Nipende kusema tu kwamba, kaka Biteko ni kiongozi hodari, nampenda sana
@edgarmkosamali30107 ай бұрын
Hongera kwa hotuba nzuri na iliyoshiba Mh. Naibu Waziri Mkuu Dr. Dotto Biteko
@user-yn7lp5wb5j7 ай бұрын
Asante naibu waziri mkuuu kwa maneno ya busara,mungu akubariki.
@erastomushi74717 ай бұрын
Wewe ni genious Dotto! Mungu amekujalia jinsi ya kupanga hotuba yenye kusisimua hadhira.
@leonidaskwigize18537 ай бұрын
Ni jambo jema na kubwa sana kupewa fursa kukaa mbele ya makuhani wa Mungu
@shukranitv29717 ай бұрын
Mungu akubariki kiongozi mzuri na mcha mungu
@oswaldmgaya89357 ай бұрын
Asante mkuu. Tutende zaidi, tuseme kdg.
@vitussimon96967 ай бұрын
Hakika Mungu akubariki Sana
@chalresykedimon22547 ай бұрын
Uko vizur I kaka hongera sana
@user-ib6mf2kg3t6 ай бұрын
Hakika kiongozo huchaguliwa na mungu mh rais kamwongoza mungu kumpata waziri wa nishati na naibu waziri mkuu hapo ndio roho ya nchi hongera sana
@josephmasenga35177 ай бұрын
Excellent speech
@noeljuvenalmunishi757 ай бұрын
Nimegudua Biteko ni Excellent man! Saaaaaaafiiiiiii kabisaaaaaaaa saaaaaaafiiiiiii kabisaaaa
@albertmaneno7 ай бұрын
Maneno ya hekima.... uchambuzi wenye ujuzi
@kelvinfussi52107 ай бұрын
Huyu jamaa ni kiongozi kwelikweli
@alexiganja79387 ай бұрын
Uko vzr
@charlestogolai14077 ай бұрын
Watu kama hawa walindwe niwachache sana kama kunasehemu raisi kwa waziri huyu kapatia
@user-kn8mu3og2h7 ай бұрын
Wewe nikiongozi mzuri unafaa
@deohank59957 ай бұрын
Mh. Biteko natamani kizazi chenu kingeibadilisha hii nchi kifikra,bila kujali itikadi za vyama. Badilisheni baadhi ya mifumo mibovu ya urithi boresheni hii nchi kwa mema yake mengi ili tuifaidi SOTE . HAKIKA BARAKA HAZITOPUNGUA KATIKA NCHI
@renatusmahombwe30937 ай бұрын
Good speech Dott o
@EliauMtishbi-os5ky7 ай бұрын
Congratulations cna , Naibu Waziri Mkuu Kwa ujumbe mzuri
@thieryniyonkuru50237 ай бұрын
Biteko Mtoe mbarikiwa basi
@tryphonebartazal34787 ай бұрын
😂😂😂 Nikasema nimeisha
@LeylatVlogs7 ай бұрын
Very charming honorable deputy prime minister hongera saana
@tryphonebartazal34787 ай бұрын
😂😂😂 Ameamua kuimba
@NeemaKisinga-zn7eo3 ай бұрын
Hahaaaaaa
@BotulphusAugustine7 ай бұрын
Mbarikiwa yuko wapi mbona alifanya ivo
@dativamtui40347 ай бұрын
Hongera sana Naibu Waziri mkuu uneongea kwa hekima nyingi sana Mungu akutunze