HIZI NDIZO SABABU ZA YESU KUTOKWENDA MAKKAH. SHEIKH HABIBU MAZINGE

  Рет қаралды 768,605

Kishki Online TV

Kishki Online TV

Күн бұрын

Darasa ilitolewa na Sheikh Mazinge baada ya swala ya Ijumaa Msikiti wa Nuruyakin Temeke Dar es Salaam Tanzania Tarehe 6/11/2020, Sheikh mazinge alipatia nasha mbalimbali waumini baada ya swala ya ijumaa, na moja katika maswali mazito aliyoulizwa katika mihadhara yake ni swali hili, tazama hadi mwisho upate kuelimika, tunaomba usambaze ujumbe huu kwa wingi na Allah atawalipeni InshaAllah.

Пікірлер: 1 200
@abdoulkarenzo3138
@abdoulkarenzo3138 3 жыл бұрын
Wenyeku mpenda sheikh wetu Mazinge like apa lakini mimi sijabahatika kukuona sheikh wangu Mazinge
@rashidkalimbo2451
@rashidkalimbo2451 3 жыл бұрын
Shekhe Othman Mazinge Allah(S.W) Akubariki na Aibariki safari yako uende salama na iwe yenye mafanikio IshaAllah, kwa kweli tunakupenda sana huku KENYA sisi waislam wenzako na tunakuombea urudi salama na vilevile Alla(S.W) Atujaalie tuwe pamoja na Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) katika Pepo Yake IshaAllah...
@LilyKangethe-hw2bw
@LilyKangethe-hw2bw Жыл бұрын
Mashallah Allah Akuzidishie heri Inshallah...❤❤❤
@jojobrayan1551
@jojobrayan1551 3 жыл бұрын
We real love you sheikh ,ManshaAllah 👏👏🇨🇦🇨🇦
@zenaal-baalawy1953
@zenaal-baalawy1953 Жыл бұрын
From 🍁 🇨🇦 na mimi nampenda sheikh Mazinge namfatilia sana@jojobrayan1551
@hamishemed9396
@hamishemed9396 3 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi katika safari yako na akufanyie wepesi katika kuutetea uislam maswali utakayoulizwa katika huo mkutano Allah akupe wepesi kuyajibu kwa usahihi kabisa urudi na ushindi uwasilimishe mpaka mapadri
@emanuelmsaky8074
@emanuelmsaky8074 3 жыл бұрын
Dini haimpeleki mtu mbinguni amini kwamba siku za mwisho watakuja kuleta hesabu zote kwa Mungu soma biblia ufike mbinguni salama haijalishi upo kwenye dini gani asiye mwamini yesu amekosa uzima wa milele mapadri hawaweI silimu labda nyie tuwakaribishe muokoke.
@khuzeimaabdul4275
@khuzeimaabdul4275 3 жыл бұрын
InshaALLAH mungu atakuwezesha uendapo na ushindi juu ya uislamu
@user-sb2tz7sk6t
@user-sb2tz7sk6t 5 ай бұрын
Twamuomba allah aongeze warith wa hii kazi shekhe mazingi kwasababu hakuna namna siku yako ikifika mungu atakuchukuwa hatujui nan atakuwa na moy wa dhati kama ww wa kutetea uislam
@bandajr658
@bandajr658 3 жыл бұрын
Mungu awalipe mashekh wetu
@salimaomar9896
@salimaomar9896 2 жыл бұрын
Yaa Allah muwekeye Nuuru m zazi wa shekh Nourdini Kishikh katika Kaburi l'âne ALLAHUMMA Amiin
@tanzanian8847
@tanzanian8847 3 жыл бұрын
Allah akulinde shk wetu, nakupenda kwa ajili ya Allah. Allah akujalie umri mrefu na akupe ilimu zaidi uwashinde wote maadui zako. Allah akulinde na akukinge na balaa. Allah akupe riziq uitakayo. Amiiin thumma amiin 🤲
@kaya.o1673
@kaya.o1673 3 жыл бұрын
Man sha allahu
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed 9 ай бұрын
Ya Allah, Tunaomba ALLAH Akujalie.Uweze kutuwakilisha vizuri . Amiina.
