BAADA YA SHEIKH PONDA KUJILIPUA SHEIKH MWENGINE AANIKA MAMBO HAYA MAZITO/TAKA TAKA ZATUPWA MSIKITINI

  Рет қаралды 8,902

ICON TV TZ

ICON TV TZ

14 күн бұрын

Пікірлер: 109
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 8 күн бұрын
Mwenyezi mungu amesema katika quruan mayahudi na manaswara ni maadui zenu wakubwa msiwafanye marafiki waliyo yaficha vifuani makubwa kuliko wanyodhihilisha haijatokea uislamu ukapigwa dunianii kafiri akasimamia hakki
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 8 күн бұрын
Subuhanallah. Allahu akibarr😢😢 jamani watoto wanauliwabilasababu. Adiwanazikwa bilakichwa. Subuhanallah😢😢 yarabi wewe ndie unajua xurma za makafilixidiya waislam ss tunakutegemea ww yarabi ndiye muhukumu wahaki. Tunakuomba Waonyeshe makafiliukubwawako yarabi. Wwunajuatusikokijua wwunaweza tusiyoyaweza ww nimjuzi wa yakiyo fichikana. Yaarabi. Takabar Dua. Amyn😢
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 12 күн бұрын
"...waislamu watakuwa wengi duniani lakini watakuwa dhaifu". Hii ni moja ya dalili za kiama.
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 12 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@mohamedothman5792
@mohamedothman5792 12 күн бұрын
Uislamu utatawala dunia kwa mara ya tatu Unajua hii
@user13375
@user13375 13 күн бұрын
😮😮😮😮
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 13 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@Samwelianaseti
@Samwelianaseti 13 күн бұрын
Upuuzi nyumbani kwako pana ungua unaenda kuzima moto kwingine mbona nchi nyingine za Afrika zipo na waafrika wenzetu wanakufa nenda sudani na congo na kwingineko hauoni
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 13 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@halimaJumanne-jn4ks
@halimaJumanne-jn4ks 13 күн бұрын
Uislamu kwanza uafrika baadae mbn nyie mkikaa mna kazi ya kuiombea Israel ni waafrika wale
@omaribrahim1087
@omaribrahim1087 12 күн бұрын
Wanaopanga mauaji Congo ninnani utakuta masuhyuni na wakatoliki bidhaa mgao wa ardhi umefanywa na kanisa katoliki na kuwaangalia jicho la kawaida wamegawa makabila kk utaifa tofauti ili tusaidiane na tubaguane
@Samwelianaseti
@Samwelianaseti 12 күн бұрын
@@omaribrahim1087 ni kweli lakini wafirka sisi kwa sisi ndio tunao sababisha mambo ya kubaguana kwa dini na ukabila ukiambiwa changanya na zako we jiulize sisi wenyewe ndio tunajimaliza wenyewe na sisi wenyewe ndio tunawapa ulaji ili waendelee kutawala lakini tungekuwa ni wamoja na wazalendo basi tungefanikiwa zaidi lakini kwa sababu ni wabinafsi ndio mahana matatizo hayatakwisha
@omaribrahim1087
@omaribrahim1087 12 күн бұрын
@@Samwelianaseti mfano wa Ethiopia tunawatia waafrika lkn ndio jeshi kubwa la ki suhyuni umesahau Bob Marley alikuwa akitimiza uzayon kaimba lion of yuda kaimba Zion kaimba Afrika unite akiwa na maana watu waache uislamu na ukiristo
@rahimzuberi2673
@rahimzuberi2673 12 күн бұрын
Shekh nimemuelewa sana ila wasiojua watakuona wa ajabu twajua Uislamu unapita kwenye upinzani mkubwa wa uyahudi na ukatoliki
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 12 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 8 күн бұрын
Yani nimeumia. Sana nashindwa hatakuendeleakusikiliza. Mtihani. Tuzidishenidua waislam. Maana ss hatunajinsi tutafanya nn zidiya Duatu.
