Shehe ponda mwenyezi mungu muumba wa mbingu ardhi akupe maisha marefu kwenye uso wa ardhi
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@YOSHUAMWAMPETA10 күн бұрын
Samahani ndugu Jitahidi sana Unapoandika MUNGU ANDIKA kwa herufi kubwa hususani Herufi ya kuanzia.
@fabby118110 күн бұрын
Huyu Shekhe siyo kiongozi wa kidini tuu lakini ni katika jamii kiujumla, Hongera sana mzee wangu
@ICONTVTZ10 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@josephmbeya597310 күн бұрын
Daima nimeendelea KUKUPENDA SHEKHE Ponda Issa Ponda hakika Mungu aendelee kukupa afya njema kwa kuendelea kuwa mkweli kama mjumbe wa Mwenyezi Mungu❤
@ICONTVTZ10 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@fadhilyassin577211 күн бұрын
Angalau shekhe wetu umetusemea Allah akuhifadhi inshaallah
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@ogenylaurent796110 күн бұрын
Unashindwa kuitikia Dua kazi asante kwa kutufatilia tu au unaogopa @@ICONTVTZ
@user-dw6uy7tv9o9 күн бұрын
Huyu ndo mufti wa dunia
@rosehaule67653 күн бұрын
Mungu skutunze mufti tunakuombea hali mbaya mnoo mlo mmoja watu kwa ss kila mmoja magojwa ni madonda ya tumbo aside kutema mlo usio na vitamins magojwa tu kutokana na kukola mlo lishee 😢
@luganomwaigomole744111 күн бұрын
SIJAWAHI KUKUCHOKA WEWE MZEE ...NAKUPENDA SANA JAPO NI DINI TOFAUTI LAKINI I ALWAYS SALUTE YOU..NAPENDA JINSI ULIVYO MKWELI NAPENDA MAONO YAKO NAPENDA MISIMAMO ULIYONAYO...HUPENDI UNAFIKI WALA KUJIPENDEKEZA .WEWE NI ZAO LA WAISLAMU WA KWELI WASIOYUMBISHWA...
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@akramissa339311 күн бұрын
Alhamdulilaah! Huwezi kuja ni jinsi gani your statement touched me. Hakika nawe si mbaguzi wa dini bali msimamia kweli na haki
@bennymochiwa480011 күн бұрын
Viongozi wetu wa Dini wengekua na misimamo ya kweli na haki Nchi yetu ingekuwa na maisha bora kwa raia wake
@awatifalghanim110610 күн бұрын
@@bennymochiwa4800🤝Tanzania ni Nchi ya kupigiwa mfano kwenye Dunia lakini uongozi na siasa mbaya bila ya kujali Wananchi wao. Watalii ni Bora kuliko Wananchi.
@mrishotufu685910 күн бұрын
Kuhusu chakula niduniya nzima chakula kimepanda apanilipo unga wasembe 10kg dola5$
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv11 күн бұрын
Huyu ndiye kiongoz sasa unaangalia ndan na inje she mimi ni mkirsto hua nakufatilia sana na nakukubali sana hakika mungu akupe maisha marefu
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@IbrahimuAmiry11 күн бұрын
Nilibahati kukaa na Sheikh PONDA zaidi ya mara moja,Kuna vitu niliviona kwake ambavyo vilinifanya nione kuwa Sheikh ana uwezo mkubwa na ktk SERIKALI YETU anweza kufit nafasi yyte ile,hongera sana baraza la Maimam kutuwakilisha vyema ktk walaka uu, MUNGU ajaalie niwe km Sheikh PONDA,ALLAH akuweke zaidi Sheikh wetu akuzidishie ulinzi zaidi 🤲
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@MathewNathan-yb2bz11 күн бұрын
Sheikh ponda Mungu akubariki sana umeongea ukweli mtupu.Tatizo linaloisumbua serikali hii ni ufisadi,rushwa na ubadhirifu.ufisadi,rushwa na ubadhirifu ni kama umehalalishwa na ni sifa.Mafisadi wanaimaliza sana nchi hii na wanaiba waziwazi bila kuchukuliwa hatua kana kwamba hakuna serikali na vyombo vya usalama vinavyohusika.
