Hii Ndiyo Sababu Ya Kuongea Na Wazungu Wengi Kuliko Wanawake Weusi -Beverly Hills🇺🇸

  Рет қаралды 29,528

Jack Wa USA

Jack Wa USA

10 ай бұрын

Leo nilitembelea mtaa unaitwa Rodeo Drive uliopo Beverly Hills, California huku yues (Marekani). Rodeo Drive ni mtaa uliozungukwa na maduka yenye bidhaa zenye gharama zaidi kama vile Louis Vuitton, Gucci, Versace, Prada nk. Hii ni sehemu ambayo matajiri na watu maarufu wengi hupendelea kuja kufanya shopping. Tembea na mimi ujionee yanayojiri katika mitaa hii ya Rodeo Drive, Beverly Hills.
Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana!
My previous video;
• Huyu Bibi Aliachwa Na ...
LINK to join as a member;
/ @jackwausa
🔸FOLLOW ME ON;
INSTAGRAM: / jacchalz
TikTok: www.tiktok.com/@officialjackw...
My Other Channel: / @jackchalz
#jackwausa #losangeles #mtaani

Пікірлер: 310
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Please SUPPORT me by joining here; patreon.com/JackWaUSA
@muemastanslaus1651
@muemastanslaus1651 10 ай бұрын
Hae jack,,,I'm stanslaus from Kenya how can I contact you please
@stanmuoka4
@stanmuoka4 10 ай бұрын
Much love from Kenya,,, representing EA to the world bro❤️❤️
@bernardmunuo2137
@bernardmunuo2137 10 ай бұрын
Katika bloggers wakitanzania ambao wanaishi marekani.. wanatengeneza contents kuhusu maisha ya huko Mimi nakukubali sana uko really sana just keep it to roots..., Sio kama wengine miezi miwili tu awezi Tena kutamka na kuongea maneno ya kiswahili
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
✌🏾🙏🏾
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 10 ай бұрын
@@jackwausa Nakufatilia sana big, mm nipo lringa pale Kwa Mkwawa Shujaa so never give up bro
@ramseymakala8787
@ramseymakala8787 10 ай бұрын
Niaje jack,,,my name is ester frm gongolamboto napenda sana kukufuatilia krip zako naenjoy sana.natamaniniwe nachati nawe kingereza nipatekukijua vzuri plz nifundishe my friend jack wa u.s.a
@jonathannyamweya4940
@jonathannyamweya4940 10 ай бұрын
I am from Nairobi, Kenya. Unafanya kazi nzuri sana marekani. Nyota yako izidi kung'aa.
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Amina na Asante!
@oscarjohn4145
@oscarjohn4145 10 ай бұрын
We mwenyew mkali😂😂, hujapoteza swaga za kibongo mzee
@queeniesamantha54
@queeniesamantha54 10 ай бұрын
Mr Jack, keep it up for the content ,no matter how the black people permitted to talk anymore, don't give up cuz ,you know what i am say, love how loves you ✌️
@masengoclaude4932
@masengoclaude4932 10 ай бұрын
À sante sana jack! wewe kwa kazi yako unajitaidi kutuonesha mitaa tafauti na sisi tunaendelea ku kufwata kutoka Rwanda
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 10 ай бұрын
Unyama ni mwingi mno brother Jack keep them coming bro we appreciate your effort indeed 🔥🔥🔥🙌🙌
@saddymwamba7072
@saddymwamba7072 10 ай бұрын
Much love from DXB keep it up homie👊
@seifalhanmohd9100
@seifalhanmohd9100 10 ай бұрын
Mm Seifalhan nipo Wete Pemba zanzibar nakupat vizur tu hongera sana mm nimejifunza vitu vingi hasa lugha na accent za american pamoja kupata kujua kidogo tabia, mitaa ya marekan l have got dream to be there big up brouther
@user-ej9vi2rd6d
@user-ej9vi2rd6d 9 ай бұрын
Yes Jack; nakusifu brow kwa kazi ya kujituma my man.