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 13 күн бұрын
Wewe mpuuzi mkubwa
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 13 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@HassaniMzee
@HassaniMzee 12 күн бұрын
Nilidhani anasema nini,kumbe upuuzi mtupu,Shehe Ponda ndie ameongea yenye maana
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 12 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@omaribrahim1087
@omaribrahim1087 12 күн бұрын
Waislamu km mwili mmoja kikiuma kidole kimoja ni sawa na mwili wote kuuma awe muislamu kutoka Afrika au Asia au ulaya au Marekani au popote
@lukumanisharifu
@lukumanisharifu 12 күн бұрын
Nyinyi acheeni upuuzi huu c uislam munatuaribia uislam wanaharakati tumieni ufilosi c haya za Allah
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 12 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@binaamour318
@binaamour318 10 күн бұрын
Huyu n muislamu kweli? Ambae jaguswi yanayoeafika waislamu wenzake kisa hampendi sheikh kw sababu hayuko kwenye misimamo wake huu n msiba kwa waislamu bila y kujitambua yani adui wake n muislamu wenzao subhanalwah
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 12 күн бұрын
Nyie wazee hamna Sela Hii KZfaq ya myahudi tunamchangia Pesa tafuteni sehemu ya kusemea siyo kwe jukwaa Hilo acheni uzembe😅
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 12 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 11 күн бұрын
Wafate wakakuoe ndoa za jinsia moja
@SaadaAbdul-iy6er
@SaadaAbdul-iy6er 12 күн бұрын
Wote mliochangia nimmbwa tu Kinachoongelewa hapa ni ubinadamu siyo vinginevyo
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 12 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@omaribrahim1087
@omaribrahim1087 12 күн бұрын
Na wewe nani km hujui mbwa ana thamani yake kati Kurani soma suratil kahf lkn wewe ni punda ambaye kadharauliwa kabisa kk Kurani
@joejohn8115
@joejohn8115 12 күн бұрын
Mlivyo wajinga, ATI tarehe 7 mwezo oktoba, 2023 Israel ilishambulia wapalestina?!! Duuu miislamists mijinga kweli. Kuna mwenzenu kaenda Makka na kuanza kuimba death to Israel!! Kafa kwa heart attack
@shimoneycashtalk9176
@shimoneycashtalk9176 6 күн бұрын
Unatukana mtu asiye kutukana ni dalili za ukosefu wa akili
@user-ef2zr4un2u
@user-ef2zr4un2u 13 күн бұрын
Acheni kupakaa uislamu Kwa elimu zenu ndogo vita ya palestina na iszaeli haitamalizwa na elimu zenu za juzuuu amaaaa kama hujuwi nenda kasome tena na tena hujuwi chimbuko na elimu yako ni ya kisiasa Wala so ya koraaani
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 13 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 12 күн бұрын
Ukimfatilia mtu ujue umemzidi kwa kila hali.karibu ktk dini ya haki
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 13 күн бұрын
Unatetea upalestina tuu hutaji dhambi zao mashetani hao
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 13 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 7 күн бұрын
Ushetani unao wewe unayechamba kwa makaratasi
@StevenMtambo
@StevenMtambo 12 күн бұрын
Eti anaelimisha ,,wakati nyuma yake ana çhuki
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 12 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@user-fx6zr6ij5y
@user-fx6zr6ij5y 13 күн бұрын
Wenye dini yao Saudia wanaruka nyoka hawana habari hata na hiyo Vita ww mishipa ya shingo imekusimama kwa Jambo usilolijuwa
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 13 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@HassanJambia
@HassanJambia 13 күн бұрын
Tumia akili
@alsam4881
@alsam4881 13 күн бұрын
Hiyo siyo vita nenda kasome historia ili ujuwe na ufahamu ukweli halisi hapo hakuna vita, ila kuna uonevu na ukandamizaji unaotumiwa na wanajeshi wa upande mmoja na kuuwa raia wasiyokuwa na hatia, yote hiyo ni kutaka kuwaondoa wapalestina ktk nchi yao kwa kutumia mabavu yao wayahudi kwa kushirikiana na wamarekani.