@allymganga322311 күн бұрын
Apo msumali ni katiba ikiluusiwa laisi kushtakiwa mawazili kushtakiwa Kwa makosa ya makusudi na ata uzembe kutakuwa na uwoga lkn hii kuchekeana chekea kulindana U ccm umaskini Tanzania itakuwa ndoto
@respiciousbishubo115811 күн бұрын
Upo sawa
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@ceciliamagalabajimmy439111 күн бұрын
Asante sanaaa Shekhe, Mungu akubariki.
@dassustephen73111 күн бұрын
Serikali inayopenda kusifiwa Tu hata Kwa mambo yanayokwenda hovyo kabisa
@user-nz8bv6xn9r10 күн бұрын
Shehe ponda mm ni mkristo nakukubali sana huna unafiki kabsa kama walivyowengi viongozi wa dini ufanyiwe heri na mnyezi Mungu
@ICONTVTZ10 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@thomastemu333211 күн бұрын
I like sheekh ponda. You allways talk the truth
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@SarahShao-jw1up9 күн бұрын
Ni kweli kabisa
@SalimKombo-xo4pq11 күн бұрын
Shukran sana sheikh wetu ponda M.mungu akubariki
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@YusuphRajabu-hz3pv11 күн бұрын
Mzee unahitaji Mauwa yako nimekupa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mzee leo kulasiku der eva anatungiwa shelia hali yakuwa wao hawajawai kumpambania masilai yake mzee sema tu japo watakusumbua ila kwasababu unalisemea taifa mungu atakulipa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@kajanksimon743211 күн бұрын
shekhe ponda gombea mzee wetu unauwezo mkubwa sana na nimsema kweli huangalii anaeongoza ni mkristu au ni muislam hata kipindi cha magufuli ulikuwa unaongea ukweli mzee wangu Mungu akulinde sana
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@serengetishipping219611 күн бұрын
Great speech ! Tuondoeni VAT kwenye bidhaa za chakula cha mchele na dona ..!!
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@DeogratiusAndrew-zi7zv11 күн бұрын
Mimi ni mkrisoto lakini Mh shekhe Mungu akutunze sana sana , kwani nikiongozi unaongea kwaniaba ya wote bila kujali dini yeyote, kiukweli watanzania hawajawahi kuwa na nafuu ,nakuongea wanaogopa, huku tukiambiwa tumeingia uchumi wa kati huo uchumi wa kati kwaajili ya kuwa nufaisha vingozi wa serikali, watu wana teseka sana hakuna wakuwasemea , hongera sana shekhe, nahapo unatoa elimu ya kutosha juu yao, lakini sio wasikivu kabisa,
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@joejohn811510 күн бұрын
Wewe usiwe mjinga, Hawa Waislam wote ni wanafiki. Tatizo lenu Wakiristo huwa mnanaswa kijinga na Taqqya yao. Hapo unachofanya ni kwa maslahi ya wao Waislam tu. Usifikiri atakuweka wewe mkristo kwenye interest zao
@charlesboniphace22499 күн бұрын
Mkristo gani wewe ujinga unakusumbua tu soma biblia uamke kifikra
@DeogratiusAndrew-zi7zv9 күн бұрын
@@charlesboniphace2249 hongera wewe usie na akili kwa wizi ulio nao sasa unaumia mbona utakoma mwakahuu
@ShaabanAbubakar-nx4vk9 күн бұрын
Hiidunia tu. Napita tu
@YangaNews11 күн бұрын
Mimi ni mkristo but leo nimeamini wapo watu duniani nje ya dini yaani100 shekh asante
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@elimborandewario892210 күн бұрын
Msemakweli ni mpenzi wa Mungu, ubarikiwe sana baba
@ICONTVTZ10 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@AndulHida-hs5py10 күн бұрын
Shukrani sana shekhe umetusaidia wanyonge, na mola atasimama na wewe mpaka tupate ufumbuzi inshaallah, Tabarak Allah ashan halyqeen, Jazzak Allah kheri shekhe.
