GPS: RAIS Ruto yupo KIKAANGONI bado, WAKENYA kurudi kuandamana, si Muswada tena, ni MATUMIZI Makubwa

  Рет қаралды 34,674

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

5 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 291
@fatmabukuku5384
@fatmabukuku5384 3 күн бұрын
Vijana wa Kenya wametoa funzo kubwa sana kwa vijana wa nchi zingine za Africa.
@simonmartin5358
@simonmartin5358 2 күн бұрын
Yah is that true.
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy 2 күн бұрын
Hususan kwetu Tanzania tunapaswa kugeuza uoga kuwa courage kunakiongoz alitutusi kwa kusema tuamie rwanda asee dah
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 Күн бұрын
Hadi vijana wa hovyo nao???😁😁
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy Күн бұрын
@@jeremiahcharles6027 wote
@leonardyona1462
@leonardyona1462 19 сағат бұрын
Hasa Tanzania
@benoseaone
@benoseaone 3 күн бұрын
Nimesikuliza sana Hotuba ya Ruto lakini binafsi nimeona mambo mengi. 1. Ruto amepoteza kujiamini na anajaribu kutafuta huruma ya wananchi wake. 2. Amethibitisha kwamba Serikali yake haijui nini inataka kufanya na kusimamia mpaka wakumbushwe majukumu. 3. Ameshakumbuka alichokuwa amesahau kwamba nchi ni mali ya wananchi. 4. Ruto hajui Kusoma nyakati. Finally, alipaswa kuvunja Serikali Kisha ajiuzuru kwa kuwa tayari ameshaonesha udhaifu katika kusimamia masrahi ya Taifa.
@lusajondaga4892
@lusajondaga4892 3 күн бұрын
😊
@cocotz1892
@cocotz1892 3 күн бұрын
💯
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 3 күн бұрын
swadakta ndugu umeongea ukweli.....watanzania tunawapenda
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 күн бұрын
Kiongozi yeyote hata kama ni Rais lazima ukubali kukosolewa Kiongozi asiyekuvali kukosolewa hastahili kuwa kiongozi lazima aelewane na wananchi wake
@ShabanKarim-tv3vn
@ShabanKarim-tv3vn 3 күн бұрын
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew 3 күн бұрын
Sio kenya , hata Tanzania ndio uozo mtupu. Mama na kina mwigulu.nchemba na ccm wote waondoke kama inavyoendelea south Africa, tumechoka kunyonywa damu
@missp1814
@missp1814 3 күн бұрын
Wacha warelax tu muda utaongea😂😂....
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy 2 күн бұрын
Ndo alisema kama atutaki tozo twende rwanda .
@hafidhmiraji9479
@hafidhmiraji9479 2 күн бұрын
Dj smaa we ni hatari bro daaahhh uko njema
@JacksonYusuph
@JacksonYusuph 3 күн бұрын
Kwanza kabisa niwashukuru SNS kwa kuanzisha kipindi cha GPS na kuanza kuchambua mambo kadha wa kadha. Mliyokuwa mkiyaongea/kuyachambua siku chache nyuma yametokea. Big up sana !!
@alisalimkenya3972
@alisalimkenya3972 2 күн бұрын
Dj sma Ana PhD ya uchambuzi nimekufwatilia zamani , salute
@mariamhassan1723
@mariamhassan1723 3 күн бұрын
Kwanzo KDFaskari kazi yake ni kulinda mipaka ya nchi hawezi kupiga risasi ndani ya nchi##Ruto must go
@Omosh003
@Omosh003 3 күн бұрын
Iwe jua, iwe mvua, he must GO.
