No video

KUTOKA KANISANI: PADRI AUAWA NA MUUMINI AKIMUOMBEA ARUSHA, NAYE AUAWA “ALILAZIMISHA KUOMBEWA USIKU”

  Рет қаралды 114,635

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 226
@thomasjoseph3178
@thomasjoseph3178 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani Padre Nada. Mungu aikumbuke sadaka yako na akustahilishe kuurithi ufalme wa mbinguni
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie baba padre apumzike kwa amani Amina 🙏💔💔😭😭
@BerthaSimon-bn7oc
@BerthaSimon-bn7oc Жыл бұрын
Jaman arusha arusha arusha😭😭🙆 Ewe mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na nchi nusuru watu wako wa mkoa wa arusha shusha mvua ya rehema uwanusuru kama ni matukio yakutisha kwa arusha baba yatosha wasamehe wanao.Amina
@fratelltutiilaudatosi4153
@fratelltutiilaudatosi4153 Жыл бұрын
Ndio maana wakiweka sheria kali viongozi wa kanisa waumini wanaaza kulalamika unaona haya madhara sasa
@BerthaSimon-bn7oc
@BerthaSimon-bn7oc Жыл бұрын
@@fratelltutiilaudatosi4153 it's so sad
@onesmoelias2285
@onesmoelias2285 Жыл бұрын
Ndg siku zikiwa zmefka zmefka ila mungu hahusiki kabisa hapo shetan ndo amehusika
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz Жыл бұрын
AMINA.
@dianakalimba1109
@dianakalimba1109 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 mmmmmm Amina
@angelsulle7177
@angelsulle7177 Жыл бұрын
Pumzika Kwa Amani kakangu, Kwa maumivu yalotufika hatuna usemi. Mwuaji inaonesha hajaanzia Kwa Fr. Kuchangnyikiwa nahisi Kuna Damu inamlilia. Tumwombe Mungu amsamehe
@VailethMduda
@VailethMduda Жыл бұрын
Mungu ampe pumziko la Milele Baba yetu. Jamani inasikitisha sana na inaumiza.. Asante Mungu Kwa maisha yake hapa duniani .
@reginafrolence
@reginafrolence Жыл бұрын
Poleni Sana sisi Tuko dar munguu awapenguvu
@peninamilanzi3619
@peninamilanzi3619 Жыл бұрын
Nimelia Sana, Mungu turehemu ,Mungu aipokee roho ya marehemu fr wetu , Bwana Yesu mpokee mtumishi wako
@user-lo1ub5sv1t
@user-lo1ub5sv1t Жыл бұрын
Mungu tusaidie hizi nyakati zinatisha
@mwanawagurti4959
@mwanawagurti4959 Жыл бұрын
Mungu aiweke roho ya marehemu baba padre wetu mahala pema peponi
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
Poleni sana wana Parokia ya Karatu, poleni sana wana jimbo la Mbulu. Mwenyewe Mungu aipumzishe roho ya marehemu Padre mahali pema mbinguni!
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 Жыл бұрын
Yani Mkoa wa Arusha matukio kama haya hayawezi kuisha kwasababu wavutabangi wengi,wala unga wengi sana wao wanakiita cha Arusha halafu wanajikuta wajanja sana kumbe upuuzi tuuu
@ValentinaNjovu
@ValentinaNjovu Жыл бұрын
Mungu ampumzishe mahari pema peponi Padre mtu wa watu.
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
😢😢😢😢😢tunamalizana wenyewe..Mwenyezi Mungu tunusuru 🙏 🙏
@theodosiasangka183
@theodosiasangka183 Жыл бұрын
Roho ya marehemu Padre Pamphil Nada ipate rehema ipumzike kwa amani😢😢😢 amepiga vita amemaliza 😢
@laurnyandwi-sb1gu
@laurnyandwi-sb1gu Жыл бұрын
Hawa wagalatia wa Arusha iv nan aliye waloga.,mbona hawaishiwi visa na mikasa😢
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 Жыл бұрын
Yaani acha tu Arusha inatisha matukio kama yote 😢
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Жыл бұрын
Ushaur tu walinzi wa kanisan wasiwe wazee jmn chukien watu vijana waliofuzu mafunzo" huyo chz aliefanya tukio alijua atammudu mliz mana waliz wetu wa makanisan n watu wazima
@nicotawi
@nicotawi Жыл бұрын
Yesu Anarudi,Yesu Anarudi,Yesu Anarudi,Jiwekeni Tayari,Hakuna atakayemwona Mungu pasipo na Utakatifu
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Mungu mmoja anarudi na mwengine haonekani mpaka kwa utakatifu, Hv mnawaungu wangapi nyie??? Halafu mnazuga ati sote tunaabudu Mungu ni yule yule mmoja.