@zeddyshindika9502
@zeddyshindika9502 10 ай бұрын
Keep it up bro,,, tuwakilishe EA jomba...kazi nzuri na unatufungua macho na kujua tusokuwa twayajua... Bongo ndo kwetu nipo Nairobi nakufuatilia sana tu.... 🙌
@harrisonkariukigachago5786
@harrisonkariukigachago5786 10 ай бұрын
Much love from kenya 🇰🇪 and congrats for a good job 👍
@allyabdallah8534
@allyabdallah8534 10 ай бұрын
Brother Jack ni kweli ss weusi huwa twajiona Sana na tuna penda kudharauliana Sana Ila usimind ndiyo tulivyo
@michaelmbwanna1197
@michaelmbwanna1197 10 ай бұрын
Og sana boi coz, good work🎉🎉jack akika mambo safi
@MohamedShedrack-qf8hr
@MohamedShedrack-qf8hr 10 ай бұрын
Ase jacky mwanangu naenjoy kama vile na mimi nipo huko us a nafurahi sana jinsi unavyoongea na wazungu na wanavyojibu wapo simple yan wenzetu wamebarikiwa sana kwa kweli wamepitaa watoto wazuri na hawana maringo kama wabongo daah ukiwasemesha wanakusikiliza kweli mambele ni bata tuu
@eliasteven3817
@eliasteven3817 10 ай бұрын
From Buza,Dsm ,keep up da good work Bro!👏
@amanmaleko3085
@amanmaleko3085 10 ай бұрын
Nakutazama nikiwa Dar nakukubali sana jack nakufatilia kwaumakini sana🙌🙌🙌🙌
@godfreygideon2624
@godfreygideon2624 10 ай бұрын
Thanks for good work nilete marekani
@Dominickq-nation1
@Dominickq-nation1 10 ай бұрын
You masculinity iko high big ups 😂#254
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 10 ай бұрын
Wanawake wengi weusi sio, wanafikiria kutongozwa muda wote, mindsets zao wameziweka hivyo..!..hawako social kama weupe ..!
@rich.kizza10
@rich.kizza10 10 ай бұрын
wanazinguaga kweli
@eliasbenda103
@eliasbenda103 10 ай бұрын
It doing well my bro,I'm from Nairobi
@pevingblocks-qp9dq
@pevingblocks-qp9dq 10 ай бұрын
nakubali bro, mwanza io!
@farajiabdallah7438
@farajiabdallah7438 10 ай бұрын
Kutoka Kahama hii bobuu unakiwashaa hukoo sio pw Mjuba ni firee, l feel like I'm in America Broo🔥🙌
@amosmahona433
@amosmahona433 10 ай бұрын
Wanawake wa Africa ovyo sana hii niliona hata Africa kusini
@user-ui1qs9yl1n
@user-ui1qs9yl1n Ай бұрын
HOVYO HOVYO HOVYO
@mbashaphabian7668
@mbashaphabian7668 10 ай бұрын
Am watching you from Arusha Tanzania well done guy
@user-ns7xn9or9o
@user-ns7xn9or9o 10 ай бұрын
Jackson unafanya kazi nzuri,unatupereka marekani kwa bando hongera sana
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 10 ай бұрын
Asante kwa kutupeleka kwenye maeneo maarufu ya usa😁
@shukranitv2971
@shukranitv2971 9 ай бұрын
Duh jack unanipa mbinu nzuri za maangamiziii kitaaaa yaaan mzeee unaconfiedence ya hatariii god blease u
@user-gw6zg5yx9e
@user-gw6zg5yx9e 10 ай бұрын
Nikweli ndugu. Wanamake weiusi wanazingua
@ezekiellucas8981
@ezekiellucas8981 10 ай бұрын
Aje kaka, from golden city kahama, good work
@medrickchris2653
@medrickchris2653 9 ай бұрын
Nakutazama toka iringa tz jack hongera sana kwa kutusafirisha huko dunian
@MuamedeassumaneAssumane-cm5ky
@MuamedeassumaneAssumane-cm5ky 10 ай бұрын
Safi nakukubali brow jack from Mozambique 🇲🇿
@Raizoally
@Raizoally 9 ай бұрын
"Mimi mwenyewe mkali " 😂 penda sana hiyo statement mzee Jack. Shout out from Seattle
@jackwausa
@jackwausa 9 ай бұрын
One love!
@ianabrayogendo6181
@ianabrayogendo6181 10 ай бұрын
Thanks for answering my concern good job . Tell them to come to Kisumu dala, home of Oscars winner lupita
@JamesGeteshe
@JamesGeteshe 7 ай бұрын
Much love bro from kenya congratulations bro
@jameswachira6380
@jameswachira6380 10 ай бұрын
Naifuatilia kazi yako nzima jamaa nikiwa hapa Kenya unauchapa mzigo kweli poa.
