GPS: RAIS Ruto bado yupo KIKAANGONI! Wakenya wakerwa na ANASA za Viongozi, wataka AJIUZULU!

  Рет қаралды 18,008

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

5 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 256
@abuusufian6506
@abuusufian6506 4 күн бұрын
Kipindi changu pendwa aisee mnanipa burudani na elimu kubwa sanaa we love you ❤️ SNS
@farusaimon3490
@farusaimon3490 4 күн бұрын
Ni Bonge la Darasa! Hongereni sana na thanks 🙏!
@sonnyr1899
@sonnyr1899 4 күн бұрын
Wakenya wapewe maua yao tu 💐💐💐
@fahmanalbulushi2925
@fahmanalbulushi2925 4 күн бұрын
Dj smaa umeongea kitu ambacho. Mm ninakifanyia research na kukiandika na Mada mnayonzungumza hapa ninkama mpo kwenye mind yang bigup
@Gody360
@Gody360 3 күн бұрын
Unarusha wapi
@jonathanshamazi9821
@jonathanshamazi9821 4 күн бұрын
Big love from Uganda 🇺🇬 GPS is the best
@user-gb1hn5ml8y
@user-gb1hn5ml8y 4 күн бұрын
From south Africa Durban tunawapata vizuri sana SMS tunaomba makala ya Sisi wakimbizi huku kwa serikali hii iliyopo maderekani tutaendelea Ku ishi vizuri kama Zamani maana kamata ime Kua nyingi kwa kipind hiki cha karibuni
@amriseleman9395
@amriseleman9395 4 күн бұрын
SKY MUALIKE HAPO MPOKI BUYAMWANAGASYA, ISAYA BENSON MWAKILEMBE NA GPS TEAM KWENYE HIYO COVERAGE YA AFRICAN HISTORY HISTORY 👏
@user-hx2if3ep2m
@user-hx2if3ep2m 4 күн бұрын
Comment yangu brother, 😂😂 Nasistiza Mpoki na Mwakilembe waalikwe tule miwa pamoja
@ilalikilimo440
@ilalikilimo440 4 күн бұрын
Sema amualikee thabit mrangi yule ndio kasomea geopolitics na anafanana na hao.... Lile jembee
@GraceMashinga-be9wb
@GraceMashinga-be9wb 4 күн бұрын
Yes thabit mlangi anatakiwa pia siku Moja moja
@bishweko
@bishweko 4 күн бұрын
Asimuache pia Price Katega
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 3 күн бұрын
​@@GraceMashinga-be9wbMuda wake mchache sana yule, ni mhadhiri wa chuo kikuu Mwlm NYERERE.
@hassanmkufya2867
@hassanmkufya2867 4 күн бұрын
Historia ya mkwawa safi sana tuletee kwa kina. Nasikia alisilim huyo bingwa
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 4 күн бұрын
Yaani hii kitu Cha history imekaa vizuri sana
@graciouskazuri2327
@graciouskazuri2327 4 күн бұрын
Nawapendaga sanaaa sns ❤watching from kenya
@nomoboy152
@nomoboy152 3 күн бұрын
Sema Ali kaongea point nzuri Mabunge YETU yanatakiwa yaendelee nasisi wananchi tushilikishwe kwenye maamuzi ya kitaifa weka mkataba unda application tuzipigie kura hii inatakiwa ifanyiwe kazi 💯💯💯
@yasminmustafa2282
@yasminmustafa2282 4 күн бұрын
Today l listened to dudubaya and he is very knowledgeable on kenyan politics l think inviting him as a guest to the panel on this issue would be good
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 күн бұрын
do you have that link or title nikamsikie kaka yangu? dada yako hapa toka Tanzania
@yasminmustafa2282
@yasminmustafa2282 4 күн бұрын
​@jedidahbam not sure which channel it was just type dudu Baya am sure itakua tu
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 күн бұрын
@@yasminmustafa2282 thank you sir
@user-ui1cj5re9k
@user-ui1cj5re9k 4 күн бұрын
Hongereni sana tukopamojaa nawapenda🎉
@yasminmustafa2282
@yasminmustafa2282 4 күн бұрын
Also please note in kenya we have a new constitution so we are learning as we go
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 4 күн бұрын
Tutasapoti innshaala kwamana tunapenda kujifunza Kila siku
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 4 күн бұрын
Daah aisee leo nimefurahi sana kwa kugusia mambo ya kihistoria na tunayoyasoma mashuleni na vyuoni. GPS imulikie hili na mfanye kipindi kirefu, nadhani tutafaidika sana
@trendz_2548
@trendz_2548 4 күн бұрын
❤❤❤❤mnafanya kazi nzuri sana. Love tokea Kenya
@omarsheha566
@omarsheha566 4 күн бұрын
Mimi Niko Netherland ila nikirudi kazini kama sijaona hamuja jadili hamujaweka kipindi chocolate KZfaq bas nakua sina amani maana mukiwa munakadili hizi GPs bas niona Africa kuna future ❤❤
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 3 күн бұрын
Netherland ya Nyoko.
