HISTORIA YA TUNDU LISSU SIASA NA MAISHA /MTUKUTU ALIYEWAHI KUGOMEA JESHI AKAMKANA MBOWE KWEUPE....

  Рет қаралды 67,189

Habari extra Fact

Habari extra Fact

Ай бұрын

#facts #tundulissu #chadema #SIASA #trending
Tundu Antiphas Mughwai Lissu (alizaliwa 20 Januari 1968) ni mwanasiasa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania.
Alichaguliwa kuendelea kuwa mbunge wa jimbo la Singida Mashariki katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka 2015

Пікірлер: 78
@user-uh3rz9mr2f
@user-uh3rz9mr2f 25 күн бұрын
hongera kaka risu mungu akurinde sana
@shukurumsebaloli
@shukurumsebaloli 9 күн бұрын
Ni risu ama lisu?
@SwahiliTechs
@SwahiliTechs 6 күн бұрын
@@shukurumsebaloli 😂😂😂 ameandika alichojisikia, ni lisu
@joshua.mhando
@joshua.mhando 5 күн бұрын
*Lissu *Akulinde
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 Ай бұрын
Mwamba Lissu
@josephkajumulo1994
@josephkajumulo1994 17 күн бұрын
Dah huyu jamaa ni mwisho Mzee! Hatari saan asee
@beinafuu6219
@beinafuu6219 29 күн бұрын
Hongera baba
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 Ай бұрын
Historiya nzuri na yakueleweka, from Cedar Rapids Iowa state USA
@joshua.mhando
@joshua.mhando 5 күн бұрын
*Historia
@salama1113
@salama1113 28 күн бұрын
Raisi wa 2025
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 8 күн бұрын
Tobaaa kwa inch ipi ?
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 күн бұрын
Labda rais wa ukoo wenu 😂😂😂
@user-dk3ou5yk2f
@user-dk3ou5yk2f 28 күн бұрын
Lengo la aliyetengeneza historian ya mchongo huyu ni kumchafua LISU Ole wake ni Lazima apigwe na MUNGU Kwa uongo huu Natamka Mimi mtumishi wa MUNGU MWENYEZI aliye hai kwamba atalipwa sawasawa na uovu wake
@hagaisanga7286
@hagaisanga7286 16 күн бұрын
Prefect sio perfect
@JohnMasatu-oj5mj
@JohnMasatu-oj5mj 22 күн бұрын
Ongera San Kamanda lissu
@joshua.mhando
@joshua.mhando 5 күн бұрын
*Hongera
@fadhilikombe3338
@fadhilikombe3338 5 күн бұрын
Mungu amjalie Ushindi 2025 awe Raisi wetu 🙏
@SendeuSaiboku
@SendeuSaiboku 23 күн бұрын
2025 karibu san
@mollellominis2267
@mollellominis2267 11 күн бұрын
Good
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 Ай бұрын
Hongera mwamba
@majimanatv114
@majimanatv114 4 күн бұрын
Sio perfect ni prefect
@napoleonmutungi6866
@napoleonmutungi6866 Ай бұрын
Prefect
@eliudmwaipasi7732
@eliudmwaipasi7732 23 күн бұрын
anatamka perfect kwa swag kumbe yupo chaka hizi media pumbavu kabisa
@michaelmkozi3156
@michaelmkozi3156 7 күн бұрын
Good 👍
@DoctorRengeda
@DoctorRengeda Ай бұрын
Chuma hicho🛠️✌️✌️✌️🇹🇿✍️
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Ай бұрын
Lissu Alikuwa mtovu wa Adabu ile mbaya 😮
@user-if9gi2rx8f
@user-if9gi2rx8f Ай бұрын
Kama wewe
@florakasike4331
@florakasike4331 21 күн бұрын
ila genius
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 күн бұрын
😂😂😂😂Na mashavu yake atakuwaje na adabu
@freddymtashi5020