@nicotawi
@nicotawi Жыл бұрын
@@Fear_Allah394 Siko hapa kugombana wala kubishana lakini naeleza Ukweli ambao lazima Kila mwenye mwili afahamu. Hakuna Atakayeingia Mbinguni asipokuwa ameokoka,Baki na dini Yako,Baki na unachokiamini Huu ndio Ukweli.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
@@nicotawi . Hayo ndio maneno yenu makafiri mliowengi namm Sipo kwa kubishana Ila nipo kwa kuelisha wale mnaowapotosha.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
@@nicotawi. Kwanza ujue hakuna umma uloshushiwa Mtume wa kuwaongoza halafu ukaacha mafundisho yake na kutegemea utaingia peponi. Hata watu wa Nabii Mussa, Daud nk hawatoingia peponi km hawajafata mafundisho ya kiongozi wao/ambao ni Mtume wao. Kupitia Mtume wao ndio wanajua vp Allah anataka kuabudiwa kwa wkt ule na Mtume akija mwengine inamaana mafunzo ya Mtume aliyepita hayaezi kukupeleka mbinguni/peponi. Kwahio hata naww usitegemee km Yesu ataeza kukupeleka mbinguni na ndio mana wakuu wenu wnakupelekeni kuzimu kwa sbbu wanajua dhahiri kua wkt wa kufata maamrisho ya Nabii Issa/Yesu ushapita na ww huhusiki. Hebu jichunguze ww na hao makafiri wenzio kuanzia mavazi mpaka mapambo mnayokwenda nayo makanisani…kweli mnamfuata Yesu au shaitwani???
@claudiajames2003
@claudiajames2003 Жыл бұрын
May the heaven receive you Father,pia Mungu ampe msamaha wa dhambi muuaji huyo
@benjaminchakwe9815
@benjaminchakwe9815 Жыл бұрын
Kila siku mi watu nawaambia hakuna sehemu ina watu wenye roho mbaya kama Arusha, Yani watu wa Arusha hata uku DAR ES SALAAM wanajiona wao ndo wao , Yani kuishi Arusha Bora nikaishi Malawi
@elikanainanyaro6378
@elikanainanyaro6378 Жыл бұрын
Unaumwa ww, siyo kila mtu ana roho aliyokuwa nayo muuwaji, huyo padr angekuwa na roho mtakatifu angemshuhudia kwamba huyu siyo mtu mzuri
@tinaminja5500
@tinaminja5500 Жыл бұрын
Acha mawenge wew unavyoongea tu unaonyesha zero brain😢
@catherinemhagama7505
@catherinemhagama7505 Жыл бұрын
Elikananyaro unaonyesha ulivyo kwa maneno yako
@elikanainanyaro6378
@elikanainanyaro6378 Жыл бұрын
Yaan ww akili yako ni tope kabisa, nenda ukaishi huko Malawi arusha haikuhitaji, halafu una roho kama ya huyo muuwaji tuu
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 Жыл бұрын
​@@elikanainanyaro6378acha ujinga ww hajasema wote but asilimia kubwa Arusha kuna matukio mengi sana ya kutisha
@lulujidahbrighton5148
@lulujidahbrighton5148 Жыл бұрын
Nyinyi ndio wabaya kwanini mmemuua mgemuuliza kwanini anamshambulia padree angesema tu labda aliwahi kumkosea na ndio nafas
@leonardchoma3765
@leonardchoma3765 Жыл бұрын
Haya maneno unayoongea ni kwa sababu rohoni mwako kumejaa chuki na ubinafsi unaotokana na itikadi.Kwa hiyo kwako kuua ni sawa?Basi Mungu ndiye ajuae yote.
