GPS: Rais RUTO atetea GHARAMA za USAFIRI ziara ya US, adai ni chini kuliko angeenda na KENYA AIRWAYS

  Рет қаралды 13,248

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

23 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 160
@shamuada2216
@shamuada2216 21 күн бұрын
Dj sma hayuko sawa kabisa May Allah grant you quick Shifaa lnshaAllah
@zuwenarajab6675
@zuwenarajab6675 21 күн бұрын
Allahumma Aaminy!
@msellemnassir1831
@msellemnassir1831 20 күн бұрын
Ameen
@user-rl7ud2tw7y
@user-rl7ud2tw7y 20 күн бұрын
You are smart DJ smaa, umesha elewa ka mchezo ka wa marekani.. im from Drc-congo GOMA town
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 21 күн бұрын
Hongera sana sky na dj smaa napenda sana podcast yenu
@HamduniYasir
@HamduniYasir 21 күн бұрын
Uyu Masubi bahna uwa ht simuelewi anaongea nn aisee, Salut kw Dj Smaa
@Laughters_club
@Laughters_club 21 күн бұрын
DJ Sma is more informed🙌🙌🙌 jamaa noma sana aiseee
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 21 күн бұрын
Nakubali sana dj smaa
@msellemnassir1831
@msellemnassir1831 20 күн бұрын
Dj sma ameeleza vizuri kuhusu tofauti ya mikopo ya america na mchina Hapa wakenya tumeuzwa wallahi mimi sijaridhika
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 21 күн бұрын
Kenya wameingia Cha kike kua na urafiki na marekani ni sawa na kujichimbia kaburi mwenyewe 😢😢
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 21 күн бұрын
The best podcast in East Africa
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 21 күн бұрын
Ally anazunguka sana, kitu cha kuelezea dakika moja, atakiongelea kwa dakika tano na unaweza usimuelewe
@clearancekimambo7927
@clearancekimambo7927 21 күн бұрын
Yupo shallow ndiomaana anazurura sana,,mimi ikifikaga yeye kuongea nafoward
@natual7572
@natual7572 21 күн бұрын
Waskilizaj mnamaneno san
@asyajey3479
@asyajey3479 21 күн бұрын
Wana ​@@natual7572Wana hila sana mm nawaona wote wako vzr
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 15 күн бұрын
Umeona eeeh utafikir wanaweza kazi vile​@@natual7572
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 15 күн бұрын
Ebu nenda kaelezeee wew tukuone 😅
@lodricophd728
@lodricophd728 21 күн бұрын
Smah wewe ni AI ✋🏼🤚🏼
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 21 күн бұрын
Smarr 🔥🔥🔥🔥
@PatrickJulius-uy3yb
@PatrickJulius-uy3yb 21 күн бұрын
Asante gps tupo live na sma Ally sky vichwa kuntu vinavyo baransi mizan ya habari bira kuwa na upande hapo ndipo mnapo baki kuwa bora wa miaka yote wangine watafata
@elishafelix9301
@elishafelix9301 21 күн бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 First of all kudos to the podcast, I wish the episode was longer. I am a Kenyan who believed in this GVT and even voted for it, but now I am left with regrets. I wish Mr. President was selfless, I'm sure he is more after personal gain than nothing else.
@suleimanmajani6187
@suleimanmajani6187 21 күн бұрын
Shukran. Kwahabari
@billskeez92
@billskeez92 21 күн бұрын
Niko pale GPS 🔥🙌
@yazzgray9757
@yazzgray9757 21 күн бұрын
Air France/KLM are the majority shareholder's of Kenya Airways KQ!.
@kayklein1201
@kayklein1201 14 күн бұрын
Thanks brother Sky bt Dj sma I wish ungejua umuhimu wa usalama hungesema ivo am from lamu county and manda base iko lamu for me mahali niko na manda base ni 12km so tumeumia sana na ugaidi that why Israel 🇮🇱 and USA 🇺🇸 wametusaidia sana kupigana na ugaidi
@josephm4233
@josephm4233 21 күн бұрын
GPS is back again, love you guys 🙏
@kassimbayuu5217
@kassimbayuu5217 21 күн бұрын
Smaa unaongea fact sana
@lswai6777
@lswai6777 21 күн бұрын
Huyo mwenye "Motivation" T-shirt hajui anacho sema. Hamna cha bure!
@pestronics4503
@pestronics4503 20 күн бұрын
powerful people come from powerful places.
