HASHIM IBWE afunguka ukweli SALIM KIKEKE na DULLAH PLANET KUJIUNGA CROWN MEDIA ALIKIBA AMECHELEWA

  Рет қаралды 49,632

Bongo Plus

Bongo Plus

4 ай бұрын

East African number one KZfaq channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS
KANUNI NA MUONGOZO
Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali.
WeAreEverywhere
#entertainment #exclusive #trending #diamondplatnumz #wasafi #ayotv #update #updatenews #udaku #gossip #mwijaku #babalevo #tanzania #kenya #manara #hajimanara #bongo #habari #justinbieber #bieber #rap #hiphop #hiphopmusic #pop #rnb #rnbmusic #exclusivenews #tmz #tmztrends #arianagrande

Пікірлер: 51
@user-yu9hn2cq3y
@user-yu9hn2cq3y 4 ай бұрын
Ongera Ali kiba mwenyezimungu akutangulie kwa kila jambo 😂😂nakuona hashimu Ibwe msemeji nomber 2 mwenye furaha wakwanza Ali kamwe 🎉🎉🎉
@user-vv9wb9he2x
@user-vv9wb9he2x 4 ай бұрын
Smart for Answering questions qood ally
@JokoloJokolo-vt5pm
@JokoloJokolo-vt5pm 4 ай бұрын
Ongera Sanaa ally mungu niwema na anatenda kwa wkt wke ibwe hongera kwa maelezo mazuli
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 4 ай бұрын
Hongera sana ALI
@elisharaphael8680
@elisharaphael8680 4 ай бұрын
Dula planet alivyoacha kazi East Africa radio na tetesi za kiba kufungua radio nikahisi tu dula planet lazima ataenda huko
@user-dx7tf6ss3r
@user-dx7tf6ss3r 4 ай бұрын
Broo ally nakupa hongera jamaa usiekua na mambo mengi, huna chen wala helen maskion, allah akupe maisha marefu broo ally
@omarymnuru8746
@omarymnuru8746 4 ай бұрын
Lakini imani yake inakataza pia mziki
@SilaMinanda
@SilaMinanda 4 ай бұрын
​@@omarymnuru8746sawa mungu amfanyie wepesi aache kabisa inshaallah
@SamiaRashid-up6cg
@SamiaRashid-up6cg 4 ай бұрын
​@@omarymnuru8746iman imekataza mambo mengi sana ambayo hata wewe unayafanya
@michaelmsanga-qi9sp
@michaelmsanga-qi9sp 4 ай бұрын
Good things Kwa young hustler ally kiba.
@user-yq2tl9xp9i
@user-yq2tl9xp9i 4 ай бұрын
Mambo mazuri
@user-lr3kk6ou8m
@user-lr3kk6ou8m 4 ай бұрын
Hongera
@user-gt4nh7ly4d
@user-gt4nh7ly4d 4 ай бұрын
Hongera sanaa Ali kiba
@TomasMshana
@TomasMshana 4 ай бұрын
The King Crown
@jooepaullas791
@jooepaullas791 4 ай бұрын
Good interview
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 4 ай бұрын
👏👏👏❤
@Lynce-bq8kb
@Lynce-bq8kb 4 ай бұрын
Igeni simbaaa sanaaaa🎉
@JosephStephano-qv1mf
@JosephStephano-qv1mf 4 ай бұрын
Safi sana mfalme
@speroachpaulsen
@speroachpaulsen 4 ай бұрын
❤❤❤❤
@barakamusapolekidoti957
@barakamusapolekidoti957 4 ай бұрын
Safi king
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 4 ай бұрын
Sasa kajipanga
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 4 ай бұрын
Ajachelewa alikuwa ajajipanga
@MarkGichere
@MarkGichere 4 ай бұрын
God's time is the best time 🙏
@missindependent1893
@missindependent1893 4 ай бұрын
Sure ​@@MarkGichere
@yalhafoundationafrica9961
@yalhafoundationafrica9961 4 ай бұрын
Mbona hajui kuongea
@mhinajerome5964
@mhinajerome5964 4 ай бұрын
@hashim ibwe ukovizuri. Ila hawa waandishi wamechanganya habari kutoka crown mpaka. Azam😂😂😂😂😂
@user-qh5re4wr3c
@user-qh5re4wr3c 4 ай бұрын
