HARMONIZE ATOA MACHOZI BAADA YA KUSOMEWA DUA YA ATARI NA DR SULLE JE ATAKUFA

  Рет қаралды 55,785

Mpalla Updates

Mpalla Updates

3 ай бұрын

Пікірлер: 156
@user-yv8ls6wd4w
@user-yv8ls6wd4w 3 ай бұрын
Docter sule upo juu wa mstari Allah atuwekee sheikh wetu kwa hakika tunajivunia kuwa na sheik mfono wako unaakili ya ajabu
@habogorimanaathumani6125
@habogorimanaathumani6125 3 ай бұрын
Suley endelea kazi Allah akuzidishie elimu zaidi .
@djarudihabimana3571
@djarudihabimana3571 3 ай бұрын
Docter sulle, kicwa. Mungu amupe kira anacohitaji amin
@AaWe-ze9ho
@AaWe-ze9ho 3 ай бұрын
Mashaallah allah akuthibitish dkt sule hkk unakumbusha
@MaddybeatekJabil
@MaddybeatekJabil 3 ай бұрын
Dr sule Allah akup maisha mazur archer na Dunia inshallah harmonaiz afunzwe kbx
@user-ue4fu9oo7s
@user-ue4fu9oo7s 3 ай бұрын
Huyo haminaiz atapata shida saaana hapa duniani Mungu hamuoni kama ingelikua raisi angelisha omba msamaha Fanya kazi dokta sule Mungu atakulipa ishaalla
@user-kk8zj1rf5k
@user-kk8zj1rf5k 3 ай бұрын
Dr Sulle may Allah grant you jannat firdaus lnshaAllah
@aminandurya
@aminandurya 3 ай бұрын
Allah thabarqAllah akuzidishie kauli njema InshaAllah ❤
@eddymaphy
@eddymaphy 3 ай бұрын
Aamin
@RamadhanSelemani-on1yb
@RamadhanSelemani-on1yb 3 ай бұрын
Allah akujalie Dr.sule
@eddymaphy
@eddymaphy 3 ай бұрын
Aamin
@user-sf3ys8rm5s
@user-sf3ys8rm5s 3 ай бұрын
Sema shehe sule uwondio wajibu wk mungu atakupa wepesi na mingine yakitokezea utayasema
@eddymaphy
@eddymaphy 3 ай бұрын
Aamin yarabbil'alamin
@JustinTutuki
@JustinTutuki 3 ай бұрын
Mweyez mungu akulinde dk sule
@Manjalino
@Manjalino 3 ай бұрын
Aisee dokta haemonize ni sisimizi tu kwako
@user-hz5dv2el4m
@user-hz5dv2el4m 3 ай бұрын
Doctore Sule ni maharufu zaidi ya harmonize. Haipingwi
@suleimanjokoro
@suleimanjokoro 3 ай бұрын
Allahumma aamyn 🙏🙏
@RamadhanShaban-ov8uk
@RamadhanShaban-ov8uk 3 ай бұрын
Mungu akupe nguvu uzidi kuupigania uislamu shekh inshaalah
@WardaWarda-gi2wn
@WardaWarda-gi2wn 3 ай бұрын
Masha Allah, Jazakallahul khayr ❤
@idrissansereko6403
@idrissansereko6403 3 ай бұрын
Dr Sule Allah akupe kila heri tunakupenda sana karibu kwetu Rwanda kwa mzee wetu Raisi wetu Kagame mpendwa 🎉
@IbrahimuLiinje
@IbrahimuLiinje 3 ай бұрын
Dokta sule ongera yako mana upo ktk kunyosha maelezo bila kupindisha pindisha
@issanabiswa3393
@issanabiswa3393 3 ай бұрын
Huyo anaesema DR SULLE anamzungumzia Harmonize ili awe maarufu au kutafta kiki mwenyezi mungu amsamehe na amzidishie Sheikh SULLE azidi kutuongoza katika njia iliyo nyooka🤲
@amosicommedy6917
@amosicommedy6917 3 ай бұрын
Kwa harmonize hayuko hapo dar kwann asimfate sura gan kwenye Quran inasema msilamu akikosea asemwe mitandaoni
@user-ow7hw1oy2g
@user-ow7hw1oy2g 3 ай бұрын
W chizi kwani Dr sulle alimsemanga harmonize sikuzanyuma kabla ajaongea ili la kusema mw/mungu wenda atakuwa mwanamke, mpaka w useme anatafuta kiki
@user-ko6lg9tw6w
@user-ko6lg9tw6w 3 ай бұрын
Mjinga t huyo aloongey hvo hajielew
@issanabiswa3393
@issanabiswa3393 3 ай бұрын
@@user-ow7hw1oy2g Kuna vitu vingi vya kurithi maishani,ujinga,ujeuri,hekima na vinginevyo...jiulize ulirithi kipi,kuelewa pia sio rahisi kwa mtu mwenye upungufu wa kufikiria🤔🤔🤔