@everrineanyango7410
@everrineanyango7410 3 күн бұрын
We need ruto to gasp for air,aongoze akijua anaongoza raia siyo Bibi,mamake,watoto,mpango wa kando,ruto akifaulu kuongoza hii Kenya miaka mitano basi atakua amechoka sana na kuzeeka,awe pia mwangalifu asije pigwa lisasi na security wake
@samirmswahili
@samirmswahili 2 күн бұрын
Dah polen sana ndugu zetu mungu awatie nguvu katka kipind munachopitia
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy 2 күн бұрын
Na hapo kwenye wapinzani ku take advantage ndio unamkumbuka sun tzu kwenye art of war " when things mess around take the advantage" yani kufa kufaana.. dj sma anaelewa hii❤❤
@djsma255
@djsma255 Күн бұрын
Uko vizur
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew 3 күн бұрын
Hawezi kabisa kujiuzulu kwa sababu keshakula pesa za marrekani
@benoseaone
@benoseaone 2 күн бұрын
Kula pesa za Marekani isiwe kigezo cha kuwabenesha raia wa Kenya mzigo ambao hawakuutaka wao. Akalipe mwenyewe
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 2 күн бұрын
Acheni kuongelea hizi mambo mna mtisha raisi wenyu Samia nasikia ........... nyie hamuoni hata Millard Ayo hame simamisha kupost😂
@OnlyRuky
@OnlyRuky 3 күн бұрын
Ruto hutuba yake sikuitegemea ilivyosema.... vile nilidhani atajiuzuru....Kenya stand up All the best mpka mpate haki zenu maraisi wa Africa iwe fundishoo kutoka Kenya
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 3 күн бұрын
SNS mpo vizuri sana...
@user-vx1vb4cz6m
@user-vx1vb4cz6m 3 күн бұрын
GPS Hongera Hongera Tena kwa uchambuzi wenu ulio kuwa pansa na wasi
@destindjumbe8023
@destindjumbe8023 3 күн бұрын
Kizuri Ruto must go, wanatuleteya muswada wa kufanya Watu wateketeye hao they dont care.
@simonmartin5358
@simonmartin5358 2 күн бұрын
Kuna mke wa zakayo naye anasumbua sana kwenye taifa la ughaibun naye amekuwa kero tena shidaa hajui nini maana ya maisha ya mnyonge. Ipo siku mnyonge mnyongen lakin hakiyake mtatoa.
@mohamedabdulkadir6186
@mohamedabdulkadir6186 3 күн бұрын
Jamaa anatuma hadi snipers kuuwa protesters. Snipers walikua located kwa jengo la KICC juu😢
@user-yp9el7xp8g
@user-yp9el7xp8g 3 күн бұрын
Leo ndio FINAL MAANDAMANO
@salimsoyo8118
@salimsoyo8118 3 күн бұрын
Balaaa sana must go
@simonmartin5358
@simonmartin5358 2 күн бұрын
Mshupaza shingo huvu jika kabisa ruto must go
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 күн бұрын
Duh ,,,kama wananchi wanaamua hivo ,,bila shaka kuna watu wanaifadhili hii ishu,,,kuna watu wazito wako nyuma
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 3 күн бұрын
Ndo manaake
@user-di9hk7bw5w
@user-di9hk7bw5w 2 сағат бұрын
@@evelynemugeni2369unawezaj kufadhili mamilion ya watu
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 3 күн бұрын
Dah alishindwa kuwaambia polisi wasiwaue watu, kashabeba dhambi za damu za watu, honest is too bad,
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 3 күн бұрын
Samahani bro ni kimekosea kuituma hapo. Utuko pamoja bro.
@user-vt6du7ll8l
@user-vt6du7ll8l 3 күн бұрын
Mkiwa pamoja habari ndo inanoga vzr
@djafro8729
@djafro8729 3 күн бұрын
Ruto must go
@halimamunga1681
@halimamunga1681 3 күн бұрын
Tuisubili hii TANZANIA tizama migomo ya kufanya biashara hii itatupeleka mbali kama viongozi hawata sikiliza wananchi
@KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r
@KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r 3 күн бұрын
PIYA TANZANIA YENU IZUNGUMZIENI LISU ANAANDAMANA PIYA AU AMONI? AU MPAKA WATU WAFE NDO YATAITWA MAANDAMANO? AU KUMUOGOPA SAANA SAMIA? MBONA MUNAMPAMBA SAANA UYO MAMA WENU AU MNASAAU KM NILAZIMA AWASAIDIE RAIYA YEYE KM RAHISI? TANZANIA MDOMO SANA NA YAKWENU YANAWASHINDA TUACHENI NA KENYA YETU😭😭
@richardrichope3528
@richardrichope3528 2 күн бұрын
Yani wakenya sijui vichwa vyenu vina nini au ni ujii? Watu huku tunataka muungano wewe unataka kenya kaa nayo tumekuachia mginga nini
@zayumar2955
@zayumar2955 2 күн бұрын
😅😅😅😅 mwache Mwenzio akili imevurugika na mabomu ya machozi😅😅😅​@@richardrichope3528
@zayumar2955
@zayumar2955 2 күн бұрын
Sio rahis kiivyo ila (MUDA UTAONGEA SISI AFRICA NI NDUGU)🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪❤️❤️
@user-en2md9kn5n
@user-en2md9kn5n 2 күн бұрын
Samia must go😂😂
@mkambotv5418
@mkambotv5418 3 күн бұрын
Haja withdraw. Amekataa kusign tuu ila after 14 days mswada utakuwa sheria automatically. Bunge linaenda mapumziko mpaka 24 july, siku 14 zitakuwa zimeisha.