Yani cjuagi tu hashim muda wa vipindi vyako.. Ila uko bariiid... Yan poah sanaaa😊
@mipawamipawa9386
@mipawamipawa9386 4 ай бұрын
Hapa sasa umetupatia kamali iliyobakia ni kuleta watangazaji vyuma sisi tupo na wewe km Mandonga.
@RAMADHANAllykibanga
@RAMADHANAllykibanga Ай бұрын
Jikaze wewe kuma
@David-tx8wl
@David-tx8wl 4 ай бұрын
Uwakika san kk
@bakarimohamedi9812
@bakarimohamedi9812 4 ай бұрын
Hii lugha ni yenu lakini hamjui kuiongea kwa usahihi na sehemu inayopaswa;huwezi sema alinilazimisha kuna maana gani hapo?wewe unakuwa submissive unafanya kitu kwa kumridhisha mtu bila wewe kupenda (mtumwa)tafuteni maneno mengine yaendane na kiswahili sahihi mnavyoongea na hizo media maana watu wengi wanafatilia hizo interview
@nicholasmkama2877
@nicholasmkama2877 4 ай бұрын
Waandishi wa namna hii bomu kabisa.mambo ya azam fc yanaingiaje tena hapo kwenye uzinduzi wa redio crown fm?
@suzanaaloyc4903
@suzanaaloyc4903 4 ай бұрын
Ndo apo sasa
@user-ow4vj2lw8r
@user-ow4vj2lw8r 4 ай бұрын
Hii radio sio ya alikiba bt kiba amepewa maokoto auze jina hii ilkuepo kitambo but haikuwa na power
@elibarikieden
@elibarikieden 4 ай бұрын
Ko wewe ulivomsikia Yule lokole ukamuamini 😂😂😂😂
@RashidiBakema-us1qq
@RashidiBakema-us1qq 4 ай бұрын
Tafuuta pesa uache makasiriko😅
@user-ow4vj2lw8r
@user-ow4vj2lw8r 4 ай бұрын
@@elibarikieden i have full information about it
@user-ow4vj2lw8r
@user-ow4vj2lw8r 4 ай бұрын
@@RashidiBakema-us1qq am rìch enough
@yassinm69
@yassinm69 4 ай бұрын
Sidhani kiba kachelewa ndo mda mwafaka kabisa
@sheeally531
@sheeally531 4 ай бұрын
Mtangazaji gani wewe? Huwezi kuajiriwa media kubwa kweli baada ya kusema "TAYARI^ unasema 'tayali' hahaha halfu unajiooona bonge la mtangazaji
@geophreyndanshau854
@geophreyndanshau854 4 ай бұрын
Acha Chuki ww mtoto kiume
@hemmyissambo6792
@hemmyissambo6792 4 ай бұрын
Hana jipya hyuuu
@athmanimkangara9290
@athmanimkangara9290 4 ай бұрын
Una chuki wewe kajifunze kuandika kwanza
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 4 ай бұрын
Wewe upo radio gan?
@hassanndauka9685
@hassanndauka9685 4 ай бұрын
Chuki husda, havina faida kwa mtu asiyekujua
@user-hy7op6tr8p
@user-hy7op6tr8p 4 ай бұрын
Crown sio brand nzr , Bora angeita KiBA FM , KIBA TV yani ingekuwa poa
@congratulationmayunga3833
@congratulationmayunga3833 4 ай бұрын
Clown Iko poah sana
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 ай бұрын
Hilo jina ni poa Sana hujui tu.. kina limezoeleka saana😊
@BongoPlus
@BongoPlus 4 ай бұрын
NI crown kaka
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,7 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 53 МЛН
KUMEKUCHA,MAKONDA YUPO WAPI?, DR SULLE ATEMA CHECHE
19:08
Mbengo Tv
Рет қаралды 2,1 М.
UTACHEKA UFE UTANI WA ALIKIBA NA OMMY DIMPOZ MBELE YA KIKWETE
8:52
Waka Waka 💦💃😁 #funnyshorts #rianashow
0:14
RianaShow
Рет қаралды 10 МЛН
Лайфхаки не нужны
0:28
Miracle
Рет қаралды 2 МЛН
There’s A Starman #superman #shorts #memes
0:26
Walking Streets 워킹스트리트
Рет қаралды 53 МЛН
УЙЛАНМАГАН БОЛАР ОГОХ БУЛИНГ БУНИ КУРИМ #трент #тренды
0:13
ОНЛАЙН ТИК ТОК БАТИЛ
Рет қаралды 1,6 МЛН