Ihefu SC 0-1 Yanga SC | Highlights | Nusu Fainali CRDB Bank Federation CUP 19/05/2024

  Рет қаралды 196,649

Azam TV

Azam TV

Ай бұрын

Goli pekee la Stephane Aziz ki limeipeleka Yanga fainali yake ya tano ya michuano ya #CRDBBankFederationCup ikishinda 1-0 dhidi ya Ihefu SC, mchezo wa nusu fainali uliopigwa Sheikh Amri Abeid Arusha.
Yanga sasa itakutana na Azam FC katika mchezo wa fainali, Juni 02, 2024.

Пікірлер: 173
@RashidiNasibu
@RashidiNasibu Ай бұрын
Kama unaamini yanga bingwa like hapa pls❤
@user-ic8oj1fy7q
@user-ic8oj1fy7q Ай бұрын
Diara hongera sana, unapambana mno golini❤❤
@user-hj6er2kt4j
@user-hj6er2kt4j Ай бұрын
Mashalla kwa diara na mfungaj azizi k kwan yanga tunavijana wt wanacheza mungu awalinde
@user-nl3ld3vs8u
@user-nl3ld3vs8u Ай бұрын
Yanga kwa sasa ndo furaha ya nnchi yetu❤❤❤
@covertv8081
@covertv8081 Ай бұрын
Kiukwel kbs ihefu leo wamecheza mpira mzuri san
@NURUJUMA-sk5fz
@NURUJUMA-sk5fz Ай бұрын
Naomben likes zenu wananchi💚
@michaelmisana650
@michaelmisana650 Ай бұрын
Hongera sana yanga💛💚💚💛
@Maryc2G
@Maryc2G Ай бұрын
Diara kipa of the year.yanga 👏🏽💚💚
@AzizaSwedi-vx9tv
@AzizaSwedi-vx9tv Ай бұрын
Alhamdulilah kwa Wananchi Alhamdulilah kwa Pacha wa mie Aziz Ki Alhamdulilah.
@sudisoloma9293
@sudisoloma9293 Ай бұрын
Watch from Mombasa Kenya
@user-ck1vr4iu7p
@user-ck1vr4iu7p Ай бұрын
Yanga bingwa ligi na fa
@sayunimollel3781
@sayunimollel3781 Ай бұрын
Hongereni Sana chama langu, yangaaaaa rahaaa💚💚💛💛💛💛💚💚💚💚
@nasryiddy9855
@nasryiddy9855 Ай бұрын
GSM❤
@safinaramadhani-ix8wz
@safinaramadhani-ix8wz Ай бұрын
Hongereni Sana wananchi mmepambana Sana Hadi mnafikia mwisho mchukue makompe yote wachezaji poleni
@AzizaSwedi-vx9tv
@AzizaSwedi-vx9tv Ай бұрын
Mashaa Allah Leo hi Diara Ulikuwa uko Vzr Alhamdulilah.
@user-io2rj2yp5d
@user-io2rj2yp5d Ай бұрын
Hivi wanamlazimisha kuingia uwanjani kama hayuko sawa
@sadahamad6158
@sadahamad6158 Ай бұрын
Yanga mbele kwa mbele 💛💛💚💚 yanga bingwa 💪💪💪 yanga tamu yanga rahaa wee makolo hamuogopi 😂😂😂😂
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt Ай бұрын
Asante Yesu Kwa ushindi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-dn5mq3fw5s
@user-dn5mq3fw5s Ай бұрын
kikubwa dua tuiyo mbee timu yetu 💛💛💛💚
@ArodiaIsdory
@ArodiaIsdory Ай бұрын
Mechi ya jasho na nguvu kweli kweli, yanga wapewe maua yao
@OctaJohn-ov9gc
@OctaJohn-ov9gc Ай бұрын
YANGA bingwa 💚💛🙏
@user-gr6xq8je5p
@user-gr6xq8je5p Ай бұрын
Yanga bimgwa
@MustaphaThabithi
@MustaphaThabithi Ай бұрын
Hongereni yanga
@emmanuelhugo554
@emmanuelhugo554 Ай бұрын
Duuuuh master ki
@RahmaMfinanga-yg1yb
@RahmaMfinanga-yg1yb Ай бұрын
Hiindio mana yakua nakipa Bora diara akiondk Yang nitaumia sanaa viongz wayanga naomben sanaaa diara awepo atamiaka minne mbele😢
@johannmaloda6027
@johannmaloda6027 Ай бұрын
Mzinga 👏👏👏👏👏👏
@AminaTanzania
@AminaTanzania Ай бұрын
Mungu atusaidie tuu hawa AZamu wauwajitu
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Ай бұрын
Asante Mungu
@ConfusedFrog-lc9db
@ConfusedFrog-lc9db Ай бұрын
But ihefu waliwafunga Yanga mapema sana💪💪mchezo wa ihefu uko bomba sana
@LuckyTemu
@LuckyTemu Ай бұрын
Wkwanza jmn😂😂😂😂❤
@isayaanthon7063
@isayaanthon7063 Ай бұрын
Hivi kwa nini man of the match sio Dr?. Ama ni kwa wazawa tu?