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 2 күн бұрын
600ml k/sh ndio bajet ya first lady? Hii sio sawa.
@harithimahmoud1577
@harithimahmoud1577 2 күн бұрын
ALIILANI URUSI HATIMAE MUNGU KAMLAANI YEYE 😂 RUTO NI RAIS WA HOVYO SANA
@rosekulola8355
@rosekulola8355 3 күн бұрын
Hawezi withdraw financial bill amekataa kusign of which asipoipresent parliament in 14 days inakuwa law so anajifanya smart kumbe kuna wasomi Kenya
@hanifa9153
@hanifa9153 3 күн бұрын
😂😂😂
@ProdactTV-T9814
@ProdactTV-T9814 3 күн бұрын
Na parliament inaenda recess till July 24. Ruto anafikiria sisi ni mafala.
@abdallasaid5593
@abdallasaid5593 3 күн бұрын
You can't advise Ruto ....Ruto is the one who advise his advisors.... huwezi elewa😂😂
@M7-Band
@M7-Band 3 күн бұрын
Tatizo jamaa anajifanya so smart,but vijana wa saivi ten steps ahead of him,we cant trust him anymore. hata kama amekataa kusign,after 14days inakuwa sheria
@Nagmah-gf4lp
@Nagmah-gf4lp 11 сағат бұрын
Mungu saidia
@Eng2460
@Eng2460 2 күн бұрын
This is SnS🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 3 күн бұрын
Tatizo la ruto ni kujifanya m babe kwa wananch wa kenya huu upuuuz labda kwetu tz il xo kwa Gn Z #kenya Na huku kwetu tz watoto wa 2000 kinukixheni
@KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r
@KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r 3 күн бұрын
KWELI KBX KAKA TZ WASAANI WANAMPAMBA SAANA UYO MAMA SAMIA WANASAAU KM NIMAJUKUMU YAKE ANALAZIMIKA AFANYE NA YAKIMXHINDA ATOKE KILA SIKU MAMA MAMA MNASAAU KM KIJIJINI WATU TUNA ANGAIKA YAANI KAWA WEKEYA MADARAJA DAR 2 BS MNAONA TZ IMEFANA DAH😭😭
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x 3 күн бұрын
Watoto wa 2000 wamejaa mashoga
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 3 күн бұрын
​@@KOMASAVAOG-yb1mm9fk1rtz ni tatizo bila katiba mpya hakuna kipya
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 күн бұрын
Hussein hana ubabe wowote swala kubwa nu kuelewana tu haina haja ya kuandamana hapo tatizo kybwa Wakenya wanasumbuliwa na Ukabila tu
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 күн бұрын
⁠@@husseinhemedi9314 Katiba mpya ndio itaondoa uvivu wa akili kwa vijana? Tuwe wa kweli vijana walio wengi wa Bongo wako bize na upuuzi, kubeti, ushoga, kumfuatilia Mwijaku na Mama Levo, vita vya Dai na Kiba. Mtu anashinda mtandaoni akiomba like kuliko kuomba kazi nadhani tunahitaji kubadili tabia zetu.
@destindjumbe8023
@destindjumbe8023 3 күн бұрын
Raïs wa AFRICA wapenda kuoneya rahiya. Hasa hawa wanao shirikiana na hawa wanyonya damu ma Beberu ya Europa na America.
