MAOMBI YA USIKU KABLA YA KULALA by Innocent Morris

  Рет қаралды 714,267

Holy Spirit Connect

Holy Spirit Connect

2 жыл бұрын

MAOMBI YA USIKU KABLA YA KULALA by Innocent Morris
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Instagram Link:
/ holyspiritconnect
Facebook Link:
/ holyspiritconnect
KZfaq Link:
/ holyspiritconnect

Пікірлер: 1 400
@tabithamselema166
@tabithamselema166 2 жыл бұрын
Asante Bwana Yesu Nimeona mkono wako umemuonaki mwanangu akijufungua salama
@ashafrancis1070
@ashafrancis1070 10 ай бұрын
@aALll
@NeemaJohn-xg7xm
@NeemaJohn-xg7xm 10 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU, nimefunguliwa kwa Damu ya Yesu Kristo jina lipitalo majina yote 🙏🙏🙏
@MaryMrema-kc2dl
@MaryMrema-kc2dl 6 күн бұрын
Asante Yesu wangu Kwa huruma Yako, Asante Kwa kuwa na familia yangu Kwa Kila Hali, nakuomba tulinde usiku huu Nako tulale na kuamka salama tuweze kukutumikia wewe bwana
@hadijaprudences3686
@hadijaprudences3686 Ай бұрын
🙏asante yesu kwa usiku huu naomba aniline na hatari zote za mwilin na rohon
@melisastephen2376
@melisastephen2376 2 жыл бұрын
Eee mwenyezi mungu nakuomba unilinde mimi na familia yangu amen.
@user-we3oo2ug3q
@user-we3oo2ug3q 6 ай бұрын
Asante sana pastor 🎉 Mungu wa Amani Azidi kukuinua kwa viwango vya juu 🙏🙏
@StanleyEmmanuel-jq7xs
@StanleyEmmanuel-jq7xs 5 күн бұрын
Mungu nakuomba ubariki uwabariki watoto wangu na familia yangu aitaji ubariki felemu yangu na familia yangu
@liberathaaugustine472
@liberathaaugustine472 18 күн бұрын
Asante mungu unilinde na familia yangu ktk hatari zote mlinde na Mme wangu walinde na ndugu zangu nibariki na biashara yangu.
@beatricetemu6472
@beatricetemu6472 2 жыл бұрын
Bwana Yesu apewe sifa na kutulinda na vita zote za adui katika kazi zangu na wito wangu
@devisdevo7254
@devisdevo7254 Жыл бұрын
Asante bwana yesu
@amandakavishe5739
@amandakavishe5739 Жыл бұрын
Asante BWANA Yesu kwa ulinzi juu yangu na Familia yangu…. Ameen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@lamamajulienne2851
@lamamajulienne2851 Жыл бұрын
Asante Mungu kwa wema wako Wa tosha
@julianarichard920
@julianarichard920 4 ай бұрын
Halika umenilinda kwa miaka yote hadi leo Na pia ninamshukuru sana Mungu kufungua ufahamu wangu
@LevinaSlivanus
@LevinaSlivanus 3 ай бұрын
Naomba niote ndoto njema, niondoleee ndoto chafu nazakutisha maisha yangu, naomba kibar chakujihudumia sio kumtegemea mwanaume wangu kwa kila kitu Amina🙏🙏🙏🙏
@winifridangoleleje9835
@winifridangoleleje9835 Жыл бұрын
Ahsante bwana yesu kwa zawad hii ya uzima ulotujaria mimi na familia yangu kwa ujumla, ulonitendea ni makubwa mno ahsante kwa kutulinda na kuongeza aman na furah katk familia yangu Amen🙏🙏🙏
@Safia-vq7yy
@Safia-vq7yy Жыл бұрын
AMEEN AMEEN AMEEN
@saumujuma9134
@saumujuma9134 Жыл бұрын
👏👏👏
@luthypeter8939
@luthypeter8939 Жыл бұрын
Aminaaa
@beatricechepkurui9161
@beatricechepkurui9161 Жыл бұрын
Amen 🙏 i receive in Jesus name please pray for me thank you Lord for the world of your servant truly something i work up at night
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@JackleenCharles
@JackleenCharles Ай бұрын
Asante yesu kwa ulinzi wako kwafa miliya yangu👏👏👏
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Ай бұрын
Ameen
@joycestephano5074
@joycestephano5074 Жыл бұрын
BWANA yesu nisamehee kwaijili ya mdomo wangu kinywa mawazo fikila nisamehee na pianashukuru sana kwa neemayako juu ya maisha yangu naomba ulinzi wako juu ya maisha yetu ulinde na mabaya yooote naomba ulinziwako juu ya usiku wa leo
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@joycestephano5074
@joycestephano5074 Жыл бұрын
