Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015
Пікірлер: 187
@pascoalphonce291111 ай бұрын
Huwa namaliza MB zangu kusikiliza hii hotuba kila mala nailejea tena nani nipo nae leo 3/9/2023
@emanuelgunda40333 ай бұрын
Hakika ww Jpm ni ulikuwa Jembe na nusu
@haafidhaboubakary30972 жыл бұрын
Who is watching this speech January 2022🔥🔥
@kevinmremi6312 Жыл бұрын
28 July 2023, I am here watching, and I don't believe that our dear beloved President JPM is REALLY gone. In most cases, we always remember the treasures we had, long after they are gone! You are a gem, a treasure, a true son of Africa, a Pan-Africanist and you are now gone! May your soul rest in eternal peace. Amen
@johnkanuda9355 Жыл бұрын
Pumzika kwa aman JPM, love u more our late beloved President of all in the world,,, mungu akupunguzie adhabu ya kaburi kipenzi chawatanzania.!
@usembiphonedar56328 ай бұрын
Ameni
@organistsskills49213 жыл бұрын
Hii Hotuba nairudia tena na tena... Dira ya Taifa ilianzia hapa.
@nyanjigamuyenjwa519210 ай бұрын
Moja ya hotuba bora kabisa karne ya 21 Napenda sana kusikiliza hotuba hii ,kwani haichoshi Tukubali Mh Magufuli alikuwa mtu na nusu Pumzika baba,uketi mkono wa kiume
@sonnyr1899 Жыл бұрын
Nani yupo anatazama hiyi october 2022? Tujuane 😢😢😢
@dennismalima5365 Жыл бұрын
Mwambaaaa 😢... Who is watching JPM SPEECH? 4TH OCT, 2022
@mwitachacha-official2 жыл бұрын
Huyu alikuwa kiongozi wa aina yake na ilikuwa zawadi kutoka kwa mungu...sina hakika kama tunaweza kumpata kiongozi kama huyu..RIP magufuli.
@hassanaloobaidan253 жыл бұрын
Kiukweli mimi nilimuelewa Sana mzeee kazi umefanya baba na umetufundisha namna bora ya kuheshimu kazi ahsante kwa kuja
@masungajp1 Жыл бұрын
Nyerere, Magufuli type of leaders are many in Tanzania. It's all about time or timing. May God rest the soul of this great man in peace. Tutakukumbuka daima kwa mema.
@samsonobedi34723 жыл бұрын
Safali umemaliza Iman umeilinda baba enda maguful. Enda kwa Amin
@dennismalima53659 ай бұрын
28.10.2023... Baba nipo hapa naifatilia hotuba yako na kesho ni birthday yako.. Happy Birthday in heaven JPM
@nelsonpeter21124 жыл бұрын
Mkuu umefanikiwa kwa asilimia zaidi ya 90% hongera sana 2020 hii
@nicsaelemanuelburra34864 жыл бұрын
Hongera sana kiongozi wangu
@dickmlawa88433 жыл бұрын
99.9%
@bannychanel97524 жыл бұрын
Magufuli NI kiongozi Bora Sana kuwahi kutokea duniani...Na mengi aliyohaidi ametekeleza...big up my president
@dennismalima53654 жыл бұрын
Hotuba haichoshi aisee... Thanks God for this president.. He is intelligent! Alichokisema, ndo anachokifanya. Haina unafiki. Piga kazi Mzee, Tupo nyuma yako.
@Cyril_James-Jr.7 ай бұрын
I am watching now it's 07.01.2024
@mwalumwakili25417 ай бұрын
Watcing this on 10th January 2024😢😢😢 RIP POMBE huku kenya tuliahidiwa mengi ya uongo
@yusuphkapilimka2 жыл бұрын
Who is watching September 2021
@peaceisrael81582 жыл бұрын
Im even here today December 9 uhuru day
@japhethgeriad45192 жыл бұрын
Here today 07TH April, 2022 KARUME DAY.
@emanuelcharles35484 жыл бұрын
2020 Umevuka malengo ya utekelezaji baba JPM.
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
Na kweli Mzee HUKUWA na KIGUGUMIZI katika KUISHUGHULIKIA Ile MIJIZI.....R.I.P the GIANT PRESIDENT.....!