@HamiduMtandika-lc2tp
@HamiduMtandika-lc2tp 2 күн бұрын
Ally umenifurahisha eti hapitajiki D mbili kukuelew yan principles pass
@billskeez92
@billskeez92 2 күн бұрын
Nakubaliana nawewe Ally Masubi 👏 Mpaka Sasa kinacho takiwa RAISI RUTO ajiuluzu tuu
@maidimples8236
@maidimples8236 2 күн бұрын
Tuliomuelewa dj smaa huyo mtu aloshindwa kumtaja tujuana 😂
@Mama-A
@Mama-A 2 күн бұрын
First half imeisha....reject finance bill 2024 1-0 Second half..........Ruto must go
@hamadiizo
@hamadiizo 3 күн бұрын
Big up
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 2 күн бұрын
Sns tukumbushane ,,chanzo cha yote hayo ,ni kutokea kwa Muigizaji ERICK OMOND Ndie mtu wa kwanza kuibua hizi mambo na kutia nguvu ,na erick omond amekuwa mstari wa mbele sana kwa hii ishu ya maandamano ya kupinga mswada
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Күн бұрын
dah ila umesema kweli kabisa. ndi yeye huyu jamaa
@oyay2821
@oyay2821 2 күн бұрын
I am happy no deaths today Thursday 27th, and we are slowly going back to calm.
@user-ho2jy6mc8i
@user-ho2jy6mc8i Күн бұрын
Ruto must go 🤨🤨
@maidimples8236
@maidimples8236 2 күн бұрын
Tunawasikiliza vizuri but when its came Tanzania you guys do go specific on the issue
@bbng9475
@bbng9475 3 күн бұрын
🔊🎼✌️🫶pow kweli kaka Colorado moja✌️🔊🎼
@NepporSabith
@NepporSabith 3 күн бұрын
Duhhhhhhh ubabe unamwisho
@mohammedhimba1647
@mohammedhimba1647 3 күн бұрын
Usalama wa Taifa kenya umempotosha Rais kwani walipaswa kulitambua hili na kumshauri Rais kwani Gen z walihasishana kwenye mitandao siku kadhaa baada ya mswada kuandaliwa hivyo interejensia hawakumshauri vizuri au walifanya kazi kwa mazoea...
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 күн бұрын
Alifu nilicho penda hawa vijana waliandamana bila kutumia mwanvuli wa chama chochote bali waliungana kutetea maslahi mapana Ya wananchi.
@aminakenea9614
@aminakenea9614 2 күн бұрын
Je Imani zao zina ufahamu ya kwamba mungu yupo? Wakipata jawabu,Mtondia naakini watabadilika na kila kitu kitakuwa sawa
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 3 күн бұрын
Tunafahamu Changamoto za kiutendaji lkn GPS Kwa njia ya cm haiko smart kabisa
@simonmartin5358
@simonmartin5358 2 күн бұрын
"Makuzi"
@naomikrause1762
@naomikrause1762 2 күн бұрын
RUTO JUUUUUUUUU🙏🙏🙏💪💪💪♥️♥️♥️
@gasparmpoma3860
@gasparmpoma3860 3 күн бұрын
Let's Wait and see Today's Demonstration. We pray for you Kenya, if this was God's plan it will be inevitable.