@salomegabriel-kd7zz
@salomegabriel-kd7zz Жыл бұрын
PUMZIKA KWA AMANI FATHER MWENDO UMEUMALIZA IMANI UMEILINDA
@agnesmwagala1889
@agnesmwagala1889 Жыл бұрын
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani Amina 🙏
@komumbughuni8301
@komumbughuni8301 Жыл бұрын
Huyo alpagawa na mapepo, ni hatari sana, mapepo ni hatari, tuombe kwa uweza wa roho mtakatifu wakati wote jamani na kwa jina la yesu, m ungu amlaze pepa peponi amina
@esterpius7423
@esterpius7423 Жыл бұрын
Poleni sana. Atafutwe alikuwa na sababu..
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 Жыл бұрын
Kashuuliwa atafutwe wap
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 Жыл бұрын
Wapi sasa
@user-ko7ux8er8y
@user-ko7ux8er8y Жыл бұрын
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Father wetu
@mamylnkuzi8482
@mamylnkuzi8482 Жыл бұрын
Oooo MTUMISHI WA MUNGU .YESU MPOKEE KWENYE FURAHA YA MILELE
@teddymassawe3583
@teddymassawe3583 Жыл бұрын
Alikuwa mtu mbaya kwa sababu mbona hakumdhuru mlinzi?
@liboriusbabile1197
@liboriusbabile1197 Жыл бұрын
Huyo hakuwa chizi tafuteni sababu.
@TOUNDISELASSIE-xj8oy
@TOUNDISELASSIE-xj8oy Жыл бұрын
Kweli kabisa, ni lazima ufanywe uchunguzi wa kina. Na mahali pa kuanzia, ni kwa huyo mgonjwa. Ni mkazi wa maeneo hayo? Mumini wa kanisa hilo? Anajulikana na wakazi wa hapo kwamba ni mgonjwa? Naamini wataalam wa masuala ya upepelezi wanajua vizuri pakuanzia. Hata kichwa cha habari hakikupaswa kuwa hiki kilichopo. Bali padri auwa. Yawezekana zama za mpinga kristo zimewadia. Kama hamuamini! jiulizeni nini sababu ya vituo vya polisi kuwekwa mageti milangoni. Ni tukio lipi lilisababisha milango ya polisi kuanza kuwa hivi? Rai yangu kwa wakristo wote, imalisheni ulinzi maeneo yenu ya ibada, na kwenu ninyi wenyewe. Imani ni maisha, na maisha ni kuamini. Ndio maana muislam anaamini katika ibada zake anaishi vema kabisa. Mchina anaamini katika ibada zake anafanikiwa, mhindi pia ana ibada zake nae anafanikiwa, hata mkristo anaamini katika ibada zake pia anafanikiwa. Ndio maana nasema imani ni maisha.
@happylemboto9103
@happylemboto9103 Жыл бұрын
Af kaenda karud tena saa nane, duuh
@haruniaisha5905
@haruniaisha5905 Жыл бұрын
Watu wanamuombea padri tu 😢 si mmeambiwa wote wawili wamakufa
@WansolaLuther-tq8qm
@WansolaLuther-tq8qm Жыл бұрын
Huyo kichàa Tumwombee kwa lipi
@deograciousmmao4917
@deograciousmmao4917 Жыл бұрын
Mungu ampokee kwake mbinguni Pumzika kwa amani Baba Dekano
@skolastikakasmiry107
@skolastikakasmiry107 Жыл бұрын
R.I.P baba yetu
@jacklinebarthazary6278
@jacklinebarthazary6278 Жыл бұрын
Raha ya milele umpe Ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzke kwaamana amina 😭😭
@bakarbakarali-cw3gc
@bakarbakarali-cw3gc Жыл бұрын
Padri amuombeee mtu sio.mtu ajiombee mwenyewe kwa mungu da ukifiria kwa.undani kuna tatizo apo
@gracekalenga6620
@gracekalenga6620 Жыл бұрын
MUNGU akulaze pema peponi Baba PADRE.