@hamimhassan9354
@hamimhassan9354 2 күн бұрын
Tukiwa na nguvu in shaa Allah tuta support. Allah akuhifadhini na akuongozeni kila hatua zenu za maisha na maisha yenu.
@broamz
@broamz Күн бұрын
Very smart people with a candid conversation. Kazi nzuri majirani
@khamisshee803
@khamisshee803 4 күн бұрын
Insha'Allah tuko pamoja One love AKA BACHUCHU MOMBASA 001 +254
@simonlunyelekwe5520
@simonlunyelekwe5520 4 күн бұрын
❤❤❤❤ sns🇰🇪🇰🇪
@shantalismailhassan9878
@shantalismailhassan9878 2 күн бұрын
Asanteni sana wote vichwa na Henry leo nampa maua yake kaua💐💐💐
@matanohassan9667
@matanohassan9667 4 күн бұрын
MI MKENYA MOJA KATIKA CHANEL PENDWA NI SNS NAPENDA SANA NEWS ILA SNS NDIO MAMA CHANNEL KWANGU NYENGINE PEMBENI NAPATA ILIMU AMBAZO SIKUWA NAZO SASA HIVI KATIKA KATIKA VIKAO VYA SIASA ZA WEST NA AFRICAN NIKIONGEA WATU HUNIULIZA NINESOMA WAPI NAWAMBIA NIKO ACADEMIC YA JD SMA
@jafaribori5428
@jafaribori5428 4 күн бұрын
DJ nakupata vizuri sana nipo hapa England
@adronicokalumna
@adronicokalumna 2 күн бұрын
Mi lazima niwasaporti maana mnatudisha vingi sanaa big hug all member👊
@christianfinda7269
@christianfinda7269 3 күн бұрын
Asante sn wana sns,nmeguswa sn na hiyo historia ya ma chief wetu...plz muingie deep zaidi tutawa support
@Gody360
@Gody360 3 күн бұрын
Yaan mnaongea point kinoma kama ungepata nafasi serikalin upande wa ushauri mmgeupiga mwingi sana 🫡
@nsabimanaabedi541
@nsabimanaabedi541 4 күн бұрын
Kwali na wapata GPS
@nomoboy152
@nomoboy152 3 күн бұрын
Baada ya kuangalia mahojiano na Mh W.Ruto na waandishi wa habari natamani kuona SNS siku Moja watakaa kama ule mdahalo Amen
@abel_esam
@abel_esam 2 күн бұрын
Nyinyi ni LULU kwa taifa hili Mnatupa maarifa ambayo tunakosa kuyapata sehemu nyingine You complement each other SKY you moderate the team very well DJ SMA and MWINUKA are the best kwenye kutengeneza hoja na kuwa watulivu na pia wanajua mambo mengi sana. ALLY MASUBI is also good, changamoto yangu ni hakubali ku-learn and ku-unlearn, lakini pia ana interrupt wenzake sana. Not all the time you can be right Nawapongeza Sana
@karirekinyana9759
@karirekinyana9759 4 күн бұрын
Nawapenda sana ❤ tunawafuatilia hapa Danmark ❤
@fahmanalbulushi2925
@fahmanalbulushi2925 4 күн бұрын
Na kuhusu kalenga nimefika ni pahala pazuri Sana
@abrahamhabarugira2483
