🔴

  Рет қаралды 12,181

Haki TV

Haki TV

Күн бұрын

#tanzania #haki #report
Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu-Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.
Tumsime mwenye umri wa miaka 21 amekiri kufanyiwa kitenfo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.
Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.

Пікірлер: 82
@lubatikoseme9412
@lubatikoseme9412 26 күн бұрын
Viongozi wengi wazinzi. Inaenda kuonana nao wa nini kwa huo umri wa 21. Tamaa mbaya wadogo zetu. Someni, mjitegemee
@paull8659
@paull8659 26 күн бұрын
sema wafiraji, wazinzi ni sisi wote tu
@verroallex9144
@verroallex9144 26 күн бұрын
Uzinzi unashusha sana hadhi ya mtu. This girl anamuita Mh kwa Jina lake. Ukute ana mke nyumbani anamuheshimu tu halafu bint mdogo anamuita kwa jina lake🤣 kisa tu uzinzi. Pole sana binti. Pole sana
@Boka-cf3re
@Boka-cf3re 26 күн бұрын
Walikua wapenzi eti dah 😂
@allymohamedclaud7626
@allymohamedclaud7626 26 күн бұрын
Mkuu wa mkoa wa mwanza anajipalia makaa aachane na hili suala
@harsoshelezi4658
@harsoshelezi4658 26 күн бұрын
Wanatafuta kupata pesa , kwanini mama asikasirishwe na tabia mwanae kufanya ngono kabla ya ndoa? Jee, siokwamba aliahidiwa kuolewa au kupatiwa jambo alilokuwa analitaka mfano ajira? Hili la liwati ni muendelezo wa uzoefu. Mtoto, bint aliye lelewa vema hawezi kuitwa na mwanaume usiku na akaamua kwenda.
@lukankya7220
@lukankya7220 26 күн бұрын
Tukiweka suala la kulawitiwa pembeni: Kuna haja ya kuiangalia upya elimu yetu...na sisi kama wazazi na jamii kwa ujumla tuna kazi kubwa ya kufanya ili kuhakikisha watoto wetu wanakua na basics za kujieleza, ama kueleza jambo kwa ufasaha. Huyu ni binti aliekaa darasani miaka 14 lakini hivi ndivyo anavyojieleza. Hii mizaha katika mambo ya msingi ita-cost sana huko tuendako.
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 26 күн бұрын
Hujui siku? Cm yako haijui kusoma nyakati?? Calls!! Hapo unajichora2', Hapo hakuna. Kesi . Tambua kusoma alama za nyakati, kwan Kuna Makonda hapo??? Kwan ndy kesi ya kwanza ya Aina hii
@SimonKatawa
@SimonKatawa 26 күн бұрын
Si wangemfunika kuliko kumuanika hivi
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 16 күн бұрын
Unamfunika malaya kwa sababu zipi.
@mariamsaid7603
@mariamsaid7603 26 күн бұрын
Tutafute hela watoto wetu wasiingie kwenye vishawishi km hivi kwa kigezo cha umaskini
@elijahmwakilindi4536
@elijahmwakilindi4536 26 күн бұрын
Haka ni kamalaya tu na hii ni set up. Akamalizane na mpenzi wake Huko Huko.
@alfredkatuma426
@alfredkatuma426 26 күн бұрын
Sema huyu dada ni muhuni mzoefu
@rhodamshana1794
@rhodamshana1794 26 күн бұрын
Vingereza vingi 😅😅😅
@abdulrahmanhusseinsalim4404
@abdulrahmanhusseinsalim4404 25 күн бұрын
Tumekuwa watumwa wa lugha miaka mingi
@deodatusnabaku6255
@deodatusnabaku6255 26 күн бұрын
Barua umecopy ety hujui ni kitu gn unacopy?mwanachuo huyo😂huenda mh ana makosa lkn siasa usitumike!
@Salisalum
@Salisalum 26 күн бұрын
Ushahidi umebana sana. Ila Mkuu wa mkoa wa Mwanza bado yuko ofsini?