@omarzinga7046
@omarzinga7046 21 күн бұрын
The issue was safety of the president and his fellowship.that what matters
@clearancekimambo7927
@clearancekimambo7927 21 күн бұрын
Huyo Ali kusema kweli yupo shallow sana,,alafu anadakia sana kuongea alafu hana uzito wakufikiri sana kama sma
@user-fx7ig1uy6t
@user-fx7ig1uy6t 20 күн бұрын
Watu hawawezi kua sawa...na haimaniishi kua si mbora
@clearancekimambo7927
@clearancekimambo7927 21 күн бұрын
Nipo US na nafuatilia GPS lakin huyo Ally hakuna anachojua
@josephm4233
@josephm4233 21 күн бұрын
Waooh, bold and brutal claim, "hakuna anachojua". Mtu mkomavu hatumii lugha kama hii, kuna shida gani ungesema hoja yake hoi haipo sahihi kwa sababu moja mbili tatu? Au kusema kwenye hoja hii au ile alisahau facts hizi. Ninapenda kujua hoja gani Ally haijui ila wewe unaijua ili nipate kujifunza
@Khalidniya380
@Khalidniya380 18 күн бұрын
Wew unajua nini?
@WhiteMediaKenya
@WhiteMediaKenya 21 күн бұрын
Following
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 21 күн бұрын
thanks guys I salute you
@kamole3
@kamole3 21 күн бұрын
@GPS - hakuna nchi iayoitwa somaliland, only Great Somalia 🇸🇴. Btw. Keep the great work
@abubakarimsere
@abubakarimsere 21 күн бұрын
GPS🙏🏾
@pestronics4503
@pestronics4503 20 күн бұрын
ally masubi your are a big brainer,rutos government will cooperate with the west a nd the incoming president after ruto will cut ties with the west.thats a direct win to kenya
@MichaelAbby-dp4qz
@MichaelAbby-dp4qz 20 күн бұрын
It's not easy to cut ties with the us
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 21 күн бұрын
👊✌👍.
@lswai6777
@lswai6777 21 күн бұрын
Huyo jamaa wa katikati anajua anachosema.
@leonolinga2834
@leonolinga2834 21 күн бұрын
Huyo wa Motivation hajui anacho ongea
@rosslynemaina4714
@rosslynemaina4714 21 күн бұрын
KQ/KLM not BA
@Del_busi5
@Del_busi5 21 күн бұрын
🙌🏾
@ericdoctor6933
@ericdoctor6933 21 күн бұрын
Maraisi wa Afrika 90% hawana akili
@AbuuAli-nf4fb
@AbuuAli-nf4fb 21 күн бұрын
Hizo pesa zitaliwaa hutaamini hapo kuna vinyozi wale wengine waliondolewa mashtaka waizi siku za nyuma
@zulungconde1647
@zulungconde1647 21 күн бұрын
Mimi naumia sana kuona nchi nyingine zinajiuza kweupe day light.. eti in the name of maendeleo ya Kenya, off course every country must strive for progress but not those which are not sambamba na main objectives of African continent.
@user-op5gz7vj6w
@user-op5gz7vj6w 21 күн бұрын
Mbona kaa mmepowa sana
@mariaswakeithekenyanmusici4393
@mariaswakeithekenyanmusici4393 21 күн бұрын
Given
@SaidyMwajeka-tr7oj
@SaidyMwajeka-tr7oj 21 күн бұрын
Nice guys
@MichaelAbby-dp4qz
@MichaelAbby-dp4qz 20 күн бұрын
Sio kwa ubaya ila #allymasubi una mengi sana ya kujifunza kutoka kwa #djSMA
@lodricophd728
@lodricophd728 21 күн бұрын
Ally stop crashing bro
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 21 күн бұрын
Ulitaka asemeje?
@jumakibwana1810
@jumakibwana1810 21 күн бұрын
Dj sma akili nyingi sana honestly speaking ili yawe mazuri basi nilazima pia terms and conditions zake coz huenda ikawa conditions huenda zinatukanyaga na huku twasema nimazuri
@emmanuelkivenule875
@emmanuelkivenule875 20 күн бұрын
Drc
@user-sx6rh3mj1q
@user-sx6rh3mj1q 21 күн бұрын
We are free country
@user-sx6rh3mj1q
@user-sx6rh3mj1q 21 күн бұрын
Ata kma n mikopo bt sisi tuko huru tunaeza fanya maandamano mambo ukieda sivyo divyo
@SerahGlam
@SerahGlam 21 күн бұрын
The best poscast in Tanzania❤❤❤
@evemurugi3399
@evemurugi3399 21 күн бұрын
Kenya airways sio ya kina Uhuru
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 20 күн бұрын
huyu wa katikati anajua sana kugusa vitu mbalimbali..ila wote watatu wako vizuri sana
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 20 күн бұрын
kwahiyo nyie akina Dj smaaa mnafurahia mmarekani kuweka kambi kenya ????