@salmazaidalabrawi3723
@salmazaidalabrawi3723 3 жыл бұрын
Allah akupeleke salama shekh. Aammiiiin 🙌
@IngabireAisha3813
@IngabireAisha3813 3 жыл бұрын
Karibu sana burundi 🇧🇮 Allah awafikishe salama awarudhishe salama na ushindi uwe wa waislam karam ya tauhid izagae urimwengu mzima🙏🏻
@sakinat2527
@sakinat2527 3 жыл бұрын
Ameen yaa Rabbil aalamiin
@khadijaiddi4887
@khadijaiddi4887 3 жыл бұрын
Allahhumma Aamiin
@AishaAli-lk7gh
@AishaAli-lk7gh 3 жыл бұрын
Amiin
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Amiin allah auwinue dua nzima insha allah
@zou7470
@zou7470 3 жыл бұрын
Allahuma aminaa 🙏🙏🙏🙏🙏
@chamieadam7138
@chamieadam7138 3 жыл бұрын
Siku atakayofumba jicho sheikh Mazinge kama bado nikiwa napumua sijui nitaliaje wallah nampenda mno kwa ajili ya Allah tu sichoki kumsikiliza
@bananatz4216
@bananatz4216 3 жыл бұрын
Maashaallah Allah awafanyie wepesi muende salama murudi salama in shaa Allah
@amadykassim
@amadykassim Жыл бұрын
Nakukubali Mazinge ❤
@IngabireAisha3813
@IngabireAisha3813 3 жыл бұрын
Allah akbar mola wetu Mlezi akuwekee wepesi katika safari hio ln sha Allah kher amiin ya Rabii 🙏🏻
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Allah humma amin
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 3 жыл бұрын
Mashallah masheikh WETU Allah atawalipa fungu lenu siku ya Hesabu Inshaallah 👏
@Mwanaume676
@Mwanaume676 3 жыл бұрын
Karibu sana Urundini ustadhi Ya ALLAH mrahisishiye safari, kazi yake ya daawah na umpeleke na umrudishe salama salimina mwalimu wetu Habib Mazinge.
@selemanaman8340
@selemanaman8340 3 жыл бұрын
Allah akbar mwenyezimungu atujaarie mwisho mwema na atufishe hali nakuwa ni waislaam🕌🕌🕌
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 3 жыл бұрын
Wanaoendelea kumpinga Yesu wajipange upya wanapoendelea kumpinga anasema anikataae mimi asie yaamini maneno yangu neno hilo ninalolinena ndilo litakalomuhukumu siku ya Mwisho
@soccertv293
@soccertv293 3 жыл бұрын
Nani anampinga yesu hakuna mwislam anaempinga yesu ila wakristo hawamjui yesu nahawafuati ya yesu zaid ya paulo
@rumaukombo6415
@rumaukombo6415 3 жыл бұрын
Allah akupeleke Salam urudi Salam a .Allah atupe mafanikio mema ya dunia na akhera.
@ndayisengaamissi6102
@ndayisengaamissi6102 8 ай бұрын
Allah aendelee kukupa Umri mrefu Mwalimu Mazingi❤
@salumkibalabala4582
@salumkibalabala4582 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah Allah akufikishe Salama na urudi Salama na awarehemu Mashekhe zetu wote waliotangulia mbele ya haq
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
Amiin
@rashidkalimbo2451
@rashidkalimbo2451 3 жыл бұрын
Wallah UISLAMU NI RAHA, hasa mwisho wa video hii nimehisi tu raha, ...Namuomba ALLAH (S.W) Anifishe hali ya kuwa mimi nimuislamu kamili IshaAllah.
@mbwanakhamis9634
@mbwanakhamis9634 3 жыл бұрын
Ameen
@juliusmakamba255
@juliusmakamba255 3 жыл бұрын
Wahubiri wenzako wote walisha kufa,wahubiri wakikristo wote wapo,wewe kazi yako ni kuukashifu ukristo na yesu.
@rashidkalimbo2451
@rashidkalimbo2451 3 жыл бұрын
@@juliusmakamba255 ... hakuna mwiislam anayemkashifu Yesu hata mmoja kaka, na anayemkashfu Yesu basi si mwiislam, Nahisi haujui maana ya Uislamu ni nini na ndomana ukasema hivyo...Ukristo tunaukashfu kwasababu ni uzushi wa watu, Mwenyezi Mungu hajaelekeza watu wawe wakristo na hakuna Mtume hata mmoja aliyekuwa mkiristo including Yesu, Shida yenu hamtaki kusoma Vitabu vya Mwenyezi Mungu mkaelewa, mnafuata tu kauli za wachungaji wanaowapotosha....
