MUSEVENI alivyokataa kuufungia MCHELE wa TANZANIA mbele ya RUTO na kutema CHECHE nzito

  Рет қаралды 40,061

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Ай бұрын

Credits to Citizen TV
No Copyright Infringement Intended
For Removal Email: info@snstz.com
Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 232
@zayumar2955
@zayumar2955 29 күн бұрын
Mungu ambariki Rais Musseven ni Moja kat ya Marais wazalendo Africa hii Mungu ampe maisha marefu na afya njema Amiiin yarrab 🤲🥰❤️🇺🇬🇹🇿
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht 29 күн бұрын
amiin
@zayumar2955
@zayumar2955 28 күн бұрын
@@ARNOLDKARISA-fs3ht 🙏
@protamwenyegzaketv7408
@protamwenyegzaketv7408 28 күн бұрын
Amen
@user-pg2tw8yt4l
@user-pg2tw8yt4l 28 күн бұрын
Allahumma aamiin
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 29 күн бұрын
Asante kaka yangu mkuu mseveni Tanzania we love you
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 29 күн бұрын
Yoweri Kaguta Museni kiongozi mwenye msimamo namkubali sana..Mimi napenda viongozi wenye msimamo against western countries haijalishi anatoka wapi..Africa lazima tuwe pamoja ili tuendelee..Mungu blessed Museveni and Africa
@user-ff4sh6lq7t
@user-ff4sh6lq7t 29 күн бұрын
Museveni is mzalendo and good leader in east Africa bravo kaguta
@msukumamnywamaziwa2785
@msukumamnywamaziwa2785 29 күн бұрын
Safi museveni upo sahihi mbaba wa Afrika
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 29 күн бұрын
"Ikumbukwe; Pokea msaada huku ukitambua ya kuwa, Mtu anayekusaidia ananunua uwezo wako wa kufanya maamuzi" salaam za heri kwako raisi Mseveni.
@sarahdeograthias9097
@sarahdeograthias9097 29 күн бұрын
Babu mseveni Viva mzee vivaaaaaaa......
@mkatavitv1014
@mkatavitv1014 29 күн бұрын
NDOHAYA MLISEMA JANA KAMA RAISI MMOJA NIMZURI NIWAKUMUACHA TU/HAYA MAMBO YAKUBADIRI MARAISI NILOS SANA
@othmanally1230
@othmanally1230 22 күн бұрын
Uko saw haina haja ya kubadil rais kama huyu acha akae mpaka afe
@LeventinaNyamya
@LeventinaNyamya 29 күн бұрын
Viongozi km hawa Afrika wenye moyo wa uzalendo nadhani kabaki pekee yake .MUNGU mbariki Musseveni mpe maisha marefu
@atutweve4160
@atutweve4160 29 күн бұрын
NENDA UGANDA UONE NCHI ILIVYO CHAFU NDO UTAJUA MZALENDO AU MWANASIASA TU KAMA WANASIASA WENGINE NA SOON FAMILIA YAKE YOTE ITAKUA SERIKALINI KAMA ILIVYO ADA
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 29 күн бұрын
​@@atutweve4160sasa uchafu wa ganda wenyewe wendawazimu
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 29 күн бұрын
I believe it was ruto who advised him to stop the tanzanian rice.
@salimcharo699
@salimcharo699 24 күн бұрын
💯 true
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 23 күн бұрын
Ni yeye mweusi kama ngozi ya mk*ndu😂
@heridunia
@heridunia 11 күн бұрын
ruto is not a president is kibalaka
@shabanilugi5858
@shabanilugi5858 25 күн бұрын
Magufuli ayupo Ila ina Tia Moyo kuona tuna Mzee wetu kwenye hekima Kama Museveni Asante the president Africa love you
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 29 күн бұрын
My role model,Mr genius,Sir Kaguta,uishi maisha marefu mzee wa Kazi
@khamisshee803
@khamisshee803 29 күн бұрын
Safi Sana Mzee Rais Mseveni AKA BACHUCHU MOMBASA 001 +254
@komboruga4271
@komboruga4271 29 күн бұрын
Ndizi zilizuiwa kuingia zenj from bara to ndiz zenj ni ghali wakat bara ni rahisi. Zenj wanaagiza Michele kutoka nje wakat Michele wa mbeya ni rahis na bora kwa mapishi kuliki huo wa nje.
