Nice message,,!Kristu sharti atawale,,everywhere!Safi sana dearest Srs!
@wairimumwaura93 жыл бұрын
When i miss my auntie i listen to this,,,, Keep resting sweet auntie, i miss you though
@dorotheenshimirimana66632 жыл бұрын
Mbarikiwe
@brownmwangome78163 жыл бұрын
Barikiweni,Masista wetu,Kristo atawale ujumbe umefika kwetu Kenya
@ananiastrasias49093 жыл бұрын
Hakika atawale maishani mwetu... that keyboard ...Mungu awabariki sana
@temuemanuel46714 жыл бұрын
Kristo sharti atawale. Huu wimbo ni mzuri sana. Unaburudisha nafsi na roho. Nausikiliza kutoka hapa Jamhuri ya Watu wa China.
@cayusoginga3 ай бұрын
Congratulations for a job well done
@KarugabaWilson3 жыл бұрын
Who is listening today? Uganda
@robertsrugimbana60863 жыл бұрын
Wimbo mzuri mnoo! Nimevutiwa saaana na huyo sister anayepuliza hiyo ala ya Upepo! Mungu muongezee kipaji! KRISTO SHARTI ATAWALE👏👏👏
@paskaziaphanuel45304 жыл бұрын
Mungu awabalki mmependeza Sana
@odilekalla65894 жыл бұрын
Kristo sharti atawale, I don't know your language,but my beautiful Sisters I'm very happy watching you singing and dancing. The Sister who blows the trumpet and the brother who plays the piano put this good music. All this to God Be the Glory. May He keep on Blessing you Amen.
@lendukushikeiya72305 жыл бұрын
Kwa kweli Masister wameimba sana. Idawa hongera kwa utunzi wa wimbo huo mzuri sana na wenye kuukumbusha umuhimu wa kuruhusu Yesu kuendelea kutawala mioyo yetu kama wakristu wakatoliki.
@lloydnyika88464 жыл бұрын
People of Tanzania I love you so much, I'm inspired hope one day I will be able to speak Swahili without google, love from Zimbabwe
@temuemanuel46714 жыл бұрын
You are welcome ndugu yetu.
@gloriousn64253 жыл бұрын
You want to learn swahili,? relocate to Tanzania for a month or two..... thank me later 🤗🤗🤣 Karibu sana 🇹🇿🇹🇿 We love Zimbabweans too
@lloydnyika88463 жыл бұрын
@@gloriousn6425 thanks I will definitely do that, let me source some funds
@annajames57833 жыл бұрын
Your welcome
@florianntulo57312 жыл бұрын
And so you will one day speak this beautiful language.
@paschalwangaponda35373 жыл бұрын
Ama kwel nmebarikiwa nanhizi nyimbo🇹🇿🇹🇿
@vicentkira75174 жыл бұрын
Hongera sana hakika wimbo huu unafaa sehem zote sherehe/msiba sharti atawale wachaga tumeupata ipasavyo gonga like twende sawa hapa moshi
@evelinemodest46184 жыл бұрын
Nakupenda huu wimbo napata faraja mno nikusikiliza,upedoo karma kwetu,uduma ni karama
@Love_Tush3 жыл бұрын
Everything about this song is so beautiful!❤️ If you're reading this let your prayers be answered 🙏🙏
@teresiapamfili2812 жыл бұрын
Sauti ya tatu hongereni sana, mnaimba vizuri, japo ni kike, mmependeza
@naomibenjamini20882 жыл бұрын
Amen
@jonathankolongo5622 жыл бұрын
Asate Sana watawa wetu
@sirmutebi3360 Жыл бұрын
Amen
@treezahadhiambo65754 жыл бұрын
Who's listening today 🇰🇪
@apoloniachina48224 жыл бұрын
Treezah Adhiambo mimi nasikiliza. Na na barikiwa. Sana
@samsonpesa12404 жыл бұрын
Me
@jameskoang55914 жыл бұрын
am listening to it sister
@sergiol.m.fortuna4 жыл бұрын
Just an amazing presentation full of happiness and soul.
