No video

ICING SUGAR RAHISI SANA/ICING BUTTER CREAM

  Рет қаралды 274,636

Mziwanda Bakers

Mziwanda Bakers

3 жыл бұрын

Margarine 200g
Icing Sugar Powder 1000g
Water 1/2 cup
Flavour 5mls/1tsp

Пікірлер: 348
@khadijaseif3897
@khadijaseif3897 8 ай бұрын
Mimi naomba vipimo vya icing butter mfano keki ya robo nitumie vipimo gani na keki ya nusu nitumie vipimo gani vya butter icing ambayo itatosha kupamba keki yang
@zaitunilyimo9012
@zaitunilyimo9012 2 жыл бұрын
Thank you so much my sis nimepata tabu butter cream zinavimba baada ya kuremba keki nimejaribu yako cake imekauka nimefurahi sana unafundisha kitu halisi haufichi fichi kama wengine. Mwenyezi Mungu akubariki sana sana 🙏❤
@aminaayubu6273
@aminaayubu6273 2 жыл бұрын
hasate sana nimejua kosa langu nini
@angelvalerian2927
@angelvalerian2927 2 жыл бұрын
Yaan huyu dada Mungu amuwwke
@julianaawuor9007
@julianaawuor9007 2 жыл бұрын
iko xwa kabisa
@user-cq8pe3tp5y
@user-cq8pe3tp5y 8 ай бұрын
​@@angelvalerian2927❤❤
@rebecasitta7478
@rebecasitta7478 5 ай бұрын
Mungu ambariki sana huyu dada
@mahranrashma1745
@mahranrashma1745 2 жыл бұрын
Ulichokifundisha ndio uhalisia dada, nimejaribu imetoka vizuri sana. Asante dada. Mungu akuongozee mambo yako ufanikiwe zaidi. Ameen. Lots of luv 😘
@aminamollel5725
@aminamollel5725 3 жыл бұрын
Ahsante sana tena sanaaaaaaa, ilikiwa inamisumbua sana hii
@elizabethedward3749
@elizabethedward3749 2 жыл бұрын
Mungu abariki kazi ya mikono yako, najifunza mengi sana kutoka kwako🙏🏼🙏🏼❤❤
@emillianapaulo462
@emillianapaulo462 2 жыл бұрын
asante sana dada kwa somo,hili.mungu akuinue.kazi yako.
@sharifamrisho8012
@sharifamrisho8012 2 жыл бұрын
Unajua hadi unakera safi sana mungu akulipe kubwa kuliko ulilofanya sio mchoyo my
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
😉
@user-nz6yz1us4g
@user-nz6yz1us4g Жыл бұрын
Good stuff I like it
@evaizengo808
@evaizengo808 Жыл бұрын
Najifunza sana , natafuta naanzajw kuwa mtengenezaji mzuri na msabambazaji
@agnesmtenga6820
@agnesmtenga6820 2 жыл бұрын
Nimeipenda,nitajaribu na nitakupa mrejesho
@ruthpastory9521
@ruthpastory9521 3 жыл бұрын
Asante dear kwa somo,swali langu kama hyo butter nataka kuandikia maua na kufunikia cake naeza igawa?inafaa pia kufunikia?
@agnesmagehema576
@agnesmagehema576 2 ай бұрын
Nakupenda mziwanda bakery Mungu akubariki sana
@zulekharamadhan2016
@zulekharamadhan2016 Жыл бұрын
YAANI MUNGU AKUWEKE AKUZIDISHIE UMRI UZIDI KUTUFUNDISHA MIMI HAPA KUTOKA KENYA MOMBASA NIMEJUA KUPIKA CAKE KWA SABABU YAKO NIMEFATA HATUA BAADA YA HATUA NA NDIO MARA ILIKUA MARA YA KWANZA MWAKA JUZI SAI NATENGEZA CAKE NAUZA NIKIKWAMA NAINGIA KWA YU TUBE ZAKO MOJA BAADA YA INGINE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ MUCH LOVE MY DEAR
@MamyTriple-gc5dy
@MamyTriple-gc5dy 9 ай бұрын
Nmekupenda sanaa
@ZiadaKhamisi
@ZiadaKhamisi 2 күн бұрын
Habari nafurahi unavyotufundisha mm napata changamoto kwenye kupamba kwa kutumia butter keki haiwi nzuri
@fatimamohammed3463
@fatimamohammed3463 Жыл бұрын
Thank you nikfanya my cakes melt fast if stays out of the fridge is it because I put it on the fridge?