@abrahamhabarugira2483 4 күн бұрын
Mimi napenda sana ici kipindi niko Switezerland ndacangiya kwa kweli kitu tunapitiya uku Europ itakuwa Sawa
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 4 күн бұрын
Dj smaa ..na kaka sky..wakati mwingine mualikeni dokta sure mje mdiskasi kuhusu history ya Africa history ya binadamu nakazalika ..hata kuhusu mambo ya sayansi ya dunia ..yule jamaa dokta sure anamadini Sana mualike kwenye kipindi
@arkei4003
@arkei4003 3 күн бұрын
Dj sma ......angali historia ya ruto vizuri utamjua 😂
@oscafrica1
@oscafrica1 Күн бұрын
Im proud of this crew guys.Keep it up
@frankmushendwas37
@frankmushendwas37 4 күн бұрын
Sky dj smaa ally mnafanya kazi nzuri sana yani mm mmenifanya nisiangalie tv wala chochote nikikosa gps nahisi kukosa raha kabisa
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 4 күн бұрын
Tunashukuru sana Frank
@MohamedSalum-kr6nz
@MohamedSalum-kr6nz 3 күн бұрын
Yani tangu nianze kufatilia sns na mm kitaa na bishana kwa fact na wanakaa mpak wanajiuliz nimeanz kufatilia lini iv vitu kumbe kumbe na copy uku na pest kule😂
@3erffeoui86
@3erffeoui86 4 күн бұрын
CC AFRICA HISTORIA YENYE IKO NI YA RWANDA NA UGANDA YA IDI AMINI TU
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 4 күн бұрын
Pamoja frome Oman 🇴🇲
@3erffeoui86
@3erffeoui86 3 күн бұрын
sasa hiyo mzee jomo kenyatta na moi ndio walianzisha apa kenya ndio maana hizo family mbili ndio tajiri na karibu arthi yote ya kenya wana miliki
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 3 күн бұрын
Nategemea Kufungua studio nikimaliza chuo. Henry lazima awe wakili wangu.(mwanasheria) yupo smart sana. Wenzake wakiongea anakaakimya kabisa sio anapata mhaho wa kutaka kuongea. Wote wapo sawa ila HENRY taaluma yake nntataka niitumie kwa kweli. Me ni Marketing degree holder mmoja ivi.❤
@piussogoye
@piussogoye 4 күн бұрын
wana sns mpo vizuri sana, Tanzania na Afrika kwa ujumla tunaponzwa na ukoloni mamboleo,, mfumo huu wa elimu tumeletewa, kama tungelikua na mfumo mzuri wa elimu elimu Hawa mashujaa wetu tungeliwaenzi kwa kuwasimulia vizur
@billskeez92
@billskeez92 4 күн бұрын
Kwa Kweli tunaomba sana wana SNS wote tuweze ku support GPS na mambo mengine ili tuweze ku enjoy na BLoG yetu hii pendwa❤❤❤
@mathayobmasunzu278
@mathayobmasunzu278 4 күн бұрын
Introduction nzuri san...