@juliusmakamba255
@juliusmakamba255 3 жыл бұрын
@@rashidkalimbo2451 ni nadra sana kumsikia ustadhi mazinge akikemea dhambi,au akiwataka watu waache maovu,watubie dhambi zao,yeye anawaaminisha waumini wa dini yake ya kiislamu kuwa wakristo wote ni makafiri na siku ya kiyama ni motoni tu,na muislamu hata akiwa mwizi,jambazi,mzinifu,yeye ataenda peponi,anapotosha sana watu.
@rashidkalimbo2451
@rashidkalimbo2451 3 жыл бұрын
@@juliusmakamba255 ...Mimi nakuelewa vizuri kaka na ndomaana nikatanguliza kusema hauelewi maana ya Uislamu, Uislamu hauelekezi mtu kufanya mambo mabaya mambo machafu hata kidogo kaka, Mtu yeyote atakayefanya dhambi ima ya kuiba, ugaidi, ushirikina, uzinifu n.k moja kwa moja huyo ataadhibiwa na Mwenyezi Mungu unless atubie Kwake, TOBA ya ukweli (TAUBATUL NASUHHA) kabla hajafariki,... Halafu nimeona unasema ati ni nadra Ostadh Mazinge kukemea dhambi, hapo nakupinga mojamoja, Pitia video zake zote KZfaq uone vyenye Shekhe Mazinga anavyong'ang'ana kuwalingania Waislamu na hata wasiokuwa waislamu warudi katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wewe unaonekana ni mgumu wa kuelewa tu, m'bishi, coz hata hii video Mazinge amelingania watu warudi kwenye njia ya Allah, ama haujasikia hiyo kauli akisema watu wanachezea wakati kwa kuspend more time na mambo yao ya kibnafsi kama vile mpira wa kandanda hata wakati wa swala instead of wawe miskitini, Ama unataka mtu alinganiwe vipi wewe...Na vilevile nahisi haujui maana ya Kafiri pia, KAFIRI kwa ufupi ni mtu ambaye hamuabudu Mwenyezi Mungu Muumba wa kila kitu duniani, ndio maana Mwenyezi Mungu Akawatambua nyinyi (wakristo) kama Makafiri kwasababu hamumuabudu Mwenyezi Mungu, munaabudu Yesu, Mtume Wake mkidai yeye ndo Mungu...na ndio maana nikasema hamusomi Vitabu mukavielewa coz Yesu anasema yeye mwenyewe 'mimi ni mtu" (YOHANA 8:40) na hakutumwa kwa ulimwengu mzima ila kwa watu(Wana wa Israel)aliopewa na Mwenyezi Mungu na anawaombea hao tu(YOHANA 17:6-9).... Shida yenu hamtaki kusoma tu basi, ninyinyi nakupinga ukweli tu hata muambiwe nini hamutoamini kwasababu tayari Mwenyezi Mungu Anasema Amepiga Mihuri nyoyo zenu na vilevile zimejaa maradhi kwahiyo hata muambiwe nini hamutoamini, macho ameyaziba na finiko hayaoni na vilevile maskio yenu ameyaziba kwa hivyo hamsikii na mtapata adhabu kali... Shekhe Othman Mazinge Anang'ang'ana sana na Namuombea Allah(S.W) Azidi kumpa umri mrefu aendelee kuwatoa watu katika Giza, Nampenda sana Shekhe Mazinga infact video zake kwa laptop yangu zimechukua karibia asimia 60, Nawaombea sana sana mashekhe wote Allah(S.W) Awalinde...Na pia wewe nakuomba usikilize Mihadhara mbalimbali ya Mashekhe mbalimbali huenda Mwenyezi Mungu Akakujaalia kuuona ukweli uko wapi IshaAllah, na utakuja nikumbuka kwa hii COMMENT IshaAllah ima ubadilike au ubaki katika hali yako.... Nakuomba uwasikilize kwa undani hawa Mashekhe wafuatao: *TANZANIA-Shekhe Othman Mazinge, Dr Sule Ostadh Kinyogori, Shekhe Kishki, n.k *KENYA-Shekhe Mohammed Omar, Shekhe Maalim Othman, Shekhe Suleiman Mazinge, Shekhe Izudin Alwy Ahmed n.k *India-Shekhe Dr Zakr *U.S -Shekhe Ahmad Dhada Chukua Vitabu vyote vya Mwenyezi Mungu Uangalia as you listen to them, uone kama wanakwambia ukweli au laa, jaribu kutofautisha between different scriptures ujue ukweli uko wapi kaka, hao wamesoma kweli Vitabu vya Mwenyezi Mungu na ninawaombea sana kwa juhudi zao na naomba dua zao za kutaka radhi kwa Allah pia zinifikie mimi IshaAllah kama mwiislamu mwenzao. Mimi jukumu langu nikufikisha tu, decision ni yako, siwezi kulazimisha coz Dini inakataza kulazimisha mtu, lakini naomba unisikilize kwa makini kauli yangu ya mwisho, kama wewe una dini nyingine mbali na Uislamu, nakuomba mara moja rudi katika UISLAMU kabla hujakufa, kwasababu Ndio DINI pekeyake Ambayo Mwenyezi Mungu Ataiangalia Siku ya Kiyama.
