mm ni kocha pia nawakumbusha makocha wwnzangu wafundshen Bondia wenu *KUPIGWA* pia Madhara ya bondia kutrain kupiga tu , akiingia uringoni akipigwa punch moja tu anasahau yote haya! kila kitu kinafeli • power inafel •pumz inafeli •Stamina inafeli •Akili inafel kwann....? kwasababu haku train kupigwa!