@marthajuma8411
@marthajuma8411 26 күн бұрын
Mmmh ,nawe binti yangu unahitaji mabadiliko maana kwa umri huu afu unatembea na waume za watu wenye umri Sawa na babako duuuh.Ila pole kama na yeye pia alifanya hivyo Mungu wake yupo maana hapo ana mke wake anayemheshimu mtu lakini anaenda kukimbia kimbia na watoto kama hivi hatari
@ntegrity277
@ntegrity277 13 күн бұрын
Wewe ni malaya tu tena utakuja kufa vibaya sana
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 25 күн бұрын
Pesa mbaya mama kabadilika faaasta eti mwanangu futa kesi. Si mchezo. Pesa ina nguvu sana.😅 Ila Polisi wamefanya kazi yao vizuri sana. Hingera kwao.
@sambulugu9988
@sambulugu9988 25 күн бұрын
Hii issue angekuwa Mtanda ni Makonda nchi nzima ingepiga kelele!
@Planet_Zong
@Planet_Zong 26 күн бұрын
Huyu mtoto huyu😊😊😊😊😊😊
@musason1680
@musason1680 26 күн бұрын
Balaa juu ya balaa 🙌
@josephmwamu6314
@josephmwamu6314 26 күн бұрын
Duuu uhuu mchongo ni mkubwa sana 😂😂
@chw2009
@chw2009 26 күн бұрын
Tutumie sana lugha yetu ya kiswahili kuliko kuchanganya lugha
@Planet_Zong
@Planet_Zong 26 күн бұрын
Na naona kazungukwa na mazungu hapo take your time eeeeh
@ChoroTesla
@ChoroTesla 26 күн бұрын
Sasa ulitaka azungukwe na nani.
@nathanpangjanda2734
@nathanpangjanda2734 25 күн бұрын
Duu hii sinema tena nzuri
@vaneddie418
@vaneddie418 26 күн бұрын
Sheria ifate mkondo sasa
@dr.mgungo1429
@dr.mgungo1429 25 күн бұрын
Hiki kiingereza 😂 alifaulu vipi advance huyu
@taperecyclingtanzania7827
@taperecyclingtanzania7827 26 күн бұрын
Huyu binti alishawahi kuwa na kesi kama hiyo alivyokuwa Secondary ni tabia yake kuingia kwenye mahusiano na kisha kutengeneza kesi ni kama huwa anatega mitego
@masalumichael5147
@masalumichael5147 26 күн бұрын
Hadi ungekua umef!rwa wewe ndio ungekua na haki ya kuchangia
@gervasmwijage8657
@gervasmwijage8657 26 күн бұрын
Unakuta kitambo ​@@masalumichael5147
@allymohamedclaud7626
@allymohamedclaud7626 26 күн бұрын
Kabisaaa watu wanashindwa kuelewa kosa hapo asingemfira yasingekuwepo haya
@Josephineexsuper
@Josephineexsuper 25 күн бұрын
Akiwa secondary hakutengeneza kesi, Bali alitoroka Ili aolewe, alikuwa under18, so serikali ndo ilifungua kesi dhidi ya yule bodaboda...jua hata mkeo hapo nyumbani ukimlawiti ni kosa na akishtaki utachukuliwa HATUA....kosa hapa ni ulawiti
@masalumichael5147
@masalumichael5147 25 күн бұрын
@@allymohamedclaud7626 wanachoshindwa kuelewa ni kwamba haijalishi dada alipewa au hakupewa pesa baada ya kitendo hicho. Kulingana na Sheria za nchi yetu kumuingilia mtu kinyume na maumbile ni kinyume na Sheria na ikibainika lazma hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yako, period
@HebronWilliam-wr3sx
@HebronWilliam-wr3sx 22 күн бұрын
Huo niukatili MKUU wamkoa kabisa Hahahhh hapo mulikutana wote njaaatu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 pole Sana mbingu hamutaiona pongezi saan kwa police mwanza kwakazinzur bna ilahao wanajuwana na wataowana hapo hakunachuo kashaliwa tayar
@joelmwaitege2121
@joelmwaitege2121 26 күн бұрын
Hapa ushahidi mkubwa uko kwenye kampuni za simu kuhusu mazungumzo kati ya hao wakuu wa mikoa,PERIOD.