@ICONTVTZ10 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@gaagwasaugustino258410 күн бұрын
Asante sana shehe unaejitambua,usiye na unafiki wala ubaguzi, Umeongea ukweli na maneno yako ya hekima ,Mungu akulinde daima,akupe maisha marefu, Amen
@ICONTVTZ10 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@user-mn2et2pf6z12 күн бұрын
Mzee hongera sana .viongozi wa dini mkiungana mkaamua kusema ukweri hawa mafisadi kinaereweka mapema tu.
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@chandeyusufu957011 күн бұрын
Asante shekher wetu kwa kusema ukweli
@SarahShao-jw1up9 күн бұрын
Asante sana Shekh Ponda MUNGU akubariki sana.
@ICONTVTZ9 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@ibrahimkibira994311 күн бұрын
The only one 😇 shekhe ponda Allah akuweke miaka mingi ww sio mnafki...tujitahid kuwezavyo kuwaondoa ccm
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@PaskaliCharles-pz8ds11 күн бұрын
Mungu akubariki sana mzee wetu shehe ponda Hakika umeongea ukweli tunaomba viongozi wa dini kama wewe
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@MatronaThomas-wz5si11 күн бұрын
Kumbe Shekhe uko vizuri Hata Mkaguzi mmoja alipoteza nafasi kutoa maono yake
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@albertvalentino13011 күн бұрын
Hongereni Shura ya Maimamu kwa kusimamia kweli ---- Hivi hawa mafisadi " Tunawafuga au Wanafugana ? "
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@YussufPandu-es7ou11 күн бұрын
Sijapata kuona sheikh madhubuti na ambaye si mnafiki kama sheikh ponda ,,hongera sheikh ponda wewe ni msema kweli na ni kipenzi cha watanzania wote na ni kipenzi cha mwenyezi mungu,mashehe wengi wa Tanzania ni wanafiki
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@ibrahimhodabaksh393911 күн бұрын
KWELI MAISHA NI MAGUMU VITU BEI JUU SANA
@awatifalghanim110610 күн бұрын
Hakuna kitu kizuri kama Wananchi kuwa kitu kimoja msimamo mmoja. Siyo kusimama kwenye majukwaa na kuwadanganya Wananchi maskini.
@dignakanje45089 күн бұрын
Sheikh Asante kwakutusrmea watanzania wahali yachini.Kwasasa tunakula mlo mmoja kwasiku ,Kiukweli viongozi wetu hawaangalii kbisa maisha yamtanzania wahali yachini.Hla imekuwa ngumu sana,lakini wapo machawa wanaoshiba kupitia uchawa wao wanapinga hya nakutuletea siasa kwenye jmbo lauhai.
@ICONTVTZ9 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@amadally583711 күн бұрын
Nakuomba ALLAH umhifadhi sheikh ponda
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@nicholauskilosa533611 күн бұрын
Matatizo ya nchi yetu yanasababishwa na wezi waliochukua madaraka,kodi wanakusanya kila sehemu lakini wanashindwa kuisimamia kuboresha maisha ya watu.CCM ni tatizo kwa maisha yetu maana wameshindwa kututoa kwenye umasikini,
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@user-hk2oz2eg4j11 күн бұрын
Kweli CCM ndio kikwazo kikuu cha maendeleo ya Tanzania.
@bennymochiwa480011 күн бұрын
Swadakta
@akramissa339311 күн бұрын
Katika. Mashekhe naoamini kabisa kutoka moyoni kwamba Mwenyezi Mungu kawatuma kusimamia ukweli na HAKI basi huyu kwangu ni namba moja. Nasema Alhamdulilahi, Inshalaah upewe baraka na Nguvu nyingi kusimamia yaliyoyakweli Inshalaah🙏
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@omargargaar561110 күн бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah awahifadhi wte mlio jumuika
@ICONTVTZ9 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@asiaasia290811 күн бұрын
Shekh ponda issa ponda Mungu akujalie maisha marefu
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@shabanimbenu216311 күн бұрын
ALLAH AKUPE UMRI MREFU SHEKH WETU UZIDI KUSIMAMIA HAKI.
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@awatifalghanim110610 күн бұрын
Amin.
@awatifalghanim110610 күн бұрын
Kusimamiya haki na kufundisha vijana Elimu alokuwa nayo.