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 11 күн бұрын
Kafiri wewe
@RamadhanMohamed-jz6xm
@RamadhanMohamed-jz6xm 12 күн бұрын
Wapelestina wasingekua waislam Tanzanian ingekua mstari wa mbele
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 12 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@willygwaikana
@willygwaikana 11 күн бұрын
Mie ninachojua waislamu wote ni Hamas yaani wana itikadi zile zile kama za Mtume wao
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@henryndosi2002
@henryndosi2002 12 күн бұрын
Wewe umeshawahi kufika huko au ulisikia mahali,😢hao magaidi wenzako nani aliwatuma wakamchokoze nyau😽wewe acha kutia watu ujinga nenda wewe kawasaidie kuteka watu,
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 12 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@binaamour318
@binaamour318 10 күн бұрын
Huyu Henry hajui kwamba wapalestina wanauliwa na kutekwa huu n mwaka w75 na jela Kuna zaid ya elfu 8 waisrail wamewashikilia kwa taarifa yko ww unaleta chuki za kizayuni mweusi
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 12 күн бұрын
Wee mzee hujui Historia. Mfalme Daudi na Suleiman A/S walikuwa Watawala wa Ufalme iliokuwa wapi? Eneo gn ki Geografia? Hilo eneo mwaka 1948 nani alikuwa analikalia? Embu acheni udini Jifunzeni haya mambo.
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@hassangasaba4565
@hassangasaba4565 13 күн бұрын
Tatizo mnatetwa wapalestina ,ila ndugu zenu waafrica huko drc congo, sudan wanakufa kila siku ,hamuongei hatakidogo! Mnashangaza sana , hivi hamuwaoni hapo congo na sudan wanavyo kufa mbona hamtowi tamko. Waafrica hatupendani.
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 13 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@husseinmohamedjama6316
@husseinmohamedjama6316 13 күн бұрын
Wa Palestina wanapigania uhuru wao wa kijamii, kisiasa na kiimani dhidi ya utawala haramu wa Kiyahudi! Wa Congo na wa Sudani wanapigana wenyewe kwa wenyewe na ni jukumu letu sote waafrika kuwapatanisha. Utawala dhalimu wa Kiyahudi unaungwa mkono na nchi za kibeberu hivyo Waislamu ni jukumu letu kuwaunga mkono kwa hali na Mali ndugu zetu wa Palestina kwa sababu Jerusalem kuna msikiti mtakatifu kwa Waislamu unaoitwa Al Quds hivyo usishangae Waislamu kuwatetea Palastina.
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY 13 күн бұрын
UISLAMU wetu ni top BOND kuliko RANGI zetu.
@Jumaupnda
@Jumaupnda 13 күн бұрын
shekhe alishatoa kauli ya kupambana na ukoloni katika nchi za afrika ila hapo alikuwa asemea upande huo mbao mauaji yake ni zaidi ya kongo drc shekhe huyo hana ubaguzi katika kutetea haki za wenye kudhulumiwa. kumbuka kuwa ulishajibiwa
@hassangasaba4565
@hassangasaba4565 13 күн бұрын
Hakuna chochote wakaze buti kutetea wanaouwawa huku africa achana na wale ,sauda arabia wenyewe wako kimya
@SwedyMohamed-vt5zm
@SwedyMohamed-vt5zm 12 күн бұрын
Wewe Mohamedbarwan hujijui kabisa wewe yaani hujui uhusiano wa Uislamu na Palestina! Innalillahi wa inna ilaihi rajiun.😮😮😮😮😮😮Allah akuongoze upate ufahamu.
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 13 күн бұрын
Gaza hijui wewe .hiyo ni aridhi yao wamepewa na Mungu miaka matrilioni kabla ya huo usilamu wako wajuzi.eti mauwaji wanayo fanya iziraeli je na mauwaji ya hamasi huyataji mshenzi wewe.acha ubaguzi wa kijinga wafe tena watejetezwe
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 13 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 12 күн бұрын
Hakuna uislamu wa juzi kaa kimya maana history hujui. Hlf huoni wanavyochukia wakiristo? Kweli hujitambui lkn ndio mlivyo makafiri
@KaidiMajengo-sv7dd
@KaidiMajengo-sv7dd 12 күн бұрын
Shekhe.tumekusikia.lakini.watuwanateseka.ktk.nchiyako.hujaonekana.lambali.utaliweza?.diniinafundisha. ikitakakuangalia, anzamiguuni, chuauliwezalo. Achausiloliweza
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 12 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@patrickKitambo
@patrickKitambo 8 күн бұрын
Hao jamaa wapalestina ndo walimpiga risasi yule kijana wakitanzania aliekua anajisomea huko na nyinyi mlikaa kimya tu..waafrika wenzenu wanakufa huko haiti mko mkinya mnametetea mwarabau ali wahasi, akawafanya watumwa toka lin uliona mwarabu anatetea mwaafrika?