@bellahally2852
@bellahally2852 3 ай бұрын
​@@amosicommedy69171qq1
@hafidhaliali9419
@hafidhaliali9419 3 ай бұрын
dr sule macho yangu yanaon kama umekata panki alafu unasema msemaji wa dini ya kiislam dah innaaa lillah wainnaa ilaihi rajiuun
@EmmyMuha
@EmmyMuha 3 ай бұрын
Haijalishi imani ya mtu tu
@user-ko6lg9tw6w
@user-ko6lg9tw6w 3 ай бұрын
Mungu akupe umr mrefuuu wenyeher na Baraka kwako Doctor sule tunakupenda Kwa ajli y ALLAH
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 3 ай бұрын
Aamiiin♥️♥️♥️
@hakizimanatatuhakizimana6186
@hakizimanatatuhakizimana6186 3 ай бұрын
Allahumma Amina
@mwanamutemi
@mwanamutemi 3 ай бұрын
Tafauti ya Popularity ya MSANII na MUHADHIRI wa dini. Wasanii hutumia njia nyingi kutafuta umaarufu bila kujali hata Mungu. Bahati ya Harmonise kama Muisilamu amepata mtu asiye jali umaarufu wowote akampa naswaha ya lile alilosema kama hakujuwa ni kosa sasa ameeleweshwa kama ni kosa. Kama amesoma dini basi atafahamu amepata naswaha na mzazi wake pia ataweza kumueleza mwanae amekosa. KAMA MUISILAMU DR SULE AMEJITOKEZA WAZI KUMPA NASWAHA WENGINE WALIWANYAMAZIA WASANII TZ SABABU WAZI WAMEPITA MIPAKA YA MUNGU KWA MTAZAMO WA DINI YA KIISLAMU
@aishaaisha4549
@aishaaisha4549 3 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu🤲🤲🤲
@pastor.frank.tmwaisemba7401
@pastor.frank.tmwaisemba7401 3 ай бұрын
Hawa watu hulingia huchawi na ushirikina Tu . Dini kwao NI kivuli cha kufanyia uganga . Mungu hawezi kuwa na machawa.na huwezi msaidia Mungu kuhukumu waja wake ninyi mmemuhukumu harmonize na kumtishia kumfanyia dua mbaya. Mungu Mwenye sifa njema hawezi kusikia dua za ubaya Kwa mja wake
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 3 ай бұрын
Kweli mzee baba masheke njaa tu wanafki na wachawi anatoa hukumu yéyé Nani?
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 3 ай бұрын
Kweli mzee baba masheke njaa tu wanafki na wachawi anatoa hukumu yéyé Nani?
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 3 ай бұрын
Wacha ujinga wewe, sisi waislamu tuna wivu na Mungu wetu.
@BibongeMuhozya
@BibongeMuhozya 3 ай бұрын
Allah akuongoze shekhe wetu na utupe darasa pale tunapoteleza
@HouseofCravings-HOC
@HouseofCravings-HOC 2 ай бұрын
Sincerely speaking God should not compare with anything else on Earth let God to God money should not drive us at all.i understand swahili even though am typing from other countries .
@emmanuelsanga9765
@emmanuelsanga9765 3 ай бұрын
Mungu akuzidishie amin
@MwanaishaMtavassy
@MwanaishaMtavassy 3 ай бұрын
Huyo juma siwajuzi tu hajui chochote masikini, Sulle rafiki yangu Allah akuongoze
@IsiakaAsouman
@IsiakaAsouman 2 ай бұрын
Nakushukuru Sana shehe mugozetu mupaka aeleweke nikokongo nanampenda armo ainsi
@ednahumazi777
@ednahumazi777 3 ай бұрын
Kwani wewe shekhe ni mungu
@user-gn2rq8sf7t
@user-gn2rq8sf7t 3 ай бұрын
SULE ❤ HARMONIZE TUKIMUOMBEA DUA ATA SIKU HAKATISHI ANAKUFA
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 3 ай бұрын
Wachawi nyinyi
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 3 ай бұрын
Sure ni kichwa na anajua.