@albertinamichael612311 күн бұрын
Wezi na mafisadi ni viongozi wa juu wa selikari nani atakae washughulikia .
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@user-ni4zc7hp3i6 күн бұрын
Mwenyezi Mungu awe pamoja nawe katika maisha Yako nimeipenda hii sanaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ICONTVTZ5 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@ismailhassan520911 күн бұрын
Shukran sheikh Ponda ni wakati muafaka kuwaombea kuachiwa walioko mahabusu kwa mda mrefu kwa tuhuma za ugaid
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@salimabdul442411 күн бұрын
Vizuri kwa taarifa nzuri..
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@RehemaSalum-vp6rf11 күн бұрын
Asalaam Alekyum warahmatullah wabarakatuh... Asante sana kiongozi kwa kutetea maskini na wanyonge ... Kikubwa tujipange kwa uchaguzi wa mwakani
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@IdrisFelician6 күн бұрын
Tunashku kwa kutusemea shekh allah akubariki akuhifadhi akulinde na madhara ya aina yeyote na akujaalie mwisho mwema. Nehema na rehem zimshukie mtume wetu Muhammad swallallah alayh wasallam
@ICONTVTZ6 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@stephenndagalla818311 күн бұрын
Sheikh Mponda umekuwa mtetezi wa HAKI mara zote. Kuhusu ufisadi kutamalaki nchi, SIO tatizo la Serikali (kama ulivyosema). Ufisadi umehalalishwa Kikatiba. Rais wa Nchi hafunguliwi mashtaka hata akifanya ufisadi wa aina yoyote. Rais akiwa FISADI (Kama ilivyoisha/ inavyoendelea kutokea), ripoti ya CAG haina nguvu ya kuwashtaki Viongozi mafisadi. Ktk mazingira haya nchi itaendelea kuingia kwenye Umasikini wa kutupwa..
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@kwisa489911 күн бұрын
Huyu mzee ninampenda sana japo mimi ni mkristo ,lakini huyu Baba kichwa
@lwagamwakalinga803811 күн бұрын
Saana
@abuukarata965311 күн бұрын
Nadhani anachoongelea hakinaga dini. Hukuwa na haja ya kuweka mkristo. Anaongea maisha kwa jumla
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@DumishaTanzania11 күн бұрын
Kwanini umeona kuna umuhimu wa kusema "japo mimi ni mkristo"? Si unaweza kumpenda kwa matendo yake tu
@shadrackwilfred260611 күн бұрын
Wachache sana wako hivyo. Huyu ndugu kajitahidi
@lwakainaza11 күн бұрын
Umekumbusha jambo muhimu shehe.
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@irambadc516710 күн бұрын
Huyu sheikh hana lolote,hakuna mta nzania aliyeshindwa kununua sembe,unatudhalilisha,watania wanafanya kazi,we mnafik
@lasttrumpettv178411 күн бұрын
Barikiwa mtumishi kwa maneno ya hekima kwa jinsi ulivyowasilisha. Tumepokea
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@josephudoba556311 күн бұрын
Asante shekhe huo ndio ukweli watanzania tutafakari viongozi wetu ni waaina hani
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@hamzamajenja489111 күн бұрын
Hongera Sana shekhe Wangu Hakika wewe msema ukweli na umeletwa na mwenyezimungu akulinde na maadui Zako wote
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@shabanizayumba543211 күн бұрын
Asante sana mzee,shekh Ponda,mungu akupe nguvu na akulinde n'a yote mabayo wanayokusudia mafisadi,umesema ukweli n'a. Mungu atakulinda,nchi yetu inamahali panapwaya katika suala zima la uongozi,kuna kulindana kwa viongozi wa juu.