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 8 күн бұрын
HasbiAllah waneemal wakil warabu ndo walio wafanya wa Africa watumwa wale waamerica weusi warabu ndo walio wapeleka America kuwa watumwa ama wale wa Africa walioko India walipelekwa na warabu hebu acha chuki na warabu
@patrickKitambo
@patrickKitambo 8 күн бұрын
@@umsulaiman7468 kwaio warabu hawakufanya biashara ya utumwa?
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 12 күн бұрын
Omega maswala ya nchi yako, acha kudeka
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 12 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@mohamedbarwani7548
@mohamedbarwani7548 13 күн бұрын
huyu mpuuzi kakosa la kuongea imetukhusu nini Palestine sisi, dini hawaijuwi eti mashekhe 😄😃
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 13 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 12 күн бұрын
Tukiwaita magaidi mnakasilika vita vyakupiga gaidi vinakuhusu nini 12:47
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 12 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 12 күн бұрын
Regardless magaidi ni makafiri wanauwa watu bila huruma na kwa uonevu sasa wataka kuita waislamu magaidi Huna haya wala hujui vibaya huoni mnavyoadhirika???
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 12 күн бұрын
@@mwawekomiuda9779 ona pimbi nyingine hi uislam ni ugaidi ndio unahuko kila nchi ya dini ya Muhammad nabii aliepewa na mkewe kilakona ni vita ,msituangaishe nendeni mkawasaidie kupigana musitulete majini huku
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 11 күн бұрын
@@charlesmakuri792 kwenndra zako umeishiwa na hoja unaropoka ovyo. Pimbi namba moja ni wewe. Hapo Muhammad (s.a.w) ameingiaje? Ss simeongelea ugaidi. Mashoga wenzako na wamerekani ndio magaidi no 1 wanauwa watu ovyo na kupora mali. Safari hii mwisho wao umefika. Chuki mlizo nazo makafiri juu ya waislam zitawacost na mwisho wenu ni mbaya sana.
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 9 күн бұрын
Unaongea nini acha izo oja ambao ni tatanishi
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 9 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 9 күн бұрын
@@ICONTVTZ ❤️❤️Asante Sana kwa kunikubali
@SwedyMohamed-vt5zm
@SwedyMohamed-vt5zm 12 күн бұрын
Mbona mmegubikwa na matusi?Tatizo hamuelewi historia ya mgogoro huu.kuundwa kwa Israel(Mazayuni)Ni mradi wa USA & UK wa kusababisha vurugu mashariki ya kati kuua waislamu na kupora rasilimali.Hamjui Israel iliundwaje?Kwa mujibu wa quran uislam ulikuwako tangu enzi za Adam.
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@StevenMtambo
@StevenMtambo 12 күн бұрын
Yaani huyu ni mpuuuzi na mpumbavu haijawahi tokea sidhan kama anajitambua ,,,ivi alie enda kumchokoza mwenzie ni nani kwenye hi vita ,,acha ujinga wewe
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 12 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@user-ye2xi1ep7q
@user-ye2xi1ep7q 10 күн бұрын
nyie makafiri achani chuki zidi ya uislaam
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 10 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 12 күн бұрын
Ona pimbi hii 😂😂😂 ujingaaaa, vita ya gaza husband na dini,Israel inapambana na ugaidi hamasi walio jificha chini ya shule,Hospital na hata makazi ya watu,vita haina macho,na ni kwanini wajifiche humo na waste taalifa,pia hamas walitegemea akili za kijinga kama hivi
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 12 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 13 күн бұрын
Huna akili wewe yerusalemu ipo miaka matrilioni .huo usilamu wenu wa juzi na huyo mtume wenu
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 13 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 8 күн бұрын
Mwenyezi mungu amesema katika quruan mayahudi na manaswara ni maadui zenu wakubwa msiwafanye marafiki waliyo yaficha vifuani makubwa kuliko wanyodhihilisha haijatokea uislamu ukapigwa dunianii kafiri akasimamia hakki
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 18 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 28 МЛН
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 83 М.
#WASIA MZITO WA SHEKHE MUHAMMAD AYUBU
10:49
NEEMA YA UISLAMU TV
Рет қаралды 9 М.
Haya ndio maajabu ya Mlima wa Arafa
3:55
IBN BATUTA TV
Рет қаралды 25 М.