No video

HAMIS KIGGUNDU: BILIONEA MDOGO MWENYE UTAJIRI WA KUTISHA ALIYEANZIA KUUZA MITUMBA | THE BRAIN FOOD

  Рет қаралды 164,185

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

HAMIS KIGGUNDU: BILIONEA MDOGO MWENYE UTAJIRI WA KUTISHA ALIYEANZIA KUUZA MITUMBA | THE BRAIN FOOD...
#THEBRAINFOOD #THEBRAINFOOD #THEBRAINFOOD #THEBRAINFOOD
#CREDITS: Wode Maya
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 199
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@wasafimedia5399
@wasafimedia5399 Жыл бұрын
Wezi wengi asaiv
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Naombea watu wafanikiwe Ila nikimuona mtu mwenye Ngozi kama yangu amefanikiwa huwa namuunga mkono na kumuomba Mungu amzidishie Maana rangi nyingine wanaombeana saana na wanasaidiana
@johnstephano6486
@johnstephano6486 Жыл бұрын
Umenena vyema
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 Жыл бұрын
Ɛ Ɛ
@super_boy_tz
@super_boy_tz Жыл бұрын
Acha uwongo😊
@cmantz8837
@cmantz8837 Жыл бұрын
Naombaa uniombee sana sana nifanikiwe
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 Жыл бұрын
Fikira fupi
@aceofspades3728
@aceofspades3728 Жыл бұрын
Siku moja lazima na Mimi nifanikiwe💪...we need more of this constructive documentaries!
@aishakambenga6191
@aishakambenga6191 Жыл бұрын
Sijawahi tamani cha M2 lakin leo nimetamani maisha ya HAM,Mungu nipe na Mimi 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 Жыл бұрын
Allahumma aamin
@nelsonjonathan7660
@nelsonjonathan7660 Жыл бұрын
Makala kama hizi ni nzuri sana zinatuongezea juhudi ya kupambana asante sana
@hdjirungakashililika7538
@hdjirungakashililika7538 Жыл бұрын
Nimependa unavyo Ainisha mambo, _mana unaamsha hisia zilizopo ndani yangu_ *Kikubwa ni kufanya kazi kwa malengo na kuwa wabunifu*❤
@user-vu7mx9th3o
@user-vu7mx9th3o Жыл бұрын
Yaarb mie alien shinda maisha ni yule mwenye Mwisho MWEMA binadamu wote tuko sawa Masha'Allahah tumshukuru Muumba wa Mbingu na Ardh vitu hutafutwa na kwa muda mrefu na huweza kupotea ndan ya Dakika anae toa hai kwenye maut na anae toa maut kwenye hai n Muumba wa Mbigu na Ardh hapo ndo utajua binadam wote tuko sawa chochote hutokea muda wowote
@AhmedAli-uh2ft
@AhmedAli-uh2ft Жыл бұрын
I lov u muslim❤
@user-vu7mx9th3o
@user-vu7mx9th3o Жыл бұрын
@@AhmedAli-uh2ft Alhamdullah kwa Neema ya kua Waislamu
@husseinmtima6106
@husseinmtima6106 Жыл бұрын
Maashalaah uko sahihiii
@user-vu7mx9th3o
@user-vu7mx9th3o Жыл бұрын
@@husseinmtima6106 Allah atuepushe chochote kile ambacho utanunua kwa pesa bas hyo kitu siyo ghali ni rahis matajir wangekua tofaut na sisi tunao kula viazi mbona afya hawanunui au uhai waendelee ku enjoy Allah awatangulie wote wanao pesa ni kila kitu
@kaluluu2011
@kaluluu2011 Жыл бұрын
Mimi najiuliza maana naona hapa mnanyongo kidgo na uyu bwana khamis. Mbona waarabu Wana utajiri mkubwa mno na mambo mengi wanafanya kutoa kama hamisi lkn .HAMUWAHUSISHI NA USHIRIKINA LKN KWA HAMIS TU. OH KAMA NI KWELI CYO USHIRIKINA AENDELEE YOTE YANINI JMN. AYO NI MAMBO YAKE NA MUNGU NA CYO WANADAMU JMN.KHAAAA
@baaomaryismail3113
@baaomaryismail3113 Жыл бұрын
Maa shaa Allah Nimejifunza Kutoa ndo kila kitu
@daudifungo5521
@daudifungo5521 Жыл бұрын
BIG UP KWAKE KWAKE MUNGU HAMTUPI MJA WAKE "HARD WORK PAYS"
@dorahy1579
@dorahy1579 11 ай бұрын
Jamani saidieni maskini, wagonjwa na wasiojiweza. Hivi vyote vya nini na chumba cha kulala ni kimoja unahitaji, choo moja, kiko moja, huko watoto hawana mashule, madeski, visutubu, madawa, and the list goes on on on.