@FabianTebeka
@FabianTebeka 3 ай бұрын
MWENYEZI MUNGU akupe nguvu sheikh wetu Dr sule nakukubali sana kwa kutetea dini yetu na ALLAH akupe maisha marefu na mazuri lakini Dr naona kama umenyoa panki au macho yangu Dr sule ila mm nitakukubali kwa kutetea dini yetu Amin 😅
@MwakaHaji94-zi4qf
@MwakaHaji94-zi4qf 3 ай бұрын
Ata mm nimeiyona hiyo ya kiduku
@NIYOKINDI
@NIYOKINDI 3 ай бұрын
docta sule ukosahih❤
@Ismailmtp888
@Ismailmtp888 3 ай бұрын
Hakika waislamu wote ni ndugu
@user-rz2ek3qw3h
@user-rz2ek3qw3h 2 ай бұрын
Sule wewe ni mchawi sio muislamu achana na maisha ya harmonize
@amosicommedy6917
@amosicommedy6917 3 ай бұрын
Dr sulle utamtangulia harmonize mtoto kakosea badala umfate umuelimishe unashauka mitandaoni who are you by the way muhaziri my foot hujui uislamu muelimishe kijana kakosea acha kutoa hukumu 😂
@iddyjm2560
@iddyjm2560 3 ай бұрын
Hapn sis cyo wachaw ilah 2namueshim San mwenye zi mung yey ndy kila ki2 kwet uwez kumtukan mung alaf ukafurahia utakuw ni mjing San muogop San mung yey ndy kila ki2 na il na mshukur doctor sule kwa ku2pa elim ya kumuogop mung na azid kufany hivy il 2elimike mfate yey utapat elimu ya kutosh
@Maerys-xm8xt
@Maerys-xm8xt 3 ай бұрын
Dr sule unaongeya point,wanaokuponda wasubiri malipo kwa Allah.
@user-kb4dk7zo1l
@user-kb4dk7zo1l 3 ай бұрын
Mwenyez mungu akuweke dr sulle
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 3 ай бұрын
DORIA INAYOFANYWA KTK NAFSI ZA WATU NA KUWEKA MAHUSIANO MAZURI NA MUNGU NI BORA ZAIDI KULIKO DORIA ZINAZOFANYWA NA BUNDUKI KATIKA MITAA❤❤😂😂 SAFI DR SULE MIMI MKRISTO LAKINI NNAKUELEWA SANA UNA AKILI NA UELEWA MWINGI SANA❤❤
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 3 ай бұрын
Umaarufu katika dini huu ndiye umaarufu nzuri daudi kuliko sehemu yoyote!
@user-xh3id9il6k
@user-xh3id9il6k 3 ай бұрын
DkT sule upo vizur kwa majibu yako .nakupenda sana unajibu vizur naomba namba yako km hutojali
@saidihamadi6110
@saidihamadi6110 3 ай бұрын
Huyo kijana ajiangalie sana ikiwa hatotubia kwa M/Mungu ajue kuzikwa kwake itakuwa shida kwake
@munic6686
@munic6686 3 ай бұрын
Dct upo sahihi sana
@user-xw9wo7nh6c
@user-xw9wo7nh6c 3 ай бұрын
doktar sule tekeleza kz yako make siku ya mwisho kila mungu atamuliza kila atamuuliza karama aliyompa ameitumiaje na kila mmoja ni mchunga mungu atamuliza alicho kichunga chapa kz mm niko nyuma yako
@user-dd7uv7yl1r
@user-dd7uv7yl1r 3 ай бұрын
Mashaallah safi Dr
@ibramakaveli1022
@ibramakaveli1022 3 ай бұрын
Sheikh sule harmonize kakufuru kasema kuwa anaona kuwa Allah ni mwanamke harmonize ni freemason ndio sababu kakufuru.ikiwa mtume Mohamed mwenyewe hakumuona Allah yy nani aseme kuwa Allah ni mwanamke.Allah atampa la umpa InshaAllah
@user-jh7is5do2f
@user-jh7is5do2f 3 ай бұрын
Mashaalah
@asiakheir8684
@asiakheir8684 3 ай бұрын