@suzypaul4559
@suzypaul4559 Жыл бұрын
Mungu Amlaze Mahar Pema pepon
@user-sl1hp1bh4c
@user-sl1hp1bh4c Жыл бұрын
Tumuogope mungu inaumaa sanaa
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Жыл бұрын
Padri auwawa na muumini... (padri na muumini wote wauwawa) Alafu mnajisifu kujua kiswahil.
@calabash4221
@calabash4221 Жыл бұрын
Ni Kiswahili fasaha kabisa...zinaitwa Tungo Tata...
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Жыл бұрын
@@calabash4221 hahaha...... Hujazijua bado.. ndio nyinyi samaki mnaomwuita mboga
@marianajulius5926
@marianajulius5926 Жыл бұрын
Pumzika salama Padri wetu😭
@felisterandrew8741
@felisterandrew8741 Жыл бұрын
Mapadre wengine wanatembea na wake za watu,,,,Mungu ampumzishe Kwa Aman.
@tinaJoel-mj2gw
@tinaJoel-mj2gw Жыл бұрын
Mmmmmmh!!! Kichaa Huyo Alidhamiria Kweli.Poleni Waumini.Kweli Ni Tukio La Kuhuzunisha.Lala Salama Padri Mwendo Umeumaliza.Tukutane Siku Ile Kuu.
@mtabevilaini6527
@mtabevilaini6527 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani padre wetu😢😢
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 Жыл бұрын
Jamani hivi Arusha ipo Tanzania 🇹🇿 kweli maana kila siku matukio ya kutisha ni Arusha yaani kama wanaishi Nchi yenye Vita kwann Arusha tuu kila siku
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 Жыл бұрын
Arusha ni wakenya wale wauaji
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Ndio maana wageni au wazungu wanaita polisi haraka wakiona mtu anajitoa akili, yaani Angelita polisi jamaniiiiiiii
@deogratiusdonald5123
@deogratiusdonald5123 Жыл бұрын
Raha yamilele umpe ee bwana na mwanga wamilele umuangazie apumzike kwa amani. Aminaaaaaaaaaaaa!!!!
@user-wg7lf3wt9z
@user-wg7lf3wt9z Жыл бұрын
huyu mtangazaji ni noma kila siku anaibua story kali siku akiondoka Ayo kutkua na gape kubwa sana,milady watangazaj wengin hauna au wanakula ugali bure
@elizabethjohon5840
@elizabethjohon5840 Жыл бұрын
Jamani Arusha sikuizi kunamatukio 🙌 Rest in peace
@mamertarweyemamu3438
@mamertarweyemamu3438 Жыл бұрын
Hivi kwanini kusiwe na sheria saa za kuungama. Huyo Padre hakuwa na msimamo. Kwanini usiku isiwe asubihi. Kuungama si. Jioni ni asubihi. Kwanini huyo Padre aungamiehe jioni na tunajua ukiungama kwenye nuru. Utapokelewa. Ila usiku ni nguvu za giza
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Жыл бұрын
Pumzika kwa aman padri wetu jmn wema ajali 🙏
@makkamakka9171
@makkamakka9171 Жыл бұрын
Kwan Arusha imepatwa na Shetan gan
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 Жыл бұрын
Arusha kuna shetani kweli yani maana kila siku matukio sijui kun nn
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 Жыл бұрын
Kweli chukizo LA uharibifu limeingia patakatifu ,damu ndani ya kanisa ni hatari na laana hii jamani ,
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 Жыл бұрын
MUNGU ailaze loho ya paloko mahali pema pepon 😢😢🙏
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 Жыл бұрын
mungu tuhurumie sisi na ndinia zima R.I.P padre upumzije kwa Amani huyo katumwa si bule dah hakika inauma jamani😢😢
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 Жыл бұрын
Wallah hizi ni dalili za kiama ,kiama ki karibu
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 Жыл бұрын
Kwan mpaka mtu anapgwa Hadi kuuliwa hapakua na watu wa kusaidia
@melinamtemele5644
@melinamtemele5644 Жыл бұрын
Aaaaaah pumzika kwa Amani babaetu
@KHAMIS_SHILINGI
@KHAMIS_SHILINGI Жыл бұрын
Huyo chizi alouwa yuko wapi sasa
@YustaAlinani-uu6rf
@YustaAlinani-uu6rf Жыл бұрын
Mhm huyo hakuwa chizi ila yawwzekana alikuwa na mamboyake duh R i p mtumishi wa mungu.