@anthonycharles3979
@anthonycharles3979 3 жыл бұрын
Mungu ni roho na wote wenye mwili wàñapaswa kumwamini katika roho na kweli nasi tumeumbwa kwa mfano wake na pia Yesu kristo ni mwana wake pekee
@salimaomar9896
@salimaomar9896 2 жыл бұрын
Allah Akuifadhi kwakila hatuwa ALLAHUMMA Amiin
@hasnaram4044
@hasnaram4044 3 жыл бұрын
Walah nimejisikia uchungu Sana shekhe aliposema nimebaki mm tu na nikifa mm hamna mtu, nimesikia uchungu mnoo shekhe tunakupenda kwa ajili ya allah
@khadijaiddi4887
@khadijaiddi4887 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah Allah akutangulie katika safar yako sheikh mazinge
@sakinat2527
@sakinat2527 3 жыл бұрын
Ameen
@sakinat2527
@sakinat2527 3 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi ktk safari yako na akuhifadh, akuepushe na kila baya . Akujaalie uende salama urudi salama, ukafaulu kwa yote yatakayo kuwa huko kwa uwezo wa Allah ameen yaa Rabb in shaa Allah
@halimaramadhan2975
@halimaramadhan2975 3 жыл бұрын
Allahumma amiin
@ahmedalklbani8118
@ahmedalklbani8118 3 жыл бұрын
Ishaalahh alahh akufanyie wepesi alahh akupe umri mrefu
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Amiin yarabal alamin
@issakawaya8315
@issakawaya8315 3 жыл бұрын
Kwani burundi akuna wa dhiri
@sofiabeja3171
@sofiabeja3171 3 жыл бұрын
Alla akulipe inshaalla
@husseinmombo3834
@husseinmombo3834 3 жыл бұрын
Insshaallah sheikh Mazinge Allah akujaalie kheri katika safari yako na kwa kazi utakayoifanya iwe na mafanikio makubwa. AMIYN.
@user-ws9ek8dj5n
@user-ws9ek8dj5n 3 жыл бұрын
Maasha Allah ma sheikh wetu wote Mwenyezi Mgu awalinde na kila shari,awaongoze awape afya njema, umri mrefu awalipe kila lililo la kheir wao na ummati Mohammad (SAW)
@fatomhalogandy4045
@fatomhalogandy4045 3 жыл бұрын
MashaAllah. Great job
@korogwetanga810
@korogwetanga810 3 жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh mazinge na akupe umri mrefu wallah nakupenda kwa ajili ya Allah
@halimamwakucha2637
@halimamwakucha2637 3 жыл бұрын
Allah akuhifadh n kila lenye shar uende xalama urud xalama.. Kwa mnafanya kaz ngumu Allah awajaalie pepo mashekh wetu
@wamalaibrah4464
@wamalaibrah4464 2 жыл бұрын
Mazinge wallah Mwenyezi Mungu akuongezeye umuli Mimi ni mu Tanzania nilizalia Uganda hilo onalolisema ni kweli ksse kanisa iligeuzwa muskiti kwanza ksse bwela ni wanyamwezi
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
Maashallah Allah akulinde na mazalim uwende salama na urudi salama lnshallah ❤️❤️
@ruqayyahfille3656
@ruqayyahfille3656 3 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah Allah amfanyiye wepesi sheikh wetu kwakila zito
@tabumpate9762
@tabumpate9762 3 жыл бұрын
Mashaalah.M/MUNGU nakuomba muweke shekhe mazinge kwakutuokolea dini yetu ya kiisilamu
@twalibmakau8380
@twalibmakau8380 3 жыл бұрын
Kwenye uchaguzi huu tunamshukuru Allah ametudhihirishia wanafki, washirikina, wapenda Dunia Allah wajaalie mashekhe mwisho mwema
@hassancharo1496
@hassancharo1496 3 жыл бұрын
Twalib una mana utshadh Mazinge nimunafiki ama
@mohamedkombo8308
@mohamedkombo8308 3 жыл бұрын
Inshallah sheikh mazinge mungu akuoeleke salama ukaifanye kazi ya all,na ujira wake allah ndio ajua zaidi atakuzawadia nini,ya rabbi,
@probeez2569
@probeez2569 3 жыл бұрын
inshaAllah ya ALLAH mpe maisha marefu mwalimu wetu Habib mazinge InshALLAH na mola wutu akuongoze popote uendapo na akulide na maasidi na ushinde kwaajili ya ALLAh AMIN AMIN inshALLAh
@Fidia-ie3fi
@Fidia-ie3fi 3 ай бұрын
Allah akufanyie wepesi mère wakiisjamu insha'allah❤
@saidhamad533
@saidhamad533 3 жыл бұрын