@jacklinemueni1336
@jacklinemueni1336 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde kakangu , kuwa Na Moyo wakusaidia ❤🇰🇪🇰🇪
@talhiyaibrahim1074
@talhiyaibrahim1074 Жыл бұрын
Nakupenda Sana na sauti yako mzuri tunaweza sote
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 Жыл бұрын
Mmmmmmh,kifo ni kibaya,maisha ni mafupi,mambo km haya Mungu angetupa kuishi miaka Mia 900 km akina IBRAHIMU
@marthacastory8590
@marthacastory8590 11 ай бұрын
🤣🤣
@geofreyg.mtensa4559
@geofreyg.mtensa4559 Жыл бұрын
Dalili 1 kuuubwa sana ya kuwa ww ni maskini na utakufa maskini...ni kuchukia mafanikio ya mwenzio ukishajijua roho iyo unayo, ndugu. ww mpaka unakufa ...ukiambulia ni IST tena ya kununua mkononi ilotumika, 100%
@brunotinda4810
@brunotinda4810 11 ай бұрын
Duuuh!!!!!
@NachaKing-nj7cp
@NachaKing-nj7cp 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@bestmilltz7071
@bestmilltz7071 Жыл бұрын
Kama n utajiri wakutoka kwa Mungu hongera kwake. Ila kama n wakishetani apambane tu maana dunian tunapita😂😂
@pyeremsafiri
@pyeremsafiri 4 ай бұрын
Global TV , Mr.Amin Ligonde nakubali sana sauti yako ina vidokezo vizuri aseee ,, nafuatilia sana makala unazotangaza
@user-gi6ye9fq5s
@user-gi6ye9fq5s 6 ай бұрын
Natamani mungu anipe hata billion 1🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙌🏻
@nguddajrjoseph1197
@nguddajrjoseph1197 Ай бұрын
Me nimeiona makala hii kwnye page ya Wode Maya, kabla hahaha, asante wa uhariri mzuri, tunajiifunza kitu
@khamissaid5525
@khamissaid5525 6 ай бұрын
Mungu amzidishie Umrii mrefu afya njema
@kwizeralajoie3619
@kwizeralajoie3619 Жыл бұрын
Congratulations amis 💪
@seifkulwa3346
@seifkulwa3346 5 ай бұрын
Binadamu wote Sawa kabisa, utofauti wa maisha unatokana materials gani you have induced in your brain!
@hamidakigundula8736
@hamidakigundula8736 Жыл бұрын
MaashaAllah
@SwaiSaid-ho1rs
@SwaiSaid-ho1rs Жыл бұрын
Mungu mwenyewe hadi akunyoshee mkono
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 Жыл бұрын
Masha Allah
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Жыл бұрын
Hongera sana brother Khamis...Ikiwa na mm pia niko napambana kupata riziki nami nitafikia huko tu inshaAllah. Eeee mungu nijaalie nitimize ndoto zangu.