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 Ай бұрын
Halafu anatokea shabiki wa manzoki FC anasema tunanunua mechi kwa mpira huo dume ,chama FC wajipange bila hivyo msimu ujao 10 zinawahusu.i love u yanga.
@AminaTanzania
@AminaTanzania Ай бұрын
Mungu simama na kibabange aponepewepesi baba
@sarunikone573
@sarunikone573 19 күн бұрын
Msimu huu uloisha timu nyingi zilikuwa na makipa bora wengi la sivyo wengi wangekula goli 10 10
@ManjaHisani
@ManjaHisani Ай бұрын
Duwa za wanachuwoni zimetusaidiya leyo ukitowa nawewe utapewa tu
@user-vz7cj4zk3h
@user-vz7cj4zk3h Ай бұрын
Pacome bado hayuko saw kbs yaan
@thomasjulius3849
@thomasjulius3849 Ай бұрын
Hongereni wapambanaji wa JANGWANI ila kuna jambo la kujifunza. Lazima tukubali kuwa mechi ijayo ni zaidi ya FAINALI maana azam na simba ni familia moja.
@saidilindukwa
@saidilindukwa Ай бұрын
Wananchi hivi mnajua Yanga haichoshi machoni kuitizama, Wala redioni kuisikiliza yaani ni raha 2pu,wananchiiiiii eeee! Kweli si kweli haya? Nikwambieni AZAM watakariri ya ligiiiiii hicho ndio kifo chao😂😂😂😂
@user-hu2sf3so9c
@user-hu2sf3so9c Ай бұрын
Jamani Pakome bado kunani
@MuuhKadele
@MuuhKadele Ай бұрын
❤❤❤
@majotaclassic
@majotaclassic Ай бұрын
Aucho apewe maua yake
@PauloSulle-pg1wb
@PauloSulle-pg1wb Ай бұрын
Tunaomba mechi ya kirafki na bacelona yanga day
@JescaMuyabi-ix8ly
@JescaMuyabi-ix8ly Ай бұрын
Yanga bingwa
@bushili
@bushili Ай бұрын
Master kii🎉
@CHABUWILLY
@CHABUWILLY Ай бұрын
2namtaka azam Tena waungane na Simba
@Taimujr23
@Taimujr23 Ай бұрын
Leo ilikua ni on🔥🔥. 🎉 kw yanga
@ahmedalsaadi7108
@ahmedalsaadi7108 Ай бұрын
Kwa nini wanapenda kusukuma kuvuta shat kupiga miguu yaan mushikila
@MaimunaMamisu-rv5iv
@MaimunaMamisu-rv5iv Ай бұрын
Yan sisi ndo yanga piga hao mpak waseme bd hawajasem
@onekisstv8412
@onekisstv8412 Ай бұрын
Golikipa wa ihefu alijifunga nini kwenye mkono
@isayaanthon7063
@isayaanthon7063 Ай бұрын
Mechi yenye hadhi ya fainali
@bushili
@bushili Ай бұрын
Master kii
@user-hr8gi6kg1y
@user-hr8gi6kg1y Ай бұрын
My dream is to meet aziz kii face to face items of soccer in this 2024
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Ай бұрын
U will fulfill ur need
@AdilyAgustine
@AdilyAgustine Ай бұрын
Ilikuwa mechi ngumu sana hii
@JacobMumwi-vf8oz
@JacobMumwi-vf8oz Ай бұрын
Azam sis so milima tunakutana nao again tuwaonesh
@barakajulius759
@barakajulius759 Ай бұрын
Azam sisi cy milima tumekutana
@upendomaro3307
@upendomaro3307 Ай бұрын
Asante diara❤️❤️❤️😊
@user-kk3tv6kw1o
@user-kk3tv6kw1o Ай бұрын
AUCHO The man himself
@annayambayamba8614
@annayambayamba8614 Ай бұрын
Yanga sijuwi nipe ninimie🎉🎉🎉🎉
@chakupewamasemo3024
@chakupewamasemo3024 Ай бұрын
Yanga ❤❤❤❤❤❤
@JastinAlphonce
@JastinAlphonce Ай бұрын
Litakufa jitu apo revenge is claim to be right 💛💚💛💚
@methodmuhagachi4254
@methodmuhagachi4254 Ай бұрын
❤❤❤❤
@frank.maricusNgicho
@frank.maricusNgicho Ай бұрын
Hongera sana chama langu
@kolosii4351
@kolosii4351 Ай бұрын
Musonda inabidi ajitahidi kuwa na kasi zaidi na kuwa mahali sahihi.