Tupo pamoja doctor sule
@shameemahmed1130
@shameemahmed1130 3 ай бұрын
DR SULEE ni maarufu dunia mzima sio eti kwa tanzania tu na kila mmoja ana muheshimu huyu sheikh Dr Sulee
@saidihamadi6110
@saidihamadi6110 3 ай бұрын
Ustadh gani yule Ustadh mchongo anaemtetea yule kijana anae mkufuru Allah, huyo kijana anatakiwa kusoma dini kwanza halafu halafu ndio ajuwe Allah ni mwanamke au ni mwanaume
@AidahAlen
@AidahAlen 3 ай бұрын
Dr sule pambana shekh
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 3 ай бұрын
Mjomba usikubali hela zake ikiwa wewe ni mumin wa sasa hela zake sio za halali afadhali usavaiv hivyo na maisha yako lakini ule chahalali chako mwenyewe muhogo dagaa na ugali vizuri utavipata peponi hakuna kufa huko
@chantalharakandi2576
@chantalharakandi2576 3 ай бұрын
Docta suley wanyooshe kabisaaa wanajirusha akili na hawajasoma dini vizuri wape makavu live hauna njaaq sheih wangu
@user-st2ig6ds3f
@user-st2ig6ds3f 3 ай бұрын
Allah akuhifadh inshallah Dr sule
@eddymaphy
@eddymaphy 3 ай бұрын
Aamin
@sadikimgaza6777
@sadikimgaza6777 3 ай бұрын
Anae sema Dr sule anatafuta kiki siyo mwislam
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 3 ай бұрын
Dr Sule nakuaminia sn,hasa wakati ule ukampa jambajamba mdandia dini kwa mbele lenyewe na lile lidandia dini lingine hayanaga mahubiri xaidi ya kuongelea waKristo.Mwampopo na lile lingine hayawexi msogekea Sule,Sule jeshi kubwa,Sikia madini hayo.
@ShantoiShantoisinekikasimu
@ShantoiShantoisinekikasimu 3 ай бұрын
🎉🎉 mtwara tunakujua vyema kabisa tunamshangaa huyu. Lana kazipata wap
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 3 ай бұрын
Dr nakukubali tangu enzi za ujana wetu .
@ruqiyanasir7141
@ruqiyanasir7141 3 ай бұрын
Nahuyo baba ake bona hatumjuwi kama ni shekhe mashekhe tunawajuwa huyu jama nimshezi naanakiburi nahicho kiburi chake ndicho kitakacho mpoza namukitaka msitake munao mteteya huyo jamaa hana ndin anaabundu viuno vya kutengeneza
@KobaAbbas
@KobaAbbas 3 ай бұрын
Ndicho kijua jamani HAMO.ametumwa naSHETAN kumtukuza mungu
@RaimamomedSaidi-wz1yu
@RaimamomedSaidi-wz1yu 3 ай бұрын
Me naona mnampa nasaha sana na kufanya mahojiano sana kwanini mnamchelewesha ngombe wakat kashafika kichinjion?
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 3 ай бұрын
Mashallah
@himnakhatib1050
@himnakhatib1050 3 ай бұрын
Jamani walimu mda mwengine tuwe wazi uyo konde hata km hajatamka hiyo kauli basi hana uislam iv jaman uislm ni vitendo ama jina.asa yule ana vitendo gani .yule ni kefir bwana moja kwa moja.
@user-nx4eg7sf8u
@user-nx4eg7sf8u 3 ай бұрын
Safi sana dr, yule dudu baya ni lijizi tu kama majizi wengine na siku ya kifo chake atakwenda motoni kwanza tu anamshirikisha nabii Issa kua ni mkristo na hiyo ni kosa, kama dudu baya hajasilimu basi ni kuni ya motoni.