@dismondijoseph27483 жыл бұрын
Safi Sana
@sawidazayumba3986Ай бұрын
Kristo atawale milele maishani mwetu Amina!
@rozkiwale9122 жыл бұрын
God bless all of you God is good all the time From Tanzania
@gigicellio49552 жыл бұрын
Merci à tous les soeurs et frères catholique qui donnent leur vie pour être au service des autres.
@janemumbua46833 күн бұрын
Atawale maishani mwangu🎉
@drgeofreymdede39524 жыл бұрын
Anayesikiliza kutoka pande za Tanzania 🇹🇿 gonga like hapa
@maida27104 жыл бұрын
Mungu yupo muweza wa yote atufanyie wepes kwa hili jang tunusuru kwa uwezo wako
@marrysimkanga90064 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana kristo sharti atawale maisha yangu yote
@NaomiAmani-nf5xg2 ай бұрын
😢😢😢huwimbo si choki kusikiliza God bless you
@benedictmushimba2 ай бұрын
Merci pour l'œuvre de l'éternel que le bon Dieu vous garde encore chanté bien se prié 2 fois ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@Beatrice.Ndungu5 жыл бұрын
Inspiring......Sharti Atawale. You all look beautiful, angelic. #proudcatholic Watching from Kenya.
@risperkanana46535 жыл бұрын
I Cant go without this song...will collide with my boss....kristo sharti atawale mioyoni,kazi na maisha...hongera
@felisterligwa4 жыл бұрын
Still listening,who else anasikiliza
@charlyngoma90833 жыл бұрын
Vraiment vous magnifiques et formidable mes mamans d, amour la chanson et très bon 🙏🙏🙏
@MsLuciawong4 жыл бұрын
Beautiful !
@winnierinah10464 жыл бұрын
Be blessed sisters ,good song of Kristo atawale maishani mwetu.proud to be a Catholic.
@JosephKabaya-v4q6 күн бұрын
Wimbo mzuri sana naomba kopi yake
@pascalesso46844 жыл бұрын
Que les grâces de l'éternel soient avec vous au nom de jésus
@sergiol.m.fortuna4 жыл бұрын
Amazing! God bless you all! Greetings from Brazil!
@felisterkokuberwa57833 жыл бұрын
Means that Jesus Christ must rule everything in our life
@raymondindekenorbocounlopy42715 жыл бұрын
Merci et soyez béni au nom de Jésus notre sauveur.
@medardfouda82854 жыл бұрын
J'ajoute que je suis camerounais, vivant à Yaoundé, quartier Mehandan, merci révérendes
@immaculataroeser90942 жыл бұрын
Marvelous song ! Nahindwa kuelezea utamu jinsi mnavyo feel kila mmoja kwa namna yake .Mungu awabariki sana.
@carolinendasala9355 жыл бұрын
Sauti pekee zanijaza Wokovu Wacha sharti atawale maishani mwetu naye ni Mwokozi Kristo.
@deograthiaseslon35234 жыл бұрын
Mungu wabariki kwa kaz nzuli
@ngantepaul99505 жыл бұрын
What they're singing I have no clue. But I know they're praising God. So uplifting. From the USA with Love
@linusalfredlyimo70984 жыл бұрын
In short, they are saying, Christ must rule.
@robertkizito98223 жыл бұрын
Who is awake praising with me. God bless you and favor you for listening
@medardfouda82854 жыл бұрын
Je suis touché, très ému chaque fois que j'écoute cette belle chanson, Dieu soit magnifié
@alexshauri48993 жыл бұрын
Amen
@mariej69625 жыл бұрын
Hici shetani atashindaje kwanza na haya majeshi. So happy to see my country going green as ever watawa wanaendelea kujitokeza kumtumikia Kristo. Shetani ajifiche tu huko mapangoni. BTW the song is mwaaaah kama Mabinti wa Maria wenyewe.