@frankub8107
@frankub8107 Жыл бұрын
Inshaallah ❤️ from MALAWI
@frankangira7909
@frankangira7909 5 ай бұрын
Sema msimuliaji anavijembe,,! Ila big up bro umenipatia moyo wa kuendelea kupambana
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Mashalah,,mungu ambariki zaidi,,na sisi pia atubariki zaidi
@tonykidimwastv5608
@tonykidimwastv5608 Жыл бұрын
AMEE AMEE , INSHALLAH , ONE DAY YES
@nurunswebe4203
@nurunswebe4203 9 ай бұрын
Wewe huwezi kutoboa kwasababu huwa unamfira baba ako na unamtomba mama ako
@J_Pabloescobar0806
@J_Pabloescobar0806 7 ай бұрын
We mtangazaji bora sana ❤🎉
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 Жыл бұрын
Nispolike Kwa ujumbe huuu Ntakuwa na Asili ya kichawi😄
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@leonardmisalaba7946
@leonardmisalaba7946 Ай бұрын
😅😅😅😊
@king-size8114
@king-size8114 11 ай бұрын
Mashallah
@jhecfoundationtanzania2891
@jhecfoundationtanzania2891 Жыл бұрын
Mafanikio Yana siri kubwa
@hancymachibbula4355
@hancymachibbula4355 Жыл бұрын
Dah...
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Жыл бұрын
Ongera Sana mdogoangu kwa mafanikio
@MwigaKatumpula-mi3zt
@MwigaKatumpula-mi3zt Жыл бұрын
Harafu wala hana chawa kumbe kuna watu wana ishia na kuishia 👏🙌😃🏃
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
Hawa ndio matajir sio wale wanajionesha
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
​@@malak-lz6kxTanzania mtu ana hela ya kula anaitwa tajiri sasa hata maana ya tajiri inakosewa adabu
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 Жыл бұрын
​@@fahadfaraj6474Hahahaha "hata maana ya Tajiri inakosewa adabu"
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
@@mwaramimwarami1479 upuuzi sana yani leo kuna watu wanaonekana wanahela kumbe dah nahisi kina bakharesa Hua wanacheka sana
@joshuakusena707
@joshuakusena707 Жыл бұрын
Mtangazaji ni mtu wa mtwara au lindi
@edgarpius9111
@edgarpius9111 11 ай бұрын
Jamaa anayesumbuliwa yuko vizuri
@samweljamez7779
@samweljamez7779 Жыл бұрын
muwe mna acknowledge source,mnapo copy content..........!!
@ElishaMwashiuya-rz4dn
@ElishaMwashiuya-rz4dn Жыл бұрын
Eeeeee, mungu nikumbuke NISAMEHE kwakutamani, naomba nipe na Mimi ili nisiendelee kukukosea kwakutamani amina
@omanoman2044
@omanoman2044 5 ай бұрын
Inshaallah nasie ipo siku tutatoka
@OJAMBO
@OJAMBO 5 ай бұрын
Hongereni @global ila kama hajawaambia kuwa ni mwaajirwa wa mama janet museveni mmhoji tena
@bayernsulesh568
@bayernsulesh568 Жыл бұрын
Msimuliaji unajua kuturusha roho na kutusimanga...daah🤣🤣ooiiii weee.... iko siku ntakuwa tajiri tuu...
@wemakingdaily1462
@wemakingdaily1462 Жыл бұрын
Yaaani 😂😂😂😂
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 Жыл бұрын
Hata Tanzania wapo wenye hela Zaid ya mo lakin hawajioneshi
@saidsalum6101
@saidsalum6101 11 ай бұрын
Hapa tanzania wengi wao wanautajiri wa mafisadi
@seifkulwa3346
@seifkulwa3346 5 ай бұрын
Pesa sio utajiri, mfumo wa kukupeleka kwenye utajiri unapowekeza mashamba majumba viwanda nk ndo utajiri!
@desmond-87
@desmond-87 Жыл бұрын
Gold from Congo
@nelsonchristian1555
@nelsonchristian1555 Жыл бұрын
Kibongo bongo
@nellyhortensia2407
@nellyhortensia2407 Жыл бұрын
kapewa umepewa, period
@super_boy_tz
@super_boy_tz Жыл бұрын
Hatar sana sijui niandike nn
@marcksonmleka4908
@marcksonmleka4908 11 ай бұрын
Ni sawa nakushangaa utajiri wa RIDHIWANI KIKWETE
@seifkulwa3346
@seifkulwa3346 5 ай бұрын
Huyo sio tajiri Ni fisadi, Siasa ikibadilika tu fukara!