@RobertsonChikaka
@RobertsonChikaka 10 ай бұрын
Safi Hoyaaa, unatuweka marekani kongore Sana
@ChrissOnaelly
@ChrissOnaelly 10 ай бұрын
Ongera broh
@petersikombe6841
@petersikombe6841 10 ай бұрын
Peter sikombe! from sumbawanga City in Tanzania hongera sana tunakutegemea unatuonyesha njia mim binafsi nakuja marecan
@frankmare1708
@frankmare1708 10 ай бұрын
Swax city😅😅😅
@abdlhaleem8380
@abdlhaleem8380 10 ай бұрын
From zanzibar master 🙌 😎
@PaschalMsallenge-jr5yr
@PaschalMsallenge-jr5yr 10 ай бұрын
Nakubali xna unachokifanya broo natizima kutoka mafinga iringa
@walterwillzy
@walterwillzy 5 ай бұрын
big up sana jack
@ibrahimmatondo3471
@ibrahimmatondo3471 10 ай бұрын
Hahaha mademu wetu miyayusho sana, sema nini wale mamanzi umesema walitaka kukutoa kwa Reli na kweli ulivyowachana ndo ulikuwa unatoka kwenye Reli...sema nini uko vizuri mzee nani😂😂😂
@abuuda4754
@abuuda4754 10 ай бұрын
Sio zarau Bro... Umesha sema, mtaa wa wenye hela. Huwa hawajali..., Ukiingia unijui sikujui, kila mtu ana muogopa mwenzake
@LiquidMatejoe
@LiquidMatejoe 10 ай бұрын
Nakubal. Kazi zako kaka
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 10 ай бұрын
From Tabata Ilala my friend nakufatilia sana My Br.
@DanielKimararei
@DanielKimararei 10 ай бұрын
Watching from mombasa kenya I like your vedio
@MohamedShedrack-qf8hr
@MohamedShedrack-qf8hr 10 ай бұрын
jacky mshkaji wangu nakukubali sana nakutizama kutoka babati manyara mwangu wao watoto kama vip walete huku waje kushangaa vivutio vilivyopo tz kwenye hifadhi zetu huku nao waenjoy maisha ya africa
@allydjuma8645
@allydjuma8645 10 ай бұрын
From Burundi bujumbura tunakupata 100%mr jack
@godwinmsomba6909
@godwinmsomba6909 10 ай бұрын
safi kaka ukweli unanipa hamu sana ya kufika huko one day
@user-yp8fq4tg1t
@user-yp8fq4tg1t 10 ай бұрын
Nice bro kwa kazi nzuri unayo tupatia Kila unapo pata mudah ubarikiwe sana mungu akufungulie njia pasipo na njia uzidi kuwa juu ya hapo ulipo tupo pamoja denis kutoka Kilimanjaro mwanga
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Amina na Asante
@user-ij9sc8cp8v
@user-ij9sc8cp8v 10 ай бұрын
Jack mm unanifurahisha sana,mm nakufuatilia sana kwenye video zako kaza buti huko mbeleni nakuombea uje ufungue kituo Cha television (JACK TV).harafu jitahidi uwe unatumia English sana,mm napenda kusikiliza speech zako you are very good in English language.By:Papaa Oscar mnyamwezi wa Tabora but now I live in Dar es salaam Tanzania.
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Thank you. I'll work on that
@user-jy3sw2jj4f
@user-jy3sw2jj4f 10 ай бұрын
I am from dar-es-salaam tanzania. Kweli Hii ngozi yetu tunaona kama tumejipata sana
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 10 ай бұрын
Umeona eee waafrica sisi ni wajinga
@adammsigala1043
@adammsigala1043 8 ай бұрын
ngozi yenyewe imebeba laana kibabo afu bado shida tu
@michaelkomwiswa7048
@michaelkomwiswa7048 10 ай бұрын
Nipo hapa Kampala bro na enjoy video yako saannaa
@joshuamarwa7723
@joshuamarwa7723 10 ай бұрын
Nakufatilia sana bro Jack nikiwa pande za Kibaha
@rodgerskilia863
@rodgerskilia863 10 ай бұрын
Am watching from kisii Kenya a 80km drive to Tanzania Sirare border.
