HUWEZI KUOMBA? TAMKA MANENO HAYA NA MUNGU ATAKUSIKIA

  Рет қаралды 240,402

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Жыл бұрын

Kwa maana dunia itajazwa maarifa ya utukufu wa BWANA, kama maji yaifunikavyo bahari.
Habakuki 2:14
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/sirizabiblia
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Пікірлер: 750
@mazengotv8507
@mazengotv8507 Жыл бұрын
yesu ingilia kati maisha yangu maadui wame nizinguka wachawi wame nizunguka waka achilie biashara zangu kazi Zang wa toke kwa jina la yesu kristo Amen
@mercykakwu5681
@mercykakwu5681 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Sheila-ji6if
@Sheila-ji6if Жыл бұрын
Amen
@godfreyhiza1075
@godfreyhiza1075 Жыл бұрын
Yesu akawe Nuru, anza yote Kwa Jina la Yesu
@justaalphonce9183
@justaalphonce9183 Жыл бұрын
AMEN AMEN YESU NITETEE
@EllyJacksonAkyoo-op7jc
@EllyJacksonAkyoo-op7jc Жыл бұрын
Amen
@dbbfootball3154
@dbbfootball3154 Жыл бұрын
Amen,Yesu ingilia kati,ya maisha yangu uniponye magojwa haya napitia Hali ngumu sana
@hope30807
@hope30807 Жыл бұрын
Mungu akukumbuke
@user-rh2wo7hj1c
@user-rh2wo7hj1c Жыл бұрын
🙏🙏🙏Mungu akutimizie hutaji la moyo wko
@dbbfootball3154
@dbbfootball3154 Жыл бұрын
Amen 🙏
@elizabethgradytemba8952
@elizabethgradytemba8952 Жыл бұрын
AMEN 🙏🙏🙏
@ClareKwamboka-gz4pm
@ClareKwamboka-gz4pm Ай бұрын
Pokea uponyaji in Jesus name 🙏
@MinzaMadilo-zf5yl
@MinzaMadilo-zf5yl 9 ай бұрын
Ee mungu naomba kabla mwezi wa tisa kuisha niwe miongon mwa watu waliobalikiwa katika kazi na familia yang pamoja na rafiki zangu bwa akatege sikio wakti wa kuomba kwangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@anethjoseph355
@anethjoseph355 8 ай бұрын
Amen.. Mungu akutendee
@Anna-fo6sq
@Anna-fo6sq 3 ай бұрын
Ee mungu wangu naomba uniponye Malachi yote mabaya
@Anna-fo6sq
@Anna-fo6sq 3 ай бұрын
Ee mungu naomba uniponye maladhi mabaya yote
@Anna-fo6sq
@Anna-fo6sq 3 ай бұрын
Unijalie mume mwem
@DIANAMBOYA-km3cn
@DIANAMBOYA-km3cn 2 ай бұрын
Naomb mungu anirudishie kiu ya maombi
@mariandamu7379
@mariandamu7379 Жыл бұрын
Mungu nisaidie nijue kuomba .
@MiriamPatrick-mn1rs
@MiriamPatrick-mn1rs 8 ай бұрын
Baba naomba kupitia maombi ya mtumishi wako innocent mashauri nikapate kupona,na magumu ninayo pitia yesu ukasikie kilio changu uniponye Amen
@user-fy5uf9rb3x
@user-fy5uf9rb3x Ай бұрын
Mungu wangu: ombilangu kwako ni kwa kabla mwezi huu wa sita kuisha kuisha naomba unibadishie biashara nieze kubadilisha maisha ya familia yangu :Amen
@emmanuelwiseman7566
@emmanuelwiseman7566 6 күн бұрын
Ee Mungu unifungue katikati ya vifungo vya Giza vinavyozonga maisha yangu Ee Mungu ninaomba ukate mapingu yangu yote unisaidie kufikia hitaji langu la moyo
@milalaemmanuel445
@milalaemmanuel445 5 ай бұрын
Baba katika jina la yesu , yesu sikia ingilia kazi biashara yangu kuna mtu anamwaga madawa yakienyeji naomba dawa zake zisifanye kazi naomba ingilia kati kila kitu ambacho ananifanyia najua wewe ni mwenza wa yote na yote kwako yanawezekana nahitaji neema yako na baraka amen
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Amina mtumishi, nimekuelewa mtumishi, kumbe mimi nimekuwa naomba na kulia ,mtume nimepitia machungu ila nimeomba sana na ninajibiwa, ila nimejifunza kumbe niombe na nisilie,mtume naomba uniombee nina tatizo la figo,na familia yangu ipo chini sana.
