SEE HOW TANZANIA ARE REACTING ON ONGOING KENYAN PROTEST
Пікірлер: 862
@andrewtuva77972 күн бұрын
Your contribution is realistic Andrew from Kenya.
@FaithMackena2 күн бұрын
THANKS SO MUCH FOR SPEAKING GOOD ABOUT KENYA 🇰🇪 NI KWELI KENYA'S WE ARE DIFFICULT
@abrahamlainialex96832 күн бұрын
Dudu baya njoo upo Sawa baba kaka upo sawa all from Kenya
@johnamani14612 күн бұрын
😂😂😂 wakenya tushakupata karibu Kenya ndugu yangu ❤❤
@user-um6gg8zj5c2 күн бұрын
Dudu mbaya unajua siasa ya kenya tena unajua viongozi wote thanks bro
@davidbochela1441Күн бұрын
@@user-um6gg8zj5c Anawasaidia ulimbukeni wa kisomo kisicho na faida,kama mnaweza rudisheni grabbed land iliyoporwa na wanasiasa toka uhuru nitawaona wa maana..ardhi imekaa barely while majority mmebanana kwenye slams,bei ya mkate ikipanda mnachoma Kila kitu, kwetu mkate ikipanda naenda kulima viazi,shamba ninalo.Change your policies acha ubishi.
@lyciakavumbi72942 күн бұрын
Team +254 let's gather here. 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 #HAKI IWE NGAO.
@stevensteve7519Күн бұрын
Kumbe Dudu ni mtu very understanding. Aliyoyasema ndiyo ukweli halisi na viongozi wanautumia umbumbumbu wa wananchi wengi kutojua lolote na kuamini kwao kuwa siasa haiwahusu. Itatuchukua muda mrefu sana.
@user-re1yw3lm5nКүн бұрын
VERY SMART DUDU BAYA. POLITICS HAS EVERYTHING TO DO WITH US ORDINARY CITIZENS. WE CAN'T BE IN A STATE OF I DON'T CARE. GOVERNMENT OFFICIALS AND PARLIAMENT IS MAKING DECISIONS AFFECTING OUR EVERY LIFE. EVERY TANZANIAN AS TO STAND UP AND ASK QUESTIONS ON GOVERNMENT MATTERS AND WHAT ELECTED MEMBERS OF GOVERNMENT ARE DOING 🇹🇿. OUR IGNORANCE IS SENDING US TO THE BOTTOM PIT OF LIFE AND DEVELOPMENT. WAKE ⏰ PEOPLE AND AFRICA 🌍. LOOK AT IBRAHIM TRAORE.
@everlineakinyi722 күн бұрын
I'm Kenyan... I like your reasoning
@emmanueltemu3606Күн бұрын
Ni kweli Kenya wako vzr saana kielimu,ss tuliwafukuza waingireza baadae ya kupata Uhuru,,kwelirieee
@ikeralejandro22152 күн бұрын
Wonderful Dudu Baya, noted
@fatimafatuma48482 күн бұрын
😂😂😂wakenya hoyeeeee❤❤❤❤❤❤❤
@user-id1me9ve1oКүн бұрын
Tanzania hatujuwi chochote kuhusu selikar lakini laiya wa Kenya Masha Allah ❤
@user-ic7felixКүн бұрын
Kenya mtoto anaaza kusoma shiria na miaka kumi ama nane hapo sas uwezi imba chochote
@user-gn9rh7sw7rКүн бұрын
@@user-id1me9ve1o unaweza kusoma ukakosa busara akili ni ywele kila mtu Ana zake,na kusoma sio kufaulu maisha
@user-gn9rh7sw7rКүн бұрын
@@user-id1me9ve1o Tanzania ni nchi ya amani na serikali ni wewe ulieandika hii meseji hamasisha upendo maisha ni hayahaya wakenya ni wavivu itawakost
@user-cq6hv7wl2qКүн бұрын
@@user-ic7felix sio shiria ni sheria
@brevanskimunguiwalukana78472 күн бұрын
Kenya unaeza pata shamba boy ni University Material
@fundimangungu-kd9rn2 күн бұрын
😂😂 dudu Baya the great, ATI hata mama ntilie Yuko na digilii ....siasa ngumu duniani 😂😂😂 Thank you bro
@JudyPatience2 күн бұрын
Kenya we are hero's,wapi nduru weweeeee.........
