TUNDU LISSU AFICHUA JINSI ABDUL ALIVOMUOMBA RUSHWA, RAIS SIO MAMA YANGU NI MAMA ABDUL

  Рет қаралды 20,852

HABARI 24

HABARI 24

28 күн бұрын

Tundu Leo akiwa Singida
If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
COPYRIGHT VIOLATION
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.
#tundulissu #lissu

Пікірлер: 133
@MrBarracudablue
@MrBarracudablue 25 күн бұрын
Hizi ndizo Siasa za Wapinzani wa Tanzania. Unasikilizaaa, hupati point ya Maana ya Kukushawishi kuendelea kusikiliza. Bure Kabisa
@monicamwita7865
@monicamwita7865 23 күн бұрын
Two hupati pointi ya maana!!??? Toa pointi zako tuzipime kama zina maana. Ukiwa chawa hata niliambiwa kula uchafu wako utakuja kwa sababu akili haichanganui mambo
@munuoisaack418
@munuoisaack418 15 күн бұрын
Hao wengine wana jipya gani hujielewi
@user-eg1mz6vo1d
@user-eg1mz6vo1d 25 күн бұрын
Pray for tundulisyu
@LeylahSunday
@LeylahSunday 27 күн бұрын
Huyu baba ni hater na wala hafa kuwa kiongozi wa nchi ,anahusda za nje nje ,wala haleti hoja zinazojenga yeye kila siku ni kuponda viongozi
@chande2k250
@chande2k250 27 күн бұрын
Nawe toa hoja zako sio chuki hoja inashindana kwa hoja na sio porojo kama Nawe ni chawa wkt utafika Ndio utaelewa wenzetu africa MAGHARIBI wanawafukuza wazungu na kuanza kupambana wnyw na mali zao sie tunaziuza
@uwezomayonko5101
@uwezomayonko5101 25 күн бұрын
Anaefaa ni nani? bibi yako?
@ErastoMaridadi
@ErastoMaridadi 25 күн бұрын
Hawa wanaotetea wizi huu na uuzwaji ardhi ya taifa hili kwa wageni ndio majizi yanayofaidika na wizi huo,hawajui kuna watanganyika wengi hawamudu gharama za matibabu,hata mlo mmoja ni shida,shule mbovu,karne hii watoto wanakaa chini tena dar,nchi ina miaka 60 ya uhuru.aibu gani hii
@user-jc8el6je5e
@user-jc8el6je5e 24 күн бұрын
Unataka hoja gani
@HenryCastuli-jz3cx
@HenryCastuli-jz3cx 24 күн бұрын
Jamani wanaombishi mjue ni chawa
@latayclassic1524
@latayclassic1524 25 күн бұрын
Huy mgonjwa wa akil nahisii hayupo sawa
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 24 күн бұрын
Inawezekana karibu kufatilia
@monicamwita7865
@monicamwita7865 23 күн бұрын
Kama wewe zero brain
@mohamedhaji4827
@mohamedhaji4827 25 күн бұрын
Tundulisu kumbe ni mzee usie na akili wala busara
@monicamwita7865
@monicamwita7865 23 күн бұрын
Wewe ndiye mwenye busara na akili? Wewe 0 kabisa kichwani. Unatetewa lkn kichwa empty set. Jitafakari.
@jeskakahangwa4692
@jeskakahangwa4692 22 күн бұрын
Badala mtumie vizuri demokrasia mliyopewa, mkipigwa stop mnalalamika, mmepewa mwanya toeni nondo siyo uchochezi
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 27 күн бұрын
Tanganyika hamna Rais ila Watanzania ndio wana rais
@obednyagani506
@obednyagani506 21 күн бұрын
Msiojua anachoongea lissu hamtaelewa tena
@user-wu2du6jy5c
@user-wu2du6jy5c 23 күн бұрын
Bora mb nizimalizie kwa makonda
@user-rh5yn3bc1o
@user-rh5yn3bc1o 23 күн бұрын
Mawazo hayapigwi rungu.....ukinywa sungura msikilize.....utamuelewa km mlev mwenzetu.....ila mlev hadanganyi
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 27 күн бұрын
Daaaah bro Tundulisu unatufungua macha kweli kweli
@monicamwita7865
@monicamwita7865 23 күн бұрын
Well said. Tunafunguliwa macho lkn bado kijinga fln haijielewi.