@JenniferBaya-zu5cr
@JenniferBaya-zu5cr Ай бұрын
Mimi siwezi. Kuomba. Nikiomba. Leo. Kesho. Siombi
@angelamwangulumba1510
@angelamwangulumba1510 10 ай бұрын
YESU ingilia kati maisha yangu na familia yangu katika jina la YESU kristo, Amen
@user-ny1ev1bi8u
@user-ny1ev1bi8u 3 ай бұрын
Ameeeni
@periskadenyi9636
@periskadenyi9636 7 ай бұрын
Yesu ingilia kati ya maisha yanagu pamoja na familia yangu 🙏🙏🙏
@MeshackKasanda
@MeshackKasanda Ай бұрын
Yesu ingilia kati ndoa yangu na uzao wangu ,,nikapate kibari mbele ya uso wako,, yesu kaingilie kati biashara yangu ,, kaniludishie wateja wangu waliokuwa wamepotea,,yesu jina lako iliishi milele /amen
@marywafula2858
@marywafula2858 Жыл бұрын
Naamini Mungu unaingilia kati ya mipango zangu kwa Jina la YESU KRISTO 🙇🏿🔥🤲
@KulwaMichael-mm3xd
@KulwaMichael-mm3xd 10 күн бұрын
Bwana yesu naomba uniongoze katka safar yangu ya maisha yangu pia umpe moyo wa huruma mchumba angu neema mke wangu nahiyo roho ya kunijibu vbaya mungu umuongoze ajue mm ndio mume wake ambae nimemchagua
@siryklyubov7989
@siryklyubov7989 Жыл бұрын
Amina mtumishi naomba yesu ingilia kati nina tatizo la lupus ambalo limeua figo zangu zote na ishi kwa kusafishwa figo mara tatu kwa wiki huu ni mwaka wa pili na nusu. na pia kisukari na kuumwa kichwa zaidi 40.na kijana wangu analala mchana na usiku kucha halali. yesu ingilia kati familia yangu.
@JaneDoe-hf3zy
@JaneDoe-hf3zy 3 ай бұрын
Pole sana
@vickybayo3432
@vickybayo3432 Жыл бұрын
Ee Mungu naomba ukawaponye wagonjwa wote walioko mahospitalin na manyunmbani uwatie Nguvu na ukawape faraja wote wanaouguza Na wahitaji wote yatima, wajane na wagane ee Mungu ukawafanyie wepesi ktk yote wanayoyapitia baba ukawaonekanie 🙏🙏🙏🙏🙏
@user-kt2zb9jk7h
@user-kt2zb9jk7h 5 ай бұрын
Amiin ubarikiwe sana.🙏🙏🙏
@LilianNzioka-fr6co
@LilianNzioka-fr6co Жыл бұрын
Amen, Mungu naomba ukaniokoe na familia yangu, naomba uponyaji kwa mtoto wangu apa,bwana naomba ukaweze kutuefusha n shida tunazopitia kila siku tunaitaji nehema n baraka zako
@siliviahmwakalobo5717
@siliviahmwakalobo5717 Жыл бұрын
Amen, mungu naomba uniokoe Mimi na familia yangu, naomba uponyaji kwa wa Toto wangu ukatuponye kwa damu ya Yesu 👏
@MariaSikay-gu8lf
@MariaSikay-gu8lf Жыл бұрын
Amen,Mungu akubariki kwa somo hili,ninapitia magumu Sana katika ndoa yangu,Sina haki ya kuabudu
@marymbunda5463
@marymbunda5463 Жыл бұрын