@kassimbayuu5217
@kassimbayuu5217 21 күн бұрын
Smaa una muono wa mbali sana
@MapembeloTz
@MapembeloTz 20 күн бұрын
Dj sma uwe unatabasamu
@musibabutu1376
@musibabutu1376 21 күн бұрын
Mtafika mbali sana wakubwa...
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 21 күн бұрын
Chakushangaza mbona hakuna fedha iliyowekwa kwaajili ya Utatuzi wa shida ya umeme, Maendeleo ya kilimo n.k
@selesjandwa412
@selesjandwa412 19 күн бұрын
DJ sns! Nadhan unakitu cha ziada maan unaongea kwa logic San tena critical
@ibrahimnaftar9037
@ibrahimnaftar9037 19 күн бұрын
Nimesikiliza nilikuwa sijaelewa ila alivyoeleza dj sma nimemuelewa vizur baraa
@alexmugo3159
@alexmugo3159 21 күн бұрын
We have sold our soul to the highest bidder
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 21 күн бұрын
Mijadala ya GPS haitamfaa Ally! Yuko Straight na Against na wanachoamini kina Smaa! Wao ni Against America. Yeye ni Realist. WATAPISHANA.
@mohammadabdallahmzee3825
@mohammadabdallahmzee3825 21 күн бұрын
Hii ni nzur coz tutapata mengi zaid
@Latifahhassan-lr8ew
@Latifahhassan-lr8ew 8 күн бұрын
Sma akili nyingi sana
@allahisone6386
@allahisone6386 21 күн бұрын
Eeweeeeeh_🤔
@user-cr2qv5wr8q
@user-cr2qv5wr8q 20 күн бұрын
Warusi wapo sana uku kwetu Lubumbashi sana
@3erffeoui86
@3erffeoui86 21 күн бұрын
APO KWA WATU NI UKWELI ALIENDA 30 GOVERMENT OFFICIAL DJ SMAS WACHA NIKUAMBIE UKWELI APA KENYA RUTO NA VIKARAGOSI WAKE NDIO WAONGO CC WENGINE WANGA TWASEMA FACT JUU WAO WANGA WANA DANGANYA MWAMBA
@djsma255
@djsma255 21 күн бұрын
asante kwa tarifa
@ConstantineCoscardrov-wb6ih
@ConstantineCoscardrov-wb6ih 19 күн бұрын
Pls...bw Masubi N.Korea hajaanguka.
@Nyaki-rh5oi
@Nyaki-rh5oi 21 күн бұрын
19:46
@alphadreammedia
@alphadreammedia 11 күн бұрын
Kauza nchi
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 20 күн бұрын
dah lakini President wa Kenya - Ruto apo mtu wetu ametisha jirani...Mungu ambariki Rais huyo na nchi yake anayoiongoza Kenya. Ona Kenya wamenyamaza kimya wako poa tuu. ngoja ingekuwa ni sie mmmmmmmmmmhhhhh tungejitamba mpaka asubuhi. wakenya-maturity - top notch kwa kweli kama Raisi wetu Samia
@nelsonukaishajr
@nelsonukaishajr 21 күн бұрын
Ruto bringing Eddie Butita along with him was the cleverest thing a head of state could do. Remember first of all Kenya is not in the league of Russia and China for Ruto's state visit to be likened to Putin's. Ruto is a man representing a people yearning for opportunities that a country like Russia already has. If Ruto is looking for partnerships between Kenya and US entertainment industries, who better to bring along with him than someone in that very industry? and by the way, not a minister coz ministers obviously are centuries older than what's really going on in the contemporary entertainment industry.
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j 21 күн бұрын
Tunaenda kulia 😢😢
@MdYeasin-xx1gm
@MdYeasin-xx1gm 21 күн бұрын
wasiwasi wa nchi za magharibi kujitanua kwa mrusi na mchina bara la Africa
@godblessphilemon1189
@godblessphilemon1189 18 күн бұрын
Mbona nyerere alipigiwa hadi mizinda acheni baba 😕🤔
@africanbeauty6556
@africanbeauty6556 21 күн бұрын
Kenya Airways /KLM
@AbuuAli-nf4fb
@AbuuAli-nf4fb 21 күн бұрын
Muko na uhakika ni watu 30 ama ni watu 130?