@victoriakabota4976
@victoriakabota4976 2 жыл бұрын
Yani we ni mwalim mzuri tunakuelewa sana
@HalimaFikirini
@HalimaFikirini 3 ай бұрын
Iko perfect kabisa
@shadyamnanka1342
@shadyamnanka1342 3 жыл бұрын
Mashaallah Aunt navutiwa sana na ninapenda kujua kupika keki pia nahitaji kufundishwa kuazia kupika keki na nk na mie niko mwanza naomba niwe mwanafunzi wako nakupataj?
@user-xp9bt9pl8n
@user-xp9bt9pl8n 8 ай бұрын
Asante.niliweka maji mengi nilivyopamba ikayeyuka.je rangi ya unga inafaa kwenye cream butter?
@adellamlay9334
@adellamlay9334 7 ай бұрын
Asante Sana dear nimejifunza kitu maana Mimi niliambiwa nitie limao kidogo Ndiyo itakuwa ngumu kumbe si lazima.
@DianaDioskori
@DianaDioskori 3 ай бұрын
Wow❤❤
@HurumSanko
@HurumSanko Ай бұрын
Asanteee dada na jee, kwenye keki robo natumia vipimo gani
@witnesspeter6602
@witnesspeter6602 Жыл бұрын
Nashukuru kwa somo,je naweza funikia hiyo na maua hiyohiyo
@NeemaTemba-x1x
@NeemaTemba-x1x 10 күн бұрын
Asantee dada Kwa somo sasa kwenye keki ya robo naweka icing sugar kias gan? Halfu luhusu rangi nawekaje sasa
@fatmatwalib8408
@fatmatwalib8408 Жыл бұрын
Hongera na ahsante sana Hii unaiweza kuitunza kwa muda gani?wenye friji au nje ya friji?
@violanyamwihura7573
@violanyamwihura7573 3 жыл бұрын
Thank you very much for your tutorials. Which margarine brand are you using, blue band?
@zippyphoepy9507
@zippyphoepy9507 Жыл бұрын
Siz Kwan huwa tunaeka maji I thought we mix butter and icing sugar only until ikue white and fluffy
@janethmunisi7199
@janethmunisi7199 Жыл бұрын
Asante ntajaribu kutengeneza
@eastcuisines124
@eastcuisines124 3 жыл бұрын
asante dear naomba utufundishe royal icing
@jacklinejohn7380
@jacklinejohn7380 2 жыл бұрын
Hello madam mm nimekuwa nikkfuatilia sana but changamoto yng kubwa ni kuhusu kupika keki yaan nikipka keki huwa inakuwa na mlima for sure siipend hii hali na time nyng huwa inapsuka na kuvujia kweny ile mipasuko kitu ambacho kinafanya keki ichelewe kuiva hayo maeneo
@hossanajosiah5716
@hossanajosiah5716 2 жыл бұрын
Naweza tumia kimbo?? Badala ya blueband pls help
@ChristinaKimaro
@ChristinaKimaro Ай бұрын
Unajua Kupika keki dada yangu mungu akubariki
@aminasuleiman7084
@aminasuleiman7084 Жыл бұрын
Hbr mm nauliza hiv unaweza kutengeneza icing sugar kwa sukar ya kawaida na isichuruzike
@irinesimiyu6772
@irinesimiyu6772 3 ай бұрын
Can you use blue and?