@freddymtashi5020 18 күн бұрын
Mtu wa maana saana
@user-qb6dx2kv3z
@user-qb6dx2kv3z 28 күн бұрын
Mimi nakutabiria uraisi wa jamhuri ya muungano wa Tz 2025 tutakupa kura kwa kishindo
@hassanmuhidin871
@hassanmuhidin871 25 күн бұрын
Nchi hapewi kibaraka😅
@user-on1mg5ng6n
@user-on1mg5ng6n 15 күн бұрын
Utampa kura ww2 ila sisi hatumpi nchi mpizani
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 12 күн бұрын
We choko kweli...ccm ipo madarakan kwa mda gani Ku.....🖕​@@user-on1mg5ng6n
@emanuelkitiku690
@emanuelkitiku690 21 күн бұрын
Naona mashetani wa napiga ukweli kama nikweli hutaki use mwe lissu nikamada
@JumaMnangwa-oj1xn
@JumaMnangwa-oj1xn 6 күн бұрын
❤❤❤❤
@user-cz3gk2op9r
@user-cz3gk2op9r 27 күн бұрын
Huyu mwamba ni namba nyingne
@Luganoamos-jv5in
@Luganoamos-jv5in 5 күн бұрын
Lissu mtata baraa,safi
@joshua.mhando
@joshua.mhando 5 күн бұрын
*balaa
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 күн бұрын
Wakati tunajifunza r na l uliiuwa bize kutuwekea vioo uonechupi
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 күн бұрын
Akipewa pewa nchi mniite mbwa😂😂😂
@omarymnuru8746
@omarymnuru8746 6 күн бұрын
Perfect 😂 ni Prefect=kilanja
@joshua.mhando
@joshua.mhando 5 күн бұрын
*Kiranja
@ElastoMashine-nw2dz
@ElastoMashine-nw2dz 4 күн бұрын
Uyu jamaa namkubali kinoma
@fadhilikombe3338
@fadhilikombe3338 5 күн бұрын
❤❤❤
@user-we5px7gp2r
@user-we5px7gp2r Ай бұрын
Huumjiza unaotembea haulanganishwi na yeyote Nani ya Taifa hili mengine yamesoma lakini ni machimia tumbo ndo maana tuna machawa ndani ya nyumba yetu, mtu mwenye akili timamamu unajiita chawa mdudu mchafu Sana.
@DativaMbowe
@DativaMbowe 27 күн бұрын
Shida ilianzia kusoma oliboro🤔🤔❤️❤️
@veronicalaiser7869
@veronicalaiser7869 27 күн бұрын
Ilboru
@CreatureIey-eh8nh
@CreatureIey-eh8nh 4 күн бұрын
@@veronicalaiser7869 ilboru sec
@AmosSniper
@AmosSniper 24 күн бұрын
Tanzania Ina vichwa Kuna Lissu Kuna Mpemba askofu, Kuna Mwabukusi na yupo Msigwa pita
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l 25 күн бұрын
mwamba lisasi zote yuai wewe ni mwamba tupamba nie
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 17 күн бұрын
Kweli wewe ni mwamba
@napoleonmutungi6866
@napoleonmutungi6866 Ай бұрын
Acha ujinga perfect au prefuct?
@user-mt6ik3dc4u
@user-mt6ik3dc4u 28 күн бұрын
wew mwnyw hujui😂😂😂😂
@Ommylayzah_tz
@Ommylayzah_tz 26 күн бұрын
Perfect na Prefect kichaa 😂😂
@vivianshalua2383
@vivianshalua2383 3 күн бұрын
Unapotosha! Hadi unaharibu stori. Kama le haipandi sema kiswahili.
@TellaaxisTz
@TellaaxisTz 11 күн бұрын
❤ #tellaaxistz
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu 5 күн бұрын
Ivi mtangazaji kwani ni lazima uongee kingereza jaman🙄🙄🙄
@user-ox8tr1ub2e
@user-ox8tr1ub2e 5 күн бұрын
Nan alokwambia ukimbie shule😂😂😂
@patrickedward5130
@patrickedward5130 16 күн бұрын
.
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu 22 күн бұрын