@levissanga8867
@levissanga8867 27 күн бұрын
Hongera Tundu umejaliwa kuona ambayo wengi hawayaoni.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 26 күн бұрын
Hamna kitu
@YohanaMasebo
@YohanaMasebo 26 күн бұрын
Kinyesi wewe
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 26 күн бұрын
Hongera Kwa lipo jibaba. Shoga hilo😂
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 25 күн бұрын
Hujielewi kenge wewe.
@user-ys1yu6wj2k
@user-ys1yu6wj2k 27 күн бұрын
Lisu watanzania wa hali ya chini tunakuelewa sana
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 26 күн бұрын
Hali ya chini😂 fanya Kazi wewe acha umayuku
@kingkendrickk
@kingkendrickk 15 күн бұрын
Tundu Lissu mwiba mchungu
@SabraNassor-hv1xi
@SabraNassor-hv1xi 27 күн бұрын
kwa upinzani huu mlionao Tanzania mainland ni bora ccm tuu hawa jamaa ni wabaya sana
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 22 күн бұрын
Sio bara tu upinzani unajikita kwenye chuki mnoo tz watu wanatiwa chuki na ubaguzi wa hali ya juu nakuaminishwa vitu vya ajabu .
@twahirAmour-fp4oi
@twahirAmour-fp4oi 26 күн бұрын
kua na shukran mama kakufanyia mengi sana2 lkn hii ni tabia yenu watanganyika huku zanzibar tunakufanyieni mazuri mengi lkn mara mnamuibia mtu nakukimbia HAMFADHILIKI .
@hassannuru7399
@hassannuru7399 25 күн бұрын
usiseme watanganyika,sema mtu anayehusika.huku tanganyika watu wengi sana tunamkubali rais wetu.huyu ni rais wa Tanzania,achana na hao watu mufilisi wa sera,hawana sera wanajaribu kutumia uchochoro wa ubaguzi kupata madaraka na ndo wameharibu kabisa hawapati kitu.
@monicamwita7865
@monicamwita7865 25 күн бұрын
Shukrani ya nini? Ana haki kuishi Tanzania kama wewe. Wewe vipi shida zote tulizonazo mnaendeleaje uchawa! Hivyo kabisa
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 23 күн бұрын
Kaeni kwenu na sisi kwetu
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 23 күн бұрын
Tunakuombea kiongozi bora ananza na rasilimali zilindwe wameiba sana ila bado zipo tatzo kizazi tulicho nacho kina elimu ya kukarri na sio fani
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 23 күн бұрын
Nyumbu mzee wa milembe huyu huna hoja wala sela zaidi ya chuki husda wivu na ubaguzi. Nyumbu tu ndo watakuelewa wewe
@asiaasia2908
@asiaasia2908 27 күн бұрын
Akili kubwa
@KurusumuMatola
@KurusumuMatola 27 күн бұрын
Kwel kabisa tundulisu
@HusenNdwata-yb6nw
@HusenNdwata-yb6nw 25 күн бұрын
Ukwel sitaman ata kuwa mtanzania hi nchi kero san maish imekuw ngumu
@user-cu9mj3xj8x
@user-cu9mj3xj8x 21 күн бұрын
lisu umekosa hekima nabusara,hatushangai. kuonahayo,hizinidalilizamashoga,waubergiji na amerka,ulistahilu hichokilichokupata,senzisanawee
@yahayamtonga9762
@yahayamtonga9762 26 күн бұрын
Wenye kujua siasa hawezi kumuelewa lisu yeye alipo gombea urais alijitambulisha aliko tokea Kuna mawili huenda alipata shida wakati alipo zaliwa au Kuna kamsumari kaliko fyatuka kichwani hatutangi ngonjera tuambie utafanya Nini ukiingia madarakani sio porojo
@ahmedhamis
@ahmedhamis 26 күн бұрын
Wewe umepewa pikipiki? Hayo yote huelewi? Jinga wewe
@user-ve7ig7qu1u
@user-ve7ig7qu1u 17 күн бұрын
Mamaaasaa😂😂😂😂
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv 24 күн бұрын
Mbona USA nchi kama Canada, Mexico , Marekani zote zina marais wao na bado Marekani ndy msemaji mkuu
@mangobase
@mangobase 17 күн бұрын
Huyu jamaa akili Yake inaisha charge....anahitaji msaada 😊
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 13 күн бұрын
Mmh
@BILALIMSANGI-kw2ki
@BILALIMSANGI-kw2ki 22 күн бұрын
Mzanzibar anauwezo wa kumiliki ardhi Bara lkn mtu wa Bara hawaruhusu kumiliki ardhi zanzibar muungano hauko sawa
@jeskakahangwa4692
@jeskakahangwa4692 22 күн бұрын
Badala ya siasa watu mnahutubia uchochezi tu. Sijaona jipya hapo kwa sasa.