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@MirajiOmary-jm7wc11 күн бұрын
shekhe ahsante sana kwa kuliona hili na siyo kumpamba mtu halafu hakuna chochote kinacho fanyika
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@kingngojea9 күн бұрын
Mimi ni mkristo lakini wewe ni shehee wangu nakupenda buree mungu akupe miaka mingi sanaaaaa
@ICONTVTZ9 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@chezariboy6 күн бұрын
Hazungumziii mtu wa itikadi gani hampendi au anampenda,, ufahamu wako 0' kweli elimu haipo kichwani, SHEKHE ANAZUNGUZA UKWELI NA EVIDENCE KUPITIA REPORT ZA CAG, SHERIA ZILIVVYO, SHEKHE ANAZUNGUMZIA MALI ZA TAIFA ZINAVYOPOTEA bila huruma na ushahidi upo lakini hakuna hatua inayochukuliwa na wenye mamlaka,, japo mali za umma SIO ZA WAISLAM AU WAKRISTO zinaibwa huku mifumo nayo ikiwa ni mibovu tangu miaka yote.
@HawangaMohamed11 күн бұрын
Asante sana shekhe endelea kutusemea kwa kweli hali ni mbaya sana nchi hii usichoke tunakuombea
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@titus_maridhia11 күн бұрын
Barikiwa Sana Sheikh Ponda
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@shakaurembo4776 күн бұрын
Asante sana mzee umetisha 🎉
@ICONTVTZ5 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@gowekogoweko580311 күн бұрын
WELL SAID OUR LEADER SHEIK PONDA 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@margarethpolepole743811 күн бұрын
Sasa hivi maji yaneanza kukatika hovyo sijui kwanini wakati mito ilikuwa imejaa mpaka mvua inauwa watu
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@valenakomba768611 күн бұрын
Tusemage tuu ukweli .Tuache unafïki wa kupigapiga makofi hata pasipofaa.
@piusrweyemamu390010 күн бұрын
Kweli😢
@awatifalghanim110610 күн бұрын
Jiulize makosa mnayo yafanya kwenye Nchi yenu. Mengi anokataza Mungu nyiye ndio mnayo yafanya.
@mtigandibori724411 күн бұрын
Mungu akupe maisha marefu na sauti yako isitoke masikioni kwao pengine wanaweza kuwa na hofu mioyoni mwao
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@adamlubawa128111 күн бұрын
Mashehe wetu tafuteni vyanzo vya pesa ili mjikwamue kimaisha iwapohuna vyanzo vya pesa utaona hali ya maisha ngumu shehe ponda
@daudykasherente866710 күн бұрын
ACHA unafi@@adamlubawa1281
@daudykasherente866710 күн бұрын
@@adamlubawa1281ACHA unafiki
@user-kq7in8gd9o11 күн бұрын
Thank you very much Shekh wetu Mungu akubariki Sana.
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@SheheUdambu11 күн бұрын
Asante sana she mungu akulinde
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@user-kn5bv3qj8p11 күн бұрын
Maumar Gaddafi tu ndie alikuwa akijali wananchi wake. Hongera kwa statistic nzuri sheikh,,hata kwetu Kenya ni zaidi saana.
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@awatifalghanim110610 күн бұрын
Mungu amraham Gaddafi. Ndio ukaona wa Libya hawatoki sana kutafuta maisha njee ya Nchi yao.
@DamasKihungu11 күн бұрын
Damasi mdudumbe nashukuru sana nikweli tunamaumivu makubwa sisi watu watchin. Tunaumizwa sana
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@poolkingservices69288 күн бұрын
Hongera sana kiongozi Shekh Ponda. Mungu akubariki sana kwa kutufunulia yote hayo. kwa kuwa wanao fanya ufisadi na ukiukaji wa haki za watanzania wanakijua vizuri kitabu cha Qumran Tukufu na wengine Biblia Takatifu na huapa kwavyo, Hukumu ya Mungu itawajia ghafla. Vyakula wanavyokula vilivyo patiala kwa fedha haramu wanavyolisha familia zao, elimu na majengo ya kifahari
@ICONTVTZ8 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@Donyo-rh8do6 күн бұрын
Hongera Sana shrhe.. unaongea point tupu kisha kwa utulivu mkubwa. Una utulivu kwa kweli 👏👏👏
@ICONTVTZ6 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@mataypanga526211 күн бұрын
Sheikh Ponda,gombea nafasi za ya uongozi siasa,nimekusikia sana na nimechoka.una uwezo.watu wanataka kukuona kuwa mbunge au Waziri 😂
@abunajreenELSESANY11 күн бұрын
Sio sehem yake hiyo, nafasi aliyonayo ni kubwa mnoo.