@josephnchunga12472 жыл бұрын
Hutuba zenye hisia za mh Magufuli zenye malengo yenye usawa dah daima mi binafsi nimepotelewa na Bonge la rais. Mungu akupe pumziko la milele amina
@jojolee3824 жыл бұрын
Jan 25 2020, Magufuli is the best....!! 2020 TANO TENA.
@AggreyHamisi-og2fm6 ай бұрын
Haya mm npo leo Date 3 feb 2024 Saturday, listening to the speech . But naona ambacho hajafanikiwa kutekeleza ni swala la " KATIBA " Na kuvutia wawekezaji weng tofaut yake alkua kama anawataka walipe kodi kubwa sn . But all ni all 95% ya vyote alvyoahidi katekeleza Lkn pia ithink ndo rais ambae matamanio ya wananchi weng wa TZ tulmsubr sn but kwa kua Mungu almpenda zaidi ,RIP Magu 😭😭😭😭😭😭 ( we loved u and we still needed u )
@ibrahimkambi92884 жыл бұрын
Mh.Rais uliahidi na umetekeleza kwa zaidi ya asilimia 98.99 Kongole sana kwako.
@agneomasonda24626 жыл бұрын
Shikamoo baba Magufuli hotuba hii imenifanya kuwa balozi kukutea nakuombea mema daima. Kazi nzuri sana tunaiona watanzania.
@mahelamnazaletinmm8803 жыл бұрын
Mjinga wew auna akili unamshukur MTU kwa matakwa yak
@josephmlela97573 жыл бұрын
Pumzika Rais wangu niliekupenda Doctor John pombe Joseph Magufuri
@frankkashner3 жыл бұрын
I love this Man Na yotee ametekeleza Mwamba
@makalangakiselya52073 жыл бұрын
sina la kusema zaidi ya R.I.P Jemedari hakika ulitawala vizuri
@jafaryally20372 жыл бұрын
Ukisikiliza tu kama ni mzalendo wa kweli lazima machozi yatoke tu. Kazi ya Mungu haina makosa
@stephenmutuli9441 Жыл бұрын
Pumzika salama kiongozi
@mosesmussa36694 жыл бұрын
Daah nimesikiliza hotuba hii tena,sijutii kumpigia Kura mh JPM
@issackdauda50712 жыл бұрын
Yaani mungu alitupiga fimbo kwa huyu jamaa
@ramamohamed83929 ай бұрын
Daaaah😭😭😭😭
@peaceisrael81582 жыл бұрын
Rais asiyeandikiwa speech na kila aongeacho ni point na speech haichoshi kuskiliza hata km ni masaa mengi bundle haliendi bure...RIP JPM tunakukumbuka kwa mengi
@dihajimaulidi37992 жыл бұрын
Me nimerud tena baada ya kifo chako 21 na hali ya Tanzania yetu umeme na mfumuko wa bei upo juu chini ya utawala wa mama samia
@shabankawala66062 жыл бұрын
Pumzika kwa amani rais wetu Magufuli na mungu ailaze roho yako mahalipema peponi amina.
@motv38534 жыл бұрын
Hivi alikuja amekariri Maaana sioni akisoma. Anachungulia tu na kuendelea kutiririka. Big up for total reflexão
@organistsskills49213 жыл бұрын
Anatumia kifaa maalum ya presidential device kwaajili ya kusomea hotuba.. A teleprompter, also known as an autocue, is a display device that prompts the person speaking with an electronic visual text of a speech or script. Using a teleprompter is similar to using cue cards. The screen is in front of, and usually below, the lens of a professional video camera, and the words on the screen are reflected to the eyes of the presenter using a sheet of clear glass or other beam splitter, so that they are read by looking directly at the lens position, but are not imaged by the lens.