Asante barikiwa
@franciskajessy4468
@franciskajessy4468 Жыл бұрын
Ahsante Yesu kwa ulinzi wangu na familia yangu👏👏
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@janelulambo3957
@janelulambo3957 Жыл бұрын
Asante baba kwakunipa guvu yakuomba kuanzia Jana,naasubuhi nimekuta hirz kitandan Kwa watoto mungu naomba nilinde
@Claraphilip-bx8te
@Claraphilip-bx8te 25 күн бұрын
Asante yesu kwa usiku huu nimeuona mkono wako ukinitetea kwenye kila aina ya vipingamizi
@veronicapetro3017
@veronicapetro3017 20 күн бұрын
Asante Bwana Yesu kwa yote unayoendelea kunitendea .Mungu asante
@jescahaule176
@jescahaule176 Жыл бұрын
THANK YOU JESUS🙏🙏
@hashimumgeni7183
@hashimumgeni7183 2 жыл бұрын
Asanteh bwana yesu Kwakuwa pamoja na Mimi siku Ii ya leo,ee bwana naomba nisameh Kwa makosa yote niliyoyatenda ambayo hayajakupendeza,naomba nisameh baba ,aminaaa!!!?
@blandinematata9322
@blandinematata9322 Жыл бұрын
Asante Mungu kwakupata kibali tena
@elizabethwamugunda2040
@elizabethwamugunda2040 Жыл бұрын
Thank you God bless you amen
@emmymitao8030
@emmymitao8030 Жыл бұрын
0pplo00o
@phylisombuya4476
@phylisombuya4476 Жыл бұрын
By
@sevelinahinnocent6803
@sevelinahinnocent6803 Жыл бұрын
AMEN
@StanleyEmmanuel-jq7xs
@StanleyEmmanuel-jq7xs 5 күн бұрын
Baba mtatifu nakuomba ubaliki usku tulale salama tunavo amka tuamke salama mungu ukabariki uyu mgomo tukafungue kesho
@AdelphinaEfrem
@AdelphinaEfrem Ай бұрын
Bwana yesu nimeuona mono wako asante umewalina Watton wangu
@victoriarehema7183
@victoriarehema7183 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen, Namushukuru Bwana Yesu Kristo kwa maana ajaniacha siku ya leo lisha ya majaribu, amenishindi yote, nasema Asanti bwana Yesu kwa kua pamoja nami. Namushukuru sana Bwana Yesu.
@timotheathomas6946
@timotheathomas6946 Жыл бұрын
Amina amina
@NeemaKipande-hr9rz
@NeemaKipande-hr9rz 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂,,,,,,,,,,,,, zoom≤,,,,,@,@@@@၊၊z၊‌ေ
@NeemaKipande-hr9rz
@NeemaKipande-hr9rz 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂,,,,,,,,,,,,, zoom≤,,,,,@,@@@@၊၊z၊‌ေ
@NeemaKipande-hr9rz
@NeemaKipande-hr9rz 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂,,,,,,,,,,,,, zoom≤,,,,,@,@@@@၊၊z၊‌ေ
@NeemaKipande-hr9rz
@NeemaKipande-hr9rz 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂,,,,,,,,,,,,, zoom≤,,,,,@,@@@@၊၊z၊‌ေ
@joeyjowrlinejoey1762
@joeyjowrlinejoey1762 Жыл бұрын
Glory to God
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@dainesykyando6297
@dainesykyando6297 Жыл бұрын
Bwana yesu ninakushukuru kwa matendo yako makuu kwaajili ya ck ya Leo kwamaa umenilinda umenitetea na sema ahsnt jehova nisi nasema ashsnt kwaajili ya afya,uzima na pumzi ahsnt ahsnt 🙏🙏🙏🙏
@monicanzwiri3101
@monicanzwiri3101 Жыл бұрын
Ameeeen
@ceflenenicolaus3848
@ceflenenicolaus3848 10 ай бұрын
Asante... Bwana... Yesu.. kwakulinda... Familia.. yangu... Pamoja... Na.. kazi.. yangu
@Claraphilip-bx8te
@Claraphilip-bx8te 25 күн бұрын
Ameeeen naomba neema yako ikateembee na mm na familia yangu
@sallygrace1495
@sallygrace1495 2 жыл бұрын
Amen 🙏✝️😇🕊
@esterchatila2611
@esterchatila2611 2 жыл бұрын
Ee baba wa mbingun nakushukuru kwa kunilinda Sikh ya Leo nakuomba. Utulinde na usiku wa leo na pia ubariki kaz ya mikono yangu kwazia leeo I we Sikh ya mafanikio
@pamelapendo474
@pamelapendo474 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@gracetarimo6073
@gracetarimo6073 2 жыл бұрын
Amen🙏❣️
@rehemamasanja8875
@rehemamasanja8875 3 ай бұрын
Asante Mungu kwa ulinzi wako mkuu kunilinda siku hii ya leo hukunipungukia nimeuona mkono wako ktk shughuli zangu na mapito yangu, Amen.