@EzzyEddy-il3ce
@EzzyEddy-il3ce 29 күн бұрын
Acha waendelee kuagiza nje na sisi wabara hatujal Wala Nini
@lazarombuze9776
@lazarombuze9776 28 күн бұрын
Ukishaona ivo ujue Kuna mkataba aliingia kiongozi mmoja MJINGA
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 26 күн бұрын
Zenji washazoea mapishori alafu iyo mapishori wadudi kibao😢😢yani nilikuwa mgeni nilikuwa nakula tu baada ya siku mbili nikaanza kuingia jikoni kupika siku napika iyo michele yao daaaaaa nachangua naona wadudu n awal wakipika hawachagui wanaosha tu asee nilisikitika moyoni toka siku iyo nilikuma ugli mpaka nikaonfoka😂😂😂😂
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 22 күн бұрын
​@@EzzyEddy-il3ceata sukari ya zenji wabara wameizuia isiuzwe...ila wazenji hatujali wala nini..maisha yanakwenda..riziki anatoa mungu na si mpango wa mtu yeyote.
@imanyamiela5886
@imanyamiela5886 28 күн бұрын
Mseveni ni mtoto alieandaliwa nyerere so hayo ni mawazo ya baba yetu wa taifa Mungu aendelee kumtunza huko alipo
@kassimbayuu5217
@kassimbayuu5217 29 күн бұрын
Smaa upo vizuri snaa
@andreatutu6179
@andreatutu6179 26 күн бұрын
Appreciate UGANDA na tunawapenda sana
@user-pt8wo4ss2p
@user-pt8wo4ss2p 29 күн бұрын
Nimeipenda sana maongezi ya mseven
@mkatavitv1014
@mkatavitv1014 29 күн бұрын
AISEE NOMA SANA MZEE YUKO SAWA
@JacksonFrances
@JacksonFrances 29 күн бұрын
Umeongea Hoja Nzuri na Hupendi Kulaliwa na Wazungu ila Kibaya Zaidi Rais Wengi Wa Afrika Mashariki na Kati Hawajitambui na Siyo Wazalendo "
@reubenhizza
@reubenhizza 29 күн бұрын
Kenya na Rwanda ndio wanaotushudha sana umoja wa Afrika Mashariki. Bado wananyenyekea mno wakolini wao
@19ddr
@19ddr 29 күн бұрын
Huyu miseveni namkubali sana
@abdallahnamuha3357
@abdallahnamuha3357 22 күн бұрын
Dj smaa Mwanangu snaa kwenye geopolitics
@musasaguti4760
@musasaguti4760 29 күн бұрын
Mzee Museveni uko vizuri sana, mawazo yako na maoni yako yakifanyiwa kazi kwa vitendo, nchi zetu na watu wake watastawi na maendeleo yatapatikana. Hongera sn Mzée. Viongozi wetu tufanyie kazi ushauri huo
@binmakame3881
@binmakame3881 29 күн бұрын
Allah amlinde mh. Museven
@komboruga4271
@komboruga4271 29 күн бұрын
Tanzania hatuuwezi uzalendo km wa Museveni. Imagine bidhaa inanunuliwa Zanzibar ukifika bara ushuru , nini maana ya nchi moja? Waloweka hixo kodi ni kutuumiza kwa kunufaisha wachache.