@issayamshana37502 жыл бұрын
@@organistsskills4921 Itakuwa hivyo mana teknolojia inakuwa sanaa....!! Lakini pia huyu Raisi alikuwa na kipaji binafsi. Katika kuzungumza mbele ya Watu, hata kama hotuba imeandikwa pia uwezo binafsi ni jambo la muhimu sanaa
Nilikuaga nikifuatiliaga hotuba za mwl nyerere sasa nimepata rais mwingine wakufuata hotuba zake
@isaacmwailinga89217 ай бұрын
This Was Very powerful Speech ever heard from The leader in our Country 😢 Powerful thought Thanks You For the God Seak
@samsonobedi34723 жыл бұрын
Ww ndio rais kwanza kusema ss nitajili baba pia we ndio mtu ulitupenda ss makini Baba. Nakupenda San jpm
@loner_wolf3 жыл бұрын
Hao wanaotoka bungeni tuachie sisi mzee, sisi wenye nchi ndio tutamalizananao 2020
@empbakumbafamily90723 жыл бұрын
Naangalia tena hotuba ya baba leo😔😭
@jumachanewstrends68992 жыл бұрын
Nimerudiii kusikilizaa tenaa hotuba yako Leo tarehe 21/03/2022 baaada ya mwaka mmoja kututokaa
@lilykarim89682 жыл бұрын
Hilo libibi linasafiri na mdege wako mkubwa baba na msafara rukuki tunateseka sana likuskilize labda litajirekebisha ila linapenda starehe kwelikweli
@nestor3842 жыл бұрын
Dr. Magufuli was the masterpiece Dr. Magufuli was the true pan africanist Dr. Magufuli showed how Africa can be transformed to the better place RIP Sir
@chabadeus6475 Жыл бұрын
Just waoh..... wonderfully....guy....how better him
@aminihamisi35512 жыл бұрын
Daaah basi bwana Mungu mpumzishe mahali pema Magufuli wetu🤲🤲🤲
@user-ys1ge5no8f Жыл бұрын
Nilikupenda sana Rais wangu lakini mungu kakupenda sanakwakutoa Hutuba bila kusoma kimemo
@winfredchaula18494 жыл бұрын
Wewe ni Rais Msema ukweli nimerudi tena kuiskiliza hii hotuba baada ya kuiangalia live mwaka 2015, Umeyatekeleza yote uliyoahidi .Hongera saana magufuli wewe ni Jembe kweli
@mohamedhabibu31702 жыл бұрын
Magufuli wewe ni zaidi chuma si chuma kufanana na kingine mungu akulipe pepo Rais wangu
@mohamedhabibu31702 жыл бұрын
Magufuli wewe ni daidi ya chuma si chuma ukafanana na kingine mungu akulipe pepo Raisi wangu
@samsonobedi34723 жыл бұрын
Nitaman Kuna 2025 itakuwa wp inamn. Yangu Bado ipo juu ya baba nimejifunza meng katika maisha ukweli umakini uwazi upendo na kumjua mungu tz ingkuwa mpya baba
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
Huyu ndio alikua Rais Kwa Watanzania, alitaka mpk PENI ya ofisini ikinunuliwa BUKU iwe BUKU....na kweli ALIWADHIBITI walikua kama MASHETANI,....sisi maskini TULII ENJOY sana wakati wako , R.I.P the GIANT PRESIDENT 🙏
@njiranyinjaMwenyeheri13 күн бұрын
Baba popote uwendapo mungu akupe mahali pazuri kuwa nasi ichini Congo tunge MUPATA mutu kama wewe tunge shukuru mungu zai hasa kamanyola kijijini
@ernestomwakababu6342 Жыл бұрын
Mwamba alitoa dira, na alipambana sana kugusa kila alipoahidi kufanya, japo alikwamishwa Kwa nguvu nyingi mnoooo.... Mwamba alisimama kwenye mstari .
@nitumesokoni31643 жыл бұрын
Tutaongea mengi sana ila kwa ufupi huyu mwamba alikuwa CHUMA. Yote aliyoyaongea mwaka 2015 leo hii yametekelezeka. Pumzika kwa amani baba. Umevipiga vita vilivyo vizuri, imani umeilinda, mwendo umeumaliza. Tutaonana baadae
@brendanjiro14185 ай бұрын
Feb 14, 2024😔 Thank you Sir🙏 continue to RIP
@sishamtula21334 жыл бұрын
2020 still here😊
@princessmohammed4 ай бұрын
I'm watchin now ts 27.03.2024
@EliahParpulisEvalyneMkulati3 жыл бұрын
Dope!! Great work is done!! Keep it up!!
