HII NDIYO HOTUBA YA ASKOFU MKUU MSTAAFU PAUL RUZOKA BAADA YA KUSTAAFU / Novemba 19, 2023

  Рет қаралды 5,259

INJILI YA FURAHA

INJILI YA FURAHA

Күн бұрын

Neno La Mungu

Пікірлер: 10
@stanslauskaparangabo8977
@stanslauskaparangabo8977 8 ай бұрын
Mwenyezi mungu ampe maisha marefu baba askofu. Kwenye historia ya maisha yangu huyu baba alinirudisha kwenye msingi wa maisha baada ya kuwa nimefanyiwa uonevu na walimu ktk shule ya kahororo.baba ulinipokea seminary ndogo ya itaga ili niendeleee kuitafuta elimu ya kidato cha tano. Heeh mungu mpe maisha marefu baba askofi
@josephlorri431
@josephlorri431 8 ай бұрын
Mpole,mnyenyekevu lakini mkali. Tunamshukuru Mungu kwa huduma ya Baba Askofu Ruzoka katika Kanisa Katoliki
@lilianvitus2488
@lilianvitus2488 8 ай бұрын
Mungu azidi kukutunza uzidi kumtumikia milele
@edwinkajuna7207
@edwinkajuna7207 8 ай бұрын
Ahsante Sana mwenyezi Mungu kwa utume wa Baba Ruzoka
@user-yn7lp5wb5j
@user-yn7lp5wb5j 8 ай бұрын
Mungu akubariki baba Askofu.
@leonidaskwigize1853
@leonidaskwigize1853 8 ай бұрын
Amazi yatimbiye yageze kule safi sana kwa kuenzi lugha ya Kiha ya kwetu Kigoma
@michaelambangile3632
@michaelambangile3632 8 ай бұрын
Ushuhuda wa Baraka! Maisha mema ya ustaafu.
@albertmaneno
@albertmaneno 8 ай бұрын
Maneno ya hekima sana. Asante Baba Ruzoka kwa utume na utii
@nsodyaphilimon9153
@nsodyaphilimon9153 8 ай бұрын
Waooo kumbe Paul Ruzoka ni Muha. God stey with you askofu
@user-bp5cf8er7v
@user-bp5cf8er7v 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤ Hongera sana kwa kulitumikia jimbo la Tabora
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 19 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 19 МЛН
MWL.CHRISTOPHER MWAKASEGE: KUVAMIWA KWA ISRAEL NI ISHARA.
9:19
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 121 М.
A student’s fiery address on coaching centres in India
3:22
Brut India
Рет қаралды 1,4 МЛН
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: MUNGU AMEKULETA DUNIANI ILI UFANYIKE BARAKA.
5:36
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 90 М.