@monicagabriel4388
@monicagabriel4388 Жыл бұрын
Pumzika kwa Amani Baba.
@LucyMunyaga-bl2tr
@LucyMunyaga-bl2tr Жыл бұрын
Inauma sana
@user-jq6ph3vq3k
@user-jq6ph3vq3k Жыл бұрын
Pumzika Kwa amani baba nakumbuka enzi nikiwa jimbo la mbulu hakika nilikuwa nabarikiwa sana na huduma zako
@user-fu3np4nn2h
@user-fu3np4nn2h Жыл бұрын
Pumzika kwa amani mtumishi wa Mungu
@user-dg6jq4sb2l
@user-dg6jq4sb2l Жыл бұрын
Mungu ampe pumziko la miele Amen
@senseiamani4684
@senseiamani4684 Жыл бұрын
Arushaaaaaaaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭 kuna mdudu gani
@user-uw7wd8mb2s
@user-uw7wd8mb2s Жыл бұрын
Mungu naasimame katikati yenu atuponye.Amina
@JoharChampuku-ro8ng
@JoharChampuku-ro8ng Жыл бұрын
Jamani tunaenda mbingu ya nani,kwa matendo kama haya.pumzika kwa amani mtumishi wa mungu
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
RIP BABA PAROKO. WATUMISHI WANAPATISHWA TAABU NA WAUMINI KINYUME NA TARATIBU, MANA KAMA NAO WANAJARIBIWA NA IBILISI IMANI YAO. AMEMUA PAROKO HUYU MTU NA MUNGU ALIKUWEPO AKIONA PEE! BASI TU BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA JINA LAKE LITUKUZWE. KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI. HATUJUI SAA WALA SIKU, MUNGU AWE NASI ATUOKOE KWA REHEMA YAKE TU BASI. INAUMAAAA.
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Rest in peaceful Padre 💜😭😭😭
@emeldamodest7039
@emeldamodest7039 Жыл бұрын
Namfaham huyu father jamani nikwetu huko nimeumia sana jamani
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 Жыл бұрын
Duh jamaa ana roho ngumu sna
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt Жыл бұрын
R I P Fr Mungu akupokee kwenye makao yake
@VioletNamz-tq4tg
@VioletNamz-tq4tg Жыл бұрын
The way of Lord is perfect, R.I.P servant of God.
@magemwaipaja8650
@magemwaipaja8650 Жыл бұрын
Dah Mungu ampokee huko alikoenda
@michaelchizoza8618
@michaelchizoza8618 Жыл бұрын
Pole wapendwa
@Happy-fs2zi
@Happy-fs2zi Жыл бұрын
Polen wapendwa mwanga wamilele amuangazie
@sylvestersoteli7997
@sylvestersoteli7997 Жыл бұрын
Napita 2 ila Arusha jirekebisheni kwa Nini Kila tukio Hilo 2.?