@syliviamgina6213
@syliviamgina6213 2 жыл бұрын
Ahsante kwasomo nilikuwa nauliza kwamba unaweza kupambia keki yote au kwajili ya mauwa tu. Maana nikipaka huwa unagandia kwenye sahani wakati wa kukata keki atanikiweka kwenye friji. Msaada please...🙏🙏
@estherakinyi2622
@estherakinyi2622 Жыл бұрын
Asante Sana kwa mashauri yako
@eliethkwesigabo1990
@eliethkwesigabo1990 3 жыл бұрын
Asante nimejifunza kitu
@eliasshekalage9232
@eliasshekalage9232 3 жыл бұрын
Maji unatumia ya moto au baridi love
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Baridi kawaida
@DorineAgaziva
@DorineAgaziva 16 күн бұрын
Nimekupata vizuri sana
@upendoombeni4309
@upendoombeni4309 2 жыл бұрын
Iv hiyo butter inayobaki naeza tunza kwaa matumizi ua siku nyingine,?
@halimaleila2323
@halimaleila2323 2 жыл бұрын
Asante dd ninakufatiriya nikiwa 🇧🇮 nikijariwa kupata mutaji NITAKUTAFUT iri unijuze zaidi❤️
@suleiyumabdul2486
@suleiyumabdul2486 Жыл бұрын
kitu cha kwanza ulicho weka sijakujua ni nini iko
@pulcheriamayombo5780
@pulcheriamayombo5780 10 ай бұрын
Nimependa ufundishaji wako napenda nunua noso rose Maya ya na ten gene za and?
@selinamwakiluma7968
@selinamwakiluma7968 3 жыл бұрын
je naweza kutumia maziwa kipimo hichohicho badal ya maji?
@janetmilgo503
@janetmilgo503 Жыл бұрын
Good
@florenceadhiambo8622
@florenceadhiambo8622 6 ай бұрын
I still have a problem with the cream. Could u please repeat the lecture once more. Thank u.
@mariamhamisi2511
@mariamhamisi2511 3 ай бұрын
Samahan margarine ndoinavyoitw hivo au ni blue band?
@rosemarypeter9232
@rosemarypeter9232 2 жыл бұрын
Ahsanteee umenifunza kitu
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
Karibu
@dayanayahya2667
@dayanayahya2667 Жыл бұрын
Butter cream yang inakua na chenga chenga haiwi soft ivo
@HalimaFikirini
@HalimaFikirini 3 ай бұрын
Iko perfect kabisa 8:55 ❤
@DOTOCHARLES-so7rh
@DOTOCHARLES-so7rh 10 ай бұрын
Unaweza kutumia Kimbo na mompishi kwa vipimo hivi?
@kiwengaambari1331
@kiwengaambari1331 5 ай бұрын
Waweza kutumia Brenda ya juis
@sostenesswai778
@sostenesswai778 3 жыл бұрын
naomba kuuliza nikiweka maj ya chungwa badala ya ljmao nisahihii
@ketrapetro4591
@ketrapetro4591 2 жыл бұрын
Nemependa.
@anithageorge164
@anithageorge164 6 ай бұрын
Naomb kufahamu hyo machine unayotumia n ipi na machine nzur ya kuchapia ni ipi?
@emmynilesh8742
@emmynilesh8742 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mpnz wangu nilikua napata shida kweli kumbe n rahis namna hii hailavyuuuuu❤️😘😘
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
😘😘😘
@kingalpha7855
@kingalpha7855 2 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 nice dear
@kingalpha7855
@kingalpha7855 2 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 huweki ladha
@ruthwaweru6846
@ruthwaweru6846 Жыл бұрын
Thanks alot
@ambitiousqueen2545
@ambitiousqueen2545 Жыл бұрын
Niulizee waezatumiaa mafuta ya Kimbo ya kupika??