@mandarineyayeng30794 жыл бұрын
Merci mes sœurs. Que à travers vos chansons, bon nombre de cœurs soient convertis. Soyez bénies
@adejoonuche52511 ай бұрын
Amen
@helenadenis72344 жыл бұрын
Atawale na atawale kristo atawale mioyoni mwetu maisha yetu.
@amoskipkorirmutai42753 жыл бұрын
Our Lord is Gracious..kwa neema yake tutashinda majaribu...truely spiritual lifting..kazi njema
@kwayayamtakatifusimonmtume2 жыл бұрын
Kazi safi, hongereni waimbaji, mtunzi na mzalishaji kwa kweli amefanya vizuri mnoo
@MrKipedd5 жыл бұрын
My daily song while I drive to work and back..mbarikiwe sana..Sauti na neno njema 🙏🏿
@luvisa24724 жыл бұрын
Hii record companyinayojiita Holy Trinity Studio waache kuweka introduction ya nyimbo yao katika kila nyimbo walizo record, yaani inaudhi unapo taka kusikiliza nyimbo lazima kwanza usikize introduction ya sauti yao kitu ambacho kinaboa. Tunajua mmerekodi hii nyimbo sasa hakuna sababu ya kutufanya tuwasikilize nyinyi kabla ya nyimbo. Roja na Tanganyika production hawaweki signature sound yao, unakwenda straight kwenye music. Makampuni makubwa ya kurekodi wahaweki introduction ya nyimbo kwenye musiki walio record Mnasound mpo patronize and hungry to be known and recognized
@SabinaPeter-ez9ik Жыл бұрын
Hongelleni masister kwa ukutuinjilisha munaiba vizuri sana
@freddykulwa8190 Жыл бұрын
Mungu wangu unilinde kanisa katoriki takatifu ramitume duniani kote imani Tanzania 🇹🇿 nzima amina Africa 🌍 ♥
@nduwabezaarexandre95244 жыл бұрын
Murabizi kbs
@victoriarwerengera48315 жыл бұрын
Mie masista huwa nawapenda sanaaaaaa! Sasa kwa nyimbo zao ndo naisha kabsaaaaaa!
@rebeccamaunde4085 Жыл бұрын
🙏 🙏..wacha kristo atawale maisha yetu
@josephmuriithi60673 жыл бұрын
Bila shaka KRISTU ATAWALE....Beautiful and Melodius presentation. Ahsante sana. HONGERA! TENA NA TENA. GOD BLESS YOUR GREAT WORK OF EVANGELISING
@felisterkokuberwa57835 жыл бұрын
Kristo shariti atawale akitawala kila kitu Ni shwari ,waoo nice song be blessed ,I lift you Jesus thank you Jesus ,bless ure bride sisters
@lucylinemwendwa90853 жыл бұрын
Sisters may the lord bless you all.
@comwijage4 жыл бұрын
If you are listening this in 2020 hit👍🏽🇺🇸
@OlasitiEnm-gf9wm Жыл бұрын
Wimbo mzuri na kuleta furaha, hongereni waimbaji
@joliekazal2174 Жыл бұрын
Chantez c'est prier deux fois, que Diey vous bénisse pour le temps que vous avez consacré à fin de nous aider à prier deux fois à travers cette chanson
@danielmwikaliga78454 жыл бұрын
Here I am send me O Lord! Psalms 30
@mercynarotso59443 жыл бұрын
I love these songs... beloved people of God..be blessed.. AMEN
@mercynarotso59442 жыл бұрын
This song it's so nice and beautiful...
@ganza33583 жыл бұрын
So much love .... i don’t understand all the lyrics but this is nice
@pelinakalinga21003 жыл бұрын
Amina YESU sharti atawale maisha yangu yote
@adammasunga63825 жыл бұрын
Ukiona mtu apinga nyimbo za kristo elewa anahitaji maombi maana ametawaliwa na pepo la unafiki na shetani yu ndani yake Mungu awabariki watumishi wa mungu kupitia nyimbo nzuri za mungu AMINA
@stanmapendomosha26543 жыл бұрын
Mungu awabariki sana muendelee vizuri na hyo talanta yenu napata faraja Sana...
