HISTORIA YA DAR ES SALAAM NA KANISA KUU LA MT. YOSEFU JIMBO KUU LA DSM NA FR JOSEPH MOSHA

  Рет қаралды 13,552

Jugo Media

Jugo Media

3 жыл бұрын

Tafadhari Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
Jumuika nasi katika mitandao mingine ya Kijamii:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
Mawasiliano:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa

Пікірлер: 21
@edwinitesha5482
@edwinitesha5482 3 жыл бұрын
Padri mosha mungu azidi kukuongoza katika utume wako
@williammatata2611
@williammatata2611 3 жыл бұрын
Kumbe majimbo makubwa ni mawili tu Tanzania ,dare es salaam na tabora
@pleonardkashatila4555
@pleonardkashatila4555 3 жыл бұрын
Historia nzuri
@faustinebahenobi2072
@faustinebahenobi2072 3 жыл бұрын
Nme furai nimeipenda Sana historia
@mariakivumbi9325
@mariakivumbi9325 3 жыл бұрын
Nipenda historia na mazingira
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 3 жыл бұрын
St.Ottilien ( German )🙏🙏
@mhojamsafiri2273
@mhojamsafiri2273 3 жыл бұрын
Nimefurahi kuijua historia ya st Josefu
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 3 жыл бұрын
HIYO SIYO HISTORIA YA DAR ES SALAAM!! Ndugu yangu ktk utanzania umejitahidi kujieleza lakini hiyo siyo historia ya Dar es Salaam (labda uzungumzie historia ya ujio wa kanisa ndani ya Dar es Salaam). Ifikie mahali tuwe wakweli kwa manufaa ya umma wetu wa kitanzania, tutadanganya mpaka lini?! wamishenari hawakuwa wajenzi wa Dar es Salaam. Mjenzi wa Dar es Salaam anajulikana ni Sayyid Majid. Hebu. Hebu bofya hapya uifahamu historia halisi ya Dar es Salaam, kzfaq.info/get/bejne/er9dpMWas9mUnWQ.html
@Lky589
@Lky589 3 жыл бұрын
M nawaangaliatu na wafuasi wanaitikiatu Kama FUNZA😆.
@alexsuleiman185
@alexsuleiman185 3 жыл бұрын
ww kwel ulibemendwa huna adabu
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 3 жыл бұрын
@@alexsuleiman185 wewe peke yako unayeporomosha mitusi ndiye mwenye adabu. Acha kukaririshwa na kuaminishwa visivyokuwa na ushahidi (wazungu sio watu wazuri, mazuri yote ni ya kwao na mabaya yote ni ya waafrika, we hushituki tu!!) angalia kwa kugonga link hii uufahamu ukweli juu ya historia ya Dar es Salaam kzfaq.info/get/bejne/er9dpMWas9mUnWQ.html na pia gonga link hizi kuangalia unyama wa wazungu kzfaq.info/get/bejne/iLVjipiGldjdias.html na kzfaq.info/get/bejne/bJh6g9OrqJPPn5c.html aliyekamatwa na ngozi ndiye mla nyama angalia hizo link utajua nina maana gani ushahidi wa kidhalimu dhidi ya mwafrika na nani aliyeutenda upo Zanzibar chini ya kanisa la Anglikana Mkunazini. Tusitetee waliyotuandikia wazungu kwa kuwakumbatia wao, bali tuzifate na tuzitumie imani zetu ili zituunganishe kama waafrika badala ya kutufarakanisha!!
@alexsuleiman185
@alexsuleiman185 3 жыл бұрын
@@rayisadesigns2646 itakuaje binadam wenzio uwaambie funza?
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 3 жыл бұрын
@@alexsuleiman185 mwangalie ni nani aliyeisema hiyo kauli, na kama yeye amekosea na wewe ndio umuige kukosea?!
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 60 МЛН
ASKOFU KILAINI ATOA HISTORIA YA KANISA KATOLIKI.
32:45
Radio Mbiu
Рет қаралды 10 М.
Mt. Kizito Makuburi - Watu Imbeni (Rehearsals)
5:11
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 15 М.
HISTORIA YA KANISA KUU LA MTAKATIFU YOSEFU
28:41
Tumaini_Tv
Рет қаралды 4,4 М.
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН