрын
Ha ha ha ha ha gb64 unaongea
@magolemagole69567 күн бұрын
😅😅😅
@mbarakasijaona76387 күн бұрын
Tusubir msimu uanza tunaomba uswatishe tena viongozi wako ukatiwa ndani
@eliahbukukumwaikuju74037 күн бұрын
😂😂😂😂
@user-jh9yv1zp1l7 күн бұрын
Kabs nssf mafao
@cynthiapwani13837 күн бұрын
Yani huyu baba kama sio mlevi sina uwakika tena ankunywaga matap tap yale maana anaongea mpaka maick zinavuja mate,na kesho kutwa tu ataufyataa kimyaaaaaa