Raj Smart ni dereva wa malori ya mazigo. Hapa anaeleza changamoto wanazozipitia
Пікірлер: 19
@kreamagdfsa16973 жыл бұрын
Hakuna Kazii nyepesii ni mapambano tu
@josephlyicho98673 жыл бұрын
JamaA yupo kama king crayz Gk
@elijahm.muthini3 жыл бұрын
Story tamu kweli🇰🇪
@jacobjoseph95053 жыл бұрын
Hamna link kwenye description Sky as you said,,,umezingua mzee baba
@aminaabdallah36443 жыл бұрын
Kazi ngumu sana dah poleni madereva😐
@diahemedsalumdia65943 жыл бұрын
Kazi ngumu nyingi kupamban tu
@ommary754 ай бұрын
Mbona ss madavo wa fuso hatujawahi fanyiwa intaviw shida nn au Kwa sababu hatujulikani au
@user-gv5wn2kz8v9 ай бұрын
Nice
@julihanjosephyjs63613 жыл бұрын
Kitonga mlima hatari Sana nilipita naenda south Africa acha nafumba macho.kaka hapo kwa watoto wengi vijana wapate somo,utakuta umependana na mwenzio Ili awe mwenza ila akikuambia hidadi ya watoto unakata tamaa ,unamkuta Hana lolote maisha magumu anahitaji ata kitu Cha milioni Hana ela ,hapohapo wewe uwezo unao ila ukiwaza juu ya watoto kichwa kinauma,unasema ela zangu zinaenda kuhudumia watoto wengine,simu mda wote watoto huduma adi unataka kugaili.vijana mbadirike wapo wanawake wenyeuwezo wa kumsapoti mwenzie ila mmmh mnakera wanaume .
@zaidyabed3 ай бұрын
Rusumo k 9 sekenke mayi mayi machinjion weweeeeeee
@julihanjosephyjs63613 жыл бұрын
Mtihani madereva magari makubwa
@ismailramadhani5003 жыл бұрын
Baba hiyo k 9 hatari Sana nakumbuka wakat naelekea burundi nilisoma dua kabisa
@majigepeter66612 жыл бұрын
Tatizo lenu hamjitambui maderva mbona hamuongeragi malipo. Mishahara kama madada wandani. Na mkiangaria mnabeba Mari za garama kubwa
@King_Of_Everything2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@kingsamuel57793 жыл бұрын
Sauti kama Jux🤣🤔🔥
@julihanjosephyjs63613 жыл бұрын
Kweli aujadanganya
@LyonWalker_3 жыл бұрын
Binafsi siioni hiyo link
@ivonnecseroney52332 жыл бұрын
Madereva wana kazi ngumu sanakzfaq.info/get/bejne/grFimKWSnMuyenU.html