Inshallah Allah akupeleke salama akurufishe salama
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
Pia ushauli wangu kama una mtoto WA kiume au yeyote anaitaji kuubili uwafunfishe lnshallah
@mustafaathuman5897
@mustafaathuman5897 3 жыл бұрын
Allah akulipe
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 жыл бұрын
Ishalla hery shehe wetu M/Mungu akusmamiye ktk safar zako akuhfadh km alivo mhifadh nabii IRAHMU Amina tunakupenda Kwa ajili ya Allah
@minabuelysee8
@minabuelysee8 3 жыл бұрын
Amin
@jamesndihokubwayo6560
@jamesndihokubwayo6560 3 жыл бұрын
Karibu Burundi Bujumbura tutafurahi sana tupe, dawa1isram
@abzinho10karim25
@abzinho10karim25 3 жыл бұрын
اجعل الله رحلتك مثمرة وناجحة. بارك الله فيك وعائلتك يا أمين.
@saidcharleskarata02
@saidcharleskarata02 3 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akujaalie inshaallah katika Safari shee wetu 🙏🏻
@jasminjuma6390
@jasminjuma6390 3 жыл бұрын
Mashaa allah tabarakallah jazzakallahu kher
@bellbell9294
@bellbell9294 3 жыл бұрын
Shukraan Sana sheikh wetu Allah akupe jannat firdaus Aamiin
@mfungonishauri4234
@mfungonishauri4234 10 ай бұрын
Wallahi Mazinge anaejuwa kudeal na wanaoipinga dini yetu
@abdul-razzakmuhammed3058
@abdul-razzakmuhammed3058 3 жыл бұрын
Habib Othman Mazinge karibu Sana pemba, Ndoto yangu kwako nipate kukuona shehe wangu Na kuwa mwanafunz wako, nalia kila leo shehe, Namuomba MUNGU aniktanishe na wewe Inshaallah.
@infinitiesforlife7979
@infinitiesforlife7979 3 жыл бұрын
Amina allah awajaalie kila lilojema wenu katika iman abdallah juma nikiwa arusha
@abouswaleh7375
@abouswaleh7375 3 жыл бұрын
ALLAH akufanyie wepes kipenzi cha MOYO WANGU... NAMUOMBA ALLAH akusahilishi JANNATU FIRDAUS
@jonasyohana3258
@jonasyohana3258 3 жыл бұрын
Mashetwan wakubwa nyie unafik tyyuuuuuuu....na uchaw
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
@@jonasyohana3258 shwetwani nihuyo uliyo mfunika suruali mungu akudhalilishe duniani na akhera firauni wewe
@jonasyohana3258
@jonasyohana3258 3 жыл бұрын
@@aishaarusha894 firaun ni hicho ulichokifunika na sket.....mbwa kasoro mkia ww
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
@@jonasyohana3258 mbwa baba ako firaauni heshimu dini za watu nyooooooo ukome kututukana habith kacheze segele kanisani kiama utacheza kwenye moto laana allah akudhalilishe kwa maradhi inshalllah
@ashiraally527
@ashiraally527 3 жыл бұрын
Inshallah shehhe utaenda salama na utajibu kwa usahihi na utarudi salama inshallah
@IngabireAisha3813
@IngabireAisha3813 3 жыл бұрын
Allah akudhidishie umli weny vitendo maqbul Allah akuhifadhi tudhidi kunufaika na elmu yako sh Othuman Mazinge
@paulgwau883
@paulgwau883 3 жыл бұрын
We ostazi acha uongo
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
Amiin
@khamismohd8616
@khamismohd8616 3 жыл бұрын
Allah atulinde na msheikh wetu ukiwemo na ww sheikh wetu sheikh Habib Mazinge
@mivumamusafiri9191
@mivumamusafiri9191 Жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU azidi kumulinda Ust mazinge yeye ndio chanzo ya imani yangu nilizaliwa kwenye ukristo na mm n Muslim kwa mda sasa mwaka kumi🙏🙏
@innocentnimubona5519
@innocentnimubona5519 3 жыл бұрын
Karibu kwetu Burundi ALLAH Akujaliyeni inshallah
@yvonnenduwayo7303
@yvonnenduwayo7303 3 жыл бұрын
Karibu saaana kwetu Burundi allah awawekeye wepesi
@kochantv8554
@kochantv8554 3 жыл бұрын
Assalam aleykhum warahmatullah wabarakatuh... Namuomba Allah akuongoze katika utowaji wako wa dawa, namuomba Allah akurahisishie kazi zako ziwe zahisi.. kwako sheikh mazinge...naomba ukitoka safari yako nipate updates na mm inshaallah Ameeen.