@sadikathumani1003
@sadikathumani1003 10 ай бұрын
goba Dar nakukubali sana mwamba
@betomkwinda8744
@betomkwinda8744 10 ай бұрын
Hayo maeneo ya leo kwa kweli ni tofauti hasa ya muonekano wake kuanzia majengo yalivyo na dizaini ya mwanga ktk maduka hayo wamefanya internal decorations nzuri sana,hata magari yanayoonekana huko na watu wake tofauti na sehemu nyingi ulizotipeleka,maduka ya hapo ni ya watu wa hali ya juu ktk maisha, hata kama unapata changamoto kama hizo kwa kweli ni tabia tofauti za binadamu usikate tamaa Jackson,natazama nikiwa Ifakara nakupongeza kwa kazi nzuri na ngumu ila kadri cku zinavyoenda na ww inakuwa bora zaidi big up Jack tunakupenda
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Asante. Nawapenda pia
@betomkwinda8744
@betomkwinda8744 9 ай бұрын
@@jackwausa safi sana jack ingawa imechelewa
@user-hd4ld7fw7j
@user-hd4ld7fw7j 10 ай бұрын
Nakubali mzalendo Mimi nipo msumbiji nipo kwakazi
@browntv1119
@browntv1119 10 ай бұрын
Mambele sana
@ZTsix
@ZTsix 10 ай бұрын
Sema hii video imepoa kaka ww unajua mambo yetu ishi mle mle mzee😋😋😋😋
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
😂
@JoelFikirini
@JoelFikirini 10 ай бұрын
Ee bwana Eeee kiukweli unatutoa tongotongo kuhusu mambo ya majuu barikiwa sana ktk kazi hii mzee baba yani nahisi kama nipo marekani moja kwa moja duuu
@JoelFikirini
@JoelFikirini 10 ай бұрын
Mimi nipo Mozambique ila ni mtanzania nafanya kz zangu huku.
@aboymoon9972
@aboymoon9972 10 ай бұрын
Nakubali kaka
@mtobanyodi2140
@mtobanyodi2140 10 ай бұрын
Nakuona mbali Jack keep pushing brooh
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Pamoja sana!
@mtobanyodi2140
@mtobanyodi2140 10 ай бұрын
@@jackwausa huvi tunawez kupat historia ako fupi ulifika vip USA na unafany nn
@sadikiballack1631
@sadikiballack1631 10 ай бұрын
Ila unachangamoto kuktana nawatu kwa Mala yakwanza na kutka kuwaoji kabisa wew salut
@VenanceKadodi-zh1cu
@VenanceKadodi-zh1cu 10 ай бұрын
Kahama moja bro shallout sana mzee unatupa maisha
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz 10 ай бұрын
kahama nyasubi moja rocken hill huyo
@mtumwarashid3611
@mtumwarashid3611 4 ай бұрын
Mtumwa Rashid wa magomeni dar _ tanzania. nimekukubali sana.
@charlesjaphet5768
@charlesjaphet5768 10 ай бұрын
Nakukubali sana jamaa yeah nipo Morogoro Tanzania
@mrnawanda3893
@mrnawanda3893 10 ай бұрын
Yani beach zote za marekani nimefika mitaa yote nimepita kwa ajiri ya video zako bro
@RobertsonChikaka
@RobertsonChikaka 10 ай бұрын
jack hongera Sana mkuu Mwenyezi Mungu akutangulie mpendwa wetu , Wenda nitakufa sijafika mujuu, lakini wewe unatufikisha marekani bila kufika kongore karibu MWANZA BRO UKIRUDI, BY CHIKAKA
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Asante.
@Valencechachalyrics
@Valencechachalyrics 7 ай бұрын
Watching from Makambako TZ 🇹🇿👊🏾
@maselejonathan8452
@maselejonathan8452 10 ай бұрын
Yaan ndo uhalisia bro wadada weusi hata ukimuomba namba tu kwaajili ya issue zingine ye tayar anawaza unataka kumtongoza....wadada was afrika mjifunze kwenye video za Jack angalieni wadada wa marekani especially wazungu walivyo na upendo na kutokujishaua
@zachariahanderson677
@zachariahanderson677 10 ай бұрын
from drc🇨🇩 brooh 👏
@Directortomwillz
@Directortomwillz 10 ай бұрын
Tabata kinyerezi Tanzania 🇹🇿
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd 10 ай бұрын
Haha etii weee mwenyewe Noma... Waambie wanawake weusi waache kuringa. Ila kwa Experience ukute washatapeliwa. Haswa wabongo ndo maana wanaogopa
@omarysaid8725
@omarysaid8725 10 ай бұрын
True mzee madem wengi weusi kutoka africa wakienda ulaya wanakiwa sana na nyodo halafu huwa wana ringa sana
@johnwillingstone3121
@johnwillingstone3121 2 ай бұрын
From Bukoba, nakupata sana
@jamesngunjiri1215
@jamesngunjiri1215 10 ай бұрын
Woching from Kenya
@EzekielWilibard-fy9zm
@EzekielWilibard-fy9zm 10 ай бұрын
Much love from kigoma tanzania
@luisojr3480
@luisojr3480 10 ай бұрын
Nimegundua ukiongea na Wazungu hua hawavimbi ila ndugu zetu hawa tuishi nao tu hivho hivyo ndugu yangu😂
@chongerayahaya6904
@chongerayahaya6904 10 ай бұрын
Nakuchek nikiwa KIGOMA🎉 Pamojasana mtuwangu wanguvu.