@Jobokwach-ri8jk2 күн бұрын
Salute you, I like your transparency, we Kenyan citizens we know our rights & responsibility v well
@ClarensJebet2 күн бұрын
Karibu Kenya ndugu bado unanuka na itanuka zaidi, heri tufe wote.
@barazamatibila8412Күн бұрын
Mimi ni Mukenya nakubalian nahuyu ndugu amesema ukweli mtupu tena anaelimu kubwasana.
@user-xe4wz6vo9x2 күн бұрын
Kumbe jamaa anaakili Sana big up big brother
@user-ic7felix2 күн бұрын
Ukweli kabisa kaka karibu Kenya
@emily97442 күн бұрын
Umeongea vizuri sana salamu zikufikie kutoka Kenya,,umeongea vizuri mtu wa kuelewa ataelewa ila naona. Comment za wengine apa bure kabisa amkeni nyinyi
@tatizojoseph87022 күн бұрын
Dudu BAYA ❤❤❤❤ Wewe ni darasa tosha kabisa bro!!!
@alexandermalima6102 күн бұрын
Uko vizuri jamaa yangu tusaidiane kuwaamsha waliolala
@JoyceKabula-in1sh2 сағат бұрын
🎉cheka kidogo nione wako mwanya umenikumbusha mbali sana dudu baya bigup kwako
@ascot.receptionКүн бұрын
I'm a kenyan and I do agree to this guy.Us here in kenya,we are fully sensitized about our rights as citizens.Even when our stupid president is lying tutamwambia openly,pole unatudanganya.Tanzania tunawaomba mtafute wakati and fight for true democracy.
@AbduellHiyesa-wk8dl2 күн бұрын
Its true brother from Tz tell them to know there right ✅️
@emanuelkidali9733Күн бұрын
Aiseee upo vzr Sana kamanda sie bongo Bado sana na hatujui haki zetu
@ApolloOrao2 күн бұрын
Safi sana Dudu .. huku kwetu elimu huru na inshallah Mungu atatunusuru kwa kila shari kenya.
@SilvanosOndele2 күн бұрын
That's true am from Kenya we know our rights pass the message
@Gladtv-x1mКүн бұрын
Very tru dudu unaielewa kenya vizuru msanii
@tatizojoseph87022 күн бұрын
Dudu baya uko sahihi sana !! Kweli kabisa dudu baya nimekuelewa kabisa!! Big up brother!! Kenya ni Nchi pekee yenye siasa ngumu duniani!!
@user-km8qt2dy8s2 күн бұрын
True. I'm in Kenya and i support you.
@BavarianBlackGirl-vd2go2 күн бұрын
Well said RUTO MUST GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO mwizi
@tida37272 күн бұрын
@@BavarianBlackGirl-vd2go mwizi na mwadamanaji anaingia kwa duka LA MTU anapora anatoka hapo anachoma gari LA MTU na ni LA mkopo labda.. Tofauti ya Huyo na Ruto ni gani sasa?!.
@charlesmusyoka5890Күн бұрын
Mtuache sisi wakenya tung'oe Ruto kwenye ikulu kwanza. Tutafika TZ baadaye tuwafunze katiba.