@kingsman1713
@kingsman1713 22 күн бұрын
Oi mngemfunika uso kwa dot nyeusi au blur. Hivi ni kumdharirisha huyo msichana.
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 16 күн бұрын
Una mzalilisha kivip anakuambia alikuwa mpenzi wake miaka 21 unatembea na mzee kama huyo na hauogopi hii nchi uhuru umezidi.
@kingsman1713
@kingsman1713 15 күн бұрын
@@isaacmwaseba9972 Kitendo cha huyo msichana kulala na mzee kama yule hakuondoi maana ya udharirishaji na hakuondoi ulazima wa kumfunika uso .
@mmewaswida
@mmewaswida 25 күн бұрын
Yesu anaokoa. Itakusaidia.
@harsoshelezi4658
@harsoshelezi4658 26 күн бұрын
Kama alikuwa mtu wake maana yake malaya mwenzake, kwanini muanzie kwenye kulawiti mkaacha ufuska uliopelekea huko. Hata anavyoongea sio mgeni wa jambo hilo. Makahaba wenyewe hua wanafichficha uso japo kidogo lakini huyu macho makavu kabisa, sio mgeni kabisa. Katika ubepari hili sio tatizo bali media ndio wanalikuza maana huyu ilipasa awe mke wamtu ila mtasema ni mwanafunzi kwa ndoa bado lakini ngono ni ruhusa, sio tatizo
@ChoroTesla
@ChoroTesla 26 күн бұрын
Unajua kumuingilia kinyume na maumbile ni nyuma ya kisheria.
@HebronWilliam-wr3sx
@HebronWilliam-wr3sx 22 күн бұрын
Wanachuo mpunguze njaa Wabeba mizgo munawavungia munatafuta wenye Lange mtalubar mpungnz njaa njaaa
@issampologomy1286
@issampologomy1286 25 күн бұрын
Kwanini mnarekodi na kuweka sura yake hadharani? Hapa hamumpiganii bali mmepania kumdhalilisha, mnakosea sana akina Ngurumo hata kama hela za wazungu tamu basi tulinde utu wa mtu, mngemuhoji kwa kuficha sura yake
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 15 күн бұрын
Huyo mzoefu wa miaka mingi sana ni mpenzi wake jiulize walikutana wapi na mkuu wa mkoa.
@nyotaphina8167
@nyotaphina8167 24 күн бұрын
Kumbe mlikuwa na mahusiano!!! Mhh we mtoto
@KimAsia-ec5yp
@KimAsia-ec5yp 17 күн бұрын
We mzoefu unaonekana
@philipombwambo1980
@philipombwambo1980 26 күн бұрын
Yaan hapo mashaka ni mengi kuliko wasiwasi
@ntegrity277
@ntegrity277 13 күн бұрын
UKAHABA TU UTAKUFIKISHA PABAYA
@junesyatera9923
@junesyatera9923 26 күн бұрын
Wazazi wako wanahali gani wakiona hii😢
@denisdeusdedith5849
@denisdeusdedith5849 25 күн бұрын
Hii ni malaya experienced
@blackpanther4825
@blackpanther4825 26 күн бұрын
Aongee Kiswahili..Kiingereza kigumu
@joycekija6245
@joycekija6245 26 күн бұрын
Ni wivu tu😅😅😅 kani wi kamu tu miti?
@abdulrahmanhusseinsalim4404
@abdulrahmanhusseinsalim4404 25 күн бұрын
Ni kasumba tu, kuona akiongea kuswakinge ataonekana msomi, badala ya kuongea kiswahili anachokifahamu vizuri. Tumetawaliwa hata kifikra
@MichaelMwasese
@MichaelMwasese 21 күн бұрын
Wewe kitoto huogopi wazee chuo hkunawenzio,mmefanya mradi arafu kizoefu ,siunaiona ten ml ,ulikua unamuzia nn kwanini we namaako.mpoke mpunga mmemaliza mnaanza,kwani mkemwenzio nawatoto ake hawali ila Mungu anawaona aya
@mwesigwamichael2843
@mwesigwamichael2843 26 күн бұрын
Kwa nn anaongea huku anafunga macho?