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 29 күн бұрын
Sasa ww unategemea Zanzibar itapata wapi Kodi
@mduda_i
@mduda_i 28 күн бұрын
@@abuuramadhan8093ipate kodi ya nini akati huwa inapokea hela kwenye budget ya kila mwaka, Unataka ipate kodi kutoka Tanzania bara kwani Zanzibar sio Part ya Tanzania?? Hamtosheki na tunachowapa mna greed
@AlliyMohamedAlliy
@AlliyMohamedAlliy 24 күн бұрын
🤦‍♂️​wee ni kichwa mchungwa!@@abuuramadhan8093
@kiatu
@kiatu 23 күн бұрын
@@abuuramadhan8093 Kwani kodi inauzwa Tanganyika?😅
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 22 күн бұрын
Tatizo watanganyika mmedanganywa mpk mmekua hamjijui nyinyi ni nani?tanganyika na zanzibar ni nchi 2 tofauti .mnalazimisha iwe moja.kujengeka kwa tanzania ni kwa kuungana baadhi ya mambo tu. Na si vyenginevyo hebu kwanza anzeni hapo mjiulize tanganyika iko wapi??why zanzibar ipo?tuendelee tu kusukumana maana hakuna anaeridhishwa si bara wala zanzibar
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 29 күн бұрын
Dah! Muamar Ghadaf's dream...Mungu Amuhifadhi.
@missp1814
@missp1814 23 күн бұрын
shida ya Ghadaf alichelewa sana,alihangaika sana na waarabu alafu wakamtenda,ndo akageukia Africa kwa kuchelewa.....angaenza harakati zake mapema Angeweka mabadiliko kidogo
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 29 күн бұрын
Mungu sio Bwana.
@dayanahally
@dayanahally 29 күн бұрын
Congratration museven you did well 4 africa
@reubenhizza
@reubenhizza 29 күн бұрын
Jamaa ameshapileza malengo, hajui trna anataka nn. Anaenda kwa mzuka mzuka tu miaka m4 iishe
@Godfreyolekidongo
@Godfreyolekidongo 29 күн бұрын
Raisi Museveni hongera kwakuwa mzalendo👏👏
@nyembomajid1262
@nyembomajid1262 27 күн бұрын
nashangaa na watu wasiojua usiku wagiza wanao msifia bila kuchunguza kimakini eti mzalendo 🤦
@ZubedaNzunda-wb3vd
@ZubedaNzunda-wb3vd 29 күн бұрын
Heshima kubwa sana kwako mzee
@ramagwama
@ramagwama 29 күн бұрын
Ii ndo inafanywa kenya kukataa mahindi ya tz kwa sabbu ii ndomana bidhaa ya unga ghali kama nn
@imanyamiela5886
@imanyamiela5886 28 күн бұрын
Aisee umeelezea vyema sana na kupiti hii chanel yenu tutazinduka,binafsi ninahasira sana na hawa magharibi lakini sina kipaza sauti,Mungu awabaliki sana guyz
@user-vt2oj3sr4k
@user-vt2oj3sr4k 29 күн бұрын
Magufuli.... ungekuepo hapa..... dunia ilipo fkia ungetumia akili..kuish nao😢 hawa ndo marafiki ulipaswa kushiriana nao... God bless 🙏 ulipo baba
@MirajiNjonjomi
@MirajiNjonjomi 28 күн бұрын
Mwanaume msimamo bana Kwa mfano musseven ❤
@rehemamnatende400
@rehemamnatende400 29 күн бұрын
Asante baba🎉🎉❤❤
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 29 күн бұрын
Hongera sana rais Mseven love from🇹🇿🇹🇿👏👏👏
@noahlameck1564
@noahlameck1564 29 күн бұрын
Ujue ruto alikuwa marekani
@frankub8107
@frankub8107 29 күн бұрын
hata north Malawi swahili wanaongeya
@musasaguti4760
@musasaguti4760 29 күн бұрын
Hongera sn Museveni
@Solomonking257
@Solomonking257 29 күн бұрын
Naona huu mzee kaongea mambo ya maana ila Africa Nina ucoroni bado na kinachotusumbua zaidi ni ubinafsi ulio ndani ya hawa viongozi
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 6 күн бұрын
Tatizo la umoja wa nchi za Afrika Mashariki ni Kenya.