@husseinally66992 күн бұрын
Tanzania kwa sasa wengi hawasomi chuo wanaishia form six kwa sababu ya karo hawana
@ghaniyaebrahim15936 сағат бұрын
That is very true you really know what 🇰🇪 is l agree with you 100%
@linusbundi17422 күн бұрын
Following frm kenya 🇰🇪
@elizabethwanjiru95022 күн бұрын
Am proud to be a kenyan kile naomba ni amani kwa inchi na mnatuelewa sana
@ApostleDanielAbukuse2 күн бұрын
napenda this conversation, listening from Nairobi capital city
@Princessmanu13662 күн бұрын
😂😂😂😂Kenya my best mother land 🎉🎉🎉proud to be a kenyan
@dickisoniryoba3989Күн бұрын
Umeongea sana kaka dudu ..tz ..bado tumelala usingiz mzito ndomana viongoz wanatuamulia ..kila kitu ....sukali tununue ekfu 10 kwa kilo sawa tu Petroli tununue 5000 lita sawa ....sisituko busy na yanga .na simba ...😂😂😂😂ila tz 😂😂
@CharlesJackmushiКүн бұрын
Uhuru una gharama zake, , , , mwanadamu asipowekewa mipaka ya maisha ni vurugu, , , , ,
@sieundanyandika20 сағат бұрын
@@CharlesJackmushi hiyo mipaka yafaa kuwa katiba nzuri Kama ya Kenya.
@user-ml6cc7td1xКүн бұрын
dudu baya big up umesema kweli
@Sity-zo6hf2 күн бұрын
Nakukubali mtu wngu❤❤❤Dudu baya uko juu
@IvanWycliff-y9i8 сағат бұрын
kabisaa our brothers from TZ✊
@TrizahBahati-ey4uu2 күн бұрын
Am proud Kenyan..we are the voice
@teedullah57082 күн бұрын
Njoo Kenya dudu 🇰🇪
@user-vm6kj2zx6pКүн бұрын
Sisi Kenya Kila kukicha akili inaongezeka,,ss tunasoma Kila cku😂😂,sio lazima twende shule,akili ya kuzaliwa tunayo😂😂
@Gamba1772 күн бұрын
Watanzania wote maiti hawana ujanja watakandamizwa mpaka kiyama, Mwigulu karibu ataleta kodi ya kujamba
@user-cq6hv7wl2qКүн бұрын
@@Gamba177 maiti niwewe nyau
@Rebeccah-nz7bq2 күн бұрын
I salute you with respect 🫡🫡🫡, ni kweli haki yetu twaijua, hadi Katiba tunazo hata watoto wanasoma, so kila mtu Kenya Anajua haki yake
@user-cq6hv7wl2q2 күн бұрын
Kwendeni kwa ujuaji sasa wakenya wabishi kama ngozi ya ,,au basi
@stephenjuma65732 күн бұрын
Very true that's what's happening in Kenya
@jedidahbintidaudi82412 күн бұрын
yaani huyu dudu-baya 😅😅 hya baba. Mungu akubariki..tuombee sie watanzania. Ila Mungu awafunike jirani yetu Kenya..
@feswal226 сағат бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂😂😂😂 Kenya, tunajielewa hakuna kulala
@user-he3nz6gt3d16 сағат бұрын
🇰🇪Sisi tutapambana mpaka tupate hki yetu🇰🇪Tumechoka kunyanyaswa sisi so tunao unyounyo mpaka watii amri yetu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@julietwambigifhorn34052 күн бұрын
Asante sana kwa complementary brother Dudu..hivio ndio tuko Sisi hapa Kenya 🇰🇪 Tuko macho😂😂😂💪💪🔥🔥🔥..
@rodgersmuyechi51022 күн бұрын
Dudu mbaya anajua siasa za Kenya 🌹🌹
@johnmotheproject87192 күн бұрын
Dudu umesema ukweli ss kenya kila kitu serkali ili ifanye lazima tukipige msasa
@gideonngwebeКүн бұрын
Dudu kumbe yup vzr
@vavekid2 күн бұрын
Am a Kenyan I support your words and respect
@hashimchaoga95662 күн бұрын
Huyo haijui Kenya vizuri katika mambo ya elimu. Kenya hawafuati chama wanafuata mtu .Ni nzuri sio kama kwingine mtu chama ndio kinamsaidia kushinda mwenyewe hajiwezi
@user-rw5jl9qp6yКүн бұрын
Dudu Afafanua Vizuri Watanzania Mkenii
@valerineval32334 сағат бұрын
Big up kenyans mkenya hapendi ujinga
@Meaw6872 күн бұрын
Nikweli kabasi kenya wamesoma they know there Rights
@fabtechadventures12502 күн бұрын
Very true, we know it
@lilianndunge22922 күн бұрын
I'm from Kenyan my brother that is true 😂😂😂😂😂😂😂😂
@claudmwasi432 күн бұрын
Dudu baya yuko sawa anaielewa siasa ya Kenya
@aumaawuor7748Күн бұрын
Kweli kabisa most of Kenyans are learned , madigiree madigiree
@tunzaahmad278Күн бұрын
Tanzania ni inchi tofauti sana hapa Africa mashariki yenye nguvu na nidhamu kutoka kwenye uongoz wake na hata raiya wake Sasa mnapo zungumzia kenya msifananishe na Tanzania. Amani na mshikamano ndio moto wa taifa letu. Kenya msiitaje jiholela Tanzania. Amani ndio msingi wa inchi. Wakenya ondoeni tofauti zenu kwa amani.