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@luganomwaigomole744111 күн бұрын
TUKO PAMOJA SANA SHEIKHE WANGU...SHEHE MSEMA KWELI...WEWE NI KIONGOZI ❤
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@zaydamos87411 күн бұрын
Safi sana sheikh ponda we n msema kweli miaka yote ujawah kuongopa Wala kusingizia jambo na ndio maana mungu anakusimamia
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@ThobiasAlexander11 күн бұрын
Wakristo mnajidhihirisha kuwa mmepewa ufahamu mkubwa,kwani hamuangalii ni nani anaongea,bali mnaangalia ni kipi kinaongelewa.Komenti nyingi sana nimeona hapo.Nitofauti kabisa kama angekuwa anaongea mkristo,tusingeona shukrani zikitoka upande mwingine namna hii.Mzee wangu nakupongeza sana kwa ukumbusho juu ya viongozi wetu.Ni kweli tuna wakati mgumu.Mungu akubariki.
@ICONTVTZ10 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@user-ui4oh8gf8n10 күн бұрын
🙏
@JumaGwae-qw2qk4 күн бұрын
Kaka magufuli alipendwa sana na waislam sana soma koment za klip za magufuli tuone kama hamna koment nyingi za waislam sasa nikuulize magufuli alikua muislam acha udini kaka sote ni wahanga wa maisha magumu
@DamasKihungu11 күн бұрын
Hii inatokana na kuwa na bunge dhaifu lisilo na naono
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@dassustephen73111 күн бұрын
Kazi yao NI kusifiasifia serikali Tu.Nonsensw
@humphreymkony891511 күн бұрын
Shekhe Ponda umeongea ukweli mtupu. Mungu aendelee kukutunza.
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@BashiruRashid-pk4ge11 күн бұрын
Allah akulinde Sheikh
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@user-ox4fv4cf5l11 күн бұрын
Jazaaka llaahu kheir shekh,Allah akubarik sana,kiukweli hali huku mtaani ni ngumu sana
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@user-bx3kl4hn6j11 күн бұрын
Bakwata wataambiwa na serikal wakujibu
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@ScopionScopion-zj9cd11 күн бұрын
paka hawezi kumkamata paka mwenzie wakati wa magufuli mlisema yy katili hana ubinadam ngoja tuone hii movie
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@gidongailo717411 күн бұрын
Wewe ulikuwa ukisema nini
@halidimgonza594511 күн бұрын
ni mpumbav usiyejua utendalo
@aishaalbalushaishabalush829110 күн бұрын
umeona ee ndugu hawa hawa walikua wanasema magu katili kwa akiwawajibisha mafisad
@muzzoonlinetv74469 күн бұрын
Kila mmoja atasemwa kwa maovu yake
@user-sl1ko9me7u10 күн бұрын
BRAVO SHEKH PONDA NA SHURA YA MAIMAMU....MMEWAWAKILISHA MAMILIONI YA WATANZANIA BILA KUJALI DINI ZAO....MMEKUWA WAKWELI....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AKUBARIKI.
@ICONTVTZ9 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@Mima-cl2im5 күн бұрын
Asante sana sheikh. Tanzania tumekuwa ombaomba kwaajiri ya uongozi mbaya. Tanzania ni tajiri, lakini fedha zinazoibiwa, ni nyingi sana na serikali haichuiuwi hatuwa. Tusidanganywe mambo hayaendi sawa. Basi hii ombaomba ya mikopo itapunguwa. Viongozi wa dini, musikae kijmya. Mukikaa kimya wananchi wa kawaida kwa kacha yetu ndiyo hawatasema kitu. Asante sana Sheikh kwa statement yako.
@ICONTVTZ5 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@SalimKombo-xo4pq11 күн бұрын
Sheikh ponda tuko pamoja sema kweli. Msaidie mama samia. Hao viongozi wengi wanamuangusha mama samia. Wana kula.pesa tu.