Mungu naomba unifungulie uzao wa tumbo langu pia unifungulie milango ya baraka katika jina la yesu
@susanwaikwa
@susanwaikwa Жыл бұрын
Amen Amen Amen napitia shida nyingi sana zamadeni
@ivonaadiventina7990
@ivonaadiventina7990 2 ай бұрын
Mungu wangu nakuomba unipe moyo wakuyashinda majalibu yalioko mbele yangu Amen
@sallie2505
@sallie2505 11 ай бұрын
Bwana yesu naomba mkono wako ukaniguse na kuendelea kunipigania katika maisha yangu siku zote naamin nimepokea na nitazidi kuona neema zako katika maisha yangu AMEN🙏❤
@mrsvinny2
@mrsvinny2 Жыл бұрын
Napitia hali ngumu katika maisha yangu na familya yangu nasikia kufungwa hata kuomba nashidwa.....changamoto za kunikataa tamaa 😭😭😭eeeh mungu unikumbuke nimekataa tamaa
@jacklinimgeni745
@jacklinimgeni745 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu
@sophiamasawe6852
@sophiamasawe6852 Жыл бұрын
Yesu nakuomba ingilia kat maisha yangu
@mercylangali8059
@mercylangali8059 Жыл бұрын
Naliita jina lako oh yesu nifugulie milango ya Baraka ktk maisha yangu
@siliviahmwakalobo5717
@siliviahmwakalobo5717 Жыл бұрын
Ingilia Kati mungu wangu na pitia wa Kati mgumu wa magonywa mara kwa mara
@ValerianaBiseko-hc6uy
@ValerianaBiseko-hc6uy 2 ай бұрын
Ee yesu wangu ingilia kati juu ya maisha yngu naomba uibariki mikono yangu naomba kufika mwez wa sita malengo yngu yakatimie amina
@NuruIssaya-cy4op
@NuruIssaya-cy4op Жыл бұрын
Yesu naomba uingilie mambo yangu yesu ingilia familia yangu naomba nakuamini Amina
@joycebosco9487
@joycebosco9487 Жыл бұрын
Bwana yesu naomba niwezeshe nirudi kwenye ndoa yangu niwaree watt wngu
@mulumederwasifa4801
@mulumederwasifa4801 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana kabisa mtuishi wa mungu 🙏🙏🙏
@juliusmongeri
@juliusmongeri Жыл бұрын
@eunicegerminus193
@eunicegerminus193 Жыл бұрын
@@joycebosco9487 amen
@TiddeMwalongo-ek5dl
@TiddeMwalongo-ek5dl Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@jaropthebilldone1652
@jaropthebilldone1652 5 күн бұрын
Yesu ingilia kati maisha yangu yawe ya juu kuzidi wale walionidharau kwajina la Yesu
@calistershayo9941
@calistershayo9941 Жыл бұрын
Mungu naomba msaada wako juu yafamilia yangu juu ya wachaw waliochuukua nywele zangu namme wangu wakazirudishe katikaa dam ya yesu
@iddahmwakibinga3545
@iddahmwakibinga3545 Жыл бұрын
Amina, Fanya Sasa kwangu Yesu Kristu
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Pole Calister mdogo wangu michawi ni ya kuchomwa na tairi hadharani.