@MichaelmotikaLaiser-dl6wmКүн бұрын
@tunzaahmad278 KATIBA YA 1977 ALAFU UNASEMA AMANI DO YOU REALY KNOW YOUR POSITION THINK POSITIVE!!
@user-pe1qv1sn5p5 сағат бұрын
tanzania mashallah magumu kwa.wananchi lakini.wengine nikuvimba matumbo . tu na.familia zao . safari haziishi.kazi kuuza . sura tu.bs.
@user-wk2bg8zf3l2 күн бұрын
MUNGU IBARIKI TANZANIA ,AMANI IENDELEE
@joycelinelyimo-fenske87452 күн бұрын
Mungu ibariki Tanzania. Akili nyingi huondoa maarifa. Ndio maana wakenya wote ni wakora. Kuanzia nusery school mpaka University. Mama mboga mpaka president. Acha tu na ujinga wetu. Sasa mbona nchi yao ni broke. Watanzania bado hatujafikia huko. Na wala hatutafika huko kamwe.
@user-cq6hv7wl2q2 күн бұрын
@@joycelinelyimo-fenske8745 Mungu atuepushe Tz toka enzi za ukoroni hatujawahi taka ujinga tena utawale kwetu Alhamdulillah
@stephenmwaniki2803Күн бұрын
@@joycelinelyimo-fenske8745 punguza jazmba uishi miaka mingi
@simonibonifasi31312 күн бұрын
Umeongea ukweli mtupu dudubaya nimekubali sisi tanzania tumenyimwa elimu ndomaana hatujui hakizetu
@HajiKlein-so1rk2 күн бұрын
We choko tu nenda kaishi Kenya pia usifosi tufanane 🇹🇿🇹🇿🌹
@FridayMwassa2 күн бұрын
Huwezi kufanana na wakenya hata siku moja,
@joycelinelyimo-fenske87452 күн бұрын
@@FridayMwassa Asante Mungu kwamba hatutakaa tufanane na Wakenya. Mungu endelea kuibariki Tanzania. Ila Mungu wasaudie majiranu zetu kwenye hichi kipindi kigumu.
@stephenmwaniki2803Күн бұрын
@@joycelinelyimo-fenske8745 but ata tukifanana sioni shinda mbona Kuna ndogo flani tunafahamiana nayeye wa bongo na hananga ishu jamaa anaelewana na Kila mtu Yani Ako vizuri tusikumbari kuchonganishwa na mambo yenye Haina maana
@ChadAliKE14 сағат бұрын
Tanzania is also doing well and growing gradually. The difference we have is education system and economic hub. Cost of living is unbeatable. One day Kenya tutarudi nyuma tukiendelea na siasa duni. Asanti
@ko3053Күн бұрын
Tanzania is a real Nation State. Keep up your Unity and Non TRIBAL nature. Your country is in a good place under a clear leadership philosophy. Hio elimu ya Wakenya inayo zungumzwa hapa - INA FAIDA GANI ikiwa UKABILA TELE na Daamu kumwagika kila siku?