@ntezealoyce7043
@ntezealoyce7043 5 ай бұрын
Umenipa moyo broo kupanba one day yes
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 Жыл бұрын
Wode Maya njoo uchukue pesa zako uku 😂😂 home sweet home masaka uganda
@jaysonbosco
@jaysonbosco Жыл бұрын
Alaali asooke akomewo e Masaka😀
@binurusm8886
@binurusm8886 Жыл бұрын
Mwijaku Soma Hiyo, 'Hapa Ni Wapi' 😁.
@user-td3ss6nk2d
@user-td3ss6nk2d Жыл бұрын
Sasa mtu kasoma kaboja international school hiyo sini IST ya TANZANIA PALE MASAKI......afu useme kalelewa kawaida....kaboja sio ya mchezooo....huyu wakishua kitambo tu.
@leonardmisalaba7946
@leonardmisalaba7946 10 ай бұрын
Ngoja na mm nipambane one day nami watu wasimuliwe makubwa yangu!!
@user-sp2hu8lb1c
@user-sp2hu8lb1c 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Жыл бұрын
Nimecheka eti nguo zinatundikwa kwenyekamba kama zikobuchani😂😂😂😂😂
@mathiasswai7006
@mathiasswai7006 Жыл бұрын
Siku na angalia kwenye maya channel liwaza sana ,Toka magethoni,
@allyhamic1255
@allyhamic1255 Жыл бұрын
Nimempenda mtangazaji bwana weew.....
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Жыл бұрын
Anatangaza vizuri mno
@user-gi6ye9fq5s
@user-gi6ye9fq5s 6 ай бұрын
6:25 mungu tupe na sisi
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q Жыл бұрын
Asa huyo si Kigundu. Ni Mzee wa Baraka!
@deogratiussangawe5861
@deogratiussangawe5861 Жыл бұрын
Credit kwa @WODE MAYA
@khadijaramadhani5562
@khadijaramadhani5562 5 ай бұрын
Nami nimemuona
@SalimaJuma-tx8fv
@SalimaJuma-tx8fv 11 ай бұрын
Jamaa upo vzuri Kwa kusimulia
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Safi tatizo la matajiri wa bongo wamekaa kujificha na kukimbilia biashara za watu wa chini kuuza juice mandazi wanashindwa kujenga maeneo makubwa na kuyabadilisha
@SospitaKabaka
@SospitaKabaka 5 ай бұрын
Acheni uongo mabigwa wa kujifariji et mungu atanisaidia kama huyu mshkaji uongo mafanikio hayaji hiv lazima uumie dingii
@KhadijaAliMohd-rn6mn
@KhadijaAliMohd-rn6mn Жыл бұрын
Dooh Jamaa Kachafuka Kwa Mtonyo Kinomaaa Ana Mkwanja Mrefu Sana
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele Жыл бұрын
Mali za MUSEVENI asiwadanganye
@LaurentSikana-kh7vy
@LaurentSikana-kh7vy Жыл бұрын
@@edwardmkwelele nawewe kamuombe mseveni
@karebo_jr722
@karebo_jr722 Жыл бұрын
​@@edwardmkweleletafuta Hela acha kujidanganya😂😂😂
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Жыл бұрын
Huyu aliyeturoga kuwa ati binaadamu wote sawa ni mwalimu 😅😅😅
@johngibson3089
@johngibson3089 Жыл бұрын
Yani global tv mnamtegea wode maya?