Inasikitisha sana kwa mtu anayempigania Lisu awe Rais sifa zake za kishenzi alivyokuwa Tanga kwa mtu anaye mjua hilo ni Bom hanasifa ya kuwa kiongozi ktk jamii kwakuwa hata tabia zake shuleni hazimpi sifa alivyo kuwa mbunge alisaidia kitu gani kwa wapiga kura wake fuatilieni historia ya mtu msikurupuke tu kusifia
@user-xx1je7sy4h
@user-xx1je7sy4h 22 күн бұрын
Wew umesaidia nn pumbavu
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 21 күн бұрын
Ulitaka asaidie nin jimbon kwake kwani yeye ndo anayekusanya Kodi mbona unaongea upuuzi Kama syo mtu mzima.Kama serikali ikakata kufanya maendeleo jimbon mbunge atasaidia nin.Kumbuka umaarufu kaupatia bungeni
@issaalfani1030
@issaalfani1030 15 күн бұрын
Hujielewi ndugu wewe ni moja ya wanyonyaji Pesa zote wamezishikilia Serikali, Serikali ni CCM wanawezaje kuzitoa wanaona zitampa sifa mtu wa Chadema wakati CCM hawataki kuambiwa ukweli kingine ujinga wako wa kusema kaifanyia nini Singida huo ni uhuni waTanzania wa sasa ni waelewa Mpinzani hawezi kuchukua pesa Serikali kuu pasipo Serikali yenyewe wewe unabwabwaja tu hujielewi
@helenarhobi1250
@helenarhobi1250 26 күн бұрын
Kumbe alikuwa GAIDI tangu zamani. Sasa hiyo ni historia ya kutwambia. Ukorofi tu! Sasa yapo wapi???
@yordanyona1234
@yordanyona1234 24 күн бұрын
Kuwa mbishi sio ugaidi...alikuwa anabisha kwenye haki
@henryndosi2002
@henryndosi2002 27 күн бұрын
Ushoga alimfundisha nani tuambie
@makobamasawemangu4122
@makobamasawemangu4122 26 күн бұрын
Shoga si ni baba yako au unazani hatujui
@user-uh3rz9mr2f
@user-uh3rz9mr2f 25 күн бұрын
muache matusi mungu hapendi
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 22 күн бұрын
Sio shoga kama wewe
@emanuelkigwapi7730
@emanuelkigwapi7730 15 күн бұрын
Usifikilie kwakutumia tumbo
@herijaphet
@herijaphet 28 күн бұрын
Amejawa ubinafsi huyu jamaa. Na anaamn yeye ni mkamilifu kuliko yeyote. Na ww unasifia ujinga. Watukutu shuleni ni mfano wa kuigwa? Na ww ulimaliza shule kweli?
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 27 күн бұрын
Wewe ndo fala ubinafsi niwakwako uliye jificha huwssemei wanyonge
@fintanifelix1680
@fintanifelix1680 25 күн бұрын
Sasa Tanzania kuna anaemzidi akili lisu
@1961nungwi
@1961nungwi 25 күн бұрын
Mimi simfahamu Lissu. Lakini kwa maelezo Haya sio mbinafsi hata kidogo!
@yordanyona1234
@yordanyona1234 24 күн бұрын
Ni kweli maana hapo hakuna alichofanya kwa ajili yake
@alexbitakwate
@alexbitakwate Ай бұрын
Kweli wewe ni jembe,na Mungu alikufungulia upeo mapema
Tundu Lissu Vs Mwana Sheria Mkuu Bungeni
7:05
SIMU. Tv
Рет қаралды 1 МЛН
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 27 МЛН
FOOLED THE GUARD🤢
00:54
INO
Рет қаралды 63 МЛН
WHO DO I LOVE MOST?
00:22
dednahype
Рет қаралды 79 МЛН
터키아이스크림🇹🇷🍦Turkish ice cream #funny #shorts
00:26
Byungari 병아리언니
Рет қаралды 28 МЛН
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 27 МЛН