@geetv3890
@geetv3890 Ай бұрын
azam tv league mnashoot local sana baadhi ya games asee mpaka aibu jitahidini kuboresha standards na quality ya shooting zenu even cameras sio baadhi ya games mnashoot vizuri zingine mnashoot local nyie ni media kubwa maintain quality
@Faustine_Charles
@Faustine_Charles Ай бұрын
Kinachonifurahishaga kwa aziz ki ni kwamba hana tamaa ya kufunga peke ake lakini akipata nafasi anaweka kambani, sio kama saidoo ntibazonkiza ambaye ili awe mgungaji bora anakuwa mchoyo hatoi pasi kwa walio kwenye nafasi nzuri.
@nemeskimbe376
@nemeskimbe376 Ай бұрын
Fuatilia vizuri,aliicost timu dhidi ya Mamelody,haya leo anazunguka kulazimisha kupita ilihali mwenzie yupo pembeni kafungua
@VitalisTumain-do1tv
@VitalisTumain-do1tv Ай бұрын
Diara ni kipa bora
@VitalisTumain-do1tv
@VitalisTumain-do1tv Ай бұрын
Kipa we2 Yuko saw kabsa
@zubedamagambo8139
@zubedamagambo8139 Ай бұрын
Woyoooooo
@sivamusic2234
@sivamusic2234 Ай бұрын
#unyama #makolo mtapata tabu sana na ili tunabeba 🤣🤣🤣 #yanga laha saan wewe shabiki wa kweri semaneno moja mwaka huu makolo wataisoma namba #sivamusic #mamaamini #mama #nakupenda #hadhija #unyama
@niolaussdavid
@niolaussdavid Ай бұрын
@ crdb mmeshindwa hata kuweka mazingira safi bya uwanja ni aibu kwa jiji nia ibu fa ni aibu kwa tff ni aubu kwa waziri wa michezo ni aibu njia ya kutoea vyumbani hata kuweka kokoto za elfu sita?
@amanijampion3045
@amanijampion3045 Ай бұрын
Ihefu wamecheza mpira mzuri sana kipindi cha kwanza
@cleophaskauga8706
@cleophaskauga8706 Ай бұрын
Lomalisa abaki jamani tutaipoteza Mali Sana hii
@kolosii4351
@kolosii4351 Ай бұрын
Ihef rafu sana na kuvutana mashati.
@HamzaGaudence
@HamzaGaudence Ай бұрын
💚💛💛💚💛💛👏👏💪
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr Ай бұрын
Inabidi .marahii wasiwachiwe azam kutuvunjia wachezaji wetu na wao wavunjwe miguu wasiachiwe kabisaaa
@RoseKalmela
@RoseKalmela Ай бұрын
Wananchi nawakubali sana
@EmmanuelMswaga
@EmmanuelMswaga Ай бұрын
azizi k
@shimateledayani6729
@shimateledayani6729 Ай бұрын
Yanga motooo
@zenahussein2242
@zenahussein2242 Ай бұрын
Leo sauti inakata kata sana
@user-hj6er2kt4j
@user-hj6er2kt4j Ай бұрын
Kweli tunakipa
@StanleyWaya
@StanleyWaya Ай бұрын
Yanga lahaa
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn Ай бұрын
Yangabingwa tena
@TheDinhoDesign
@TheDinhoDesign Ай бұрын
Ihefu walikuwa kama mimba tu, muda wowote walikuwa wanazaa😂
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 Ай бұрын
Rupia ni mchezaji mzuri,japokuwa anacheza timu ndogo.