@user-qh5yr3yx5b
@user-qh5yr3yx5b 5 ай бұрын
Mungu nilindie watoto wangu na mungu unipatie mume mwema
@rodambwana2045
@rodambwana2045 2 ай бұрын
Baba pokea maombi yangu yatimie kwa jina lako takatifu Amina🙏
@evampuya-mp9vf
@evampuya-mp9vf Жыл бұрын
Mungu wangu na baba yangu wa mbinguni onekana ktkt familia yangu
@user-or8yo2wj9v
@user-or8yo2wj9v 23 күн бұрын
Eeeh mungu Nina kuomba umbadilishe mume wangu katika ufahamu wake njia zake zilizofungwa mungu kazifingue
@user-yc5ej5ck4j
@user-yc5ej5ck4j 6 ай бұрын
Mungu baba ingilia kati maisha yangu pamoja watoto wangu naomba usimamie katika kazi yangu amen
@odindosusan5907
@odindosusan5907 Жыл бұрын
Yesu bariki watoto wangu wapete Baraka kwenye biashara zao fungua njia pasipo njia. Amen
@peninabensonpen870
@peninabensonpen870 Жыл бұрын
Amen YESU ninaliita jina lako kwenye ndoa yangu nikumbuke JEHOVA
@sharonatienoolweny
@sharonatienoolweny 11 ай бұрын
Asante Yesu kwa upendo wangu naomba hekima macho ya kiroho,,ulinzi kwa mtoto wangu na familia yetu
@keduraSamy
@keduraSamy 6 ай бұрын
Asante mungu wa mbinguni kwaku niambatanisha n'a mafunzo yako kwa mutume wako Amen Amen
@MussaTembe-yh3ij
@MussaTembe-yh3ij Ай бұрын
Mungu baba kanisaidia nikaweze fanikiwa katika maisha yangu nisaidia kila kitu nacho fanya nkaweze fanikiwa nisaidie mungu wangu nitaposoma nkaweze faulu katk masom yang
@MUNIKOSINDA
@MUNIKOSINDA 2 ай бұрын
Yesu Mzigo nilionao umenilemea naomba unipokee watesi wangu wamekuwa wengi pigana nao wewe ulie juu😭😭😭😭
@sylviawanjiku4105
@sylviawanjiku4105 8 ай бұрын
Amen nashkuru Mungu ameniwezesha nimepokea nguvu y kuomba na ninaamini Mungu ametenda.asante sana mtu wa Mungu ubarikiwe sana
@JulitaAndrea-nu6pz
@JulitaAndrea-nu6pz 2 ай бұрын
Asante mtumishi wa Mungu kwa kunifungua Naomba uzidi kuniombea. Nipate uponyaji
@YukundaLyamuya-te9qu
@YukundaLyamuya-te9qu 9 ай бұрын
Asante Yesu Kwa kunisikia na kuniponya Amina
@ggfghh6220
@ggfghh6220 Ай бұрын
Amina mungu aliye juu mbinguni naomba uwe mtetezi wa maisha yangu naomba uwe mtetezi wa watoto wangu maadui wamenitawala eeeh mungu usiniache niangamie nifunike na damu ya yesu kresto kupitia kwa maombi haya mungu wangu
@RamchaBonfa-te3ix
@RamchaBonfa-te3ix 6 ай бұрын
Mungu arudishiwe sifa na utukufu💞
@PendoGangala-pg7zo
@PendoGangala-pg7zo 2 ай бұрын
Be Blessed Servant of God this Word of God is so good. Tunaokolewa kupitia kazi yako ya Utumishi Utukufu kwa Mungu na Baba yangu wa Mbinguni Akubariki sana na Azidi kukutumia Vyema. Ameen 🙏
@DelphinaKaguo-br5yf
@DelphinaKaguo-br5yf 4 ай бұрын
Amen Mungu wa mbinguni naomba umponye mwanangu joshua
@MariamPetrojonh
@MariamPetrojonh 7 күн бұрын
Yesu ingiliya kati maisha yangu ninapitiya hali ngumu sana kiicbumi
@oman5875
@oman5875 Жыл бұрын
Yesu naomba ingilia kati kwenye maisha yangu mimi na familiya yangu maadui wasipate nafasi ya kutudhuru kwa aina yoyote ile,na pia ukaweze kuachilia kila vifungo vilivyofungwa kwenye maisha yangu baba na nyota yangu ilaweze kung'aa na ukanibariki kila hitaji langu Asante Yesu maan utaenda kutenda sawasawa na mapenzi yako 🙏🏿🧎ameni.