@FrankMwakatundu-cu6bd11 күн бұрын
Salim, ndugu yangu usimtete mtu mwovu hats kama ni WA Dini yako wala ndugu yako ni dhambi mbaya!!! Rais Kwa mujibu wa katiba yetu ana mamlaka yote, sasa unaposema anaangushwa asaidiwe anaangushwaje na watu walio Chini yake na ndiye mwenye mamlaka nao!!! Salim ogopa Sana kuwa MDINI penda sana kuwa MWANADI!!!
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@enockgogy545811 күн бұрын
Asant mzee wang kpitia ayo mauzui itanibidi nisilimu kabisa napenda ukweli sana asa mtu anasimama kuongea ukweli inapendeza sana .. awa wengine wamebaki kuzikomba nakjikosa ili waonekane nawakat mnaviki wakbwa sana .. inchi awezi kpata unafuu uku mafuta yakiwa zuuu wee ptroli paka iko juu paka tunajiuliza tnaenda wap naviongozi wapo wamenyamaza au ndio nchi imeizwa kama inavyo daiwa
@mansourkhamis45711 күн бұрын
Karibu kwenye Uislamu
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@bakarimmbaga23449 күн бұрын
Shekh mwenyezi mungu akupe kheri katika dunia insha allah. Ni kweli ufisadi unaofanywa na waliopewa dhamana ni muda sasa unakuwa ni suala la kawaida, ila wapo waliokamatwa na kilo 4 za nyama ya swala walisha hukumiwa vifungo na kama khisan za baadhi ya mawakili wangeozea magerezani😢😢
@ICONTVTZ9 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@StevenMeck-pm8pq11 күн бұрын
Mzee upo vizuri sana hukubali kupiga makofi wakati unateketea
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@husseinmkanga779411 күн бұрын
Leo shekh PONDA nipo na wewe hapo kwenye ufisadi.
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@nicholauskilosa533611 күн бұрын
Mama anakopa kila siku alafu fedha zinaibiwa na wachache
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@charlesmtangi90464 күн бұрын
Tuko pamoja shekhe wangu Allah azidi kujuongoza amina
@ICONTVTZ4 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@BeatriceJoas-vs4ld6 күн бұрын
Safi sana vionggozi wa namna hii, napongeza sana Kwa uongozi wako, mungu akulinde, nawapongeza na waumini wote, kuchanguwa jembe,safiiii wewe ni jembe
@ICONTVTZ6 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@KiagoBakari11 күн бұрын
Huyu aache usheikh aende tu kwenye siasa hamna sheikh hapa huyu ni sheikh siasa au sheikh ubwabwa
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@robertphilip38511 күн бұрын
Mbona wafalme wa Sadia Arabia ni wanasiasa ponda hanakasa ktk hili Wacha asemeukweli
@ahmedalbalooshi851811 күн бұрын
Huyo ni mwananchi na Ana haki,kikatiba, kuongea mambo ya dini na siasa.Kama humuungi mkono kwa hayo basi ni hiyari yako,nawe una uhuru
@adamlubawa128111 күн бұрын
Hana ukweli Tatizo la mashehe wetj baadhi yao hawana vyanzo vya pesa wanategemea pesa za ibada ziwaendeshe kimaisha
@bakarifakih422811 күн бұрын
hayo ni maoni yako, tena inaonesha ulivokuwa mbinafsi kwa shekh wetu
@MasoudSnani11 күн бұрын
hio title na anachoongea sheikh mbona haviendani? neno kukosoa au kukemea na hio sound ya Sheikh no tofauti sana. yeye kama kiongozi wa dini katoa maoni yake na sio hio tittle yenu.