@THEPOTTINGBENCH
@THEPOTTINGBENCH 25 күн бұрын
Mama Abdul 😅
@BILALIMSANGI-kw2ki
@BILALIMSANGI-kw2ki 22 күн бұрын
Sema hapo kwenye muungano Kuna mambo hayapo sawa
@warrenmgode1837
@warrenmgode1837 25 күн бұрын
Lisuuu kaliii hiyoo
@obednyagani506
@obednyagani506 21 күн бұрын
Wale wa bara wenye viwanja zanzibar tugonge like hapo chini
@user-ud8pm1ks2b
@user-ud8pm1ks2b 13 күн бұрын
Umetumwa na ccm
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 25 күн бұрын
Nani alimuomba mwenzie😮
@ErastoMaridadi
@ErastoMaridadi 27 күн бұрын
Kwa hali hii watanganyika tumekwisha
@lusakaone7782
@lusakaone7782 25 күн бұрын
Tokea tuanze uchaguzi wa vyama vingi upinzani unashinda Zanzibar, ni nani anayebadilisha matokeo dakika za mwisho? jibu nawaomba kwa hoja.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 24 күн бұрын
Huo ni ushabiki tu, uko wapi uthibitisho wa ushindi. Siasa za Zanzibar ni 50/50 yoyote ataetangaza kushinda kwa 5% dhidi ya mwenzake kamuibia. Unguja CCM inashinda 90% na Pemba upinzani unashinda 99%. Ni kujitekenya na kucheka mwenyewe kuamini CCM haikubaki kabisa Zanzibar.
@lusakaone7782
@lusakaone7782 24 күн бұрын
@@hajihassan5433 Hapana, CCM unguja inaashinda kwa udanganyifu tu, kama wapiga kura 400000 wanaweza Pata 220000,ila Pemba kwenye 150,000 hawapati hata 15,000, hebu piga hesabu hapo wanatoboa
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 27 күн бұрын
Tundu lisu yuko sahihi uyu mama wasipo mzuia kuuza vitu tutajikuta maskini Job Ndugai alisema akapuuzwa sasa yanatokea anafanya kusudi kuuza mali za Tanganyica
@hassannuru7399
@hassannuru7399 25 күн бұрын
kauza nn,au wengine hatujui maana ya kuuza na kununua ?
@allymusira2153
@allymusira2153 25 күн бұрын
​@@hassannuru7399ndg yangu wajinga wengi sana na chuki za udini
@Jal210
@Jal210 20 күн бұрын
Hana adabu huyu
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 26 күн бұрын
Tatizo huna hoja ya kujenga Ni kuppnda SEMA ukipata nafasi ya kuwa Rais utatukwamua vipi!?
@amohd8502
@amohd8502 23 күн бұрын
Lizani mtu wa maana sana lissu kumbe ana ubinafsi hivi , unawalisha watu ujinga wa udini na ubaguzi. Kumbuka familia yako italishwa hichi unachokisema .
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 23 күн бұрын
We hujuii kitu tuko kwenye utumwa wa akikiii moja wapo ww
@dominic4727
@dominic4727 27 күн бұрын
Democrasia ya mchongo
@mohamedhaji4827
@mohamedhaji4827 25 күн бұрын
Lisu huna akili coz samia kachaguliwa na katiba baada ya kuondoka magufuli kumbe wew zuzu unaowapa watu sera za ujinga
@stevenialbert5033
@stevenialbert5033 20 күн бұрын
Mjing ww kisa rais muislam ndo mnatetea ujinga
@mohamedhaji4827
@mohamedhaji4827 20 күн бұрын
Ndio maana nkasema hauna akili mim sipo kwenye udini ila mnaleta ubaguzi na matusi kwenye dini kisa t kiongozi anadini ya kiislamu Mim siomwanasiasa na wala sinamapenzi ya siasa na wala sinamuda wa kuenda kumpigia kura mtu fulani ila hoja zenu ni kutokana kiongozi ni wakiislamu huo ni upuuzi na ujinga
@silivestatesha9262
@silivestatesha9262 24 күн бұрын
Tundulisu wewe unahangaikia tumbolako nahao wanao mwita mama naowana hangaikia matumbo yao wanasiasa niwaongo sana vijana ndio shabaha yako kubwa kuwadanganya nakuharibu historya yao
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 24 күн бұрын
Hata wewe chawa mwache atufungue
@dinimanabii833
@dinimanabii833 25 күн бұрын
sasa umebakia na majungu baada ya kuishiwa hoja😂😂
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 25 күн бұрын
Pumbavu sana Tundu lissu na lichama lako chadema. Wala hamtaingia ikulu.