@gladnessnkya1169
@gladnessnkya1169 Жыл бұрын
Baba nofundishe kuombaa Amen 🙏
@neemakarisa1496
@neemakarisa1496 2 ай бұрын
Amen 🙏 Asante Mtumishi sasa inafaa tuangalie njia zetu za maisha tunayo ishi ,Na Imani iwe Kwa Kila tukiombacho,Kwa kua YESU alikwambia Amini Leo hii utakua pamoja nami peponi🙏
@user-dn6tk9fz7l
@user-dn6tk9fz7l Ай бұрын
Amen pastor aku bless na akulinde kabisa akuweze uzindi kufundisha ufalme wa mungu sisi wachanga neno lake tukileta mahijtaji zetu mbele zake atuzindanie kwa ndamu yake amen
@waridimbwambo-8729
@waridimbwambo-8729 Жыл бұрын
Aymeh na Mungu wetu ni mwaminifu sana kwahyo tumuombe atatusaidia na kutujibu kwakuwa kwake yote yanawezekana
@gfcgghh9138
@gfcgghh9138 3 ай бұрын
Amen amen amen.yesu karibu sana kwa maisha yangu,yesu karibu sana kwa kazi yangu.yesu nitamukie neno kwenye maisha yangu Amen Amen.🙏🙏🙏🙏
@agathamachiro9504
@agathamachiro9504 4 ай бұрын
Yesu Ingilia kati maisha yangu ,mahusiano,afya Na uchumi.
@everyne.illankunda8292
@everyne.illankunda8292 Жыл бұрын
Amen Mungu nasema asante saana Mungu
@tfashy_hub9156
@tfashy_hub9156 2 ай бұрын
Yesu ingilia kati katika masomo ya mwanangu, akapate kufaulu mitihani yake ya mwisho ya kidato cha Sita. Amen 🙏
@marieFatuma-no1kc
@marieFatuma-no1kc 3 ай бұрын
Amen ! Bwanaaaaa 😭 ingilia maisha ya watotowangu baba uwa linde baba , nakatala bengo ya bulozi kuyingiya mu watoto wangu 😭😭
@LoisaJumma
@LoisaJumma 2 ай бұрын
Baba naomba kupitia mazabahu hii niwezeshe kwakila hitaji langu lamoyo wangu Amin🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@nicodemianarose5216
@nicodemianarose5216 Жыл бұрын
Ameen jngilia kati Mungu ingilia kati Yesu changamoto zangu zote
@irusairis2182
@irusairis2182 Жыл бұрын
Amen and Amen naamini nimefnguliwa katika jina la Yesu Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
@falajamtambo5366
@falajamtambo5366 Жыл бұрын
Mungu naomba uniponye uniokoe nafsi yangu nafamilia yangu niinue Mungu nimepotea naamini 😢😢😢 kupitia jina lako utaniumbia moyo mpya
@estergasaya6935
@estergasaya6935 2 ай бұрын
Mungu nipe wepesi kwa kila jambo ngumu linalokuja ktk maisha yangu
@fauziakimath7446
@fauziakimath7446 Жыл бұрын
Amina BABA.MUNGU.WA.MBINGUNI.AKKUBARIKI.SANA.
@alyndaalynda6184
@alyndaalynda6184 Жыл бұрын
Bwana yesu nakuomba hujibu maombi yangu niliokuomba katika jina yesu kristo AMINA nipe nguvu ya kushinda majaribu yote katika jina la yesu Amina
@lucymalingi4795
@lucymalingi4795 9 ай бұрын
Yesu naomba uponyaji juu ya miguu .yesu ingilia kati uzao wangu Vivian, PRUDENCE juu ya masomo yao
@user-hi2if6zi5r
@user-hi2if6zi5r 4 ай бұрын
Amina yesu ingilia kati kwenye ndoa yangu,uchumi wangu kibali changu ,nijue jinsi ya kumtumikia mungu wangu.