@Gody360
@Gody360 29 күн бұрын
Pamoja sana mzeee
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 27 күн бұрын
Mseveni mungu akupe maisha marefu
@betinvestment3204
@betinvestment3204 29 күн бұрын
Natamani mpaka kesho nije kusikia tu kiongozi mmoja kabeba japo michanga ya nchi zote za east Africa alaf anawasubili viongozi wenzie mezani waje kuunganisha iwe nchi moja kwa ujasili mmoja hata kama kunaugumu kiasi gani isijalishe liwalo na liwe iwe nyumba moja
@user-ew7zb3jx7t
@user-ew7zb3jx7t 26 күн бұрын
Kaka nakupenda sana mimi nakufatilia nikiwa Oman unafanya vizuri sana nakuekuelewa ila viongozi wetu wa kiafrica kinachowatesa uchu wa madaraka na kutaka umimi
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 24 күн бұрын
Huyu ndye mfalme wa Africa kwa Sasa ,anao udhubutu.,wengine ni ndumila kuwili,vibaraka na hawana vision yoyote zaidi ya kupokea maagizo Toka magharibi .
@sifaoksbagirishyasie2410
@sifaoksbagirishyasie2410 14 күн бұрын
Waliwatambua kwamba mna penda kuwa tegemezi, nakusema santeee Kila Mara, ingawa Kila kitu kinatoka huko. Saidieni waafrika wanao maliza siku nzima makanisani,. kuzaa nakuzaaana, bila kufikiria Mtoto atsishi je. Chapeni kazi, time is money. Hata kama ni faida chache. Mnyakue heshima tena . Jamani hapakuage vya Bure tuamke na mvivu mvuteni. Ache kupenda heshima na Sifa zabure. Maendeleo ya jirani ifurahie in positiv way . Ili ikunufaiche pia. Umoja Na kuchukuliana hapo Mambo yatawezekana. Tusiache Nakuelimishana. Maneno na matendo. Nakufikiria mbali au maisha ya baadaye. Sante kwa interview hii
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 25 күн бұрын
Huyu raisi , nampenda Sana , kukataa ushoga Uganda ,,baba,yangu museveni nAkupenda Sana Tanzania tunakupenda
@abubakariswai
@abubakariswai 29 күн бұрын
Hii formula nitaitumia kwenye maisha yangu wallah vikipanda kama sio muhimu achananacho Kuna option nyingine ❤
@louangesid
@louangesid 24 күн бұрын
Nampendaga huyu raisi Museveni mie❤
@johnabery-vn7eb
@johnabery-vn7eb 29 күн бұрын
Ruto alikuA ameenda kumkataza mseveni ili awaflahish wazng
@joycekonga4095
@joycekonga4095 25 күн бұрын
dj smaaa umetisha sana
@tradamus4158
@tradamus4158 29 күн бұрын
Big up sana mu8 mzalendo
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 23 күн бұрын
Asante museven, kenya njaa itawatia dole la kati
@kidatokassim7616
@kidatokassim7616 29 күн бұрын
Mbona mmepindisha ctory hapo alikua anatoa tu mfano i watched the whole speech
@Is-hakaAbdallah
@Is-hakaAbdallah 29 күн бұрын
Hawa ndiyo viongozi tunao wahitaji Africa sio wageni wa Dunia kaziyao kuzunguka kwenda kulialia kwa watu weupe kutaka misaada
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 29 күн бұрын
Magaribibi hawakawii kutuita gaidi nasi baadhi yetu tunashabikia sijui ni nani aliyetuloga waafrika
@RamadhaniMohamedi-de2vc
@RamadhaniMohamedi-de2vc 28 күн бұрын
Uyu mzee kaja kuamsha marehemu wote tatizo viongozi wetu vigeu geu lakini mweshimiwa rais museven kaongea ukweli tutumie bizaa za urusi kama mafuta vyengine kama chakula na salafu ziwe zetu.