@ShamsFundi
@ShamsFundi Ай бұрын
nabado azam u2 uzima sio dawa2 na bol lmo wanaichiiiiiiii
@crouchjrmakusi6301
@crouchjrmakusi6301 Ай бұрын
Tumefany mistake 2 kmmke makosa ayoo
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo Ай бұрын
Watched from DODOMA TZ.
@user-qg7gc1sd6h
@user-qg7gc1sd6h Ай бұрын
Achii achiii aziziii chipololo
@mariamcrispo8296
@mariamcrispo8296 Ай бұрын
Ihefu leo mlikuwa mmepania kuwavunja miguu Waridi mbona uchezaji wenu umekuwa mbovu sana
@omaraonasir4361
@omaraonasir4361 Ай бұрын
Hii yanga saa hii imekua hovyo,hawa watafungwa na Azam mapema sana
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Ай бұрын
Utakuw kolo wew wana yanga tuna imani na timu yetu Azam hachomoki kisasi ni haki subir siku ifike.
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Ай бұрын
@@seciliamchalo5627 Huyo kolo!! Hata tusipochomoka sisi mabingwa tayari yeye ana nini??!! hata nafasi ya 2 hati hati kuipata😂😂
@omaraonasir4361
@omaraonasir4361 Ай бұрын
@@seciliamchalo5627 tusubiri tarehe mbili,Azam ni wazuri Sana saa hii
@jamaldinjuma7361
@jamaldinjuma7361 Ай бұрын
Sasa hao azam wazuri si alichapika na simba mbovu hawakuamini walichofanywa sasa kitu gani kipya
@joycethomas3183
@joycethomas3183 Ай бұрын
Nanyie chongeni hiyo mipango
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Ай бұрын
Ihf wamekosa magoli piya
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr Ай бұрын
Yaani sisi ndio yanga wakamiwaji f c
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m Ай бұрын
Sasa mliwarusu vipi goli 5 kwenye ligi wakati mnawapota kabisa ki mpira!!
@cityboysrecords6902
@cityboysrecords6902 Ай бұрын
Wananchiiiiiiii
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Ай бұрын
TATU FC ZENU CHUKI MPIRA MUACHIENI YABGA
@KulthumAlly
@KulthumAlly Ай бұрын
Wakubwa 2
@suleimanmigeto269
@suleimanmigeto269 Ай бұрын
Chama kubwa
@user-zo7fy4mo6j
@user-zo7fy4mo6j Ай бұрын
Azam ata mlamba .... Chap
@nestorymlembule3282
@nestorymlembule3282 Ай бұрын
Mnanunua sana mechi
@ashamkesa979
@ashamkesa979 Ай бұрын
Kusoma hujui hata picha huoni game hili la kinunuliwa kweli? unataka sifa
@WingochimpaaNamtema-oo2rt
@WingochimpaaNamtema-oo2rt Ай бұрын
Comaasavaa
ТАМАЕВ vs ВЕНГАЛБИ. Самая Быстрая BMW M5 vs CLS 63
1:15:39
Асхаб Тамаев
Рет қаралды 4,8 МЛН
FOOLED THE GUARD🤢
00:54
INO
Рет қаралды 61 МЛН
MV. CLARIAS YAPINDUKA   ZIWA VICTORIA
4:19
WIDE NEWS TV
Рет қаралды 1,7 М.
Лёгкая ПОБЕДА!😃 inst: psawkin
1:00
Petr Savkin
Рет қаралды 83 М.
Respect After The Fight 🔥
0:12
FightingDad
Рет қаралды 20 МЛН
ОДИН ИЗ ОДНОГО #лигаставокеврогол
0:17
Слава Черненко
Рет қаралды 389 М.
NAME THE EURO 2024 PLAYER OR SWIM 💦
0:35
Celine Dept
Рет қаралды 11 МЛН