@sultanaswaleh7813
@sultanaswaleh7813 3 ай бұрын
DR SULE . FANYA KAZI YA ALLAH !, WAFUUZIE HAO WANAFIK. MIMI NAKUFWATILIA SANA . FROM🇰🇪 ALLAH ! AKUHFADHWI 🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️💕💕💕
@fabienuwimana9559
@fabienuwimana9559 3 ай бұрын
Kweli kabisa
@Josephmalack
@Josephmalack 3 ай бұрын
binadamu niwanafiki 2 hiyo ni kiki konde achana nae
@jumanayopa
@jumanayopa 3 ай бұрын
Yaani harmo kapata elim ya kuunga unga ndiyo inampa kibri.sasa anasema hata yy baba yake shehe inamaana baba yake ndyo kamtuma amtukane mungu .acha ujinga harmo
@user-pg2pe6ye4i
@user-pg2pe6ye4i 3 ай бұрын
Uyu sule si chochote dogo harmonize usilie akuna kitakacho kukuta wewe sule ata atume jini wake kkkkk
@user-mt3wr9mx7c
@user-mt3wr9mx7c 3 ай бұрын
Big up sule waelekeze harmonize tumpige kunuti duh mtoto bangi sio mchicha😂😂😂😂😂
@eddymaphy
@eddymaphy 3 ай бұрын
😂😂😂
@allyduniakhamis22
@allyduniakhamis22 3 ай бұрын
Docter sule ni maaruf kabla ya huy kafir homonize mungu akuunze sheikh wetu
@hakizimanatatuhakizimana6186
@hakizimanatatuhakizimana6186 3 ай бұрын
Hamonaizi nilikuwa nampenda lakini namchukiya sasa ajili ya mambo yake smpendi kabisa Allah amuongoze na amsamehe izo ni bangi
@eddymaphy
@eddymaphy 3 ай бұрын
Hayo ndio matatizo ya kuanza starehe ukubwani ,ndio yanafikisha mtu kufanya mambo kinyume na dini
@SatmaAlly
@SatmaAlly 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉vzr
@WardaMohammedRashid
@WardaMohammedRashid 2 ай бұрын
Mnatuchanganya bhn
@henryfaraji1527
@henryfaraji1527 3 ай бұрын
Binadamu kama binadamu wengine weee uko biashara sio dini boya tu wewe uko kazi sio dini
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 3 ай бұрын
Sulle hanashida na umafufu
@godshanthomas3297
@godshanthomas3297 3 ай бұрын
Kwenda huko ww ndio unampigania mungu
@elbattawy2864
@elbattawy2864 3 ай бұрын
Huyu mwandishi sijui anatokea taasisi gani maswali ya kipuuzi sana anamuuliza Dr Sule baadala ya maswali ya msingi, Hamonizi amekufuru na Dr Sule ameshapambanua sana kwenye mahojiano mbali mbali, inaonekana Tz waandishi wamekosa kazi za kufanya Dr. Sule kuna clips nyingi ameshatoa ufafanuzi halafu anatoka mtu tena anaenda uliza upuuzi ule ule, kwanini waandishi hawaendi kwa hamonize kumuhoji kama amerudi kwa Mungu na kuleta shahada upya?
@Kibabe2024
@Kibabe2024 3 ай бұрын
huyu jamaa nisheher aula mtu wamitandao Anataka Sombrero radhi yeye ninani anatoa Lana yeye Nani wewe siokiongozi wadini wewe kiongozi wakuwafanya watu duazalana acha kujiona wewe mkamilifu
@EmmyMuha
@EmmyMuha 3 ай бұрын
Hajasema km mkamilifu anatufundisha anaongea ukweli hajakosea apo haimo shetani
@EmmyMuha
@EmmyMuha 3 ай бұрын
Anatakiwa atubie nakipini chake km ng'ombe wa maonyesho
@dastopadady2402
@dastopadady2402 3 ай бұрын
Huyo mtangazaji ame kosea kusema wakilisto at kuna dhambi zisizo sameheka sokweli kila dhambi ina sameheka
@Kibabe2024
@Kibabe2024 3 ай бұрын
Hawa ndio wanaowadhalilisha wanawake wakati
@user-sf3ys8rm5s
@user-sf3ys8rm5s 3 ай бұрын
Uyo sio shehe bali ni msemaji tu nahuyo ndio wale wale mashetani
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 3 ай бұрын
Sheikh kwa kiswahili mzee Hata wewe hujui maana ya Sheikh
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 3 ай бұрын
Nyie makafiri mbona mna nongwa na mashehe wakikemea uovu? Maana naona mko mbele Sana kumtetea ujinga ?shida yenu Nini?