@dominic4727
@dominic4727 29 күн бұрын
Dj smaa wewe ni pan Afrika kama mimi
@user-xy6ed7ve6r
@user-xy6ed7ve6r 29 күн бұрын
Naomba ufafanuzi wa kwa nini Pep Guardiola alikataa kumpa mkono mtu mmoja wakati wa sherehe za Ubingwa wa EPL
@Maulidism
@Maulidism 17 күн бұрын
You are the Father now who dares not to listen, thx to KZfaq this speech shall persist
@user-kb8yw1up1k
@user-kb8yw1up1k 29 күн бұрын
True mr museven
@user-lf1bd4vj9c
@user-lf1bd4vj9c 18 күн бұрын
Maisha mazuri tutayasikia tu kama viongozi wataki kuelewa ukoloni mambo Leo, ndiyo kitu kinachotutesa nchi za Africa.
@aiyaavibes7610
@aiyaavibes7610 22 күн бұрын
Kaka big up.... ulivyotaja swala la mafuta.... Nimeumia sanaa... ni kweli mafuta ya MRUSI ni bei chee___lakini tunalazimishwa kununua mafuta kwa bei ya juu.... inatuumiza sanaaaaa sisi watu wa hali ya kawaida____
@Qqambaa
@Qqambaa 18 күн бұрын
Ama kweli kupendwa na kuchukiwa ni kitu kimoja leo nitasifiwa kesho nitakashifiwa
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 29 күн бұрын
Museveni must very smart in History
@asiri-romy-simba3671
@asiri-romy-simba3671 18 күн бұрын
Dj Sma tufanyie alisis ya siasa za malema, na ndoto zake nizaukweli au, fanya analisis plz.
@MussajumaMiheza
@MussajumaMiheza 26 күн бұрын
Big up strong Man
@nextstudiostz
@nextstudiostz 22 күн бұрын
Dah! Nimemmis Magufuli🥲 Uyu mzee ni damu moja na the late JP Magufuli
@StephanoMoses
@StephanoMoses 26 күн бұрын
Namuelewa sana komesha komesha yao mashoga hii apa
@abdallahkaskas6168
@abdallahkaskas6168 29 күн бұрын
Mi kila siku nasema Kwanini Wamasai na Wasomali wanafana sana , alafu Kuna Warangi pia 😂
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 24 күн бұрын
Mzee yupo sawa soko la Africa ni kubwa shida ni hii mipaka na vikwazo vinaturudiaha nyuma sana, ukweli ukifika boda ya Sirari na Mtukula biashara ya mchele ni kubwa sana
@DpN-rk8xz
@DpN-rk8xz 29 күн бұрын
MUNGU hamlinde zaidi Rais kweli anafanya vizuri sana kutetwa wafrika
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht 29 күн бұрын
Wallahi mzee huyu Allah SWT amuweke vizuri amjaalie afya na amuepeshe na uzee wa kuwakumtoa akili
@abuuawalina2625
@abuuawalina2625 29 күн бұрын
Museven, we're together
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 29 күн бұрын
Nice
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 29 күн бұрын
Alllah mlinde mze wetu
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 25 күн бұрын
Museven🎉❤
@harunmruma2291
@harunmruma2291 29 күн бұрын
Usiwaamini wakenya
@animalchannel296
@animalchannel296 29 күн бұрын
HUYU MWANAUME... TUNAHITAJI WANAUME KAMA HAWA AFRIKA TUTATOBOA
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 29 күн бұрын
Aise nimekupenda sana aise rais wa Uganda. Pamoja sana ndugu yangu wa Africa 🌍. Pamoja sana na marafiki wa Africa 🌍. Lkn ujue juzi jamaa yangu mmoja alikuwa marekani. Huyu ni adui. Mwangalieni sana. Unaenda kutafuta nini kule marekani? Ni upumbavu mtupu. Unaenda kutafuta nini huko? Kila kitu kiko hapahapa Africa 🌍.