@elizabethnyadaro81283 жыл бұрын
Kristu na atawale katika maisha yangu.
@linetmtenyo17553 жыл бұрын
I like the song very much💕💕💞
@lindezanoe22983 жыл бұрын
🙏🙏🙏Deus seja louvado em todos os momentos 🇦🇴🇦🇴🇦🇴
@kaiyulakagaruki13104 жыл бұрын
Sichoki kuwaangalia mabinti wa Yesu. Mbarikiwe sana
@jessicajamesjames55654 жыл бұрын
Wooow very nice masr wetu tabora 🙏
@patrickmukambilwa5845 жыл бұрын
Kristo ati atawale ati atawale mioyo yonimwetu ,maishani mwetu,jumuiyazetu ,uwalimuwetu ,sharti atawale maishani mwetu asante sana kwamaneno ayo mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yakitume amina
@marymayoli58732 жыл бұрын
It's a matter of total (I mean total) spiritual surrender and commitment to Jesus in order to experience God's presence and peace in our lives! Good message. 🙏🙏🙏
@user-ez2bj2tg9k10 ай бұрын
Lovely song ,Christ must reign in our lives
@agathanyondo31924 жыл бұрын
2020 tujuane hapa🖐🖐🖐
@yosephklemensmau85133 жыл бұрын
Wow awesome...... Love from Indonesia
@tumainibaynit30662 жыл бұрын
Ujuzi na umahiri wa sister mpuliza tarumbeta be blessed sister
@catherinesafari23243 жыл бұрын
Kristo atawale mioyoni mwetu
@christinanoah38874 жыл бұрын
naupenda huuu wimbo una nibark sana
@user-gi7cm7yq9g8 ай бұрын
I just love it and especially the touch and the impact beautiful!
@anastaziabikuba5517 Жыл бұрын
My inspiration ❤
@philomenasjohn90834 жыл бұрын
Kristo sharti atawale, Kristo sharti ataeale, mioyoni mwetu .....
@teresakaguri67364 жыл бұрын
Awesome sisters. May our father keep on blessing you for the very nice voice,song,message inside the song,nice dance well organise ,looking good and many many good advice. Good blessed you daughter's of our God. Am Terry kiplagat in Kenya Mombasa catholic holy ghost Cathedral with Parish priest Fr John Colea .This song I will teach our Sunday service children,wanamaria shirika,missionary children and am very sure we are all going to blessed coz of you sister's Good work am very very proud of you.i have daughter six year's now if she be called to be a sister like you I will advise her to join your shirika
@teresakaguri67364 жыл бұрын
Voice very nice I feel blessed my dear sisters
@teresakaguri67364 жыл бұрын
If you have another one kindly and humbly can I have it please. Be blessed. You are all looking wao .beautiful like mary mother of God.
@stephenmuketha48844 жыл бұрын
thank you for this reminder, that krist rule my life
@freddykulwa8190 Жыл бұрын
14 12 2022 mungu urinde watawa wote duniani roho mtakatifu uwe nasi siku zote amina upokee maombi yetu amina ulinde family 👪 jumuhia zetu mungu wangu unilinde kanisa katoriki duniani kote amina viogozi wetu amina
@jamesgachau2566Ай бұрын
Wimbo mzuri sana
@anastaziamdalingwa25164 жыл бұрын
Hakika wimbo mzur na nabarikiwa nao sana
@justinakalekana63443 жыл бұрын
Mungu awabariki na hongereni kwa wimbo mzuri
@ulrickmasse8013 жыл бұрын
Quelle jolie voix!
@memawiliam82214 жыл бұрын
Nimejikuta natabasam sana kusikia hii kwaya kweli shariti atawale maishani mwng
@butrusbutrusghali66574 жыл бұрын
You are all look smart, sisters of Kristo Atwale. Asante Sana. watching you from south sudan
@nabilibrah19544 жыл бұрын
Mwenyez mungu awatie nguvu zaidi
@marthamasue40095 жыл бұрын
Kristo sharti atawale maishani mwetu. Mungu awabariki sana masista kwa ujumbe mzuri mliotupatia