@rachelerastusm1466
@rachelerastusm1466 3 ай бұрын
Amen 🙏 Mungu naomba ulinzi wa familia yangu mume na watoto wangu vifunikwe kwa Damu ya Yesu.Funika mahali ninapofanyia kazi'
@tumpedaudi6681
@tumpedaudi6681 2 жыл бұрын
AMEN 🙏
@lall2037
@lall2037 4 ай бұрын
Bwana yesu nakushukuru siku nzima hii ya leo kwa kunipigania mpaka sasa naomba mpiganie mchumba wangu john arudi kwangu ktk jina la yesu anitafute kwa njia ya cm🙏
@esthermwikali5403
@esthermwikali5403 3 ай бұрын
Asante baba kwa mchana waleo ukanisee dhambi sangu unireemu mwana wa Daud usiku wote mkononi mwako kanilinde na mambaya yote bila wewe siwesi katika jina la yesu nasema amen
@user-jd5dr4ri9p
@user-jd5dr4ri9p 6 ай бұрын
Ahsante bwana yesu kwa kunipa kibali cha kuomba ulinzi wako usiku huu kwangu na familia yangu Amina 🙏🙏
@user-rl3ev1fh4c
@user-rl3ev1fh4c 5 ай бұрын
Amen asante yesu kunirinda mie nafamilia yangu tote na usku guy naomba ukanirinde
@user-dx2iw6wd4s
@user-dx2iw6wd4s 3 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi. Na Imani nitalala salama na pia nitaota ndoto nzuri
@Mwx-zd4ov
@Mwx-zd4ov 10 күн бұрын
Amen 👏 🙏 👏 amen be blessed man of God amen 🙏
@user-ke9vc5it1d
@user-ke9vc5it1d 3 ай бұрын
Ahsante bwana YESU nimekuona mkonao mkuu....amen🙏🙏.
@jacklinemagere1796
@jacklinemagere1796 Жыл бұрын
Asanteee bwana najikabizi mikono mwako asant kwa siku MZima Asant bwana yesu
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@aminayusuph547
@aminayusuph547 2 ай бұрын
Bwana yesu karehem familia yangu kakunike na dam ya yese familia hii pia babaangu huko aliko
@WinifridaMnywele
@WinifridaMnywele Ай бұрын
Napokea kwa jina la yesu 🙏
@Risper-vg5ds
@Risper-vg5ds Ай бұрын
Asante bwana Yesu kwa ulinzi kwa familia nzima
@rahnermohamed4261
@rahnermohamed4261 5 ай бұрын
Asante bwana yesu kwa kusimama na mimi katika funga zangu na maombi ya kila siku kwa siku 90
@mariamsamwel2750
@mariamsamwel2750 Жыл бұрын
Asante mungu Kwa kuwa NAMI kunionekania nakushukuru Kwa Kila jmbo
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@lall2037
@lall2037 5 ай бұрын
Bwana yesu nakukabidhi mchumba wangu john mbawala na watoto wangu luckman na hawa ukawape ulinzi ukawafunike kwa damu ya yesu kristo 🙏
@doricekika6455
@doricekika6455 10 ай бұрын
Asante Yesu Leo nimeona ukuu wako juu ya familia yangu
@user-dq5kw4tk5n
@user-dq5kw4tk5n 10 ай бұрын
Asante Yesu weka maisha yangu mikononi mwako milele
@Claraphilip-bx8te
@Claraphilip-bx8te 25 күн бұрын
Najifunika kwa damu yesu mm na watoto wangu na famialia yangu
@olivemakyo555
@olivemakyo555 18 күн бұрын
Asante Yesu kwa usiku huu, bila wewe bwana mimi ni kiumbe dhaifu, asante kwa wazazi wangu, ndugu zangu, watoto wangu na hata rafiki zangu, jina lako liinuliwe katika utukufu wa mbinguni...naikabidhi kazi ya mikono yangu mikononi mwako, ninaomba msahama kwa dhambi zangu, kwa mawazo, kwa maneno, kwa vitendo na kwa kutotimiza wajibu...nisamehe eeh Yesu Kristo mwokozi wangu. Amina
@mathafedrick6289
@mathafedrick6289 Жыл бұрын
Asanteeee mchungaj kwa maombi naomba mungu pia akanitemberee na kunitendea mengi makubwa ya ajabu
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@barikimatabishi3544
@barikimatabishi3544 Жыл бұрын
Asante kunilinda afia yangu, mimi ni katika mikono yako.Amen
@monicampokwa441
@monicampokwa441 Жыл бұрын
Baba Mungu nakushukuru kwa kunilinda cku mzima ,hta Sasa usiku unapoingia najikabidhi mikononi mwako.