@MuzirAmisseSalimo
@MuzirAmisseSalimo 3 ай бұрын
tunakushukuru mzee
@hassanimatenga-du2ct
@hassanimatenga-du2ct 3 ай бұрын
Wewe acha ujinga mtangazaji hakuna dhambi kubwa wala ndogo mkristo yupi aliyekwambia dhambi ni dhambi huku ni ileile
@GladnessMassawe-iz7nk
@GladnessMassawe-iz7nk 3 ай бұрын
Wewe unatakiwa umuweke sawa siyo kulitole macho ata mwenye simungu ajawapa ukumu ya nyie kutoa ukumu mtoto akinyea mkono awaukati unausuuza hii dini na hiii dini siyo yamtu mmoja yakwetu sote atukatai nyie ndo mwenye maanulaka kiduni ila ukumu anatoa mungu
@user-nx4eg7sf8u
@user-nx4eg7sf8u 3 ай бұрын
We Dr ki kweli kweli kwani unajua pasipo ubabaishaji
@user-ow7hw1oy2g
@user-ow7hw1oy2g 3 ай бұрын
W kichaa Dr sulle atafute kiki ya nn
@JacksonYesu
@JacksonYesu 3 ай бұрын
Hana lolote huyo hamonize anawasiliana na mataifa wewe unamshambulia mtoto mdgo kubwa ziro
@sembuchemahiya4201
@sembuchemahiya4201 3 ай бұрын
Muongelee harmonize ujulikane
@RahmaMohamed-bi4ro
@RahmaMohamed-bi4ro 3 ай бұрын
Inalilahiwainaillaih lajiuni
@domingosjohnraissemaikomai7930
@domingosjohnraissemaikomai7930 3 ай бұрын
Auna akili
@user-fy4op1sw2f
@user-fy4op1sw2f 3 ай бұрын
Hata hayo maswali ni ya mtu jahili zuzu jinga
@PurityWaithira-ud2vj
@PurityWaithira-ud2vj 3 ай бұрын
Wewe ni mungu uhukumu mtu??sisi wote wenye dhambi,usihukumu mtu Allah tuu wa kuhukumu
@FatumaBasho
@FatumaBasho 3 ай бұрын
Wewe hujakubali kuwa huyo MTU wenu alikufuru allah. Wewe sio mzima wa akili
@user-xn3sg8rh3m
@user-xn3sg8rh3m 3 ай бұрын
Wewe
@AllyAbdi-jm3et
@AllyAbdi-jm3et 3 ай бұрын
shekh wewe usiache kutusio vijana
@AbuuSalmini
@AbuuSalmini 3 ай бұрын
Unaeleza kwaufasaha kabisa
@JaneDaimon
@JaneDaimon 3 ай бұрын
Muacheni basi
@MfaumeKadaga
@MfaumeKadaga 3 ай бұрын
hunalolot naizodua haziwezi mfikia kwasababu hajakuzudia unacho waza ww shekhe ubwabwa
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 3 ай бұрын
Kweli mzee baba masheke njaa tu wanafki na wachawi anatoa hukumu yéyé Nani?
@JacksonYesu
@JacksonYesu 3 ай бұрын
Unajiitapa
@Kibabe2024
@Kibabe2024 3 ай бұрын
domo lake ninaweza kumdhalilisha mtu
@yusufabdikadir4260
@yusufabdikadir4260 3 ай бұрын
Huyu hamo ni kafiir kama hawo makafir wengine hiwo munkar pekeyake tuu anawo ufanya wa muziki ni munkar Sawa huyu mwanzo tuu alikua kafiif tayari achana na hayo matamko ya Sasa ule munkar tuu unakupeleka motoni achana hi kufuur alio ifanya huyu hamo ni kafir
@Kibabe2024
@Kibabe2024 3 ай бұрын
eti mitume yote wangalikua km wewe tungalifikawap
@Kibabe2024
@Kibabe2024 3 ай бұрын
Sasa wewe ule ulipewa mamlaka ninani unaewapalana watu kwaza toast ka Familia yako unawajua wanachokifanya acha njaa yamitandao unakipaka dini sio yako niyetusote Aombe msamaha kwanani wakati wewe tayari mtoanala wewe
@user-qz8dq3wu5y
@user-qz8dq3wu5y 3 ай бұрын
Wew acha kujitia wewe kumsema shekh wetu kuma wewe
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 13 МЛН
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1
35:15
YahStoneTown
Рет қаралды 464 М.
HATIMAYE RAIS AZINDUA TRENI YA MWENDOKASI DAR-MORO-DODOMA.
25:00
DUDU BAYA AFICHUA MADUDU YA SARAH WA DIAMOND, WAMEFANYA UPUUZI
25:37
KUMEKUCHA TUNDU LISSU ANAMJIBU NAPE NNAUYE
12:51
Tifu Tv
Рет қаралды 35 М.
IQ Level: 10000
0:10
Younes Zarou
Рет қаралды 6 МЛН