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Pamoja sana
@user-ht3xt5in6p
@user-ht3xt5in6p 10 ай бұрын
Nafuatilia sana video zako
@p4k_autfit_styel_kahama559
@p4k_autfit_styel_kahama559 10 ай бұрын
nipo kahama. nyakato nakupata vzr
@briankiprotich-ro7ir
@briankiprotich-ro7ir 10 ай бұрын
I'm Bruno from Nakuru kenya thanks for good work bro
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Thank you for watching!
@briankiprotich-ro7ir
@briankiprotich-ro7ir 10 ай бұрын
@@jackwausa welcome
@philemon-mz2fv
@philemon-mz2fv 10 ай бұрын
Nipo hapa from Sanya juu
@wagurarobert2946
@wagurarobert2946 10 ай бұрын
Watching from mombasa
@nasmanale-tx4ke
@nasmanale-tx4ke 10 ай бұрын
Oya mkali Amna at anaekisikia kiswahili kidogo😄😂
@omarypetro3207
@omarypetro3207 10 ай бұрын
Tupo pamoja 🔥🔥🔥
@enemtatuka5863
@enemtatuka5863 10 ай бұрын
Mambo ni mazuri San
@AGnI82_1
@AGnI82_1 10 ай бұрын
Unaenjoy kinoma noma dogo
@olivier6600
@olivier6600 10 ай бұрын
Bro nimelike how you do this keep it up
@Claude1472
@Claude1472 7 ай бұрын
I like your video
@henry7674
@henry7674 10 ай бұрын
We mwenyewe mkali🔥🔥🔥
@user-ow4de2pr8y
@user-ow4de2pr8y 15 күн бұрын
Blazaa jack huu ni uvuvi😅
@salomemkilima5732
@salomemkilima5732 7 күн бұрын
kweli umetupeleka america ahsante sana tufanyie hivyo hivyo
@dionsangoa1428
@dionsangoa1428 10 ай бұрын
HI Jack nakumulika sana kamanda much love from Yokohama JP📍
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Pamoja sana
@dionsangoa1428
@dionsangoa1428 10 ай бұрын
@@jackwausa mkuu kuna kitu nilikuwa nataka unichekie huko ila sijui nitukupata vipi mkuu private #inbox
@user-kn1rw1eg9r
@user-kn1rw1eg9r 10 ай бұрын
Nipo mtwara ni like
@erickmisilakuba6426
@erickmisilakuba6426 10 ай бұрын
Daaaah
@frankmwinuka6298
@frankmwinuka6298 8 ай бұрын
😂😂😂kweli mkali baba
@LyelaMwandu-k8w
@LyelaMwandu-k8w 23 күн бұрын
Safi sana
Best father #shorts by Secret Vlog
00:18
Secret Vlog
Рет қаралды 22 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 17 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 59 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 52 МЛН
Maisha ya Marekani: Kukaa ndani, Upweke, Nyumba, Magari nk
12:22
EBM SWAHILI
Рет қаралды 403 М.
Uhalisia kuhusu maisha ya usiku ya MAREKANI
23:52
Jack Wa USA
Рет қаралды 4,4 М.
Taratibu Rahisi Za Kuja Ulaya
10:07
Maisha Ya Ulaya
Рет қаралды 3 М.
APARTMENT YA DOLA MOJA MAREKANI (PART 2)
6:56
Hapa Nilipo
Рет қаралды 52 М.
Leo niko area ya wakenya. Huku tume dominate sana!!
24:01
Huku Yues
Рет қаралды 419 М.
Best father #shorts by Secret Vlog
00:18
Secret Vlog
Рет қаралды 22 МЛН