@ashuranzagamba6328
@ashuranzagamba6328 Ай бұрын
Yesu niondoree roho ya kukatariwa. Niondoree roho ya kuchereweshwa niondoree roho ya kurudi nyuma
@user-ho5nr6el3o
@user-ho5nr6el3o 6 ай бұрын
Yesu ingilia kati maisha yangu yesu ingilia kati familia yangu asabte bwana yesu
@user-wt7yh5uu2k
@user-wt7yh5uu2k Жыл бұрын
Mungu nakuomba ingilia kat juu ya ndoa yang ninakuomba mwenyezi Mungu yeyote anaetaka kuvunja ndoa yang atashindwa kwa dam ya yesu🙏🙏🙏🙏
@DestinNondo-ge1ll
@DestinNondo-ge1ll Жыл бұрын
Naomba mungu wako mchungaji afunguwe njiya ya safariyangu yakwenda inje n'a ninashida aliyenizulumu pesazangu mungu anirudishie pesazangu
@DestinNondo-ge1ll
@DestinNondo-ge1ll Жыл бұрын
Tuko kwenye mahakama asante
@FelisterPio
@FelisterPio Ай бұрын
mungu nakuomba unisaidiee kumubadilisha mume wanguu pia nakuomba mwezi huu wa sita biashara yangu iende vizurii
@AncentMunyao-r7q
@AncentMunyao-r7q 2 күн бұрын
Yesu ingilia kazi yangu yesu ingilia angano yangu yesu ingilia ndoa yangu
@user-qv1kx3tf2j
@user-qv1kx3tf2j 11 ай бұрын
Yes indicia Kati ya biashara yetu bwana ingilia kati miili yetu bwana kaingie katika maisha yetu Asante bwana
@JulitaAndrea-nu6pz
@JulitaAndrea-nu6pz 2 ай бұрын
@jakAsante Mungu kwa kimtumia mtumishi wako ipasavyo Ee Mungu niondolee roho ya faraka katika jamii inayonizunguka.
@Jaju-bf9tt
@Jaju-bf9tt 2 ай бұрын
Yesu ingilia maisha yangu ili nipate uponyanji dhidi ya mapepo.
@esaukalanje5378
@esaukalanje5378 Жыл бұрын
Yesu, yesu ingia katika maisha Yangu Yesu ingilia kati uchumi wangu, ingilia kati afya Yangu, ingilia Kati kazi Yangu, Yesu ingilia kati maisha Yangu yote
@sayermwahunga2959
@sayermwahunga2959 Жыл бұрын
Amen 🙏 amen 🙏 mungu ingilia kati maisha yangu bila wewe wezi katika hii dunia
@BeatriceJoseph-wh1sg
@BeatriceJoseph-wh1sg Ай бұрын
Nawaombea watoto wangu kwenye masomo Yao mtumishi wa Mungu nahitaji msaada na Mungu akulinde uendelee kusaidia watu wenye shida mbalimbali ❤❤❤
@IreneNdawillah
@IreneNdawillah Ай бұрын
Mungu nilindie uzao wangu na unipenguvu ya kuomba Kila ninapo pata majaribu nilindie na kazi yangu inayo fanya watu wako tuishi.
@lidialidia991
@lidialidia991 Жыл бұрын
Yesu naomba mungu unilinde mimi n familia yangu 🙌🙌🙌🙏🙏🙏
@SeifSebaka
@SeifSebaka Ай бұрын
Bwana yesu asifiwe naitwa Leah peter naomba uniombee vijana wangu wawili Joseph na azeem wapo Dubai bahabusu naomba mtumishi maombi
@rosemarymusembi6721
@rosemarymusembi6721 8 ай бұрын
Amen!mungu ingilia Katie yangu unipe kazi nimechoka na kutafuta kazi sasa ni wakati wako uingilie katikati
@user-xx1jp6mz8k
@user-xx1jp6mz8k Ай бұрын
Ee Bwana YESU, ingia ndani yangu unitawale, mtume robo mtakatifu aingie ndani yangu aniongoze, anifundishe kuomba maana sijui kuomba ipasavyo🙏
@saeedahhenry711
@saeedahhenry711 Жыл бұрын
Asante Kwaaombi mungu azidi kukubariki imeniponya moyo wangu
@SjbwvXhbdddhdj-hw3kv
@SjbwvXhbdddhdj-hw3kv 11 ай бұрын
Ewe mungu wangu niingilie kati katika maisha yangu juu wewe ndio kila kilio changu ewe bwana 😢😢😢😢ni hayo machache na mungu unibariki siku yaleo amen
@fourgmobile1969
@fourgmobile1969 Жыл бұрын
Amina barikiwa mtumishi kwa, ombi lenye nguvu, MUNGU NITANGULIE KUTANA NA NYUMBA yangu
@eunicekahindi68
@eunicekahindi68 Жыл бұрын
Amen ingilia Kati katika matatizo yangu
@lgogoinvestment9876
@lgogoinvestment9876 8 ай бұрын
Binti yangu anayenisaidia nyumbani tangu aje mwezi haujafika baada ya kuanza maombi yalilipuka mapepo ya familia yake. Yesu nisaidie aweze kupokea uponyaji. Barikiwa mtumishi Kwa kazi Yako iliyonjema. Amina.