@saidanassoro7885
@saidanassoro7885 Жыл бұрын
Diamond haiingii kabsa bado mtoto kwa ham
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Жыл бұрын
Acha kufananisha watu kapuku na wenye fedha zao😅😅😅
@fraitmgala5966
@fraitmgala5966 Жыл бұрын
😂😂😂 Bro amejenga uwanja wa dola million 89 kawapa serikali bure unaitwa nakivubo war memorial stadium
@shaffihsiraji3141
@shaffihsiraji3141 Жыл бұрын
Sio Diamond waungane na wasanii unaowataka wa hapa bongo hawaingii hapo
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz Жыл бұрын
toeni credit kwa channel ya WODE MAYA kwakutumia video clips zake, anaweza kuwa report video ikashushwa brother
@RichardMbwelwa-xk3tm
@RichardMbwelwa-xk3tm Жыл бұрын
Ana hela sawa na Dr Dre duh
@SophiaKassim-pn9wb
@SophiaKassim-pn9wb 2 ай бұрын
Binadamu ni sawa kimaumbile sio Kwa kipato usipotoshe watu
@adammodesto6626
@adammodesto6626 Жыл бұрын
Mtangazaji katisha
@user-hg4hb3ji4t
@user-hg4hb3ji4t 5 ай бұрын
😢😢😢😢
@HabibahKhalfan
@HabibahKhalfan 3 ай бұрын
Jmn na mm nijengee nyumb yakawida tuu wakae wazaziwangu
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 Жыл бұрын
Duuuuuuu
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Жыл бұрын
Sema ww huna pesa ila kuna watu wanazo pesa
@shabanilugi5858
@shabanilugi5858 Жыл бұрын
Nampa mauwa yake
@seifkulwa3346
@seifkulwa3346 5 ай бұрын
Kwa utafiti wangu mdogo hawa jamaa wanaozaliwa tarehe 1, 10, 19, 28 wengi ni matajiri sijui kwann? Mfano Bill gate 28, Elon musk 10, Aliko Dangote 10, Jack Ma 10 nk na huyu pia tarehe 10
@aimtongazakayo7906
@aimtongazakayo7906 Жыл бұрын
Mtangazaji mbona😂😂😂😂
@donkaloza6985
@donkaloza6985 Жыл бұрын
USAWA WA BINADAM UNAKAMILIKA KWENYE KIFO TU ILA MAISHA YA DUNIANI HATUWEZ KUWA SAWA ILA HATA UMILIKI KILA KITU DUNIANI LAKN UKIFA HUNA TOFAUT NA MWINGINE🙏
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Жыл бұрын
Kuijenga saikolojia juu ya mafanikio pia ni muhimu
@saimonifredi4653
@saimonifredi4653 5 ай бұрын
Mawazo ya masikini
@senseiamani4684
@senseiamani4684 Жыл бұрын
Mwamba huyu apa hamisi kigundu
@jafarimussa3694
@jafarimussa3694 5 ай бұрын
Mh kujibanza stoo
@emmanueljoseph6171
@emmanueljoseph6171 Жыл бұрын
Ila kwenye utajiri kuna siri kubwa sana,
@afyabora3207
@afyabora3207 Жыл бұрын
Ni kweli ila usifocus humo , focus kwa kujituma ufikie mbali
@jumannenyabuge83
@jumannenyabuge83 Жыл бұрын
Mbona huwazi kwenye umasikini kuna siri kubwa sana?
@geofreyg.mtensa4559
@geofreyg.mtensa4559 Жыл бұрын
Siri kubwa ni nidhamu ya pesa na watu waliokuzunguka, yaani watu wako ni wa ainga gani...? basi umemaliza ...
@emmanueljoseph6171
@emmanueljoseph6171 Жыл бұрын
Utajiri mwingine ni wa masharti mengi,si mmejionea wengi wanaua albino ili watumie viungo vyake kupata utajiri? ndo maana nilisema kwenye Utajiri kuna siri nzito ingawa si kwa wote
@seifkulwa3346
@seifkulwa3346 5 ай бұрын
Fanya research Kwanza, usiaminishwe tu kuwa kila tajiri anatoa kafara utakufa masikini !
