I didn't vote for Ruto but now i love him & i wish him good health & good leadership.
@tfl49633 ай бұрын
💯
@twaibumikidadi737710 ай бұрын
Ruto speaks good Swahili than kenyans Bravo Ruto !
@heronimomsefya319010 ай бұрын
We East Africans we should stick together especially in protecting our environmental biodiversity, Congrats to all Our presidents , Much love from Tanzania 🇹🇿.
@peterbayo467710 ай бұрын
Nimecheka hadi mbavu sina!!! Ruto you made my night!!!! 😂😂😂😂😂
@mapendoglory1610 ай бұрын
Mr. President Ruto😂 you have made my day. Thank you sooo much. Much love from Tanzania.😂😂😂
@naomikrause176210 ай бұрын
RUTO NI SHUJAA WAKENYA HONGERAAAA RAISI WETU ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@salamaisayas828110 ай бұрын
Tunawapongeza waheshimiwa hawankwa kongamano zuri la kuondosha njaa ktk mazingira yetu kwani chakula ni uhai yaani Kula ni uhai na uhaibni Kula kabla ya utajiri wowote . Hongera Rai's Ruto na Rai's Samia mama yetu _ tuwaombee wayaweke ktk utendaji yote . Amen
@fifo2629 ай бұрын
Ruto umechekesha sana
@leaparoine740110 ай бұрын
Naangalia toka Dar es Salaam-Tanzania, na Mh.Ruto, amenifurahisha sana! Nimefurahi kwa hoja hii na umoja huu kwenye summit hii iliyokuja nyakati sahihi
@ashaalali12219 ай бұрын
Kwanini Africa tusikuwe na raiz moja ..pesa moja...soko moja
@conasmalale107310 ай бұрын
huyu jamaa ni mwanasiasa pure
@user-ie3lw9eb6p9 ай бұрын
Mr President ruto u make us laughing to much .your respect sir
@fablovesaadi98799 ай бұрын
Asanta Mheshimiwa Rais Dkt William Samoei Ruto hapo umeweza... Kiswahili kitukuzwe
@ernestlocken450010 ай бұрын
Raisi ruto hongera kwa kiswahili
@ericbahizi65269 ай бұрын
hongela rais ruto kuongea kiswahili shukrani
@qasammamachinya444810 ай бұрын
Ruto, evarst, na mama na wanaest afrca asanten sana
@mvunge71089 ай бұрын
MbonaKishwahil chake ni safi kabisa..
@josephmwabange963310 ай бұрын
Nimecheka kweli , kumbe rais Ruto ni mcheshi sana 😂😂
@nickmaina448210 ай бұрын
Hongera heshiwa raisi wetu
@MWALIMUCHAKATV10 ай бұрын
Nimecheka kweli
@domtecmedia70729 ай бұрын
Hey whoever vis talking at the background while while president ruto is speaking that one is unprofessional,it's unfair,am one of the snr international investigative tv journalist from Kenya,
@juliannjunwa785710 ай бұрын
Hata mkubwa ukosea, kiongozi wake amemsaidia kusahihisha kile alichokusudia kuongelea.
@bonabonala555910 ай бұрын
kwa mtazamo wangu hawa ndio marais wasiopendwa na waninchi wa kawaida ira wanapendwa na viongozi wario wateua na familia zao na kwa mh samia kutokupendwa huku uswahilini ni kuuingiza ubaguzi kati ya bara na znz kuwapenda sana wabara kwa kuuza bandari za tanganyika na kuziacha za zanzibar inamaana anawachukia wa znz huo sii ubaguzi umeingia tz??? watatuchukia wa znz tutakwenda znzbarkweli wabara???
@mohamedmwinyi326110 ай бұрын
Lazima ujifunze Kiswahili tuache kuzungumza kiingereza hio ni lugha mseto lugha ni ya Kiswahili bunge letu tunaongea kiingereza Tanzania bunge lao laongea Kiswahili
@CatherineJoshua-fi4gw9 ай бұрын
PRESIDENT RUTO MADE MY DAY!!!! KARIBU SANA TANZANIA!!!
@jimmymushi235710 ай бұрын
@Habari Digital tafsiri za nn mnatuchukuliaje ????
@samwelkipkurui28439 ай бұрын
This guy is more of a comedian than a president 😅
@user-zt6eb7re4u9 ай бұрын
Uko sawa broo ww nganganatu
@jeannettenyabitanga99999 ай бұрын
Ruto❤❤
@faithfaith43429 ай бұрын
My president ❤ twende kazi ruto
@bonniechannel14979 ай бұрын
Anaitua ruto Mr prezo 😂😂
@benardmuchui4609 ай бұрын
Kura yangu hii,haikupotea wewe ni mwakilishi wa kweli, thanks Mr president
@wamupepe53019 ай бұрын
Kuchochea , ni kweli umeweza leta mambo mazuri. Wenye kuchocheya kwa mambo mbaya , ni wachawi , wasubiri kiloko kabisa kabisa
@angelsulle717710 ай бұрын
Mh. Ruto Hongera, Nadhani Wakalenji sio wabantu Lkn wewe unaongea Kiswahili kizuri kuliko hata Nomads wa Tz
@miltonjohn97799 ай бұрын
Unajipa moyo
@josephlorri43110 ай бұрын
Mtafsiri angeacha..kiingereza ni lugha rasmi ya biashara kwa nchi yetu
@jimmymushi235710 ай бұрын
cjui katumwa kazingua mbona Ruto hajamtafsiri
@rockcitynative998510 ай бұрын
We jamaa mbona ni mswahilina kabisa acha zako. Kiswahili unakijua mapungufu uliyonayo hata siye wengine watanzania tunayo wapo tulioathiliwa sana na makabila yetu.