@loner_wolf3 жыл бұрын
Nimemuona Zitto anamkonyeza cameraman 42:25 asimmulike sana😂😂😂😂. KAMA UMEMUONA gonga like
@zenj19863 жыл бұрын
Yaani vigogo wanajitafuta vidole mana hawakujua kama JPM atakuwa mkali kiasi hiki.
@brianshomi7224 ай бұрын
Sichoki kukusikiliza kiongozi wangu 12-03-2024
@samsonobedi34723 жыл бұрын
Unapo sema unasema kwel baba tuliombea Sana kwa mungu ila mungu alikupend Zaid baba lala kwa Amina kwangu we ndio rais wangu
@peterandrew27952 жыл бұрын
Punzika baba angu kwa amani.....watanzania hawana masikio hujue hilo....utuombee baba mungu wetu.....hatusikiii....pole baba angu
@user-pu8rn2pe8q11 ай бұрын
Huyu ndiye Aliyekuwa Rais mpenda haki na mtenda kazi ktk Kupigania wananchi wake Ni Mfano Bora Wa kuigwa
@dickmlawa88433 жыл бұрын
Mungu tunakuomba utupe jembe kama hili hata likifanana kwa vitendo tu mungu tusaidie🙏
@allankimaro4327 Жыл бұрын
Yote uliyoahidi uliyatekeleza kwa kishindo kikubwa. Hakika hautasahaulika Baba Magufuli. Rest in paradise Magufuli
@frankmpanda34055 ай бұрын
Mimi leo nasikilza trh.13.02.2024
@zenj19863 жыл бұрын
Kwakuwa hali ya nchi ilikuwa ni rushwa, kutokuwajibika serikalini, matumizi mabaya ya pesa za serikali na viongozi na familia zao, huduma mbovu ya afya, vilio vya huduma ya maji na umeme iliokuwa mzuri, wenye kipato cha juu kuona anaweza kufanya lolote bila ya kuambiwa lolote, watu kudhulumiwa ardhi na kujichukulia ardhi na kukopa pesa kwenye benki za nje lakini sio kwajili ya kuendeleza mambo yao nchini ili kutoa ajira kwa watanzania. Huyu alikuwa ni mtu muhimu sannnna kwa taifa letu. Magufuli alikuwa na uchungu juu ya nchi yake na watu wake.
@Gambasingu_Gilitu2 ай бұрын
15 May 2024 Bado naisikiliza hotuba hii Bora Bora kabisa.
@emmanuelnyangi68374 ай бұрын
Niko hapa Leo trh 04/04/2024 kumcheki Mzee wetu jpm alchoongea
@geoffreykossami16314 жыл бұрын
Umetekeleza !
@emmanuelbonifas2804 Жыл бұрын
Ulienda wapi magufuri leo hii Tanzania inakulilia na watanzania pia maisha yamekuwa magumu ayaelezeki kila kitu kichungu
@fadhiliwaleo5903 Жыл бұрын
Hata mtoto wangu nitamsimulia kwa mama yako
@parmenaprosper37804 жыл бұрын
One word from this clip “Always start with your internal problems then you will conquer anything”
@daudimasebo40732 жыл бұрын
One of the greatest speech around the president of afrca
@mangolaayubu91144 жыл бұрын
Good president in my country.Hongera sana mheshimiwa kwa kazi nzuri unayoifanya.
@mlokaferdinand4 жыл бұрын
Kama hua unarudiarudia hii hotuba hii Mara kwa Mara gonga like twende sawa....yaaani alio yaongea yoote yashatelekelezeka na mengine yanatekelezeka......haichoshi kuisikiliza....big up Mr president
@7675kio10 ай бұрын
Tumepoteza jembe lililotembea juu ya maneno yake!