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 23 күн бұрын
Paka sindio akitawala huu msitu
@anethmtei2912
@anethmtei2912 25 күн бұрын
Kwani kuongea bila kumtaja rais huoni raha. Unatuchosha tu huna sera.
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 23 күн бұрын
We hujuii ulisha jiuliza hao maccmz wamejenga nn tatzo we huna fkra subir siku na ww unaambiwa uhame kwenu ndio utajua
@mahamudjuma7583
@mahamudjuma7583 26 күн бұрын
lissu ni kibaraka wa mabeberu
@ahmedhamis
@ahmedhamis 26 күн бұрын
Ukibaraka gani,kama kusema serikali ni ukibaraka sawa? pumbavu
@user-rh5yn3bc1o
@user-rh5yn3bc1o 23 күн бұрын
Beberu mbuz au?
@Mumewangu
@Mumewangu 27 күн бұрын
Lisu huna jipya. Huyo mama Abdu ndie alie kutoa mafichoni hata shukran hauna. Mavi wewe.
@monicamwita7865
@monicamwita7865 23 күн бұрын
Wewe una jipya lipi. ?
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 23 күн бұрын
We ndio hujijuii mavi mwenyewe mnaangamia Kwa uchawa
@NuruJuma-zv3yz
@NuruJuma-zv3yz 27 күн бұрын
Kichwa kibovu maluelue ya risasi yanampeleka mbio sana
@user-yb9cl6fr6l
@user-yb9cl6fr6l 26 күн бұрын
Wewe huwezi kumuelewa lisu nahuwezi kumuelewa mpaka kiyama kitasimama Sasa nikuulize kwakatiba ya nchihii anamamlaka ya kuuza nakugawa ardhi? swali naomba jibu
@user-yb9cl6fr6l
@user-yb9cl6fr6l 26 күн бұрын
Kwakatiba ya nchi hii raisi Samia anamamlaka yakuuza ardhi Zanzibar? swali naomba jibu
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 23 күн бұрын
Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo,
@elishajoseph8291
@elishajoseph8291 25 күн бұрын
😂😂😂
@ghottaman2570
@ghottaman2570 27 күн бұрын
Sawa Lisu wenye kuku elewa nazani wame elewa shida iko hapa chama chenu nacho kimekua kama Gaza au Chechinia, Mama nae wame mshauli vibaya kurusu hii mikutano sawa tuna pigwa ila kejeri kwa kiongozi wa nchi siyo nzuri Mama kua kauzu kidogo vyuma anyooke atoke nduki ugaibuni😂😂😂
@salehrashid3153
@salehrashid3153 26 күн бұрын
Huna jipya ,huna hoja ni upuuzi mtupu anaongea
@monicamwita7865
@monicamwita7865 23 күн бұрын
Mpuuzi wewe usiyejitambua. Wengine tunaielewa sana na anatufungua macho
@user-gy5ii3ig1d
@user-gy5ii3ig1d 26 күн бұрын
Binaadam haitwi tundu wewe
@user-id7ws5hl5p
@user-id7ws5hl5p 25 күн бұрын
Watu wa nakuangalia huna sera chadema Chama wazanzibar
@babazungu3180
@babazungu3180 26 күн бұрын
Mbona hamsemi mazur yake km ulilipwa hela zako zote
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 26 күн бұрын
Lifisi yemu linasema lisu hafai kuwa rais Lina akili mgando likakojoe lilale wenye akili timamu tunamsubiri lisu ni mpango. Wa mungu
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 26 күн бұрын
Mafisi em hayamuelewi tundu wenye .akili timamu tunakutaka na tunakuombea
@monicamwita7865
@monicamwita7865 23 күн бұрын
Kweli. Tena hawampendi kwa sababu anachosema ni kweli.
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 27 күн бұрын
Huyo Lis Hana mpya
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 26 күн бұрын
Mpya anazodada yako wewe!
@alsam4881
@alsam4881 22 күн бұрын
Tundu lisu na Mange kimambi akili zao zinafanana Yaani wao ni majungu tu na kufitinisha wananchi na Serikali na kutaka kuharibu amani ya nchi ya Tanzania.
@ProsperUlungi
@ProsperUlungi 26 күн бұрын
Kwa mambo hayo kuna chizi anakwambia tundu lisu m.baguzi wakati watu wanaumizwa kweli na wanafukuzwa kwenye maeneo yao
@hassannuru7399
@hassannuru7399 25 күн бұрын
kwani nchi hii watu kuondolewa kwenye maeneo yao kupisha wawekezaji au miradi ya maendeleo imeanza leo ? Ebu watafute hoja nyingne.