@wkjshsxbbsbs6392
@wkjshsxbbsbs6392 3 күн бұрын
We gave him 48 hours
@user-zw1vz7or8v
@user-zw1vz7or8v 2 күн бұрын
Too late meaning he has failed us
@godfreysudi7264
@godfreysudi7264 3 күн бұрын
You have high economy in your country but people live difficulty live so what importance to have high economy to citizen far better Uganda and Tanzania with their low economy
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 3 күн бұрын
Haina maana because too late
@MargaretNyambura-zm5em
@MargaretNyambura-zm5em 3 күн бұрын
Gen Zs after 21 day hii bill itaanza kufanya kazi,ache kutumbemba ujinga hakuna kutuliya Leo ni maandamano Hadi atoe Bill yote chini
@aisha_mohammed5825
@aisha_mohammed5825 3 күн бұрын
Tumechoka na uyu aki ahadi za uwongo 😢😢😢😢😢😢😢tumechoka
@salmasaid7058
@salmasaid7058 3 күн бұрын
Leo hadi ikulu
@nomoboy152
@nomoboy152 15 сағат бұрын
#SNS Naomba kujibiwa kama usalama wa taifa wanasimamia usalama kwani pesa zinavyopigwa na viongozi hawaoni kama raia ambao wanaona pesa zinapigwa kila siku amani inazidi kuwa ndogo na wao wazuie au ndo na usalama wa taifa ni miyayusho pia
@user-ls2fq5ks7f
@user-ls2fq5ks7f 3 күн бұрын
Mm binafsi kwa Maoni yangu Naona kama Wakenya wamewekwa kwenye mtego Kwa sababu Bunge limefungwa kwa Likizo mpk July inamaana kwa katiba yao hata kama Ruto Hatasaini Siku 14 zikipita bila Bunge kwepo Kazini huu Mswada itakuwa Sheria kwa hiyo Kuna mtego kati Rais Bunge thidi ya Wakenya
@hanifa9153
@hanifa9153 3 күн бұрын
😢😢😢
@cooljay9489
@cooljay9489 2 күн бұрын
ndomana bdo wana protest
@swalehbakari2667
@swalehbakari2667 2 күн бұрын
Sisi atumtaki yeye iyo 2027 tuta mpeleka home 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@vibetz9991
@vibetz9991 3 күн бұрын
Wakenya wanapenda fujo tu 😂
@chapuztv3040
@chapuztv3040 3 күн бұрын
Bamutowe tu because Africa ataisumbua alifurahi bakia banashabulia Congo bamutowe hatujafulahi kuungana na marikani
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 2 күн бұрын
😂 batamutoa tuu papaa
@3erffeoui86
@3erffeoui86 2 күн бұрын
HII MWASADA IMF NDIO IMESUKUMA ATA WALI HONGA KILA MUBUNGE MILLION MBILI KENYA SHILLINGS
@jerryndondole1965
@jerryndondole1965 3 күн бұрын
Tulikumiss Henry,previous GPS hukuwepo
@isaacramadhan9721
@isaacramadhan9721 3 күн бұрын
Hawa vijana kuingiya state house siyo tatizo maana naona kama bunge walingiya na kuchoma na wabunge kuingiya mitini basi state house wanaweza ingia, Rais wao asijipige kifuwa lazima asikize wananchi maana wee kenya nawapa heko
@wkjshsxbbsbs6392
@wkjshsxbbsbs6392 3 күн бұрын
We don't need anything from ruto but to leave the office
@jenifferwanjira6124
@jenifferwanjira6124 3 күн бұрын
Sad
@HamiduMtandika-lc2tp
@HamiduMtandika-lc2tp 2 күн бұрын
Hii issue ya mapinduz bolvia imekaaje wakuu
@mpefu_4936
@mpefu_4936 3 күн бұрын
Kwenye hiyo lazima kutokee vifo akuna uhuru bila damu hiyo walijua kabisa ni kitendo Cha kuamua
@aminakenea9614
@aminakenea9614 2 күн бұрын
Yani imejitokeza kiongozi tulio Wachovia ni ukosefu wa INANI kbsa
@jumamayonga8914
@jumamayonga8914 3 күн бұрын
Mimi naona kunusuru hili inabidi Ruto ajiuzulu ili kuepusha mauaji zaidi
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl 3 күн бұрын
Watanzaniya, Huku Kenya tumeshinda , lakini bado tunasonga mbele
@jafarimnaro704
@jafarimnaro704 3 күн бұрын
Tuko nyuma yenu majirani
@golebenson4597
@golebenson4597 3 күн бұрын
🎉🎉🎉
@issakibwana6497
@issakibwana6497 3 күн бұрын
Moja ya mabango ya wanda manaji huko Kenya. Aliandika. Hata zuwena hajabadilika ghafla ruto amebadilika ghafla Jmn 😢
@furahachuma9039
@furahachuma9039 3 күн бұрын
Haaaaa 😅
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq 3 күн бұрын
Ukiingia mkataba na Marekani hakuna kujiuzuru mpaka utimize malengo yao yani hakuna tofauti na kuchukua mkopo kwenye app ya simu hakuna kutoka mpaka umalize deni Ruto kayavagaa
@aminaali792
@aminaali792 3 күн бұрын
Dah!!
