We’re innovating ways to preserve our environment and our planet 🌎
Пікірлер: 7
@nsajimwasege688 ай бұрын
Cheers bro! Keep up the spirits!!!
@mulapfarm96648 ай бұрын
Thanks brother
@yonazakaria97068 ай бұрын
Good work 👏 . Ila kwanini usitumie lugha yetu. Kwamaoni yangu TZ, tuko nyuma sana kwenye swala la Local contents hasa za lugha ya Kiswahili. Other wise excellent work 👏
@mulapfarm96648 ай бұрын
Nalifanyia kazi nataka kuweka (subtitles) chini ya video zangu. Ni kweli local content hamna ndio maana nikaanza hii channel. TZ hamna support brother lakini video yangu ya kwanza in English imenifunza pia.
@yonazakaria97068 ай бұрын
@mulapfarm9664 Sawa kaka, you once inspired me, and you always inspire me with your exceptional work. Nitashea pia kutokea pale ulipo nitoa hadi sasa kwenye ufugaji mbuzi
@mulapfarm96648 ай бұрын
Nimefurahi kusikia hivyo kaka. Natamani kujua je English kwako hauwelewi kabisa?!
@yonazakaria97068 ай бұрын
@@mulapfarm9664 mimi binafsi English si shida kabisa. Ila nilikuwa nasemea kwa audience ya kiTZ. Ila kama umelenga international level sawa.,,