Hongereni sana kwa kazi nzuri. Ninashahuku kubwa sana kufuga mbuzi kisasa. Je, mna mbegu ya Savanna goat? Nipo Mbeya
@angelomfilinge86628 күн бұрын
naomba mawasiliano yako mkuu
@mulapfarm96648 күн бұрын
@@angelomfilinge8662 0659770886
@theobaldhotay741212 күн бұрын
Nahitaji mbegu ya Boer niko Arusha Karatu napataje
@mulapfarm966410 күн бұрын
@@theobaldhotay7412 tupigie 0659770886
@demetriakabera17714 күн бұрын
Kibaha sehemu gani
@mulapfarm966414 күн бұрын
@@demetriakabera177 0659770886
@salamaMasauti-s7l15 күн бұрын
Asalam Alaykum bei zenu za ujengaji wa bwawa ni bei Gani ?
@user-px2iu4mc5y18 күн бұрын
Niulize ukichanganya pumba yamuchele napumba ya mihindi na bunga yangazi hauwezi pata chakula bora???nipeni jibu plz
@mrdeniskomba619920 күн бұрын
Kibaha maeneo gani? Nataka Kuja kuchukua mbegu
@mulapfarm966420 күн бұрын
Tupigie simu mkuu
@felisternicholaus328121 күн бұрын
Ninaomba kazi famer
@felisternicholaus328121 күн бұрын
Jaman ninaomba kufahamu je mazingira bora KWA usitawi na ukuaji mzuri wa nguruwe mazingira ya namna gani . Je yenye joto au baridi au nguruwe anafugika mazingira yoyote tu
@BahatiMatembo23 күн бұрын
Asante kwa somo zuri kaka.., nakufatilia sana
@SelineAnyango-cu2yw23 күн бұрын
Am new na natamani kufuga nguruwe
@mulapfarm966423 күн бұрын
Pitia video zetu kujifunza
@lomu773325 күн бұрын
Hongera sana
@lomu773325 күн бұрын
Hallo habari, nauliza kama huwa mnawauza
@PrinceMuro-xr9ei25 күн бұрын
Nakupata ndugu yangu kutoka South Africa,but your face is familiar hakuja soma kizuka
@seifhafidhsuleiman364325 күн бұрын
Shukran kwa elimu lkn cjui mnapatikana wapi?
@seifhafidhsuleiman364325 күн бұрын
Shukran kwa elimu lkn cjui mnapatikana wapi?
@seifhafidhsuleiman364325 күн бұрын
Shukran kwa elimu lkn cjui mnapatikana wapi
@williamkishiva944627 күн бұрын
Umesema unatuelea tabia zake we upo bussy kutuonesha uyo ana miezi mitatu
@GiftKhan-fw1st29 күн бұрын
Please nambala zako zawatsapp brother
@mulapfarm966429 күн бұрын
0659770886
@shambaujuzi7979Ай бұрын
kzfaq.info/get/bejne/npuFf8x_qamRYas.html
@TumainiPeter-dg3ynАй бұрын
Kamahawa wa mz 3 shilingi ngapi nakwa kahama beigani
@mulapfarm9664Ай бұрын
Tupigie 0659770886
@TumainiPeter-dg3ynАй бұрын
Dume shilingi ngapi
@margarethollomi5489Ай бұрын
hivi nguruwe anaweza kunywa maji ya kisimani?
@elizabethkazungu6793Ай бұрын
Hongera sn. Wapo vizuri sana . Ahsante kwa ushauri. Napenda sana kufuga nguruwe
@mulapfarm9664Ай бұрын
Karibu sana
@EGBERTNTURWAАй бұрын
Asante sana kwa somo zuri sana... Nlikuwa natafta elimu kama hii kwa muda mrefu ... Unaweza kudisplay mawasiliano yenu ili kurahisisha upatikanaji wenu..?
@annesmatemu4264Ай бұрын
Mpo wapi
@mebumohammed6844Ай бұрын
Vizuri sana denis
@user-tt6bj8lh1fАй бұрын
Nimependa SoMo lako
@lazarokasanga4056Ай бұрын
Naitaji kuanza kufuga nianzaje
@petermtey5508Ай бұрын
Niuzie wawili tafadhali
@mulapfarm9664Ай бұрын
Ofa yako?
@lucasluvanda2250Ай бұрын
Kaka nimeenjoy elimu yako sana keep it up
@mulapfarm9664Ай бұрын
Shukrani sana kaka
@kanoleausi4204Ай бұрын
naomba namba yako nahitaji mbegu ya Lucerne
@mengikibona1405Ай бұрын
Naomba kuuliza watoto bei gn
@mulapfarm9664Ай бұрын
Tupigie simu 0659770886
@fredrickmuthuni406Ай бұрын
Aisee somo zuri sana...nitalifanyia kazi na nikiwa na issue nitakupigia simu. Ubarikiwe sana 🙏
@athumanially712Ай бұрын
Viip mnatuuzia mzee??
@user-hf4yn1qm7yАй бұрын
Nawapateje hao
@mulapfarm9664Ай бұрын
Tupigie 0659770886
@user-oz9qi4ux6bАй бұрын
Habari nikiihitaji napataje mbegu mzuri maana nilitaka nianze ufagaji mm nipo kilimanjaro mnasafirisha mpak uku MTU akihitaji?
@mulapfarm9664Ай бұрын
Tupigie kwa biashara
@madhuru2554Ай бұрын
Kuna hatari gani ya kuchanganya Boaer goat na chotara?
@mebumohammed6844Ай бұрын
Kaka tupe number naitaji wadogo kike na dume
@mulapfarm9664Ай бұрын
0659770886 tupigie
@mebumohammed6844Ай бұрын
@@mulapfarm9664 thanks
@MaikoJoseph-ym9keАй бұрын
Kaka mungu akubaliki sana ni likuwa natamani kufuga ila nilikuwa sinaujuz sasa umeninowa vikali❤
@mulapfarm9664Ай бұрын
Tunashukuru sana ndugu
@PauloChendaАй бұрын
Kwan mpo wapi...
@tianarestАй бұрын
Nitajipanga kwa ajili ya mbuzi ngoja niandae mazingira ndugu
@davidmeena159Ай бұрын
Tunaomba number
@embracinglife777Ай бұрын
Is he for sell?
@mulapfarm9664Ай бұрын
If you want him 2.5M pay
@embracinglife777Ай бұрын
@@mulapfarm9664 those that includes shipping
@mulapfarm9664Ай бұрын
@@embracinglife777 we have not started exporting our Boer goats yet…
@mulapfarm9664Ай бұрын
@@embracinglife777 +255659770886 if you’re serious reach us for more details
@thomastarimo8556Ай бұрын
Boer goat nawapataje Boss
@embracinglife777Ай бұрын
Please help me can humans eat super Napier grass and how?