@HauratySaid-cf1ct
@HauratySaid-cf1ct 10 ай бұрын
Allah akulinde na atujaalie mwisho mwema atupunguzie adhabu
@majaliwamaheru5368
@majaliwamaheru5368 3 жыл бұрын
Mznge Allah Akulinde na Akuepushe na mabaya ya dunia na ya kaburn wallah Tena Mungu Akupe pepo ya juu kabsa inaniuma Sana pale ninapo fikiria ukfa Nani Atakae kava hii nafas yako Allah Atuandalie mtu kama ww
@Atb300
@Atb300 3 жыл бұрын
Mashallah sheikh wetu tunakupenda Kwa ajili ya Allah🙏
@jonasyohana3258
@jonasyohana3258 3 жыл бұрын
Achem unafik....kaz yenu uchawi na uganga
@subiramohd1895
@subiramohd1895 3 жыл бұрын
@@jonasyohana3258 hahahaaa uchawi wanafanya wachungaji sema kwelii
@vuaiabdallah3720
@vuaiabdallah3720 3 жыл бұрын
Ustadh mazinge upo sw Allah akujaalie uendako
@abduljuma6219
@abduljuma6219 3 жыл бұрын
P
@famozogofe8815
@famozogofe8815 2 жыл бұрын
Mungu akupe maisha malefu
@ramadbanihamis1055
@ramadbanihamis1055 3 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akutangulie sheikh wetu mungu awe pamoja nawe akujaalie uende salama akujaalie pia urudy salama sheikheh salama na amani iwe nawe
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 3 жыл бұрын
Allah akufanye wepes kwa dini ya kislm naurud salam...Ameen on sha Allah
@firdausfofofirdausfirdaus4040
@firdausfofofirdausfirdaus4040 3 жыл бұрын
Allah sw awajalie pepo ya juu ya firdaus
@accramasuu_tv
@accramasuu_tv 3 жыл бұрын
Maashallah safari ya kheri ya Ustaadh...
@NadiaJuma-en8sr
@NadiaJuma-en8sr 10 ай бұрын
Karibu kwetu sheikh Allah akufikishe Salama inshaAllah
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 3 жыл бұрын
Allah Akupeumli murefu Nakupend kwaajil ya Allah
@mussakisoma4369
@mussakisoma4369 3 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/ibCXnKx7q93MmYk.html
@jeanineaudreyassi7390
@jeanineaudreyassi7390 3 жыл бұрын
#Prophètekacouphilippe Www.philippekacou.org 👆👆👆👆👆👆👆👆👆 18 Vema! Sasa ninataka kuzungumza juu ya sala, Ubatizo na kumaliza. Nimeona ndugu wakitoa pepo, wakipeleka kwa makanisa ya Katoliki, ya Kiprotestanti, ya Kiinjili na ya Wabranhaministi. Hii sio mbaya, lakini badala yake watume kwa kuzimu na maeneo ya ukame. Na hiyo ni kwa sababu ya watoto wa Mungu ambao bado wakifungwa katika makanisa hayo. Na unapoomba, usimwombe Mungu wa kihistoria bali Mungu aliye hai, Mungu wa nabii Kacou Philippe kwa sababu, Yeye ndiye Mungu wa walio hai na sio Mungu wa wafu. Ikiwa tutamwomba Mungu wa Eliya, wa Danieli, lazima tuthibitishe kuwa Yeye ndiye Mungu aliye hai wa wakati wetu, hiyo ni kusema Mungu wa nabii Kacou Philippe. Kila kitu lazima kiwe na alama ya Ujumbe wa wakati wetu: sala, nyimbo ... sio za Yesu wa Nazareti kwa sababu Yesu wa Nazareti anayejibu leo ni pepo. Alikuwa Yesu wa Nazareti katika mwili wa kibinadamu miaka 2000 iliyopita. Hii ndio sanamu na sanamu ambazo hazihami! Na miungu ya makanisa haya iko katika Nazareti na wote huitwa Yesu Kristo wa Nazareti. Unaona? Lakini, yeye ndiye Mungu aliye hai leo, Mungu wa wakati wetu, Mungu wa nabii Kacou Philippe.