@chidiomari.65
@chidiomari.65 21 күн бұрын
Kenya watakua wababe WA East Africa Hilo halina ubishi,Hongera kwao
@Niget-us1np
@Niget-us1np 21 күн бұрын
Na madili pia yatabadilik sas hiv wataowa mwanaum uko
@RamadanPaul
@RamadanPaul 21 күн бұрын
Hivi unajua kuna pesa imetoka kwa ajiri ya kuimarisha haki za kibinadamu kenya. Ushoga, usagaji ndo haki za binadamu wanazotaka wamarekani. Kwa hiyo wakenya mjiandae masela kuolewa🤸🤸
@abubakariswai
@abubakariswai 20 күн бұрын
Dj sma hiyo sahihi hakuna cha bure , Kingine marekani ataifanya Kenya iwe na nguvu lakini hiyo ni njia tu ya kuingia kwenye nchi zingine hapa East Africa Na kwasasa hivi uwezi kuelewa sabb Kenya itafika sehemu atakuwa na nguvu na kuna nchi hapa east athirika sana Najaribu tu kuangalia kenya kwasasa hivi wanaviwanda vingi sana na wajasiramali wa tz wanafahamu hilo sasa hapo badae mtakua na Kenya ambayo ni mmarekani mdogo sabb hapa east nchi nyingi zimeanza kujanjaruka hivyo Mmarekani anachojaribu ni kutumia akili ya mbali sana labda miaka 10 ndo uje umuelewe ila kwasasa tunaweza ona Kenya imepata lkn nikama imepatikana 😂😂Acha nasisi tujaribu kuwa wachambuzi
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y 21 күн бұрын
Ni hatari sanaa lkn jmn
@kayklein1201
@kayklein1201 14 күн бұрын
Sma kenya 🇰🇪 hatukujiingiza Somalia 🇸🇴 kumbuka wanamgambo wakule walianza kushambulia kenya 🇰🇪 kuteka watalii wanaoingia kenya 🇰🇪 na meli zinazoingia kenya 🇰🇪 ikawa hatuna budi kumbuka 2011 raisi akiwa KIBAKI
@byamunguemmanuel4302
@byamunguemmanuel4302 21 күн бұрын
Masubi hajui anacho kiongea yeye anazani kwamba ni msaada usiokuwa na side effects
@user-we9ut9ih6m
@user-we9ut9ih6m 9 күн бұрын
Usimuamini Muamerika hata siku moja
@fatumahamadi1379
@fatumahamadi1379 21 күн бұрын
Hapo wamepigwa mchana kweupe hakuna msaada w Bure kuna mpango yao hapo
@kombosalehe9787
@kombosalehe9787 21 күн бұрын
Marekani akiweka kambi ya jeshi sehemu basi nchi zinazozunguka kambi hizo huwa hazina amani TANZANIA tuwe nao makini
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 21 күн бұрын
Mbona ana base kenya na tuna amani
@emmanuelkamoli8215
@emmanuelkamoli8215 18 күн бұрын
Zungumzieni na Football sio vita vita vita kuna kipindi ubongo unahitaji kurelax kuenjoy unahitaj8 vile ubongo.
@carolinemuli1862
@carolinemuli1862 20 күн бұрын
Watanzania mutakaa masikini mbaka line ?fuatane nyayo xa Kenya Dio muomoke
@Martin_Classics254
@Martin_Classics254 21 күн бұрын
iko na manufaa
@3erffeoui86
@3erffeoui86 21 күн бұрын
UKITAKA KUJUA MAMBO YA NEWS ZA KENYA ANGALIA CITIZEN TV HIYO NDIO TV STATION YENYE HAINA SHARE ZA WATU WENYE WAKO KWA SIRIKALI NDIO MAANA WANGA YA PINGWA VITA TANGU WAKATI WA UHURU KENYATTA
@user-fx7ig1uy6t
@user-fx7ig1uy6t 20 күн бұрын
Wazungu weusi ndugu zetu Jambo hilo😅
@SteveWafula-zp5kb
@SteveWafula-zp5kb 19 күн бұрын
Munaumwa nini
@niyonkuruasman
@niyonkuruasman 21 күн бұрын
Awa wajamaa nawakubali sana wote
@trendz_2548
@trendz_2548 21 күн бұрын
Mie nimeudhika sana na hiyo ziara. Raisi wetu anatuletea matatizo kila kona
@williamkirema6254
@williamkirema6254 21 күн бұрын
Mbona hii shuguli ya ruto imewauma hivi, mambo ya kenya hamtaweza tulieni tu na mjiangalilie, nafikiri kila nch iko na utaratibu wake, na nyinyi mme kua watabiri wa kenya kwa kila jambo
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 20 күн бұрын
Wewe ndo unaumia sababu hujui Geopolitics, watu wanapenda kinachozungumzwa hapa .