@pamelashikhule94432 күн бұрын
Very true brother 👏👏👏👏👏👏👏
@user-sr7dv3mu6g2 күн бұрын
Dudu baya unaelewa kweli siasa yetu asante
@lucylight93412 күн бұрын
Umenena ingawaje nahofia jinsi wakenya tumesoma sana but twafanya kazi ya vibarua kweli hakuna kazi but anything to do with law kika mkenya ni msomi. Hatudanganyiki virahisi . Shinda kubwa iko hapa sasa wen every one is educated then the leaders cant do anything the way they want sababu walio chini wanaelewa wanafinyiliwa. Heli wanjinga kwingine at least .but we thank God 🙏 alitupea hekima tu. Hope hivi vita vitakoma siku moja . Wakenya hooooeeeee👊💪💪
@gloriaamase9764Күн бұрын
Mimi ni Mkenya acha nicheke🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ErickMkangula2 күн бұрын
Ilove Tanzania
@robinsm18502 күн бұрын
He is right
@elizabethsiolole3551Күн бұрын
Umeongea kweli, wanaiji ndiyo serekali na serekali ndiyo watumishi hapa Kenya 🇰🇪
@jenniferlicko47362 күн бұрын
Kenyaaaan people where are you come here Tanzanian 🇹🇿 talking about gez 😁😁 guys let's countinue to get z team 😁😁😁😁🇰🇪🇰🇪🇰🇪 sisi wakenya hatutaaki kuonewa alaaaaa 😂😂😂😂
@MagretMakokhaКүн бұрын
But in every thing peace is important than anything else
@michellemachiso4089Күн бұрын
This dude is sharp upstairs
@kashiririrkaasongwisye94872 күн бұрын
Your so clever dudu kweli wewe ni dudu! Afu mbaya!
@ericfelician79962 күн бұрын
Hahahaha,ni kweli tupo nyuma watanzania hatujui mambo mengi
@charlzmboya2 күн бұрын
Yaani hua ckuzote nilikua nakuelewa kwa mbaaali ila Leo nimetambua umuhimu wa mazungumzo yko
@KevinNyongesa-qh2ts2 сағат бұрын
Very tru dudu 😅😅❤❤
@kingngojeaКүн бұрын
Kwer uricho sema kabisa dudubaya elim apa bongo ndio tatizo
@JabamanJeve2015Күн бұрын
Sisi kwetu tuko mandugu kumi naTano. Tukiwa kumi tumemaliza UNI. Na sisi ni wakenya Wasomali
@jedidahbintidaudi8241Күн бұрын
President Samia Suluhu Hassan - Tanzania akiwa na President Samoei Ruto - Kenya..hawa wawili walikuw Manaibu Rais..ni wapambanaji sana. mie nawakubali kweli Marais hawa. tuwaombee Mungu Awapatie Hekima ya kuongoza nchi zao...Kenya Jirani oyeeee!!! Tanzania Oyeee!! Uganda/Sudan/Rwanda/Burundi Safiiiii!!!!
@rodgersmuyechi51022 күн бұрын
Kenya n inchi ya wajaja viogozi n wakora,kubuka hustlers vs dynasty na yenye Yana fanyika sahi,katiba yetu Ina ruhusu serikali kuwajibika,Kama sahi Kuna Vita Kenya wabuge Wana pitisha bill ambazo zina tugandamiza,ndo tunasema #ruto must go
@4custaywithmeКүн бұрын
SPICE FM SIKIZA TU YALE MAZUNGUMZO YAMO HUMU UTAJUA HUYU MSANII ANASEMA NINI.
@claudmwasi432 күн бұрын
Ahsante sana namkubali ndungiyangu dudu baya kuwamaasisha ndungizetu watanzania kuhusu Kenya
@bhaijanali5092Күн бұрын
Leo umeongea point
@fabtechadventures12502 күн бұрын
#Huyu ni mkenya come home bro
@saulimmbaga.safisana9556Күн бұрын
Uko vizuri sana
@sarahsitati3440Күн бұрын
You're right
@AquinoChogo2 күн бұрын
All Kenyans let's gather here
@deniccgabriel61532 күн бұрын
😂😂😂😂nakukubali sana Mr Dudubaya pia naunga mkono wakenya 😅😅