@officialsaddmfalme5381
@officialsaddmfalme5381 3 жыл бұрын
Mungu akusaidie mwalimu wangu
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 жыл бұрын
Àamiin Ya Rabby Àamiin, Allah Awape Umri Ma Sheikh, Mzidi Kuelimisha.
@adamsaidi6461
@adamsaidi6461 3 жыл бұрын
Amiin sheikh
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 жыл бұрын
@@adamsaidi6461 Àamiin.
@rwagasoredieudonne6387
@rwagasoredieudonne6387 3 жыл бұрын
Eti Issa alikuwa maskini eti ukifa hakuna atakae tetea dini ndugu huo ni upuuzi .Mungu akusamehe
@fatumahamis166
@fatumahamis166 3 жыл бұрын
,kwaza nimuombe mwenyezimungu msamaha pamoja na waislam wezang wote nilitoa kauli mby ile siku shehe wakimponda shehe ponda juu ya uchaguzi ila nimejua nilikosea maana hakuna kazi Bora kama yakumtumikia alla muumba ardhi na mbigu kwapamoja waislam wote tumuombe mungu amjalie shehe wetu afike slm arudi Salam kwaajili ya alla
@mohammedrajabu7449
@mohammedrajabu7449 3 жыл бұрын
Amiin Amiin Amiin Yaa Rabbal-aalamiin
@hamisimabokellah3545
@hamisimabokellah3545 3 жыл бұрын
Mm binafsi ninekusamehe inshaallah
@paschalmgika7074
@paschalmgika7074 3 жыл бұрын
Yesu anakuita ---mt 11:28
@haulemgaya8065
@haulemgaya8065 3 жыл бұрын
@@paschalmgika7074 z
@haulemgaya8065
@haulemgaya8065 3 жыл бұрын
Zuchu
@husseinomary7977
@husseinomary7977 3 жыл бұрын
othman mazinge steringi wa makafirii mungu akueke ishaaallaahh
@egbertsambujune4680
@egbertsambujune4680 3 жыл бұрын
Mungu akupe afya njema
@AmourHaji-gh6pp
@AmourHaji-gh6pp 9 ай бұрын
Maashaallah x10,Barkallah za ALLAH zitawale ktk ulimwengu huu tulionao❤M'mungu atuongoze ktk janna.Mungu akuweke Shehe mazinge ili tuzidi kuelewa dini yetu.
@ZulfahIbrah
@ZulfahIbrah 9 ай бұрын
Mashallah am learning more about my religion Islam Alhamdulillah. Jazakallah Khair
@kanyangezafaraniddi6518
@kanyangezafaraniddi6518 3 жыл бұрын
Karibu kwetu 🇧🇮ALLAH akuhifadhi from🇨🇦
@Masta_jay007
@Masta_jay007 3 жыл бұрын
Naam Allah amfikishe nyumbani 🇧🇮 Salama inshallah
@falumefilme8143
@falumefilme8143 3 жыл бұрын
@@Masta_jay007 naam shukuru shukuru allah
@fatumasuleymanashurambinda6880
@fatumasuleymanashurambinda6880 3 жыл бұрын
الله وحده لا شريك له له الملك وله الحمد وهو على كل شيء قدير اللهم صل وسلم على نبينا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين وسلم تسليما كثيرا إلى يوم الدين
@faisonfranco5632
@faisonfranco5632 2 жыл бұрын
Mungu ana watoto pia ww unaye soma ni mmoja ya watt wa mungu mana hata wakikuuliz au mtt anamuuliz muke wako ambaye yeye ni mama ake akasema hii kofia ya nani mama atajib ya baba ako kwahiyo acha sifa kuwadanganya mashoga wezio na usiwapote wezio na sifa zako ila amin na sifazako siku utakufa hauto kuwep dunian na tutapata mwingin mweny kutup hudum ya Mungu
@ngagishow2614
@ngagishow2614 9 ай бұрын
Allah azidi kukulinda
@alidullah207
@alidullah207 3 жыл бұрын
Amen.. Allah awafanyie wepesi.. 🙏🙏
@naimamunishi1241
@naimamunishi1241 3 жыл бұрын
Masha Allah sheikh wngu nakuombea kheir na nguvu teleeeee
@amenaallahawazidishieumrin6235
@amenaallahawazidishieumrin6235 2 жыл бұрын
Mola awahifadh na ajalie kila LA khery
@husnaodhiambo6848
@husnaodhiambo6848 3 жыл бұрын
Mashallah Allah akufanyie wepesi safari yako Inshallah uende salama urudi salama Inshallah
@hawaamkubwa2020
@hawaamkubwa2020 3 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi ktk safari yako
@ajumaakange1483
@ajumaakange1483 3 жыл бұрын
Isha Allah Allah atakulinda utafaulu nauislam kwaujumla
@skkonthetop8876
@skkonthetop8876 3 жыл бұрын
Mashaa Allah Tabarak Nawaombea Mashekhe Wetu Safari njema na Salama. Na mafanikio Mema. Ameen ya Rabi Al Alamin. Ndugu yenu Mohammed Ali Al Rawahi. Al Hail Muscat Omani.