@user-bv6ew9po7u
@user-bv6ew9po7u 2 күн бұрын
This is East African spring. Viingozi wa Africa Mjitasmini zakayo omba Mungu lasivo hiyo Matako hutaweka tena kwa kiti Raiyaa wameshakushtukia wewe ni Kibaraka wa Western
@samtechtanzania3252
@samtechtanzania3252 2 күн бұрын
Ruto alitaka kukurupuka inatakiwa atumie akili kubwa san na tena angeruhusu jeshi ndio ingekuwa mbaya zaid ingekuwa kama 2007 hali ingekuwa mbaya sna
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 3 күн бұрын
Sma em ongelea KENYA, acha kuongelea RUTO. Maana inaonekana uko against RUTO tangu atoke kutafuta msaada America. Umeulizwa swali......Je suala hili litasambaa AFRICA?.....Jibu hilo, acha kum attack Ruto!
@mkambotv5418
@mkambotv5418 3 күн бұрын
RutoMustGo#
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 күн бұрын
Jamani anezeeka kwa muda mfupu hana raha ya Urais Kenya kuna moto
@josephnyundo6105
@josephnyundo6105 2 күн бұрын
Nikweli jana 26/6 Atacum imeipiga S 500?
@fahmanalbulushi2925
@fahmanalbulushi2925 3 күн бұрын
Tusisahau kuwa kabla ya south africa nigeria waliteta demonstration ya wafanya kazi na kufata Kenya na Tanzania Wana demonstration ya wafanya biashara hii ni wimbi la vijana ambalo mmojanya wasemaji marekani alisema Kuna nguvu ya umma ambayo Ina nguvu Sana la kufanya ninkukaa mbali na kuwapa njia na kuwasikiza
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 2 күн бұрын
Hao Wabunge Nyuma ya Ruto, Wote ni Wezi na Mafisadi... Eti Leo hii, Wanapiga Makofi...😢 Na juzi mwandishi aliuliza Swali wakacheka sana kwa dharau...
@danielmgalla558
@danielmgalla558 3 күн бұрын
During consultative meeting na wananchi waliukataa mswada mzima kwa 90℅. So basically ni mswada mzima unakataliwa
@JonesMwita-lb3wm
@JonesMwita-lb3wm 3 күн бұрын
Tunataka ruto ajiuzulu period
@ramadhankakai7303
@ramadhankakai7303 2 күн бұрын
Ruto hakuwa chaguo la wakenya..ukweli unejukikana sasa. Huyo shetani lazima tumbandue
@gregorymukui980
@gregorymukui980 3 күн бұрын
Shida ya ruto ni utumiaji wa pesa kwa wambunge kama sudi, ichungwa,ndindi nyoro wanazunguka na pesa kaa miungu ndo wanavyo chomewa manyumba na maafisi kisha tulipe kodi wakule mbure manyangao😭😭😭
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 3 күн бұрын
Hasira ya mwanadamu haijawahi kutenda haki na kenya wajue Ruto Hana cha kupoteza anaweza kuondoka akawaachia nchi yao iliyoharibika kwa vita na umaskini...Mungu awape utulivu ili maamuzi ya hao vijana wa 2000 wasio na akili wajue mihemko haisaidii lolote...zaidi sana ni kumwaga damu na kuiweka nchi rehani
@bensonsimwa7263
@bensonsimwa7263 3 күн бұрын
Wewe ujui chenye unaongea ungeliishi Kenya ungelijua, nyamaza, ndio haki ipatikane sio vile unadhani, your out of modern generation,
@DanielMukora-jx1bh
@DanielMukora-jx1bh 3 күн бұрын
Very true
@DanielMukora-jx1bh
@DanielMukora-jx1bh 3 күн бұрын
​@@bensonsimwa7263iwapo atatoka ujuesio malaika ataingia,heri huyu tumeweza kulekebisha na akakubali
@zenajustus5731
@zenajustus5731 3 күн бұрын
Ungezaliwa Kenya ungeelewa,so huna makosa coz hujui shda zetu,but usiwe mwepesi wakuchagua mrengo bila kuchambua source yenyewe.