@omarmussa5755
@omarmussa5755 29 күн бұрын
Naomba mama samia akamtembelee rais mseven ni rafiki mwema sana.
@BlandineMatata
@BlandineMatata 16 күн бұрын
Aaaaaaah ki swahili kigumu nilizani kwagis waganda wanaongueya kinguereza uyu atakiongueya kaka maji alafu naona kama kingereuza kigumu kwake
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 29 күн бұрын
Afrika viongozi wetu wanatakiwa waamke, tunaagiza vyakula vya nje badala ya kuuziana wenyewe, pumbavu sana.
@stressfreezone1522
@stressfreezone1522 29 күн бұрын
Msaada pia ni kwasababu yakutu control.
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 25 күн бұрын
Kiukweli mm naishi uganda ase waganda ni wavivu kweli kweli
@bama9271
@bama9271 15 күн бұрын
Sasa hapo unachambua au una tafsiri tu!!
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 19 күн бұрын
M7 huyo East Africa Community Vipi kwani haturusiwi kufanya Biashala pamoja ? M7 naomba uwambie mawazili WA Feza watengeneze sarafu Moja . East Africa hela.
@eddechriss2664
@eddechriss2664 25 күн бұрын
Huwa nawaambiaga Ugandans siku itakuja watamkumbuka Rais M7 usiku wa manane huku masikio yao yakigubikwa na milio ya mbwa
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 29 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏
@abdulkheri7322
@abdulkheri7322 25 күн бұрын
I was very young boy museven akija kufungua kilifi bridge
@user-pt8wo4ss2p
@user-pt8wo4ss2p 29 күн бұрын
Lakini malais wengine watafanyia kazi???
@salimomary6913
@salimomary6913 23 күн бұрын
Mungu Mlinde baba yetu
@faustinaurio3703
@faustinaurio3703 17 күн бұрын
Kenya walipiga uuzaji wa vitunguu eti vina chemical (vinakaushwa na madawa)
@MasomeAbell-cr1um
@MasomeAbell-cr1um 26 күн бұрын
AKUMBUKWE JEMBE WA TANZANIA MAGUFULI ❤ PUMZIKA KWA AMANI
@jaybajay9973
@jaybajay9973 22 күн бұрын
Nanani anae nunua unacho zalisha ...(produce kuzalisha)
@Kujason12
@Kujason12 29 күн бұрын
Rais yupo sawa tena makini sana tatizo hua linakuja pale viongozi wetu kutokua na umoja kila mmoja hua anapambania maslahi yake
@Fabulousmom509
@Fabulousmom509 12 күн бұрын
Mbona Magufuli alikua anapigania hii kwa miaka 5 ya utawala wake,, mlikua wapi kumuunga mkono JPM
@idinado-wk3lx
@idinado-wk3lx 25 күн бұрын
Babu oyeeeeeeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 28 күн бұрын
congratulations
@ErickMsodoki-de2gl
@ErickMsodoki-de2gl 20 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Which one is the best? #katebrush #shorts
00:12
Kate Brush
Рет қаралды 27 МЛН
The joker's house has been invaded by a pseudo-human#joker #shorts
00:39
Untitled Joker
Рет қаралды 3,4 МЛН
Каха ограбил банк
01:00
К-Media
Рет қаралды 9 МЛН
The car fell into the abyss   the car rescue failed
0:16
Ultimate Dashcams
Рет қаралды 2,1 МЛН
Husqvarna Toy&Husqvarna LC 140 SP@vigosworld
0:14
Vigo's world
Рет қаралды 9 МЛН