@suleimansaleh5123
@suleimansaleh5123 3 жыл бұрын
Nakuombea kila la kheri akhii Mazinge ,Allah akulinde na balaa zote za dunia na afanye kazi yako ya da'awa iwe nyepesi uende na urudi salama aammin nakutakia kila la kheri from Mombasa
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah, Sheikh Mazinge Allah akupe pepo iliyo daraja la juu,uende salama utuekee video ya mkutano huo na urudi salama
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Allah humma amin
@mohammedrajabu7449
@mohammedrajabu7449 3 жыл бұрын
MaashaaAllah Amiin
@rayasaid4099
@rayasaid4099 3 жыл бұрын
Aaamin YaaaRabalaAllamin amin
@fatumaadan633
@fatumaadan633 3 жыл бұрын
Amiin
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 3 жыл бұрын
Mungu atakupa umri na barak yarab ameen yarab ameen twakupenda sana shekh mazinge 🥰🥰🥰🥰🥰🇴🇲🌹
@mealiimwamoyo165
@mealiimwamoyo165 3 жыл бұрын
Inshaallah mungu akupe wepesi kila palipo na ugumu akuwezeshe upate ushindi katika jihadi
@mchopaluka4319
@mchopaluka4319 3 жыл бұрын
Muda c mrefu Bwana Yesu atajidhihirisha tu
@ibrahimsaeed8093
@ibrahimsaeed8093 3 жыл бұрын
Hehe mngoje saana atakuja kuwakana
@kasindejonathan978
@kasindejonathan978 3 жыл бұрын
Tena amwijie huyuhuyu mazingeli akiwa kwenye mdahalo wake amuonyeshe yeye ndio uzima wa milele na kujugamba kutaisha ghafla
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 3 жыл бұрын
Hongera sana kwa uteuzi huo,kaka mkubwa.Allah Akufanyie wepesi huko uendako ili uweze kutuwakilisha vema,Amiin! Ni imani yangu kuwa utaenda kutuwakilisha kwa uzuri kabsa kwa uwezo wa Allah,Sheikh. Allha Awe pamoja nawe na sie pia,Amiin!!
@aminahassanali1190
@aminahassanali1190 3 жыл бұрын
Mashaaallh allh akufikishe salama
@nasramohammed6948
@nasramohammed6948 3 жыл бұрын
Allah akulinde shekhe wetu mazinge
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 3 жыл бұрын
MashaAllah
@IngabireAisha3813
@IngabireAisha3813 3 жыл бұрын
Amiin amiin amiin ya Rabii jalia duwa maqbul 🙏🏻
@meandme3437
@meandme3437 Жыл бұрын
Yarabi akuzidishie umri na afya njema. I love u soo much sheikh wetu. Allah akuhifadhi hifadhi ya mitume.
@samilamauji3728
@samilamauji3728 3 жыл бұрын
Allah akupe umri mref uendelee kutukumbusha inshaallah
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 55 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 193 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 13 МЛН
USHIRIKINA-SHEIKH SAID BAFANA
42:03
Peacefm Matukio
Рет қаралды 433
#LIVE:  MASWALI NA MAJIBU
Kishki Online TV
Рет қаралды 56
kisomo cha kuangamiza majini na uchawi (yaasin mubiyn)
19:08
AN-NAJM TV
Рет қаралды 1 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 55 МЛН