@hudumablack9339
@hudumablack9339 3 күн бұрын
Eti hasira ya mwanadamu haijawahi kutenda haki: Wewe ni mjinga kweli kweli, ya Dini unatuletea hapa? Ya Mungu mpe Mungu na kaisari mpe yake. Sasa kaisari amepata haki yake na amebadilisha mswada sasa kwa kuwa ameua raia wake, lazima Ruto aondoke.
@mariaswakeithekenyanmusici4393
@mariaswakeithekenyanmusici4393 3 күн бұрын
He was not supposed to use that term we were not competing with him
@KuwakuMalumba6895
@KuwakuMalumba6895 3 күн бұрын
🫵🏿👊🏿🇰🇪🇧🇮🇨🇩🇹🇿🇷🇼👊🏿🫵🏿Kweli Kaka matatizo Africa yana fanana sana! Viongozi awajali watu wa Africa's 😢 Africa ali ningumu sana sana😢 Africa watu wana kufa kila siku😢 wa Africa shida nikila siku 😢 Africa viozozi wana iba sana😢 Africa akuna madawa hospital 🏥 😢 Africa kila siku ni vita😢 lazima tukataye sasa😢 Africa President's they don't care about Africa's people's 😢 Africa's President's they keep make us Africa's people's be more poor every day 😢 Africa is very poverty every day! Kwa kweli sisi wa Africa tuna shoka na viogozi wa Africa's😢 Kila mwaka wa Africa tuna kimbiya Africa kuja Europe 🇪🇺 sio kwetu 😢America 🇺🇸 sio kwetu😢 UK 🇬🇧 sio kwetu😢 Australia 🇦🇺 sio kwetu 😢 Canada 🇨🇦 sio kwetu 😢 lazima tutegeneze Africa yetu sasa hivi😢 our Africa's President's they keeps send our money 💰 Africa's people's to Europe and America 🇺🇸 how many Africa's people's died every day in Africa 😢 we need change now all Africa 😢 power to all people's of Kenya now 🇰🇪🇧🇮🇨🇩🇹🇿🇷🇼🫵🏿👊🏿
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v 2 күн бұрын
Tatizo hili haliko Kenya tu, bali ni la Afrika mashariki kwa ujumla wake, viongozi wetu wanalipina posho, wabunge wanaoptisha Sheria kandamizi wanalipwa mishahara mikubwa, kazi wanazofanya hakuna, wananunua magari ya kifahari, badala ya kupunguza matumizi ya Serikali kipau mbele chao ni kuwabebesha mzigo wa Kodi, hili la Kenya liwe fundusho kwa nchi zetu za Afrika mashariki.
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga Күн бұрын
Kw mujibu wa Hali ya watu wa nchini Kenya kuandamana,Muswada ulikuwa km busty lkn kuna kitu nyuma ya pazia lkn sababu kuu ni Ruto kuna kosa kubwa kalifanya la kimkakati la kimataifa kw wazo. Langu k w kiasi flani km. Alivosema Henry mwinuka kuna generation mbili 2 X na z hii Maana yake kuna mfanano wa ideology ktk vizaazi vi2 hivi vipo tofauti na mawazo na vipindi vya nyuma.lkn ndani ya waandamannaji kuna watu Wana target au shabaha ambayo ni mbali na Muswada. Lkn. Kw nini baada ya. Kauli ya Ruto tunaona bado maandamano hayakusita?
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl 3 күн бұрын
Kujigamba wa Rais ndio Imemufikishahapo, Nabado.
@RuttaJames-kh5jx
@RuttaJames-kh5jx 3 күн бұрын
Tanzania bajeti himepitiswa au bado hila bongo Huwa hatuna hakili kbs
@alphadreammedia
@alphadreammedia 3 күн бұрын
Tayari imeshapitishwa Ina 49.67 Tirion
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 3 күн бұрын
Imegawanywa vipi?
VIJANA WALIOWEKA HISTORIA KWENYE MAANDAMANO KENYA
7:08
Wasafi Media
Рет қаралды 180 М.
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 13 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 116 МЛН
ОДИН ДЕНЬ ИЗ ДЕТСТВА❤️ #shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 7 МЛН