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 4 күн бұрын
Intro ya leo nimeipenda sana. ❤❤
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 күн бұрын
Round-table ya President Ruto na kina Linus mmeiskia ndugu zangu? tunaomba basi hiii mlete humu tuskie. alafu mkiweza tafuteni Mkenya muweze mpigia simu kwenye hiii discussion..that would be so cool
@kevicristian2738
@kevicristian2738 3 күн бұрын
Mwijaku wa Kenya yule au?😂😂😂😂😂
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 3 күн бұрын
Sema Henry Mwinuka anajua sana
@3erffeoui86
@3erffeoui86 4 күн бұрын
hii katiba tuna tumia sahii ya 2010 ruto alikua anaipiga kwa kupiga NO wakati HIZO ni kibaki na raila ndio walisukuma sana ikapita
@EliaSinkala-ou7po
@EliaSinkala-ou7po 3 сағат бұрын
This is so amazing guys🔥
@zulekhasaeed6046
@zulekhasaeed6046 3 күн бұрын
Ninasapot sana nikikanyaga tu tanzaniya nitasapot nduguzagu
@bishweko
@bishweko 4 күн бұрын
Nashukuru sana kwa GPS hii. Nimejifunza mengi.
@billskeez92
@billskeez92 4 күн бұрын
Mungu awabariki sana Crew ao TEAM yenu iendelee kuwa hivo, MUNGU aepushe tu hewa mbaya isije tokea
@osmanmohammedosman5493
@osmanmohammedosman5493 4 күн бұрын
Kiukweli tutawasapot GPS na SNS coz tunawakubali sana
@mwl.michaelsainethmlowe2641
@mwl.michaelsainethmlowe2641 4 күн бұрын
Noma sana huku dododo!
@yasminmustafa2282
@yasminmustafa2282 4 күн бұрын
Dude does not even obey court orders..the judiciary declared the housing levy unconstitutional....huyu aende..we are tired
@yasserhumphrey3295
@yasserhumphrey3295 4 күн бұрын
Nawaelewa sana wachambuzi, wakenya wakimpoteza Ruto watajuta, sababu namuona ni mtu mwenye maono ya mbali kama mwendazake awamu ya 5 wa Tz 😭😭😭
@MamyHamso
@MamyHamso 4 күн бұрын
Mchukue ww akuonee wewe hayo maono😢
@yasminmustafa2282
@yasminmustafa2282 4 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@shijakuligi2674
@shijakuligi2674 3 күн бұрын
sawa nimekuelewa sana na vizuri mnoo sasa naomba kujuwa kutoka kwako ndungu zangu wana gps je hamuoni ulazima wa nyinyi kuweka historia ya kweli kwa kizazi kijacho? na siyo kusema bila kuweka kwa faida hijayo mwisho na wapenda sana na kuwa kubali kwa dhati yangu...
@ilalikilimo440
@ilalikilimo440 4 күн бұрын
Brother sky mtafuteee jamaa mmoja anaitwaa thabit mrangi ni mzuri sana kuchambuaa mambo ya geopolitics very interesting.... Ajee aongezee nguvuu hapoo mtakuwaa mko full...
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 4 күн бұрын
Wakenya tunawapenda sana, mmetuamsha.
@Hassan_Mengi
@Hassan_Mengi 4 күн бұрын
Big up sana GPS, nawapa vzuri nikiwa Seattle
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 күн бұрын
Henry has a point here 1:05:07- 1:16:21
@user-vt2oj3sr4k
@user-vt2oj3sr4k 4 күн бұрын
Mungu awape nguvu kutupa elim natutakua pamoja.
@mohamedrashid6578
@mohamedrashid6578 2 күн бұрын
Katika sehem pia tunapenda kujua historia yake ni KILWA
@Cabosport
@Cabosport 4 күн бұрын
Nimeipenda hi historia 🇲🇿 nachangia shilingi 1.000
@MariamMasunga-v7n
@MariamMasunga-v7n 2 күн бұрын
Kiukweli yote mliyosema ni mazuri lakini lazima mfaham ukoloni Bado unaedelea Kwa njia zingine
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 4 күн бұрын
Ruto mwizi na fisadi mkubwa tumemkataa. Mtu anongeo urongo kila siku na kufyonza pesa zetu. Tunataka sisi 🇰🇪 kujua kodi zetu zinaenda wapi,mikopo tunalipa ilifanya nini? Total audit ya deni yetu ndiyo tunataka period. Kisha ruto akanyange chini
@sarahonguso6187
@sarahonguso6187 2 күн бұрын
Changing a Kenyan constitution is not easy, you have to go to the people and do what we call Referendum.... And going for referendum, is a lot of money.