@ThomasEmmanuel-lm3uh
@ThomasEmmanuel-lm3uh Жыл бұрын
Mwamba kajipata haswaaaaaaa
@topnotchtz8086
@topnotchtz8086 Жыл бұрын
global toeni huyu mtangazaji
@aimtongazakayo7906
@aimtongazakayo7906 Жыл бұрын
Ndomana vidole vya mikono havilingani
@AthumanSembua
@AthumanSembua 5 ай бұрын
8:50 🥴🥴
@24sportstz
@24sportstz Жыл бұрын
Nae alianzia kwenye crown na alianza chini kabisa amna anaeanza kuwa na hela haraka
@fraitmgala5966
@fraitmgala5966 Жыл бұрын
Mapambano hayana mwisho
@jeremialyati6092
@jeremialyati6092 10 ай бұрын
Amini LIKONDE mghana Mayer anakutafuta huku
@petzoojac8683
@petzoojac8683 Жыл бұрын
HUYU NARRATOR AMENIKOSHA
@hamzabathromeoh5560
@hamzabathromeoh5560 Жыл бұрын
Narrator muongo
@bayernsulesh568
@bayernsulesh568 Жыл бұрын
Kwanza kashaoa tuanzie hapo mtangazaji afu mbele ntakuomba unipatie namba zake tuu...mengine niachie mwenyewe🤣🤣🤣🤣
@rezegerezege691
@rezegerezege691 Жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 nimecheka kama Mazuri kiukweli
@bayernsulesh568
@bayernsulesh568 Жыл бұрын
@@rezegerezege691eenhe.. yani anipe namba tuuu...ntamalizana nae mwenyewe🤣🤣🤣🤣
@costantineenock5323
@costantineenock5323 Жыл бұрын
😂😂😂😂 unataka kutuletea shemeji
@bayernsulesh568
@bayernsulesh568 Жыл бұрын
@@costantineenock5323 we kwani hutaki kuwa na shemeji tajiri...Acha tuchangamkie fursa🤣🤣
@miltonmachage2462
@miltonmachage2462 Жыл бұрын
Mtangazaji unazinguaa xaaana Yan tunakusikiliza alaf unatuponda we viii ww hujui ss ndo wateja wako ww type content sio mipashoo
@EsupatLaiser
@EsupatLaiser Ай бұрын
Anatia hasira ya kupambana Wala hapondi😂😂
@zclassicfashionz1573
@zclassicfashionz1573 5 ай бұрын
Yani we acha uyu jamaaa mala nyingi nikienda Uganda lzma nione mijengo yake kila kona
@jesusbahati
@jesusbahati 2 ай бұрын
Unaongea kama mbwa 😂😂
@charlesyapuka4992
@charlesyapuka4992 Жыл бұрын
Mwambie Godlove wa TKTOK aje aone
@magretkijanga6038
@magretkijanga6038 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂za madafu
@bongomastory791
@bongomastory791 Жыл бұрын
Mpeni credit Wode Maya@Wode Maya
@shadiidinyo1657
@shadiidinyo1657 Жыл бұрын
And they present it kama vile yao🤣
@thomasardoph
@thomasardoph Жыл бұрын
Wauni hawa
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 Жыл бұрын
Huyu jamaa ameamua kutafuta kwanza...mapenzi baadae. Hiyo ndo siri ya mafanikio yake...
@gachalovetz260
@gachalovetz260 Жыл бұрын
Kaka moo ana dollar billion 2.3
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Muombee saana azid kufanikiwa
@R.Dickon
@R.Dickon Жыл бұрын
Nope! ni $ 1.5 billion
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 Жыл бұрын
Mo ana Dollar billion 1.5
@musafirbaba2100
@musafirbaba2100 Жыл бұрын
😂😂nasikitika ila nemefurahi😂
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Жыл бұрын
Wengine bongo Apo wanajita matajiri kina Godlove wanacheza na kujipakazia utajiri 😂😂😂
@ringotechnology9759
@ringotechnology9759 11 ай бұрын
😅😅😅😅😅
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 2,3 МЛН
Natengeneza Millioni Ishirini kwa Wiki - Kyando
5:35
TAHA ONLINE TV
Рет қаралды 37 М.
Hamis Kiggundu on Operation Mindset Change
59:57
Hamis Kiggundu
Рет қаралды 45 М.
PART 1: UTASHANGAZWA NA UWEKEZAJI HUU/ NG'OMBE ANAUZWA MILIONI 30
31:59
SHERIA ZA KOREA KASKAZINI ZITAKUACHA MDOMO WAZI
17:01
Global TV Online
Рет қаралды 820 М.
Ep : 5 I Jain Philosophy: An Introduction I Dr Vikas Divyakirti
3:29:27
Vikas Divyakirti
Рет қаралды 5 МЛН