@samsonobedi34723 жыл бұрын
Ulijiamini Sana baba uketi kifuan kwq kwa elia
@ElaviusSauloАй бұрын
Nawatch tena hii hotuba..4.7.2024...R.I.P JPM
@kadirdhulfiqaar78202 жыл бұрын
Memory
@dotoeliudi71972 жыл бұрын
Natamana kila Kiongozi wetubwa juu, Rais na mawaziri na viongozi waandamiz wa Taifa hili waliopo n wanaokuja wasikilize hotuba za bunge zote mbili za Magufuli.
@samsonobedi34723 жыл бұрын
Sauti umelala baba
@samsonobedi34723 жыл бұрын
Nitakupenda adi cku yangu ya mwish nataman ata urud mm ndio niondk baba
@abdurazzaq43567 ай бұрын
Tena naskiliza hotuba yako mr president 13/12/2023
@emanuelcharles35487 ай бұрын
9 January 2024, nimekuja tu hapa kujikumbusha maono yako na uhalisia wa jinsi ulivyotekeleza, we lost a father and a true patriot
@drfrankfaustine54694 жыл бұрын
Kiukweli watanzania wenye akili na uwezo wa kufikilia hawawezi kubeza kiongo, i wetu uyu ananipa mwanaga wa kuonesha nia ya kuwa kiongozi pia ata mm apo badae kwa kuenzi aya anayo yafanya kiukweli nakuombea sana mwshimiwa
@drfrankfaustine54694 жыл бұрын
Nakupenda sana mzee wang ww toka ukiwa waziri ulikuwa iv ivi
@mahelamnazaletinmm8803 жыл бұрын
@@drfrankfaustine5469 unaumwa wew
@organistsskills49213 жыл бұрын
Umwa na ww
@samsonobedi34723 жыл бұрын
Nimekaaa chin na kuangalia hutuba yak Rais meng uliyoyasema umefanya baba ukweli ulikuwa ni sehem ya maisha yak baba nilitaman uwep baba
@braycetz992 жыл бұрын
😭😭😭rip chumaa
@thomasmagoti9040 Жыл бұрын
Dr magufuli 😭umelala mzee wetu mungu akusamehe akupe pumziko la milele
@edisonmaliva1719 Жыл бұрын
Kumbe kila kitu alikiweka wazi mapema kabisa na hii hotuba ndio iliotoa mwongozo na dira ya uongozi wake.
@alfredyjustinian69843 жыл бұрын
Daaah nkupenda saana my president wa wanyongeee 25 tena mzee
@bminawandu Жыл бұрын
Magufuri nchi imeoza zaidi mkombozi magu
@loner_wolf3 жыл бұрын
Chuma hiko.... Kinapounguruma kinamaanisha muungurumo huo huo ndio uko ktk heart beat yake
@hillarymuliro31352 жыл бұрын
The best president off all times Rip rais
@peterandrew27952 жыл бұрын
Utakuwa baba kwangu milele.
@abeljoseph41022 жыл бұрын
I miss u so much my love president 😭😭😭😭😭😭😭😭
@kiliantereba65022 жыл бұрын
Wewe ulikuwa mkweli na yote uliyoyaahidi ulitekeleza. Ulikuwa kiongozi bora na wa pekee kuwahi kupatikana Tanzania na barani Afrika. Tutakukumbuka daima
@charlesmeshack90232 жыл бұрын
😭😭😭unapaswa kuigwa mzee wangu
@johnkanuda9355 Жыл бұрын
Ikiwa leo ni tar.29/09/2022...huku uchaguzi waviongozi ndani yachama ukiendelea....lkn.rushwa imetawala tenah baada ya wewe baba kututoka.JPM....pumzika kwa aman Neema twakuombea kipenzi cha wanyonge.mzalendo wakitanzania.!
@nchagwamichael59592 жыл бұрын
Nimerudi leo kumsikiliza mwamba tena.
@jovenaryjovenary84284 жыл бұрын
Naomba kama itapendeza ungetuwekea na ile ya uwanja wa taifa alipokuwa anakabidhiwa nchi aliposema "Mimi ndiye Rais" hongera sana Mh. Rais kazi inaonekana