@elijahm.muthini
@elijahm.muthini 4 күн бұрын
mmenichaniua wasee✌️
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 4 күн бұрын
Ruto must Go
@abkhamsalshamte429
@abkhamsalshamte429 4 күн бұрын
Brother's mambo ni mengi, kwanza mimi napenda Tujizoeshe kujita WABANTU kwanza na sio WA AFRIKA NA mukianza nyinyi apa sns itakua mwanzo mzuri wa kujikomboa. Chengine serekali zetu zinaongz kwa uwongo mwanzo hadi mwisho hakuna chengine, ndio maana historia ipo lakn wanadanganya. Wala hawajali.😢
@NuruAiwen
@NuruAiwen 4 күн бұрын
Natamani siku mzungumzie historia ya mashujaa wetu wa tanzania
@ShabanNyange
@ShabanNyange 3 күн бұрын
Mabrooh mnamadini sana,Wanaotuongoza hatukuwachagua na tunaotaka wawe viongoz wetu Hawatakiwi na mfumo😢
@Agath45
@Agath45 4 күн бұрын
Pamoja sana nitasapoti
@yusuphrashidi-dr1kb
@yusuphrashidi-dr1kb 4 күн бұрын
Ally mnigeria kweli ka change topic faster 😂
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 4 күн бұрын
😂😂😂 aliona wanaenda mletea chawa wa migration
@shenamtukufu1224
@shenamtukufu1224 4 күн бұрын
Nawapenda sana wote big up sana wakali
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 4 күн бұрын
Zakayo must go 💔💔🇰🇪🇰🇪
@fistonmakasi3803
@fistonmakasi3803 4 күн бұрын
Kesho njoo mach
@adnanomary1955
@adnanomary1955 4 күн бұрын
Big up sana brothers
@sarahonguso6187
@sarahonguso6187 2 күн бұрын
Those members of parliament you're blaming, remember they were forced by being bribed 2M, to vote yes 😮😮😮
@nomoboy152
@nomoboy152 3 күн бұрын
Freddy Kuna min spiker kwaajili ya laptop unaweza ukatumia kwaajili ya kuongeza sauti lakini pia wakati wa editing unaweza ukaiweka ikaungana na video yote
@dunstunnchimbi7994
@dunstunnchimbi7994 4 күн бұрын
Nakuja kuungana tena na Ally Masubi katika hili. Ruto mwenyewe alisema kwa kama angepata nafasi ya kuwaelekeza wakenya nini kipo kwenye mswada huo wa fedha basi wakenya wangemuelewa na kuupitisha. Ndo mana nasema naungana na Masubi kwasababu yawezekana kwenye chama chao ambacho ndicho kiliunda serikali ya Ruto walikubaliana ndani ya chama wapitishe mswada huo wao wakiamini kwa maslahi mapana ya taifa. Kwahiyo mpaka hapo Ruto na chama chake pamoja na wabunge wake hawawezi kujitoa kwenye hiyo lawama.
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 4 күн бұрын
Sky,Ally,sma,Mwinuka, hongereni sn mumeanza kw kuongea kitu muhimu kuliko hiyo mada ya. Leo.hakuna uyatina umasikini lkn ujinnga km kuficha kufundisha historia ya ukweli ktk mashule na badala yake kupotosha haya ni maradhi yanayyofugwa ambayo mwisho wake ni kifo,lkn nii Zaidi ya ukoloni.