@user-ew2ne8jm8t
@user-ew2ne8jm8t 7 ай бұрын
Asante sana nimejifunza
@jumagodi9116
@jumagodi9116 2 жыл бұрын
MMI bado dada kabisa tatizo vipimo nakosea sujui
@raudhatmohammed1927
@raudhatmohammed1927 2 жыл бұрын
Mashallah Dada napenda kumjuwa kupamba keki nitaanza kujifunza Na kufuatilia
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
Karibu
@anadoricekomba3064
@anadoricekomba3064 Жыл бұрын
Nafuata vipimo. Margarine naipiga hadi inaanza kuwa nyeupe ndio naanza kuweka icing sugar lkn kukauka changamoto naweka hadi kwenye friji ikitoka inaanza kuyeyuka nakosea wapi?
@HalimaFikirini
@HalimaFikirini 3 ай бұрын
Samahani dada naomba ivo vipimo vya icing butter
@SekelaMwangosi
@SekelaMwangosi 28 күн бұрын
Mm huwa nikipamba keki ile icing inabanduka hata kama ni nzito cjui nakosea wap naomba kujua
@HadijaOmary-xv6kd
@HadijaOmary-xv6kd 6 ай бұрын
Asant my nimejifunza
@sisitadumshamba7754
@sisitadumshamba7754 Жыл бұрын
Asant dadaangu je naweza kuipaki sehemu na ikakaa ata mwezi bila kuharbika
@yuscotv2372
@yuscotv2372 2 жыл бұрын
Dada unaweka maji yakawaida na inakaa kwamda gani ili isihalibike
@user-to8wy6kl4k
@user-to8wy6kl4k 11 ай бұрын
Na kama sina popping bag substitute ni???
@christinapeter7131
@christinapeter7131 2 жыл бұрын
Hand mixer yako ni aina gani?
@mamyswedy
@mamyswedy Жыл бұрын
Asante sana ubalikiwe
@ireneraphael3351
@ireneraphael3351 2 жыл бұрын
unaweza tumia brenda
@dinajunior9790
@dinajunior9790 2 жыл бұрын
Thnx my dear
@yuscotv2372
@yuscotv2372 2 жыл бұрын
Dada mii sijaerewa apo kwenye maji niyakawaida au majigani
@ayussuf3345
@ayussuf3345 3 жыл бұрын
Just saw your clip umko wapi . Dar or
@salmandege3961
@salmandege3961 2 жыл бұрын
Asante sana mzuwanda mi nilijaribu ikakauka ikawa ngumu kumbe nilikosea sana
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
Jifunze zaidi ili ufanikishe dear
@NeymaAlly-rr5xz
@NeymaAlly-rr5xz 3 ай бұрын
Asant sana
@yusrambarouk3884
@yusrambarouk3884 Жыл бұрын
Shukran
@BeritaOtieno_KE
@BeritaOtieno_KE 22 күн бұрын
Asante sana
@rehemakaluwa47
@rehemakaluwa47 2 жыл бұрын
Asante ngoja nitajarbu
@AhmedSaid-wc7fv
@AhmedSaid-wc7fv 2 жыл бұрын
Dada asante sana kwa mafunzo sijajaribu bado ila swali langu ni kwamba hata hizi blueband za kupima si naweza kutumia?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
Ndio zinafaa
@RahmahDuah-gn8xm
@RahmahDuah-gn8xm 6 ай бұрын
Mashallah mm nimgeni kwenye chanel yako ila nimependa sana my Shukurani
@momorochu9600
@momorochu9600 2 жыл бұрын
VP hali mm nikitengeneza mbona huwa ngunu kutoka kwenye koni
@SuzyKibendela
@SuzyKibendela 2 ай бұрын
Ahsante sana ntakupa matokeo
@sarahlyimo8798
@sarahlyimo8798 2 жыл бұрын
Niceee👌 Atleast nimejifunza kituu
@ketrapetro4591
@ketrapetro4591 2 жыл бұрын
Naomba kuwa mwanafunzi mpya kutengeneza icing butter cream na na cake
@christinapeter7131
@christinapeter7131 2 жыл бұрын
Somo nimeelewa sana aksante dada
@awadhkitogo1384
@awadhkitogo1384 2 жыл бұрын
Natenge neza icing sugar hai kai kama we we niweke nin na nin
@jackyluns8224
@jackyluns8224 3 жыл бұрын
Thanx ccy much love
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Thanks
@luciamethod1827
@luciamethod1827 2 жыл бұрын
asante madam kwa somo, unaeza tumia margarine 100g na robo cep water kwa box moja?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
Exactly
@LaikaJ000
@LaikaJ000 4 ай бұрын
Naomba vigezo vya kujiunga
@upendomwaifuge8261
@upendomwaifuge8261 2 жыл бұрын
Vp ukitumia maziwa badala ya maji?