@agnessilayo2928
@agnessilayo2928 6 ай бұрын
Yesu ingilia kati ndoa yangu, watoto wangu na familia yangu
@EzekiaMwaibambe-yu6uk
@EzekiaMwaibambe-yu6uk 9 ай бұрын
Yesu naomba ingilia katika maisha yangu naomba ukaiguse na familia yangu ingilia katika biashara yangu baba asante ameen
@janethcharles8924
@janethcharles8924 Жыл бұрын
Amen Napokea kwa jina la yesu 🙏
@FatumaJuma-ss6eo
@FatumaJuma-ss6eo Жыл бұрын
yesu naomb niuone ukuu wako bwana niheshimish pale waliponidharau kila kitu changu nilichochukulia na kunyaganyw na kirudish maishan mwangu amen
@FatumaShabani-k6x
@FatumaShabani-k6x 14 күн бұрын
Mungu endelea kunitia wepesi katika maisha yangu 🙏🙏🙏
@chancematabishi9216
@chancematabishi9216 Жыл бұрын
Amen baba yesu ingiliya Kati maisha yangu nayawatoto wangu ingiliya Kati vyasharayangu nakazi zawatoto wangu ingiliyakati baba
@user-jc2ig7ck5m
@user-jc2ig7ck5m 7 ай бұрын
Yesu nisamehe dhambi zangu na za wazazi wangu mponyee dada yangu aamke kitandani alipo lala
@chancematabishi9216
@chancematabishi9216 Жыл бұрын
Amen naomba musaada wamaombi kwando zibaya zimenisubuwa nimeota wamepiga kijana wangu masasi nabinti yangu amefiya usingisini naomba musaada wamaombi myaka mingi sana nasumbuliwa namandoto zibaya
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 Жыл бұрын
Hakika mafundisho yang yananikuza Sana kiroho na kuniimarisha❤❤
@user-mn6sl8iy7t
@user-mn6sl8iy7t 9 ай бұрын
Mungu naomba ukafungue vifungo vinavyonisumbua kwenye uchimi wangu
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Жыл бұрын
Ameeen Unda group uniunge naomba maombi manzuri saaana tafadhali usituache mungu akutetee amina
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 Жыл бұрын
tuma meseji whatssap
@chissolamujingasolange1183
@chissolamujingasolange1183 Жыл бұрын
Amina baba bwana yesus atukuzwe.naomba yesus sikiya sikiya.yesus ingilia kwenye nyumba yangu.ingiliya kwenye família yangu.yesus niponye .yesus nisaidiye
@BettyNgome
@BettyNgome Ай бұрын
Eeeh mungu ingilia katika maisha yangu nmekosa amani katika maisha,ndoa pamoja na kazi
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 198 М.
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 706 М.
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 20 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
MY WIFE LEFT ME WITHOUT NOTICE- PK KARITEI
1:19:01
JEFF KURIA
Рет қаралды 40 М.
UNAPOCHOKA,NANI ANAKUBEBA KATIKA MAOMBI?? // MUHIMU SANA
37:41
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 87 М.
JIFUNZE KUZUNGUMZA NA MUNGU
16:47
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 61 М.
KANUNI ZA KUOMBA USIKU WA MANANE // HATARI YA USIKU
12:35
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 164 М.
DALILI ZA KUKUJULISHA UNASHAMBULIWA KIROHO || PST. GEORGE MUKABWA || 15/06/2023
1:34:04
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 434 М.
MAOMBI YA KUMFUNGUA MUME WAKO - MWL. ISAAC JAVAN
34:07
Isaac Javan
Рет қаралды 126 М.
BWANA ATAWAPIGA ADUI ZAKO MBELE YAKO // MAOMBI
16:53
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 29 М.