@aloycekomba1
@aloycekomba1 4 күн бұрын
Kaka sky naomba nafasi nijitolee kufanya kipindi cha michezo
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 4 күн бұрын
Unajuwa dj sma mambo mengine yani yanatia hasira sana mambo ya uwongoz wakiafrika wanakuwa sio waadilifu..wanatia hasira kwer iv..yan wanakula keki yataifa wenyewe viongozi wakati wananchi wanahari mbaya..alafu wanatulimbikiza madeni makubwa mpaka wanatutia maden..wakati wao ndo wameenda kuchukua bila kutushirikisha...yan ni mambo ya ovyo sana hawa viongoz..yan yanatia hasira sana
@YasiniMkakile
@YasiniMkakile 4 күн бұрын
Kwenye ufisadi akikutwa kiongozi waweke sheria ya kukatwa kichwa
@charlesmartin569
@charlesmartin569 4 күн бұрын
Upo vizur sana ndugu yangu yani mm ili nilale lazima nitafute chote chakwenu nisikilize ila kunasiku nitakuja tuongee tujue namna yakusaidiana brother mwezi 8 nitakucheki brother ila napenda sana mnachokifanya..
@mwanahawahawaa7485
@mwanahawahawaa7485 4 күн бұрын
Afadhali uhuru alikua mlevi lk Kenya 🇰🇪 ilikuwa si mbaya
@adamhatibu9993
@adamhatibu9993 4 күн бұрын
Makin sana
@iamprincefelix
@iamprincefelix 4 күн бұрын
finance bill ni mapendekezo ya upatikanaji na utumiaji wa fedha lakini kuna allocated budget ambayo ipo tayari , nchi inaeza endelea bila io finance bill
@mussamkanga3329
@mussamkanga3329 4 күн бұрын
Salute GPS
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 4 күн бұрын
Kwenye scramble for Africa, ikiwezekana iwekezwe pendekezo la Movie kabisa za kiasili za kwetu. Tunaona Chinese tunajua joseon, gourueo mpaka ikazaa china, korea n.k. lakin huku kwetu hamna anayejua kwann ni Morogoro, ikawaje Tanga n.k
@michaeljuma7764
@michaeljuma7764 4 күн бұрын
Big up guys🎉
@yvesgrace_z7152
@yvesgrace_z7152 4 күн бұрын
🔥🔥🔥❤
@novusengineering_tz4523
@novusengineering_tz4523 4 күн бұрын
Wachambuzi wote wa GPS peponi😂😂😂😂....wa kwanza kuingia n mwanasheria wetu, umetema nondo vibaya mnooooo....anafaa kuwa mshauri wa Ruto na kenya
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 4 күн бұрын
Jikiteni na Tanzania, tza yenyewe imetekwa, na kuuzwa juu kwa WAARABU, amkeni, amkeni, amkeni, fungueni macho 4.MSIKUBALI KUWA WATUMWA TENA KWA WAARABU
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 4 күн бұрын
Acha ukuma kwani wazungu wako wangapi? Na wanamiliki vingapi? Mbona husemi nao tuko utumwani.
@salumadam2862
@salumadam2862 4 күн бұрын
Dar Ina uma sana😢
@bishweko
@bishweko 4 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂Dj sma umenigusa . Yaani hata wasanii wetu wote. Hakuna ayewaza kaa Mchina anavyo igiza Gwarila war. Wasanii wetu historia zao ni Mapenzi tuu.
@samsonkulabamaganga
@samsonkulabamaganga 3 күн бұрын
Watoto wa 2000 wa Kenya wako vizuri asee, yaani matakwa yao ni ya maana kwelikweli.
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 58 МЛН
бесит старшая сестра!? #роблокс #анимация #мем
00:58
КРУТОЙ ПАПА на
Рет қаралды 3,4 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 44 МЛН
Top U.S. & World Headlines - July 2, 2024
9:11
Democracy Now!
Рет қаралды 152 М.
Laying bare the money trail || Okiya Omtata
2:04:05
The Wicked Edition with Dr. King'ori
Рет қаралды 30 М.
Argentina vs Ecuador penalty shootout highlights
7:19
Ojha Hari
Рет қаралды 5 МЛН
НАИВНЫЙ ВОДИТЕЛЬ 🤯
0:22
Top YouTubs
Рет қаралды 805 М.
The Sidi Rex Boots🔥 #motorcycle #racing #shorts
0:14
Goedhart Motoren
Рет қаралды 17 МЛН
Что делать, если отказали тормоза?
0:12