@allymusira215311 күн бұрын
Yaani hawa jamaa walishatuona wajinga ni vichwa vyao vya habari
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@MudathirJamal11 күн бұрын
Sheick Mungu akujalie mashAllah nikweli Africa umekua na viongozi wa hovyo sana Kamavile ni bara la wehu lakini siokweli ni lazima wanainchi kusimama imara na kumchagua kiongozi anaefaa siowakuletewa wengi pia hata Shule zao ukichunguza walikua ni wazee wa nondo so kila siku nasema kusoma sio kuelimikaaaaaaaa wengi walienda Shule lakini kichwani hamna kitu just wanadhani pia wanainchi hawana akili so tuombe Mungu atujalie kua Imara
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@DdAs-ti5bo4 күн бұрын
Mungu akuweke shekhr❤🎉
@ICONTVTZ4 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@paulremigiuspaul329311 күн бұрын
Stand up with Justice being witnesses for God. And then even if it is against your own people. (Qur'an 4:135)
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@kingmichael123411 күн бұрын
Mungu akulinde sana. Sheikh ponda. Huu ndio ukweli serikali yetu imekuwa ndio fisadi mkubwa wa kuhiujumu nchi
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@CharlesAlly-jp1ms11 күн бұрын
Kwa hili uko vizuri sana shida watanzania tunakazi yakushangilia simba na yanga hongera sana😂😢
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@andrewkalubi352411 күн бұрын
Akiri kubwa shehe,,ww ni kiongozi unayejari ...mtaa wetu Toka mwezi WA name mwaka Jana hatujapata maji hata tone la maji..kwakweli nchi hii inapuuza haki zetu za mwingi.aksante shehe.
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@abdallahmtula946711 күн бұрын
Allah akuhifadhi. N kwel hali n mbaya mtaani,yaani uku hatuelewi kabisaaa
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@panadomadola30644 күн бұрын
Shekh Ponda kwa kweli hali ya maisha ya watu huku mtaani ni mbaya sana na ufisadi na rushwa ndivyo vilivyo shamiri kwa sasa
@ICONTVTZ4 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@ShabaShaab9 күн бұрын
Allah akulinde sheikh wetu...wananchi wa hali ya chini tunateseka na hakuna anaetuona
@ICONTVTZ9 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@DdAs-ti5bo4 күн бұрын
Mungu akuweke shekhr
@ICONTVTZ4 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@user-ds6cj4md6m7 күн бұрын
Shekhe Mw.mungu akuweke sana
@ICONTVTZ7 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@stewartdyamvunye-wz6rn10 күн бұрын
Aksante sana bro. Ponda. Shekhe, kwa muda mrefu nimekuwa nimekukubali kutokana na msimamo wako. Leo kwa clipp hii umejiongezea sifa. Umetekeleza wajibu wako kwa umma. Umenigusa sana hasa pale ulipomvaa braza Isidori Mpango kuhusu ufisadi. Na katika yote haya nazidi kukuhakukishia utaendelea kuwa katika orodha yangu maarufu ya wanamapinduzi duniani kanda ya Tanzania. Usijebadilika endelea hivo hivo. Naam na salaam zako hizi kupitia clipp hii, naomba sana zimfikie rais, mzee Steave Wasira, sheikh Mwaipopo, rafiki yangu ustaadhi Gershon Msigwa na wote kwa ujumla si rahisi kuwataja hapa, itifaki imezingatiwa.
@ICONTVTZ10 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@johnboscomasumbuko107311 күн бұрын
Asante na hongera kwa kusimama kwenye nafasiyako
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@thomaslima398911 күн бұрын
Mpo sawa kabisa hapo kwa CAG Katie is hapo wizi wizi
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@mariaanthoniangowi93769 күн бұрын
She Ponda Kwa hakika Bila unafiki moyoni mwnangu Mwenyenzi MUNGU akujalie baraka,Ww ni mzalendo halizi nakweli ni nani WA Mnyanzi MUNGU.Ahla akujalie Rehema kubwakubwa nandogondogo Baba yeti.
@ICONTVTZ9 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@LazaroMwakasege-bh5en11 күн бұрын
Ongera Sana sheikh mungu akupe Maisha marefu kwakusema ukweli
@ICONTVTZ11 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@user-bp7nb7yp2o10 күн бұрын
Mzee Mungu akupe nguvu zaidi Kwa kuwatetea wananchi wa Tanzania kuhusu Hali ngumu ya maisha na wewe huegemei upande wa dini kama wengine.
@ICONTVTZ10 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@user-sz8ic2tm7n11 күн бұрын
Hakun kinchoshindikan ila n ufisadi kwa viongozi n uongo wao, hawan hurum utasem wao walitoka maisha y kitajir, njaa wanaijua vizuri ila wanjihumuza