@TullaNossa
@TullaNossa Жыл бұрын
Apumzike kwa amani
@jinnahsameer
@jinnahsameer Жыл бұрын
Daaaa sijui watu wana nini jamani
@user-jp9pn7wg1b
@user-jp9pn7wg1b Жыл бұрын
Rest in peace father
@theopisterjovent3483
@theopisterjovent3483 Жыл бұрын
Rest in peace😢😢 Mungu akustahilishe kwenye ufalme wa Mbinguni
@sosthenesmaemba
@sosthenesmaemba Жыл бұрын
Tumechoshwa na upuuzi, wa kauli za ugonjwa wa akili ktk uvanizi ktk makanisa, si tabia njema, serikali Ina mkono mrefu ikichunguza itapata kujua ualisia wa uvamizi na ualibifu wa makanisa na mauaji, tumwombe sana MUNGU
@sixbert963
@sixbert963 Жыл бұрын
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani
@rogasianshayo3740
@rogasianshayo3740 Жыл бұрын
Sura ya muaji tumeone!! ila kuna kitu apo hakipo sawa🤔
@user-fm8ll7ln9i
@user-fm8ll7ln9i Жыл бұрын
Kwa vile ni Arusha bc sishangai 😂😂😂
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 Жыл бұрын
Nilijua tuu hata mm kama matukio kama haya yanatokea Arusha sijui kuna nn huko
@user-wo7us4qw2i
@user-wo7us4qw2i Жыл бұрын
Wapumziki kwa ama I,amina
@ericahrey-hj8wh
@ericahrey-hj8wh Жыл бұрын
kila kitu arusha😮😮😢mh
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 Жыл бұрын
Yani mkoa wa Arusha vichaa wengi kweli yani sijui wamepatwa nann
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Жыл бұрын
Poleni sana
@reubenshaban6488
@reubenshaban6488 Жыл бұрын
Oya wanangu Arusha legezeni basi jmn dah
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 Жыл бұрын
Mungu wangu R.I.P mtumishi
@venancemiyeji6804
@venancemiyeji6804 Жыл бұрын
Mauaji ya kuuwa watumishi wa Mungu yameanza tena, nakumbuka kipindi kile cha 2012-2014 matukio ya kuua Mapadre yalishamili sana Zanzibar ilipofika 2015 baada Uncle kuingia Madarakani yalikoma sasa tena yameanza, itoshe tu kusema Tanzania yetu iko chini ya ulinzi wa Mama wa Muumba (Bikira Maria) daima wanawauwa makuhani wa Mungu lakini Daima Kanisa litasimama katika kweli na kusimamia ukweli . na kusonga mbele na si kuyumbishwa na mtu wa siasa
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Ww nae kwanisiwanauwana wenyewekwawenyewe muuminina pasta wake na si mtuwa Dininyingine
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Kwa maana hata huko Znz mlikua mkiuana wenyenu kwa wenyenu. Mana mmejaa tele.
@theodosiasangka183
@theodosiasangka183 Жыл бұрын
Sintasahau sauti yake aliposoma Misa ya Pasaka Jimbo Katoliki Mbulu
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Padre hakupaswa kufungua usiku huo jamani.
@leoniadaniel9446
@leoniadaniel9446 Жыл бұрын
Mambo ya imani yy alichulia positive
@tinaJoel-mj2gw
@tinaJoel-mj2gw Жыл бұрын
Roho Ya Umauti Ilimzidi Nguvu.Ndiyo Maana Akafungua Duuuuh!!
@helentelemla5623
@helentelemla5623 Жыл бұрын
Dah ni huzuni sana.Pumzika kwa amani
@danieldm92
@danieldm92 Жыл бұрын
Noma sana!
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
kazi iendelee 😢 yaani kazi ya vifo imekua ndio kaur mbiu ya tanzania ni umaut uendelee nasio kazi maana kazi hazionekani bali maafa na utekaji na njaa ndio vinaendelea sasa
@johnbidya119
@johnbidya119 Жыл бұрын
Mungu amepanga.
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 Жыл бұрын
Weeee ,!!!!
@tinaJoel-mj2gw
@tinaJoel-mj2gw Жыл бұрын
Mungu Hawezi Kupanga Mauaji Yeye Ni Mungu Wa Upendo.
@user-tn9hn8od3j
@user-tn9hn8od3j Жыл бұрын
Arusha kuna shida gani..mbona mambo mengi ya hajabu..haswa ya watu kutokuwa na utu...why..
@PaskalinaMbota
@PaskalinaMbota Жыл бұрын
Rest in peace our father
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Жыл бұрын
Duh!
@magigesabai8674
@magigesabai8674 Жыл бұрын
Pelekeni wagonjwa hospitalini watibiwe huku maombi yakiendelea Tusing'ang'anie kuombea wagonjwa wa kutibiwa hospital
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
SAA 8 usiku sitoki ngo kuombea MTU. Washamkamata?? Kama aliye ua kauwawa SAFI sanaaaa
@user-qx6nj3me8x
@user-qx6nj3me8x Жыл бұрын
Dah 😢😢😢
@angeltarimo4613
@angeltarimo4613 Жыл бұрын
Jamani 😢😢
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 Жыл бұрын
Duh dunia Ina mambo
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 45 МЛН
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 93 МЛН
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 45 МЛН