@paskalinanesphory3425
@paskalinanesphory3425 Жыл бұрын
Asante Ben yesu kwa kunilinda siku nzima na kunipa uck huu nilinde na uck huu
@muusikimanzi5128
@muusikimanzi5128 10 ай бұрын
Nakushukuru mungu kwa yote uliyonitendea umenilinda,ukalinda family yote sio kwa nguvu zangu am za mwanadamu ila ni kwa enema yako ....asante mungu
@OlpaJoyce-sr4iq
@OlpaJoyce-sr4iq 2 ай бұрын
Asante bwanayesu walinde familia yangu mam nawatot wangu mponye namwanangu mwepushe kila Hila na njam mbaya za wachaw❤
@deboramatiko6408
@deboramatiko6408 2 жыл бұрын
Asante mungu kwa kunilinda mimi na familya yangu tunajika bidhi mikononi mwako damu ya yesu kirto itufunike
@samuelabonifas5441
@samuelabonifas5441 11 ай бұрын
Bwana yesu nakushukuru kwa wema wako ukuu waka nauaminifu wako asante kwa ulinzi hewa safi pumzi ya bure bila malipo asante baba wa mbinguni amina
@GullamAli-eg8vl
@GullamAli-eg8vl 11 ай бұрын
Nashukuru bwana yesu leo kujibu barua ya kijana wangu kuitwa kuanza kazi
@sophiajuma1173
@sophiajuma1173 Жыл бұрын
Asante Bwana Yesu Kristo wa Nazareth ulie hai kwa pumzi hii na uzima huu asante Yesu Kristo ameen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@nicodemianarose5216
@nicodemianarose5216 Жыл бұрын
Mungu akaniamshe salama nikaione tena kesho Ameen
@Claraphilip-bx8te
@Claraphilip-bx8te 25 күн бұрын
Asante kwa kwa usiku huu naomba unilinde na hatari zote za kimwili na za kiroho
@mariamwakajila235
@mariamwakajila235 Ай бұрын
Ee Bwana wa Majeshi Asante kwà siku ya leo nilinda asubui mchna na jion usiku huu nashuruku punzi yko🙏🙏🙏 Ee Bwana Yesu naomba toba na Rehema kwà siku ya leo Unisamehee makosa yangu Ambayo ujapendezwa na mimi kwà siku ya leo Amen🙇🙇🙇🙌🙌
@boitumelongaka6245
@boitumelongaka6245 10 ай бұрын
Asante Yesu asante Yesu!