@ProsperUlungi
@ProsperUlungi 25 күн бұрын
@@hassannuru7399 nilivyoona jina lako nikaona akili za Udini ndio zimekujaaa wewe unajua maeneo mangapi watu wametimuliwa au unalopoka2 ushabiki
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 27 күн бұрын
Wewe ni mjinga juu yakwamba nilikua naimani na ww mbwaa sana wewe ukua unajificha huyyo huyo mzazibari akuweka huru
@ProsperUlungi
@ProsperUlungi 26 күн бұрын
Udini unakusumbua
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 23 күн бұрын
Nyie ndio mapaka
@salummussa1139
@salummussa1139 24 күн бұрын
Muongo
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 23 күн бұрын
We nichwa tu
@suleimankhalfan8030
@suleimankhalfan8030 26 күн бұрын
Mwambieni aendelee kusapoti mashoga
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d 27 күн бұрын
Upumbavu mtupu hamna Lolote la mana linalosemwa mhuuu
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 26 күн бұрын
We Abduli wewe tulia acha dawa ikuingieeeee😂😂😂😂
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 23 күн бұрын
Kula chuma hicho
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 26 күн бұрын
😂😂 Abduli tulia wew dawa ikuingie...... hatuna rais nchii bali kuna mzululaji..
@ErastoMaridadi
@ErastoMaridadi 27 күн бұрын
Husda gani nchi inauzwa,sikia anachoongea,kweli tumekuwa mazuzu
@hassannuru7399
@hassannuru7399 25 күн бұрын
hakuna nchi inayouzwa,hizo siasa tu.
@levissanga8867
@levissanga8867 27 күн бұрын
Mungu akulinpde shujaa wetu Tundu Ni wajinga tu hawaelewi unachosema
@hajihassan5433
@hajihassan5433 24 күн бұрын
Namjuwa Rais Samia tokea msichana, kuolewa, kuwa mama, NGOs Muwakilishi viti Maalum, Waziri, Mbunge jimbo wa Makunduchi, Makamo wa Rais hadi Rais. Ana watoto wawili tu Wanu na Ameir, huyu Abdul ametokea wapi au mama Abdul ni nani?
@monicamwita7865
@monicamwita7865 23 күн бұрын
Ingiza darasani tena soma farini ndipo utaelewa.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 26 күн бұрын
Bhangi siyo kitu kizuri
@HUSSEINKINGO-os4wv
@HUSSEINKINGO-os4wv 26 күн бұрын
Anavutia kunduni uyuu.
@massudidadi679
@massudidadi679 23 күн бұрын
Wewe kateteee mashoga huko siasa haikufai Bora CCM kuliko nyinyi mukipewa hili taifa mutaliharibu hamna akili
@hassannuru7399
@hassannuru7399 25 күн бұрын
ukimaliaza mikutano ya matusi na kushambulia utu wa watu uanze mikutano ya kutangaza sera za chama chako na utuambie ukipewa kuongoza nchi hii utafanya nn.Tumechoka matusi na ubaguzi wako.
@user-hl8oo1ih5s
@user-hl8oo1ih5s 26 күн бұрын
Lissu hana fadhili wala shukran. Mama alikuja kukutazama hosp Kenya kidogo ufe. Ingekuwa si huyu mama TZ ungeisikia kwenye redio tu. Ungefia ukimbizini wewe.
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 27 күн бұрын
Mwaka huu uwe na aibu kdg, unashindana na mwanamke 😂 , wanawake wakiamua lao hata awe chadema wanasaliti
@user-ti5ik2le1i
@user-ti5ik2le1i 26 күн бұрын
We ni jinsia gan
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 26 күн бұрын
@@user-ti5ik2le1i jinsia ya baba yako
@aal8041
@aal8041 21 күн бұрын
Hayuko sawa hafai kugombea wala kuongoza watu ysni utuba zake nikusema viogozi na kuwatukana jamani sandosera gani hats k. Kunamtu anakipenda chama chake anagari
TUNDU LISSU AMSHIKA KOO RAIS SAMIA KWA KUHONGA PIKIPIKI NCHI NZIMA
5:55
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 35 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 46 МЛН
Full Debate: Biden and Trump in the First 2024 Presidential Debate | WSJ
1:38:19
The Wall Street Journal
Рет қаралды 18 МЛН
The must-watch moments of the CNN Presidential Debate
35:29
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 35 МЛН