@fahadfaraj647410 ай бұрын
Wakenya wao wakiongea wenyewe huwa sawa ila hukosa amani wakiongea na watz wanahisi tz wanaufasaha zaidi
@MWALIMUCHAKATV10 ай бұрын
Eti Azimio ni nini Rais Mpendwa?! 😮❤
@JosephBruno-bm8ge10 ай бұрын
SWA mweshimiwa
@talibsaid809610 ай бұрын
Nice
@user-if4fg7vk9u9 ай бұрын
Gods.must be crazy 1
@user-qs8ym1uf7z3 ай бұрын
Azimio kenya inatesa Ruto
@mainakihurusia63809 ай бұрын
😂😂😂😂My president
@vincentombasa9 ай бұрын
Umenichekesha kuliko wacheshi wengine
@wamupepe53019 ай бұрын
Ruto mtoshe WAJINGA wote . Muwapatishe ni vizuri kwa WOTE
@hoseakavubu284410 ай бұрын
Sura ya maamzi inaonekana katika maongezi.
@twaibumikidadi737710 ай бұрын
marais wako pamja kkn wanayojiita kıoo cha jamii hujıfanya wao ndıo waoo.
@espoirpaul3769 ай бұрын
Ruto hajuwi kiswahili?😂
@bundalaizina65210 ай бұрын
Upovizuri
@MossesiMosessilaizerlaizer2 ай бұрын
Ww ach siasa bwn ww ongea
@samochristopherroche995310 ай бұрын
Huyo wnaetafisiri anatupigia kelele..tumemuomba hiyo huduma??
@user-yf4zo1sm5l10 ай бұрын
Kswahili ni kizuri sana
@ssam338510 ай бұрын
Hapo ni wapi?nauliza jmn
@Fardadihd10 ай бұрын
😅😅😅😅
@user-cj7rl1mj6k9 ай бұрын
Ngorongoro
@rwenenahomechannel163410 ай бұрын
Sisi tunacheka😅.Ni vipi mkenya hajui kiswahili ila anazungumza kiingereza kwa ufasaha!? Afrika bado ina safari ndefu...
Si eti atujui kuongea Kiswahili, ila tunaongea Kiswahili mufti nanyi mwaongea Kiswahili sanifu, so their is a bit difference but all we speak the same language and we are good neighbors
@Babuu20010 ай бұрын
😂😂😂😂
@johnlobuin421210 ай бұрын
Sisi hapa Kenya Tunakupenda Rais Suluhu Hassan, na Uongozi wake Bora. Na pia ametuonyesha kuwa mwanamke, anaweza kuongoza kuliko wanaume pia.
@jimmymushi235710 ай бұрын
Kaa kwa kutulia ww hv unajisikia kweli
@mlawayusuph88429 ай бұрын
Nabii hasifiwi kwao lakn Samia aminia
@miltonjohn97799 ай бұрын
Acha uzwazwa
@denisrukangula222710 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mohamedmwinyi326110 ай бұрын
Ndio ujue Azimo wako na mambo mazuri
@berthatz10 ай бұрын
😂😂
@KorirCosmas1810 ай бұрын
Watu si wachinga bwna😂😂
@dominiconditi18339 ай бұрын
Ruto hapo ulina ndipo
@mdl646310 ай бұрын
Kelele za wasanii zipuuzeni jenga nchini zenu agizeni mafuta ya kutosha maana najua kuna ndugu zenu wako kijijini usafiri wao bodaboda kwenda hospital umoja ni nguvu ✌👊
@user-qg5bq4sj9c10 ай бұрын
Kumbe unaakil meku
@RisaJakson-fv7qt9 ай бұрын
O
@TradeIQ_Profits10 ай бұрын
🤣🤣🤣azimio iko na fujo sana😂😂😂
@geoffreyembasa84839 ай бұрын
Too much talking. And Kenyans are starving and completely confused about their future. Hata kujaza gas watu wameshindwa
Enyewe rais mwenye anabeba mambo ya kwake kwa wenyewe ni ujinga
@mtabevilaini652710 ай бұрын
Azimio ni chama cha upinzani 😂😂
@patrickimran264510 ай бұрын
jama akiskia azimio anahaha chonde chonde waheshimiwa msitaje tena asije akakimbia ruto wa watu
@j.c.maxima81610 ай бұрын
😅😅😅
@denisrukangula222710 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@duncan.manyekikariuki123710 ай бұрын
Huyu president amechaguliwa na GOD alisema mambo ni matatu upizani ikaanza kelele soma maadiko diyo ujue ukweli
@kennethisiko8829 ай бұрын
Rais Ruto, I have laughed my tail off. .....but you speak good kiswahili, you need not speak like them (Tanzanians) just like they sweat oil while speaking English.