@gervasmwijage8657
@gervasmwijage8657 26 күн бұрын
Bdo utakua umeachia haujafunga
@mwesigwamichael2843
@mwesigwamichael2843 26 күн бұрын
@@gervasmwijage8657 ... Kyoma huyu Dada sehemu aliyobakwa, ni kama usikie mwanafunzi wa UDSM, amebakwa nje ya Club Ambiance pale sinza au kitambaa cheupe sinza.
@HebronWilliam-wr3sx
@HebronWilliam-wr3sx 22 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 unatafuta umarufu au munatafuta umarufu mh kabisa dah doro hiziban sio wavuvitu MKUU jamn hhhhhh😂😂😂😂😂 pole sauti chuo
@HebronWilliam-wr3sx
@HebronWilliam-wr3sx 22 күн бұрын
Pole
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 21 күн бұрын
Visichana siku hizi vikienda Chuo ni Umalaya tu Umalaya yaani vimalaya .Wazazi tunawasomesha ili muweze kuwa wazazi bora wa baadaye...kama haka kana mbaba huyu kwa miezi sita ,eti leo umebakwa miezi sita iliyopita walikuwa wanakubaliana ?sasa kama ni mtu wako asikubake miezi sita yote ubakwe leo?
@SwaumuMzindawa
@SwaumuMzindawa 26 күн бұрын
Hii ndio dawa ya wanaume wazinzi na walawiti
@Planet_Zong
@Planet_Zong 26 күн бұрын
How I will be escape there
@blackpanther4825
@blackpanther4825 26 күн бұрын
Hahaha
@joycekija6245
@joycekija6245 26 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅
@elchapojr638
@elchapojr638 25 күн бұрын
Ts too sad
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 21 күн бұрын
Huyu bint apewe mauayake asante shujaa maana mwingine qngelificha hili tatito
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 15 күн бұрын
Malaya ana ushujaa gani ?
@josenyambeo3587
@josenyambeo3587 20 күн бұрын
Ww mdada funika kombe mwana haramu apite.
@abdulsalum2852
@abdulsalum2852 25 күн бұрын
haya nimaigizo kwakweli
@paull8659
@paull8659 26 күн бұрын
CCM wanapenda vya nyuma sana, hata yule Geku wa Manyara hana "mboo" ikibidi achukue chupa amuingizie yule kijana wa kiumme matakoni. Mpaka leo yuko huru pia, anawekewa kifua na mama Samia na walawiti wenzake maccm. Haya majitu tuyaondoe madarakani.
@shld7508
@shld7508 26 күн бұрын
😂😂😂
@ntegrity277
@ntegrity277 13 күн бұрын
Wewe ni stupid harlot hata sauti yako inaonyesha umalaya! Mwanafunzi unalalwa na kila mtu
@deodatusnabaku6255
@deodatusnabaku6255 26 күн бұрын
Kufungua mlango hukuweza?milango ilifungwa kwa kofuli nin😂umeamua tu kumwaribia Mh maana ungeweza kumkwepa vzr tu
@denissnkya5891
@denissnkya5891 26 күн бұрын
Fikiria tena... Inategemea ni lock za aina gani. Hizi gari nyingi za kisasa zinaweza kuwa na central lock ambayo iko kwa driver...
@alloycemillinga1673
@alloycemillinga1673 26 күн бұрын
​@@denissnkya5891 Anafikir kila gar Ni manual
@gervasmwijage8657
@gervasmwijage8657 26 күн бұрын
​@@denissnkya5891central lock ata ukiweka unafungua....Yeye alifuata nini kwa mbaba kama uyo.
@ChoroTesla
@ChoroTesla 26 күн бұрын
​@@denissnkya5891unabishana na mtu hana hata gari.
@Waberoya
@Waberoya 24 күн бұрын
​@@denissnkya5891angekuwa na Nia ya kutoka angetoka
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,1 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 29 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,1 МЛН