@nadiachalres8139
@nadiachalres8139 Жыл бұрын
Asante Mungu naomba unilinde ucku huu kwa jina la yesu nashukuru kwa matendo yako makuu ulio nitendea siku nzima asante bwana yesu kwa kunilinda shukurani zangu nakupa wewe bwana
@user-cy4gg6dn6h
@user-cy4gg6dn6h Жыл бұрын
asante bwana yesu kristo kwa kunilinda mimi pamoja na familia yangu namshukuru mwenyezi Mungu zidi kunilinda pamoja na mke na mtoto na familia yangu yote Amina 💐💐🥰
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@suzanalyatuu6074
@suzanalyatuu6074 11 ай бұрын
Bwana Mungu nakuja mbele zako uck huu nakushukuru Mfalme
@TheresiaCosmasy-un5tv
@TheresiaCosmasy-un5tv 9 ай бұрын
Asnte mungu Wang nisamee mm mkosefu nisamee dhambi Zang nitiie nguvu nirinde usiku huu pamoja na family yang
@Claraphilip-bx8te
@Claraphilip-bx8te 25 күн бұрын
Azante Mungu kwa kulinda watoto wangu katika jina la Yesu naomba Bwana Yesu uilinde familia yangu ndugu zangu na wale wote wanaofanyika baraka kwangu Mungu wape ulinzi nduguzangu
@JackleenCharles
@JackleenCharles Ай бұрын
Asante bwan kwakutu linda mchana hadi tukafika huusiku🙏🙏🙏
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Ай бұрын
Ameen
@NamuwengeLydia
@NamuwengeLydia 10 ай бұрын
Asante bwana kwa maombi haya kwa jina LA yesu christo Amen May God bless all
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 11 ай бұрын
Yesu nasema asnte kwa kunilinda mchana wote,naomba unisamehe sehemu yote niliokusea ,nisamehe kwa kulalamika na kulia ,nisamehe na unirehem sehemu yoyote niliokuhuzunisha,nakukabidhi usiku huu unilinde na mabaya yote ya usiku.kila kitu kibaya ukiepushe na utume malaika wema .
@LilianNzioka-fr6co
@LilianNzioka-fr6co Жыл бұрын
Bwana yesu nasema ni asante kwa kuniwezesha kuona siku ya Leo n kunilida pmoja n familia yagu kutoka asubuhi,mchana na ata jioni ii e bwana,naomba ulizi wako n uponyaji wa macho kwa ajili ya watoto wangu, Amen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@user-rn7lp4gi6e
@user-rn7lp4gi6e 3 ай бұрын
Asante Bwana Yesu kwa Pumzi ya uhai ulonipatia 🙏
@nicodemianarose5216
@nicodemianarose5216 Жыл бұрын
Mungu wa mbinggui unibariki nismke kesho nikiwa nanguvu na afy njema
@Mwx-zd4ov
@Mwx-zd4ov 10 күн бұрын
Asante yesu kwa kuwa pamoja na mm sku yote
@doreenemmanuel9800
@doreenemmanuel9800 11 ай бұрын
Asante mwana Yesu kwa ajili ya siku ya leo Asante baba nimeona mkono wako
@monicamisango2234
@monicamisango2234 25 күн бұрын
Asante kwa maombi ya usiku, nimeona mikono wa bwana, amina
@user-ly8go5qy6w
@user-ly8go5qy6w 3 ай бұрын
Asant yes kwakuwa na mm mchana mpk jion hi hata ninapoenda Kula mung unilinde na kunitendea miujiza kwang mm na family yangu baba WWE ndo kimbilio la maisha yang umemlinda mchumba Wang baba naomba umpe kibali ndani ya maisha yet ❤
@tashachris9116
@tashachris9116 Жыл бұрын
Mungu asante kwa siku ya leo asate kwa kipaji cha uhai niseme thabi na makosa ya kuongea ,kutenda kusipo tii mungu niseme tufungulie jia bwana kama uliyvo fungulia wana wa islael asnte kwa yote tufungulie jia za mapato sisi ni wakosefu asante kwa kutulinda uinuliwe bwana wa majeshi siku ya leo tunauliza kulidwa na wewe tukiamuka tutashukuru kubuka wagojwa,wafungwa na kila mtu ako na mambo magumu tumeomba hayo katika jina la baba na la mwana na roho mtakatifu amen.