@fetychina3273
@fetychina3273 Жыл бұрын
Maji ni yabaridi au yamoto??
@mariamurashidi1243
@mariamurashidi1243 Жыл бұрын
Hbr box Moja inaweza kupambia keki ngapi?
@marynaeku3355
@marynaeku3355 Жыл бұрын
Asante sana ,nilikuwa nauliza hii icing sugar ni sukari yenye imesiangwa ama nini?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 Жыл бұрын
Ni sukari ya aina hiyo inavitu vingine ndani yake sio sukari ya kusaga
@IrakozeShanella
@IrakozeShanella 5 сағат бұрын
🎉
@rehemarajabu49
@rehemarajabu49 3 жыл бұрын
Iv Radha unayoweka kwenye keki,unaweza kuweka Radha nyingine kwenye buttercream namaanish mbili tofauti
@eliwanguminja593
@eliwanguminja593 2 жыл бұрын
Yes inawezekan kabisa my dear mfano umetumia ladha ya strawberry kwa keki kwenye buttercream unaweza weka buble gum
@ireneclaudy4238
@ireneclaudy4238 2 жыл бұрын
Madam umesema icing gram 1000 lakini mimeona umetumia gram 500 tu
@halimasaidhamis1657
@halimasaidhamis1657 2 жыл бұрын
Mimi nataman kujua namna ya kutengeneza faundant
@rehemakajabu1317
@rehemakajabu1317 2 жыл бұрын
Je!unaweza kutumia kimbo nyeupe badala ya blue band?na ikawa kama hiyo ya kwako?
@ashunmohd9182
@ashunmohd9182 Жыл бұрын
unaweza lkn kimbo naona taste haitokuwa tam sana
@Nuswaiba-fw8hr
@Nuswaiba-fw8hr 8 ай бұрын
Thanks 👍👍
a very moist REDVELVET cake recipe
10:30
sakura's kitchen
Рет қаралды 1,3 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 10 МЛН
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 17 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 23 МЛН
JINSI YA KUTENGENEZA ICING SUGAR YA KUPAMBIA KEKI#mapishirahisi
4:09
SARAH NATURAL
Рет қаралды 122 М.
How to make butter icing without mixer and decorate/ butter cream decoration
15:21
Simplest Basic Buttercream Frosting :: not sweet
2:23
Joon's Little Table
Рет қаралды 1,5 МЛН
JINSI YA KUTRIM KEKI/HOW TO TRIM CAKE
12:09
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 127 М.
jifunze kuremba keki ndani ya dakika 6
6:52
Luvanda Loreen
Рет қаралды 17 М.
4 Minute Buttercream | British Girl Bakes
6:14
British Girl Bakes
Рет қаралды 507 М.
VANILLA CAKE //USING SAND AND "JIKO" @THERESIA_PHILIP
19:12
Lyzette Abebo
Рет қаралды 316 М.