@williamkirema6254
@williamkirema6254 20 күн бұрын
@@africanmandetraveler2847 nyinyi kwenu hamna ya kuongea? Tena ukiongea kua na heshima kwa nchi kama Kenya
@emmanuelmodest7457
@emmanuelmodest7457 21 күн бұрын
ILE IMEDUNGULIWA NA WATU WAKE MWENYEWE
@edwinmartin2810
@edwinmartin2810 19 күн бұрын
Rais Samia alipoenda nchi za kiarabu na msululu wa watu wengi mbona hamkujadili?
@emmanuelkivenule875
@emmanuelkivenule875 20 күн бұрын
Warusi wapo
@walenisi9278
@walenisi9278 21 күн бұрын
Mjue huyo rais ni conman
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 21 күн бұрын
Ali masubi anavochambua huu msaada wa helicopter anajua dj smaaa inamuuma kiasi gani hii ishu
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 21 күн бұрын
Ruto ni Rais Smart Sana, Ruto hawezi fanya ktu ilimradi Mtaona Uchumi wa Kenya miaka ijayo. Safari yake imeteka attention hata Marekani na ndivyo nchi inazidi kujulikana, Mfano Huko Mtandaon watu wakiulizwa Wataje nchi za Africa angalieni Kenya inavyotajwa ,angalieni tunavyosahaulika.Nchi kubwa tuna vtu vingi ila hatufahamiki
@bosssyedmund8785
@bosssyedmund8785 19 күн бұрын
😂😂😂😂ukishafahamika?
@mkabimuliki3445
@mkabimuliki3445 21 күн бұрын
Marekani ilimfanyiaka nini kibaya Dj sma dude don’t like anything that come in name of USA 😂
@ndikumanaismail5419
@ndikumanaismail5419 21 күн бұрын
Sasa Ruto iyopesa yote ametu mia vp vijijini maskin wana hospital kuna school? Maji umeme? Ayonimatumizi mabaya ya pesa zawanainchi
@WILLY_SKY1
@WILLY_SKY1 21 күн бұрын
Tumeuzwa na zakayo
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 21 күн бұрын
Sky.huyu masubi simuelewagi kabisa unajaribu kumpa air time ananilia mb zangu tu.
@clearancekimambo7927
@clearancekimambo7927 21 күн бұрын
Huyu hawezi hapo mzito sana,, hawezi chambua vitu
@RamadanPaul
@RamadanPaul 21 күн бұрын
Eti anataka na Tanzania tuchangamkie fulsa, yaani tukapewe misaada na sisi!! Ahh bora hivhiv tu.
@user-sy4ku4xm7q
@user-sy4ku4xm7q 21 күн бұрын
kwakuwa sizani kama mtu yeyote mwenye akili anaweza kushabikia misaada tena afrika au mikopo ya kipumbavu namna hiyo
Универ. 10 лет спустя - ВСЕ СЕРИИ ПОДРЯД
9:04:59
Комедии 2023
Рет қаралды 1,4 МЛН
Watermelon Cat?! 🙀 #cat #cute #kitten
00:56
Stocat
Рет қаралды 29 МЛН
1❤️#thankyou #shorts
00:21
あみか部
Рет қаралды 86 МЛН
Cute Barbie Gadget 🥰 #gadgets
01:00
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 55 МЛН
3 Ways To Respond Fluently In English Conversations Like A Native Speaker
1:41:31
Battle lines drawn as Ruto, Gachagua fire salvos at each other
5:55
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 271 М.
GPS: TRAORE wa BURKINA FASO aongeza miaka mitano ya UTAWALA wa KIJESHI!
21:02
На чем ездят армии мира? #shorts
0:59
PONOMAREV
Рет қаралды 498 М.
3rd time’s a charm 😅 #bugatti #dodge #daytona #americanmuscle #muscle #musclecar
0:31
Biggest Exclavator Construction Machine🙄
0:43
zias
Рет қаралды 2,8 МЛН