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@GullamAli-eg8vl
@GullamAli-eg8vl 11 ай бұрын
Nakukabidhi bwana yesu mume wangu arudishiwe nguvu zake za kiume si mzee wa kitisha kukuosa tendo hilo
@JamilaTaison-cx3fx
@JamilaTaison-cx3fx 10 ай бұрын
Asante yesu kwakunifikisha mudahuu naomba unilinde na usiku kucha
@zawadidickson9380
@zawadidickson9380 Жыл бұрын
Ahsante bwana yesukwa matendo yko makuu umenitendae siku ya leo ahsante bwana yesu nimeiona mikono yako umenitendae siku yaleo
@robertrokoine4043
@robertrokoine4043 4 ай бұрын
Asante Mungu kwa kunirudisha kwa watoto wangu salama
@deboramahela9616
@deboramahela9616 5 ай бұрын
Nisamehe Bwana Yesu pale nilipoenda kinyume na mapenzi yako naomba unisamehe baba
@nicodemianarose5216
@nicodemianarose5216 Жыл бұрын
Ameen Nakushukuru Mungu wangu nikauone wema wako nikaamke salama Namtakia Mume wangu safari njema asafiri salama
@rosemarypeter8688
@rosemarypeter8688 Жыл бұрын
Amen
@user-dq3op3gs2d
@user-dq3op3gs2d 9 күн бұрын
Unilinde na mabaya yote Bwana Yesu
@OdiliaAliganyila
@OdiliaAliganyila Ай бұрын
Ahsante bwanaYesu namuombea Mme wangu mtarajiwa
@salamadickson8108
@salamadickson8108 Жыл бұрын
Mungu akuongeze neema mtumishi
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@adelambaye1298
@adelambaye1298 Жыл бұрын
Asante mtumishi kwa maombi ambayo umetuongoza Amen 🙏🙏
@adelambaye1298
@adelambaye1298 Жыл бұрын
Asante BWANA YESU kwakua pamoja namimi kanilinde usiku huu wote
@MariamKhamisi-eq1gp
@MariamKhamisi-eq1gp 29 күн бұрын
Asante bwana yesu kuwa na mm siku ya leo nasema asante kwa kulinda watoto wangu ,wazazi na familia jwa ujumla asantebbwana kwa kumlinda brahton siku ya leo naomba unisamehebkwa nilipokosea aidha kwa matendo ,mawazo,na hata fikra naomba toba na rehema zako na unitakase kwa damu yako
@IRENEIRENE871
@IRENEIRENE871 Ай бұрын
Amen ee MUNGU wangu usiku uu wa leo nione mkono wako katika ndoto zangu niuone utukufu wako ninakushukuru kwa kuwa tayari umetenda. Nikwa jina lipitalo majina yote Amen
@rachaelmwamlanda7616
@rachaelmwamlanda7616 7 ай бұрын
Asnte eeeh Mungu kw kunilinda mchna wote 🙏🏼🙏🏼👏👏👏
@adelambaye1298
@adelambaye1298 Жыл бұрын
BWANA YESU naomba nirehemu Mimi na familia yangu
@user-pt4xj2vj6d
@user-pt4xj2vj6d 10 ай бұрын
Asante mungu kwahuluma Yako juu yangu nimefunguliwa homa yangu🙏🙏
@esthermwikali5403
@esthermwikali5403 3 ай бұрын
Rinda kila moja mkono mwako watoto wangu ukawalinde bila wewe siwesi biashara yangu mkononi mwaka bila wewe siwesi katika jila la yesu kirisito amen
@janetduncanjanet6370
@janetduncanjanet6370 3 ай бұрын
Asante mungu kwa ajali ya siku ya umenipa uzima asante kwa matendo makuu
@nadiachalres
@nadiachalres Жыл бұрын
Asante bwana yesu neema ya kuamka ikawe juu ya mume wangu juu ya mwanangu juu ya familia yangu KATIKA jina la YESU AMEEEN
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@ChekanawoMauwa
@ChekanawoMauwa 21 күн бұрын
Mungu wambini naomba ulizi wako usikuu damu yako utufunike katika jina la Yesu kristo Amen
NGUVU YA MAOMBI YA KUFUNGA
1:01
Pastor James Kalekwa
Рет қаралды 12 М.
MAOMBI YA KUFUNGUA MALANGO - Innocent Morris
1:35:54
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 9 М.
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
Luck Decides My Future Again 🍀🍀🍀 #katebrush #shorts
00:19
Kate Brush
Рет қаралды 8 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 4,1 МЛН
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 687 М.
EARLY  GRABBERS | KUUKOMBOA  WAKATI | 01.07.2024
Anointed Room Ministry
Рет қаралды 584
MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris
42:03
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 10 М.
MAOMBI YA USIKU, SAA NANE NA SAA TISA USIKU, Maombi mapya
7:05
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 24 М.
Maombi ya usiku kabla ya kulala - Omba maombi haya huta jutia,Pastor Godwin Ndelwa
12:42
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 14 М.
VITU VINAVYONYA NGUVU YA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO - Innocent Morris
1:14:39
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 1,9 М.
MAISHA YAKO NI MATOKEO YA UFUNUO ULIONAO
1:09:32
Reality of Christ Church
Рет қаралды 104 М.
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 174 М.
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41